Рет қаралды 127
_
UjuziSeti is an entrepreneurship learning platform with local relevant digital learning content in both Swahili and English with aim to foster entrepreneurship.
_
The platform has been established by Mzumbe University/ VLIR-UOS 4SITE PROGRAMME in collaboration with Don Bosco, Smartcore Tanzania, TCCIA, and TRIAS.
_
In Swahili:
UjuziSeti ni Jukwaa la elimu ya ujasiriamali kwa kutumia maudhui ya kidigitali yenye kutumia mifano ya waliofanikiwa na wasiofanikiwa.
_
Jukwaa hili litaweka maudhui kwa Lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa lengo la kukuza Ujasirimali baina ya Vijana Barani Afrika.
_
Jukwaa hili limeanzishwa na Chuo Kikuu Mzumbe/ VLIR-UOS 4SITE PROGRAMME kwa kushirikiana na Don Bosco, Smartcore Tanzania, TCCIA, and TRIAS.
#UjuziSeti
#UjuziWanguKeshoYangu
#TujifunzeKwaMaendeloYaWatu