Akija yanga huyo jonasan hakuna timu ita simama zitapigika 😂😂😂😂😂
@user-wm2tm6oq1f7 күн бұрын
Sowa anajua sanaa hatari
@priscairene46053 күн бұрын
Jonathan.sowah.nibora.kuliko.gwede
@festopaschal38017 күн бұрын
Yanga hatari nanusu jamaniiiii
@user-oh1kd3ns7r2 күн бұрын
yanga nooma saaaaana
@moramwita8907 күн бұрын
Sowah ni hatari
@EliaMlani6 күн бұрын
Sow💥💥💥😆😆😆
@OmmyChura3 күн бұрын
Muro ,unguruma baba tupo nyumayako
@GodfreyHaule-i9e6 күн бұрын
Uyo Sawa ni hatarsana
@OmaryRufungulo7 күн бұрын
Huyo bwana anafasana
@ShafiiHungo7 күн бұрын
Kama atakuja yanga magoli tu
@allyabdallah46417 күн бұрын
Jakuna lolote chezaji lamakado ilo
@ShafiiHungo7 күн бұрын
Wewe kama simba utajuta sana maana atakavo funga
@HajiJuma-oy1jy7 күн бұрын
Hapana mchezaji pale muacheni Guede aendelee
@mwanangusana7 күн бұрын
😂😂😂😂 tabu leleeee
@AshimuMuhammad7 күн бұрын
@@mwanangusana Anajua sana yule
@user-ji2mi6tm7t7 күн бұрын
Hatariii hatariii
@user-ji2mi6tm7t7 күн бұрын
Wataisoma namba by Masoud chumvi chumvi
@ShafiiHungo7 күн бұрын
Bora sowah kuriko giede uta muonatu atakavo pafomu
@gabrielmoses68607 күн бұрын
Huyo jamaaaa binafsi simkubali,,,hana nidhamu. Vyanzo vya Habari ghana vinasema hivyo. Mfano kuanzia bench hapendi
@ShafiiHungo7 күн бұрын
Wewe yanga mikubwa kuliko mchezaji kwaiyo akija dar lazima afuate sheria ya timu medeama timu ndogo eti haina washambuliaji wazuri sana utakuja kuona mzuri wake ana juwa boli sanaaaa