Mwacheni Mungu

  Рет қаралды 64,014

Flora Faustine

Flora Faustine

4 жыл бұрын

Пікірлер: 251
@madamloveness7274
@madamloveness7274 4 жыл бұрын
Tuliokuja hapa baada ya interview kwa Millard ayo tujuane ,
@glorymushi2822
@glorymushi2822 4 жыл бұрын
Tupo mama
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 жыл бұрын
Tupo
@veronicacharles9993
@veronicacharles9993 4 жыл бұрын
Tupo
@mdomani2404
@mdomani2404 4 жыл бұрын
Am here😀
@anthonymartial2538
@anthonymartial2538 4 жыл бұрын
Leo ndo nimeipata
@mwanaidisaidi4750
@mwanaidisaidi4750 4 жыл бұрын
Tuliokuja hapa baada ya Inteview ya Millard nyoosha kidole juu
@yerusalemutv81
@yerusalemutv81 4 жыл бұрын
Ushuhuda wako una nguvu ya kujenga alie kata tamaa
@pricillanekesa2401
@pricillanekesa2401 3 жыл бұрын
Wow......very nice song bt God is above all. God bless you (KEN)
@gatimaroa6690
@gatimaroa6690 3 жыл бұрын
Kazi Mungu alioanza ndani yako ataimaliza. He is faithful GOD, continue serving Him,
@julianahange9466
@julianahange9466 3 жыл бұрын
Hakika MUNGU n mwema Ubarkiwe sana na uzid kupanda viwangooo,, ushuhuda wako umeyagusa maisha yangu
@happinessmauricelillai7119
@happinessmauricelillai7119 4 жыл бұрын
Maisha yako ni ya USHUHUDA SANA🙌🏾🙌🏾... JESUS IS LORD FOREVER🙏🏾🙏🏾
@farajamarwa3227
@farajamarwa3227 3 жыл бұрын
Mmhh yesu anawatu
@janengota3902
@janengota3902 3 жыл бұрын
Baraka tele 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@evambwani6032
@evambwani6032 3 жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi nimebarikiwa dada
@godliverbilagambalaye6804
@godliverbilagambalaye6804 4 жыл бұрын
Kumbe kuna watu wana mapito zaidi yetu ushukuriwe Mungu Mwenye mawazo mema Dada Mungu anakupenda usimuache
@channyqween6961
@channyqween6961 3 жыл бұрын
Acheni mungu aitwe mungu kwaukweli 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@antonyjohn8219
@antonyjohn8219 3 жыл бұрын
Naomba mungu akubariki sana dada nimeskia ushuhuda wako na umeniguza naona umepitia mengi mungu akubariki sana,,,,,, acheni mungu aitwe mungu kwel
@gatimaroa6690
@gatimaroa6690 3 жыл бұрын
You are a living testimony
@alenykomba155
@alenykomba155 2 жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi na zaidi.
@rebeccasefyuko7621
@rebeccasefyuko7621 3 жыл бұрын
Yesu akutendee mambo mema usimwache maana amekuheshimisha kwa namna ya pekee9
@aggreymukhonje5256
@aggreymukhonje5256 4 жыл бұрын
Aggrey from Kenya ,kazi nzuri dada,Mungu akubariki
@joycezawadikatana836
@joycezawadikatana836 2 жыл бұрын
Kwl mungu atabaki kuwa mungu
@fayongala3287
@fayongala3287 3 жыл бұрын
Una watoto wazuri kweli mungu akubariki nakupenda sana
@margaretwanjiku7752
@margaretwanjiku7752 3 жыл бұрын
Kenya🇰🇪 flora mungu akuinue napenda kibali chako
@janemulishi9265
@janemulishi9265 4 жыл бұрын
Ushuhuda wako dada umenifanya kumpenda Mungu zaidi na kuweka tumaini kwake, namuomba Mungu akuinue zaidi kihuduma
@peterprimus8703
@peterprimus8703 3 жыл бұрын
Kikubwa ni Kuomba Mungu Kama dosi, Ukitaka kuchati Muombe Mungu, na Ukimaliza Kuchati Muombe Mungu, Ukitulia peke yako Msifu Mungu, Ukimaliza Shughuli zako Mshukulu Mungu, Mungu akubariki sana.
@scholamatogolo3493
@scholamatogolo3493 3 жыл бұрын
Ameeen
@matildatemba3280
@matildatemba3280 3 жыл бұрын
Uko vizuri sana flora, mungu azidi kukubariki katika kazi zako
@liyhh3072
@liyhh3072 3 жыл бұрын
Hongera sana dada mungu akuzidishie baraka na uzima
@liyhh3072
@liyhh3072 3 жыл бұрын
Yani umenifulahisha sana
@karisadzuya5785
@karisadzuya5785 3 жыл бұрын
Pole xna kwa uliyopitia nyimbo zako z barki xna .
@melaniachambala3499
@melaniachambala3499 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu sana
@agapemkoma931
@agapemkoma931 3 жыл бұрын
Mungu azid kukuinua katika viwango vya juu zaidi
@wendylightness1897
@wendylightness1897 3 жыл бұрын
Daah Mungu nisamehe pale nlipokesea kwa kutambua au kutotambua tunashindwa hata kuomba japo kwa dk 10 na bado hatujapitia mapito kama ya Dada Frola kwan Mimi ni nan kwako hasa hakika nmejifunza mengi kuptia kwa Dada frola Mungu naomba unipe mwisho mwema😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@dreadlock_tzamos6764
@dreadlock_tzamos6764 4 жыл бұрын
Nimebarikwa san... na ushuda wa Dada frora nikweli kabisa Mungu atuwazia mema kila siku , Mungu na akuinuwe utukufu hata utukufu...niko Zanzibar visiwani karbu dada.
@sulleysonsulley4160
@sulleysonsulley4160 4 жыл бұрын
Kwakweli kwa huyu Dada nimemwona Mungu ,,acheni Mungu aitwe Mungu , maana ametenda makuu hasa ile siku ya arusi yake ,,
@lydiajoseph5119
@lydiajoseph5119 3 жыл бұрын
This is lovely. Will serve the Lord the rest of my life. He's above all
@lailambwambo7097
@lailambwambo7097 3 жыл бұрын
Ubarikiweeee dada flora bwana akutie nguvu
@westonnkoswe8132
@westonnkoswe8132 3 жыл бұрын
Umepitia magumu sana dada mungu akujalie
@fridahkalekye1011
@fridahkalekye1011 3 жыл бұрын
Hakika kuna mungu
@gladysgesare9549
@gladysgesare9549 3 жыл бұрын
Nyx song siz jikaze
@mercylineinjoke9682
@mercylineinjoke9682 3 жыл бұрын
Ubarikiwa Sana dada
@selinaalbin6670
@selinaalbin6670 3 жыл бұрын
Ubarikiwe na mungu
@annmulee7072
@annmulee7072 3 жыл бұрын
Very true Acheni Mungu aitwe Mungu. God of Miracles and Wonders
@yonikemanga2143
@yonikemanga2143 3 жыл бұрын
Mungu ni mkuuuu sna
@lucretianjau9485
@lucretianjau9485 3 жыл бұрын
Hongera Flora kwa kutumia vema karama zako.Umeningezea Imani.
@agnesmwaizinga5401
@agnesmwaizinga5401 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua na kukutia nguvu,alikua na sababu na maisha yako na ya mumeo.
@bellnardo660
@bellnardo660 3 жыл бұрын
Pole dada florah kwa ulio ya pitia hakika mungu yunawe milemileeee amina
@annayusuph1716
@annayusuph1716 3 жыл бұрын
Bwana azidi kukupigania wew pamoja na familia yko
@jenymtafya3430
@jenymtafya3430 3 жыл бұрын
Your amazing my dear, keep it up 👍👍 very inspiring
@irankundbgchristopher3010
@irankundbgchristopher3010 4 жыл бұрын
Hakika ushuhuda wako umeniongezea imani tele Mungu ni mwem 🙏🏿🙇‍♀️🙇‍♀️
@mabubakitambi6599
@mabubakitambi6599 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏😭
@nahimanabernadette6682
@nahimanabernadette6682 3 жыл бұрын
Kabsaaaa hakuna mungine Mungu Mungu ni Mungu tu barikiwa sana zaidi
@GODFREYMMANYARAA
@GODFREYMMANYARAA 21 күн бұрын
Hakika Mungu aitwe Mungu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
Sijapoteza muda nliposkia tu jina na wimbo nikatimkia huku
@mamavero4004
@mamavero4004 4 жыл бұрын
Amina
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 4 жыл бұрын
Kama mm
@odethasimsokwe8907
@odethasimsokwe8907 4 жыл бұрын
Mim pia
@sharonjepkosgei5332
@sharonjepkosgei5332 4 жыл бұрын
Pia Mimi niliposikia tu jina sikupoteza muda
@sundimanara2432
@sundimanara2432 3 жыл бұрын
MUNGU akutetee dada frola
@ansilalulehana8059
@ansilalulehana8059 3 жыл бұрын
Dah Mungu ni mwema azidi kukupigania kila iitwapo leo
@rachelmateru554
@rachelmateru554 3 жыл бұрын
Hongera sana Flora, nimeangalia na ushuhuda wako, hakika namuinua Mungu. Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
@pispaakim5123
@pispaakim5123 2 жыл бұрын
Kweli mawazo ya Mungu yako juu sana
@mabubakitambi6599
@mabubakitambi6599 4 жыл бұрын
Daaaah interview yako na MillardAyo Ni mahubir tosha yamenifanya ,,,kusema mwacheni mungu aitwe mungu
@adventinakalabo5795
@adventinakalabo5795 4 жыл бұрын
Barikiwa mpendwa kwa ushuhuda mzuri pamoja na nyimbo zako ninamuona Mungu mtenda miujiza
@debbykenyanya9030
@debbykenyanya9030 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@adelaidelusisat7187
@adelaidelusisat7187 3 жыл бұрын
Am blessed, ubarikiwe sana dada
@mbizoelias8872
@mbizoelias8872 3 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu
@Kifyasi
@Kifyasi 4 жыл бұрын
Ubarikiwe frola mungu azidi kukupa nguvu na ndowa yenu iwe na amani maana ninyi ni mpango wa mungu
@kahatafransis1686
@kahatafransis1686 3 жыл бұрын
Nilikuwa naona clip kila cku najikuta tu ciiangalii leo nimeingia ushuhuda wako na uwezo was mungu uneonekana nami najipa Moto kumbe mungu yupo na anatenda kwa kila aombae kwake ahsante dada kwa kuniongezea iman zaid na zaid na naomba kila ufanyapo maombi ucsahau kutumuombea na sisi ingawaje tunaomba lkn nawe tunaomba utie baraka zako
@nnalaya-toivo4144
@nnalaya-toivo4144 4 жыл бұрын
There is miracles working in God🙌🙌dada umenijenga Sana Kwa ushuhuda wako Mungu Yuko upande wako Hakika! ubarikiwe sana
@lydiachembe9376
@lydiachembe9376 4 жыл бұрын
Nimekupenda bule flora kiukweli umenitia moyo
@ndukumwendwa7604
@ndukumwendwa7604 3 жыл бұрын
God bless you sister for your talent.
