MV IKRAM ZANZIBAR

  Рет қаралды 9,273

Dronezanzibar

Dronezanzibar

Жыл бұрын

Пікірлер: 16
@aaahadventures4214
@aaahadventures4214 Жыл бұрын
Ni vyema kwa Serikali kujenga Ferry terminal Kijijini Nungwi kuunganisha Unguja na Pemba kwa haraka..
@utaani1
@utaani1 9 ай бұрын
Hata mimi nahisi hivyo geti iwekwe Nungwi
@mjedahaji5536
@mjedahaji5536 Жыл бұрын
fanyeni mtuletee nyengine.. azam inatisha saivi maji hadi ndani
@felicienmanuana9505
@felicienmanuana9505 7 ай бұрын
@amirikoshuma6022
@amirikoshuma6022 Жыл бұрын
Nimeipenda Sana hii mungu anabariki
@abdullatifhassan9399
@abdullatifhassan9399 Жыл бұрын
Masha Allah
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Alhamdulillah, Inshaallah tutasafiria. Usitaje habari za kutoboka capt.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Hongera Wazanzibar Kwa kupata meli nzuri ya kisasa, huku Mwanza inaundwa meli ambayo kwa akili ya kawaida haieleweki kama ni meli ya abiria au muzigo au...!
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 Жыл бұрын
Duuh..poleni sana
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman Жыл бұрын
Muwe tyr kutufikisha pemba na unguja kwa Muda mfupi msitueke baharini kama azam kama masaa 5 iwe ni 5, azam inatuchosha hata kama bahari ipo shwari wao watafika muda ule wanaotaka sa 9.
@ELIMU65
@ELIMU65 Жыл бұрын
Muda mkubwa sana huo mimi nilitegemea angalau masaa 3
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Si wanapewa muda wa kusafiri na serikali
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman Жыл бұрын
@@fahadfaraj6474 ndio serikali ni watu na watu ni sisi watusikilize muda mkubwa huo.
@utaani1
@utaani1 9 ай бұрын
Kweli angalau masaa matatu
@Mosalahibrahim75
@Mosalahibrahim75 Жыл бұрын
Meli ipo vizur mashallah je itakua unguja mkoani tu wete haiendi????
@user-gk3wz8wb3t
@user-gk3wz8wb3t 10 ай бұрын
Mbona inaenda
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Zanzibar by Jufe
3:19
Jufe Film Production
Рет қаралды 114 М.
Dar es Salaam to Zanzibar VIP Class Ferry in Tanzania 🇹🇿
20:50
Jason Billam Travel
Рет қаралды 123 М.
ZIARA YA MAKAMU WA PILI RAIS KATIKA ENEO LA UJENZI WA BANDARI YA SHUMBA PEMBA.
1:52
Shirika la Bandari Zanzibar
Рет қаралды 706
Visiting the Divorced Women's Market in Mauritania 🇲🇷
9:40
Joe HaTTab
Рет қаралды 19 МЛН
Most Useless Megaprojects in the World
16:31
MegaBuilds
Рет қаралды 48 МЛН
#AJALI MBAYA YA GARI KUZAMA
12:44
IsleBlogTv
Рет қаралды 14 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН