Na barikiwa na kutiwa nguvu na mafundisho hay kila napo hisi shaka bc mafundisho yako yan nitia nguvu Mungu azid kukutunza Baba 🙏
@blessedtumaini51619 күн бұрын
Asante Yesu Kristo kunitia nguvu na kuhuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lako. Nimeongezewa nguvu asanteni kwa ujumbe watu wa Mungu. Neema daima.
@RosemaryNdanshau-qz7ko17 күн бұрын
Amen mwalimu, nimebsrikiwa sana mtumishi. Mungu azidi kukupaka mafuta kwa kusudi alilokuwekea hapa duniani.
@NsabiyaremyeRomain19 күн бұрын
Bwana Yesu akutiye nguvu usiku na mchana hata milele. Amen.
@rahabunorbert129417 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@jessicamasepo832016 күн бұрын
Nashukuru kwa neno zuri, ubarikiwe sana.
@user-qi2xx6lc1w19 күн бұрын
Kwali mwalimu uwa mafundisho yako inanigusaa mungu akubariki san baba
@DominicaUggy-em8vc11 күн бұрын
Watu kama wewe mmebaki wachache sana. Wengine wote ni wachumia matumbo yao. Kaza mwendo mtumishi, Mungu akuzidishie neema na nguvu na hasa kipindi hiki ambacho manabii wa uongo ni wengi.
@LusajoMasebu7 күн бұрын
Ubarikiwe baba mungu haendelee kuku tumia
@AnnaMeela-qe5pp16 күн бұрын
Bwana Yesu akulinde pamoja na uzao wako. Amen.
@antoinettekibona5019 күн бұрын
Mungu akutunze baba
@mathewleitura184315 күн бұрын
Amen neno la baraka babangu
@MariamSenga-xn2dc20 күн бұрын
Amen Asante Yesu,Mungu akuongeze miaka mingi Baba ya kutufundisha neno lake 🙏
@josephinemapuga351519 күн бұрын
Mungu akubariki na kukutunza mtumishi na Mwalimu ulifanyike kuwa Mkuyu duniani
@Suzy-rz8sy20 күн бұрын
Amen kubwa Mtumishi wa Mungu Aliye Hai 🙌 🙏
@SilvanoNgala4 күн бұрын
Mungu akulinde
@user-qi2xx6lc1w19 күн бұрын
Aminaa
@aminitu376619 күн бұрын
Iyo suti Mwalim nimeielwa sana
@alphonceshija-cb3yp19 күн бұрын
AMEN
@ChosiBPrimary19 күн бұрын
Mungu atutie nguvu sana
@SamV.202420 күн бұрын
Powerful. God bless you Mwalimu. This is mine.
@mwalimugregoire-hl2st12 күн бұрын
Amina Mwalimu ❤
@ZawadiDaudi-js7wl19 күн бұрын
Ameeeen kubwa ila fundisha wanawake waliokoka wafunike vichwa na waache mapambo
@ronniemhone53119 күн бұрын
Mtu ni roho sio mavazi wala vichwa unaweza tu ukafundisha wewe Roho hajasema naye hayo yako so sikiliza anachosema hapo kikae kichwani kabla hujajifunza kufunika kichwa każą Roho Imani.Amen wacha kuangalia watu njee bado unahitaji somo
@NeemaMachangem20 күн бұрын
Amen Amen
@ElizabethKwiyamba-xk6ev18 күн бұрын
🙏🙏🙏 naamini
@josephinemapuga351519 күн бұрын
Asante Yesu kwa ujumbe wako mkuu juu ya kuijenga Imani yangu kwako, Amen
@BlandinaMganga20 күн бұрын
Amen. Ahsante Yesu
@user-ch6su4oj3f19 күн бұрын
Ameni
@Leonard-jl8gt17 күн бұрын
Amen amen amen amen amenamen amen
@RickMartin-gs2rv19 күн бұрын
Amen Baba
@VictoryOwoya-qf3si17 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@justinmkr19 күн бұрын
Amina saana
@user-ml6ro6lo6o20 күн бұрын
Amen
@Mwl.AlexSimbertPili10 күн бұрын
Sipotezagi mda nikikusikiliza lazima nitoke na kitu changu hapo
@uvccmsenetiiringa727220 күн бұрын
Amen....
@EmmyPhilimon20 күн бұрын
Yes yes emen
@user-pi1st6pj3w20 күн бұрын
Amen Utukufu Kwa YESU
@GeofreyMhagama9 күн бұрын
alleluya
@MariamSenga-xn2dc18 күн бұрын
Asante Baba,nabarikiwa sana na mafundisho yako Toka mwaka 2000 mpaka Sasa naona Baraka kubwa kwenye maisha yangu🙏