@adolfgodfrey1725
@adolfgodfrey1725 3 жыл бұрын
Niichelewa kidogo
@dorisorenge6397
@dorisorenge6397 3 жыл бұрын
Woow nimependezwa sana wimbo wako na mungu yu pamoja na familia yako
@dorisorenge6397
@dorisorenge6397 3 жыл бұрын
Am from kenya
@rosejoseph9378
@rosejoseph9378 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua wewe pamoja na familia yako
@damarysekerubo2116
@damarysekerubo2116 3 жыл бұрын
Amen
@tausijoseph3903
@tausijoseph3903 3 жыл бұрын
Hakika Mngu nimwema ushuhuda tu unaeleza jisi alivo mkuu 🙏🙏
@damariswanyonyi6694
@damariswanyonyi6694 3 жыл бұрын
After kuaikia ushuhuda nmekimbia uku.....enyewe ni mungu
@sabylaby
@sabylaby 3 жыл бұрын
Hongera
@mercywainaina8840
@mercywainaina8840 3 жыл бұрын
Your testimony and songs has made me come more closer to God and and ask God to strengthen me more in faith. Thank you for sharing.
@gloryuisso6308
@gloryuisso6308 4 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema sana,kupitia ushuhuda wako dada flora naona kabisa milango ya baraka inafunguka🙏🙏🙏🙏
@leahmbeyumbeyu9167
@leahmbeyumbeyu9167 3 жыл бұрын
pasipo na njia Mungu yuafanya njia, hakuna ngumu lisilo mshinda Mungu🙏❤
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
Ushuhuda wako umenitia moyo na umeniongezea imani....ahsante Yesu umeninusulu na ajali zaidi ya mara 5..
@getrudenkinda1492
@getrudenkinda1492 4 жыл бұрын
God is Good kweli mwache Mungu aitwe Mungu💞
@rosemauti2809
@rosemauti2809 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema kweli
@mukamikaliunga4644
@mukamikaliunga4644 3 жыл бұрын
Hakika umebarikiwa flora, umenibariki
@babyannapiniel2599
@babyannapiniel2599 4 жыл бұрын
Hakika MUNGU anaweza
@mariammugasha6489
@mariammugasha6489 3 жыл бұрын
Amina dada
@happinessmauricelillai7119
@happinessmauricelillai7119 4 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kuibariki familia hii❤️❤️🙏🏾🙏🏾
@naturehome7209
@naturehome7209 3 жыл бұрын
After watching your testimony and songs now I have new resolution in my life.
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 4 жыл бұрын
Jina la Bwana libarikiwe,mwanamke na Dada yetu wa nguvu katika imani.Umesimama sehemu sahihi endelea kushika ulicho nacho.
@peterprimus8703
@peterprimus8703 3 жыл бұрын
Ubarikiwe na Familia yako Ibarikiwe.
@theresiamicahael743
@theresiamicahael743 4 жыл бұрын
Hongera sana dada angu Mungu azidi kujidhihirisha ktk maisha yenu
@florafaustine4637
@florafaustine4637 4 жыл бұрын
Mbarikiwe wote kwa upendo wenu. Ninawapenda sana
@peterprimus8703
@peterprimus8703 3 жыл бұрын
Amina.
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana Dada flora Mungu akulinde zaidi na uzao wako.
@florafaustine4637
@florafaustine4637 4 жыл бұрын
Ameen dear
@florafaustine4637
@florafaustine4637 4 жыл бұрын
Ameen
@peterprimus8703
@peterprimus8703 3 жыл бұрын
Amina, Uwe na Amani ya Kristu Yesu.
@kundualex4189
@kundualex4189 3 жыл бұрын
Thanks for your improvements
@joykeamusic9072
@joykeamusic9072 3 жыл бұрын
Nice one
@Lovelove-or2ob
@Lovelove-or2ob 2 жыл бұрын
God bless you sister
@christinammassy1550
@christinammassy1550 4 жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu
@mwitaester3890
@mwitaester3890 4 жыл бұрын
Dada kupitia ushuhudà wako nimemuona Mungu, kwa kuwa umenitia nguvu niendelee kumwa, bia Mungu Santee kwa kila Jambo
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 4 жыл бұрын
Aisee hakika yeye ni Mungu kuanzia sasa mim shabik wa kazi zako
@peterprimus8703
@peterprimus8703 3 жыл бұрын
Ni Vema na Iwe Kwa Kumpendeza Mungu kwa hili neno la Baraka lililo toka Kinywani Mwako, Roho Mtakatifu asikupungukie.
@mussatete2618
@mussatete2618 2 жыл бұрын
Dada Frola unaweza kuimba uhalisia
@biblianenolaukweli5616
@biblianenolaukweli5616 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@latofalenazy2012
@latofalenazy2012 3 жыл бұрын
Your songs have really encourageb me Amen
@didangoma7737
@didangoma7737 4 жыл бұрын
Amen mungu awatiye nguvu
@kimkungchemtai6319
@kimkungchemtai6319 3 жыл бұрын
Am blessed flora. Mungu aitwe Mungu
@mariajulius943
@mariajulius943 3 жыл бұрын
Amina
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 4 жыл бұрын
MUNGU WETU NI MKUBWA HAKIKA
@everlineomuok977
@everlineomuok977 3 жыл бұрын
This is a nice song with an interesting voice. It's true that a family that prays together live together.
@masanamwita6732
@masanamwita6732 4 жыл бұрын
Mungu ni Mungu ametenda miujiza kwako nami nimefurahi sana kuona Mungu amedhihirisha ukuu wake kwako nami nimejifunza.
@peterprimus8703
@peterprimus8703 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana.
@kennethkipruto8146
@kennethkipruto8146 3 жыл бұрын
May God continue to bless you together with your family
@jamesnzomo3321
@jamesnzomo3321 3 жыл бұрын
much love from Kenya
@florafaustine4637
@florafaustine4637 3 жыл бұрын
Ahsanteee nami pia nawapenda mno
@rehemaminja2843
@rehemaminja2843 4 жыл бұрын
Mungu akubariki dada...imani yangu kwa Mungu imeongezeka kwa kiwango kikubwa sana..Mungu akuinue na azidi kukutunza wewe pamoja na familia yako
@florafaustine4637
@florafaustine4637 4 жыл бұрын
Mungu atakuinua zaidi ya hapo na utatenda mambo makuu
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 4 жыл бұрын
Baada ya ushuuda wako ndo nikajikuta niko huku kiukwel dah mungu anatenda pa sipokuwa njia
@Ta-bby_001
@Ta-bby_001 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@samwelmashauri64
@samwelmashauri64 4 жыл бұрын
Ubarikiwee sana dada,Mungu azidi kukuinua zaidi Kwa utukufu wake.
@edsonrichard6876
@edsonrichard6876 4 жыл бұрын
Hakika Mungu in mkuu sana kwa imani ulionayo dada jina Mungu litukuzwe milele
FLORA FAUSTINE - YESU KAZALIWA ( Official Video)
5:25
Flora Faustine
Рет қаралды 79 М.
Flora Faustine Twayaweza mambo yote
6:28
Flora Faustine
Рет қаралды 137 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 5 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 15 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 785 М.
SHUKA TUKUONE MUNGU WETU BY SIFAELI MWABUKA. Shuka Tukuone - *811*239#
7:19
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 23 МЛН
26 July 2024
5:03
Queen Tonny
Рет қаралды 922
William Yilima-Hii siyo ndoto yangu {Official Video HD}
8:50
Muhubiri Production
Рет қаралды 20 МЛН
Anastacia Muema- Wema Wako Wa Ajabu (Official Video)
4:32
Anastacia Muema
Рет қаралды 3,9 МЛН
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54
Injili
Рет қаралды 4,9 МЛН
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 56 МЛН
BEATRICE MWAIPAJA -  NANGOJEA KWA MUNGU
6:20
Smart Visual Productions
Рет қаралды 73 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН