No video

MWAJAKU amuashia moto SHARIFU MAJINI usimtishe DIAMOND PLATNUMZ amebadilika sana amekuwa mwema

  Рет қаралды 40,428

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

Пікірлер: 156
@mwinyihajjsalim4405
@mwinyihajjsalim4405 Жыл бұрын
Mwijaku leo ameongea point sema wakati mwngine anajizima data anajifanya chizi. Ila anaakili zake
@mrsab303
@mrsab303 Жыл бұрын
True
@mohammedsalum3502
@mohammedsalum3502 Жыл бұрын
Kwl kabisa
@ghulamhaji7856
@ghulamhaji7856 4 ай бұрын
Wewe Mwinjaku una imani ya kweli ivi wewe unaombewa na mtu mwenye imani na mtu ambaye mtume wa Mwenyezi Mungu ana mpa sifa za Mwenyezi Mungu
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 Жыл бұрын
Njaa na Imani havichangamani,mwenye njaa haongei ukweli. Kwahiyo unataka kufananisha mvaa hereni,mtoboa pua,mvaa sketi,mlevi,mzinzi na mtume wa Mungu. Amefanya jema lipi acheni unafiki na uongo kwenye dini ya Mwenyezimungu.
@MaureenSindo-gk6fv
@MaureenSindo-gk6fv Жыл бұрын
Wallahi yarrabi munguh atunusuru yni bdla waislamu kuiyona haki y dini mnatetea uovu sababu tuh yakuwa n msanii ndo mnapenda kwaiyo mnapenda xnaa mzikii klko dini ynuuh
@ZeraGeofrey
@ZeraGeofrey Жыл бұрын
Basi mumkataze na rais asihudhurie maadhimisho yoyote yanayohusiana na ukristo kuna mda nafas yako uliyopo inakufanya ucbague dini japo ww unajijua dini gan achana na ww shughuli zako unazofanya ukijibagua bado zinaenda tu lakin kunawengine wakifanya hivyo mambo hayaend lazma ujue kutofautisha.
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Ila kweli careni simba anajimwili mzigo sana huo mwili ni wastareh tu japo ❤️👍
@hamisinalinga5201
@hamisinalinga5201 Жыл бұрын
Hawa akina mwijaku Hawa ni kuwakata shingo zao anatangaza uzinifu na uchafu katika jamii alafu amevalia vazi takatifu hivi huyu anajua thaman ya kanzu na uislamu kweli tena mwez mtukufu na anasema kafunga Ramadhan huyu anatumika kuharibu na kuuvunja nguvu uislamu mwijaku Fanya Kaz yko ya ukuwadi mambo ya dini yaache usituvuruge kabx maneno Yako yanakutoa katika dini Moja kwa Moja
@abuibra
@abuibra Жыл бұрын
Jifunze dini vizuri Mwijaku wacha upuuzi hujui dini, anazungumza hovyo hovyo Waislamu tunaamini INJILI sio hii bible unayo ifikiri,vitabu vyote vilivyo teremsha na ALLAH INJILI, TAURAT,ZABUR,QUR'AN NK.vilikua vya KIISLAMU na Mitume wote walikua Waislamu kuanzia( ADAM a.s)mpaka Mtume wa Mwisho MUHAMMAD S.A.W.)Wote walikua WAISLAMU, kwahio Msichanganye watu kwa kutaka kujipendekeza kwa maisha ya kidunia.tafadhalini sana tunajua WAPAGANI wanaingia misikitini na KANISANI pia badhi yao hujenga misikiti na MAKANISA kwa Maslaha ya kidunia.MWISLAMU huwezi kwenda kanisani kuombewa sahau.
@RehemaMwailonda
@RehemaMwailonda Жыл бұрын
Hakuna mwenye haki ya kumuhukum mwengne Bali na Mungu2 na kuisema dino nyingne vibaya unauhakika gani kama dini yenu Iko sawa,Mungu tuhurumie🙏🙏
@rajabjuma277
@rajabjuma277 Жыл бұрын
Kwani wewe Dini gani? wewe kafiri sio ?
@anesansibert2968
@anesansibert2968 Жыл бұрын
Jaman Tanzania yetu hii!, Dah!
@user-fx2wq2yx5r
@user-fx2wq2yx5r 4 ай бұрын
Mwajuku nenda kale Daku usimalize maneno yote
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
WEWE BWEGE SANA MUNGU HANA SHIDA NA MASHOGA NA MAUWADI
@protaspeter5371
@protaspeter5371 Жыл бұрын
Yaan waislamu mgekua wengi na dola yenye nguvu km saiv wakristo walivyo haki ya mungu dunia nzima ingeslimishwa kwa lazima
@rehemafungo7387
@rehemafungo7387 Жыл бұрын
🙏
@user-oe5eg9ji4h
@user-oe5eg9ji4h 4 ай бұрын
Oyá kati yamaneno mazuri leo umioguea mungu awe nawe milele
@salummohamed9179
@salummohamed9179 Жыл бұрын
Ukisoma Azekiel 18-20 inasema ivi : Roho itendayo zambi ndiyo itakayo kufa wala hatouchukua uovu una baba yake wala baba hatouchukua uovu wa mwanae haki yake mwenye haki itakua juu yake na uovu wake mwenye uovu utakua juu yake
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
Mwijaku unafaa kuwa mkiristo ungefaa sana kuliko huko uliko kwenye uislam pangine ungekuwa mt mkubwa kuliko hapo ulipo
@karimchapa
@karimchapa Жыл бұрын
Huyu mwijaku ni kuadi tuuu mwanamme mzima kazi kujihusisha na ufisadi tu n a umbea chawa chokoo tu
@nasmamoza6831
@nasmamoza6831 Жыл бұрын
Mwijaku nimegundua upo vzr kichwani sema njaa inakupeleka vibaya mda mwingine unaropoka kuwa na msimamo basi
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 Жыл бұрын
CAREN SIMBA amesha tukanwa huko alipo daah so sad
@salummohamed9179
@salummohamed9179 Жыл бұрын
We kubwa jinga mwijaku Mbona diamond haendi kuungana na kina kishki katika mashindano ya Quran anakwenda kwenye pasaka ni sawa we usojielewa
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 Жыл бұрын
Ndugu zangu kwani mondi aende kwenye mashindano ya kuran yeye ni muislamu. Muislam havai misalaba wala hachori mattoo rudini kwa masheikh mukaulize mwajiko ikiwa watafuta riziki yako tafuta kwa njia nzuri wewe hujui dini mwajiko usionge sana ikaingia kwenye dhambi wewe waona ni sawa mondi kuva misalaba alafu wewe wafananisha injili na bible ogopa mola wako usiingilie dini na wewe hujui kitu fanya kazi yako ya uchawa tu
@allanothuman2941
@allanothuman2941 Жыл бұрын
Hiyo n danganya toto ww huyo mondi n Freemasonry kwahy hata akifany ivyo n kwk n sawa tuh
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
Pumbav zen mwachen mtu afanye anachoona ni sawa bira kujunja Shelia za nchi kwan hata nyiny hapo ni waovu wazinz kumanina zenu hapo iktokea mkianguka moja kwa moja moton
@allanothuman2941
@allanothuman2941 Жыл бұрын
@@personpeter2221 WE SIO MZIM
@user-fx2wq2yx5r
@user-fx2wq2yx5r 4 ай бұрын
Mwijàku usiwachambe shemeji zako we umefunga
@youngsimba2054
@youngsimba2054 Жыл бұрын
Ww mwijaku una turukana Sis sio makafili na hamumupati mutu bakini naujunga wnu wa wawuslamu nyinyi ndo makafili
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 Жыл бұрын
Na kwa taarifayako Mwijaku katika uislam kunavitu ukivifanya kisheria unatoka kwa uislam. Na hainamana etiumehukumiwa la.uislam siokamadini zengine msifanye uchafu wenu kisha mujiite waisilam.
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg Жыл бұрын
Huu mjadala ufike mwisho mungu ni mmoja tu
@LuckyBoy-pp2md
@LuckyBoy-pp2md Жыл бұрын
Kweli nimekubali
@rajabjuma277
@rajabjuma277 Жыл бұрын
Km mungu mkoja kwa nn mnabudu masanamu
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Ni mmoja kweli anaitwa nani uyo Mungu
@selinatogolai3314
@selinatogolai3314 Жыл бұрын
Sawa sawa mwijaku n akupa heko zote bigaup
@cathrinechigodi7683
@cathrinechigodi7683 Жыл бұрын
🔥🔥🇰🇪
@ashurajuma3624
@ashurajuma3624 Жыл бұрын
Uyu jamaah
@TumainDoba-dm8vp
@TumainDoba-dm8vp Жыл бұрын
Yan anasifia ila naita wakristo makafili hii ikoje
@fahadmauld
@fahadmauld Жыл бұрын
Sheikh mwinjaku
@nnno989
@nnno989 Жыл бұрын
Kabisa
@MasterG-dc1tx
@MasterG-dc1tx 4 ай бұрын
Hakika waislamu mmelaliliwa kumuita mtu mwizi ingali haibi hakuna akili ni matope makubwa kuliko
@simbafadhili
@simbafadhili Жыл бұрын
lakin ulisema eid unaenda na family kwa harmo
@storytime1204
@storytime1204 Жыл бұрын
Uwe unamalizia S.A.W
@sammasumbimvula
@sammasumbimvula Жыл бұрын
Kwahiyo unasema wakristo wamepotoka sijakuelewa ebu nyosha kauli vizuri
@lukamapunda628
@lukamapunda628 Жыл бұрын
Makafir wenyew.
@bakariomarimndeme6059
@bakariomarimndeme6059 Жыл бұрын
Hivi ni Abu Jahal au Abu Lahabi Alie teremshiwa sura ktk Quruan sikumwelewa Mwijaku hapa.
@simbafadhili
@simbafadhili Жыл бұрын
abu jahal au abu lahab
@vailethmarimus1769
@vailethmarimus1769 Жыл бұрын
Bora ulivyosemaa
@sivaboycm6633
@sivaboycm6633 Жыл бұрын
1:59 1:59
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Mwijaku nakukubar ila Roze muhando na bahati bukuku hawawez kuja kweny Uislam never happen
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 Жыл бұрын
Kwanini? Wamesilimu watu wakubwa wenye majina makubwa sembuse hawa
@rajabjuma277
@rajabjuma277 Жыл бұрын
Mimi sikushanfaini watanganyika.msela akitaka mwari aishi nae kinyumba mnapeleka batuwa unachukuwa mwari bila ndowa hakuna ndowa unazanae faida ndio hiyo ukipatizama hapo utajuwa km tanganyika dini haipo usaninn
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Wangesikia kaenda kwa mganga wa tunguri hata asingeongea chochote. Wangeona okay. Kuhudhuria kongamana la dini la kumtukuza Mungu huyohuyo mmoja . Mishipa ya shingo imewasimama. Puuuu
@hasreeyasini
@hasreeyasini Жыл бұрын
Mwijaku haujasoma kinachokatazwa ni muislam kuombewa Dua na kafiri au hasiyekuwa muislam ila muislam kumuombea hasokuwa ni muislam inajuzu
@mrsab303
@mrsab303 Жыл бұрын
Mwijaku Mwijaku 😅😅😅😅😅
@themicbandforeveryone19997
@themicbandforeveryone19997 Жыл бұрын
Mwijaku wewe ni mpuhizi kabisa ma pumbu wewe ya mr pimbi
@RahabBurton-fn5er
@RahabBurton-fn5er Жыл бұрын
Alafu waislamu muache kuwaambia wakristo makafili sio vzur hakuna anaejua kama islamic ndio dini ya kweli ..kila mtu abaki ktk imani wala hamna mamlaka kabisa nyie ni binadamu kama wengine wote tunamuomba mungu mmoja neno kafili sio zuri na linatumiwa sana na waislamu kujiona wao wako sawa..na sio kweli kwamba nyie muko sawa, mumekuwa mukimpinga yesu kuwa si mwana wa mungu yote hiyo ni kuchafua ukristo wetu, mumekuwa na roho mbaya kama waarabu wenye dini yao, watu wa jihadi muda wote na mauaji, Alkaida boko alamu, M 23 yote hayo makund ya kigaid kupitia dini ya kislamu pia wanajitoa mwanga na kujivika mabomu huku wakisema Allah wakbaru aisee
@rajabjuma277
@rajabjuma277 Жыл бұрын
Surah Al- kaafiroon 109:1 Sema enyi makafiri. 109:2 siabudu mnacho kiabudu. 109:3 wala nyinyi hamuabudu ninae muabudu. 109:4 wala sitabudu mnacho kiabudu. 109:5 wala nyinyi hamuabudu ninae muabudu. 109:6 nyinyi mna dini yenu, nami nina dini yangu. Kila mtu na duni yake tusibabaushane mmesh asirika na maisha ya dunia mafikio yake motoni. sio maneno yangu
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
WEWE KUWADI TUU NA KAMA NI ZAMA HIZO MUNGU ANATOA ADHABU ZA PAPOPAPO KAMA ZAMANI BASI UNGEGEUZWA NYANI KUWADI MKUBWA MPENDA DUNIA LAAANATU LAH . MUNGU ANASAMEHE SANA LAKINI JINI WEWE MUOMBE MUNGU SANA MAGHUFIRA MAANA NAONAUMESHA LAANIWA
@ghulamhaji7856
@ghulamhaji7856 4 ай бұрын
Diamond alienda kufanya dini ya kiislam
@theresiamwacha7845
@theresiamwacha7845 Жыл бұрын
Awa watu wanaubaguzi utafkir wenyewe wamekamilika
@luluwabinthamed2860
@luluwabinthamed2860 Жыл бұрын
Wewe chawa mwijaku umelaanika unaogopa kukosa ugali vipi daimond apige magoti huu ni mwezi mtukufu mshenxi kweli
@yohanasungo9401
@yohanasungo9401 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe na mwezi huu kwenye hii comment yako ,umehukumu ,umeshatukana ndugu zetu waislamu mbona mnapata shida sana ,hivi ni kweli kwa akili za mwanadamu atashinda dhambi? au Kwa sheria?ipo neema ya kushinda dhambi ni kumpokea YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO .hapo utauona mlango wa mbinguni itabaki kuufuata tu na kuingia 🎉.
@ibrahimahmed3548
@ibrahimahmed3548 Жыл бұрын
Njaaaa usitete usichokijuwa
@aminahkhuzwayo-iv1wl
@aminahkhuzwayo-iv1wl Жыл бұрын
Ukisoma majina yaliyo msifia huyu mnafiki,,hakuna muislam hata mmoja 😂😂😰 kama vipi kajiunge nao!!
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas Жыл бұрын
Mnatoa wapi ujacri wa kutuita wakristo makafiri hv nyie mnajiona ndo watu sana kwa hii dunia kuliko wengine
@bahatasman
@bahatasman Жыл бұрын
wakat mwingin tusiw wanafk kwani diamond amekosea nn ss sot ni wamung n mumoj2
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Жыл бұрын
Yaan wao wanaona dhambi kubwa nikusoma bible , Daar so sad 😢
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 Жыл бұрын
Mwajaku hujui Dini wewe wajua mzikitu. Sharifu Majini hajakosea.tena ukiongea kuhusu Mtume chunga manenoyako.mtume alienda kulingania watu waje kwa uislam.kunapahali popote Mtume aliombe na kiongozi wa Dini nyengine yoyote.Muislam kuombewa na kiongozi wa Dini nyengine na kuamini imanihiyo au kuombewa na muganga na kuamini imanihiyo umetoka kwa uislam.uislam sijina.
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 Жыл бұрын
Miyeminajuwa wakrosto n'a waislamu sikuya raidi wana tuita tunakweda hâta yesu kakarimbisha makahamba muachedrama mitadaoni
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 Жыл бұрын
Eti sijarudia kanzu lakini unashangiria uzinzi na swaumu juu, kanzu hzo kuna mwenzako kavaa na kilemba na fimbo mkonon na yy anafunga?
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
MMELAANIWA WEWE NA HUYO SHOGA MWENZIO HAMONIZE NYOTE MASHOGA MLOLAANIWA . NA UISLAM WA KISHOGA HAKUNA MMELAANIWA
@TumainDoba-dm8vp
@TumainDoba-dm8vp Жыл бұрын
Sasa mwijaku kwahyo anaitangaza dini ya kikristo ni ukafili? Mbona anaizalilisha dini? Serikali ingilie kati
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
NA HILO SHOGA JENGINE SI JUI DIAMOND NAE NI SHOGA MKUBWA MASHOGA NYIE
@jumamsangi6583
@jumamsangi6583 Жыл бұрын
huo ndy ukweli mlinganie naswara sio waliofika msikitini
@salummohamed9179
@salummohamed9179 Жыл бұрын
Ngoja tumuulize yesu ww yesu umeondoka umeenda zako sisi Soma Yohana 8-21 inasema ivi : Bac akawaambia tena Mimi naondoka nanyi mtanitafuta nanyi mtakufa ktk zambi zenu
@israelbhai1340
@israelbhai1340 Жыл бұрын
Acha kukurupuka na mstari mmoja....soma habari yote uelewe
@amerwelder7786
@amerwelder7786 Жыл бұрын
Mwinjaku ,ulipaswa kwanza ukajifunze dini Yako . Maana unainekana kichwani hamna kitu au ndo unatafuta kiki
@theson1987
@theson1987 Жыл бұрын
kafiri mama yako na ndugu zako wote
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 Жыл бұрын
Good mwejaku unajuwa tenaunajuwa ❤😂
@protaspeter5371
@protaspeter5371 Жыл бұрын
Ivi kwanini mnapenda kuwaita wakristu makafiri mbwa nyie punguze husuda na Imani za wengine fanyeni yenu, mnawaandama wakristu utafikir wamewabomolea misikiti
@toleeancendzkezi5411
@toleeancendzkezi5411 Жыл бұрын
Kilofa
@sivaboycm6633
@sivaboycm6633 Жыл бұрын
Tul/......67
@farajasallah2338
@farajasallah2338 Жыл бұрын
ila kutuita wenzenu makafili sio poa
@hamismahmood
@hamismahmood Жыл бұрын
Nakubaliana na ww mm ni muislam na siwezi kumuita mkristo kafir sio sawa
@partnersah8802
@partnersah8802 Жыл бұрын
​@@hamismahmood Mwenyezi Mungu Akubariki ndugu yangu
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote Жыл бұрын
Umaskini ni kitu kibaya sana. Hata wale wanao ongea wametoka kwenye shida. Maskini akipata mkundu hukia mbwata
@bone102
@bone102 Жыл бұрын
Mtu anajiita Shekhe Majini halafu wanasema dini yao ni ya haki yaan haki mtu anajiita Jini kiumbe ambacho kinamsikiliza Shetan anyway tusubiri mwisho wa hesabu halafu washangae wanao tuita makafiri tupo sehemu salama maana hakuna mchungaji majini
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Je mtu kuitwa simba maana yapo majina ya watu simba yeye simba au
@ninahmbonea6248
@ninahmbonea6248 Жыл бұрын
Kwaiyo Abuu Jahari ni jina la dini gani hili?
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Nyie ndio makafiri na wengi wenu ni mashoga,hovyo kabisa
@kisebelarajabu5712
@kisebelarajabu5712 Жыл бұрын
Leo kimeongea kama mtu😅😮 au kisa kabaa ganzu
@JumaBuriani-tt4cx
@JumaBuriani-tt4cx Жыл бұрын
Nini wewe kasome Tena uslamu huna tawhidi sisi na makafiri hatushirikiani katika ibada ama mambo mengine yadunia sawa ila mambo ayo yakuombewa nakafiri hakuna dabda wewe umuombee yeye kuamakini halafu wewe ACHA kutuchokoza ss waisilamu
@andrewkilulu
@andrewkilulu Жыл бұрын
Nani ahubiri amani 😮 mbona kama Na wewe akili huna
@selinatogolai3314
@selinatogolai3314 Жыл бұрын
Yeye pia kafiri asiite wakristo kuwa ni mak afiri mwijaku uko poa sana
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 Жыл бұрын
Sasa swala la kutokurudia kanzu na kurudia na kufunga linaingiliyanaje na mwenyenzi Mungu agalii mavazi yeye anaangalia moyoni mwa Mtu kuna nini?
@elibarikilukasimakala5534
@elibarikilukasimakala5534 Жыл бұрын
Acheni kuita watu kafiri Pumbavu zenyu 🙄
@khalidjamadi6016
@khalidjamadi6016 Жыл бұрын
Huyu mwijaku inabidi apimwe akili huyu. inawezekana ana matatizo kwenye kichwa chake. Yaani ameamua kumzushi uongo mpaka MTUME MUHAMMAD S.A.W. {1} Kuna muhadhara gani alioitisha abuu jehel na MTUME MUHAMMAD S.A.W. akaenda? {2} Umesoma wapi eti kuwa MTUME MUHAMMAD S.A.W. alienda kwa abuu jehel akakuta kumechimbwa shimo yeye akapita mlango wa nyuma? Wewe hata sijuwi kama unamjuwa huyo MTUME MUHAMMAD S.A.W. Usitafute kiki kwa MTUME wetu mtukufu wakati hata humjuwi!
@Rastermirish
@Rastermirish Жыл бұрын
Acha ujinga akuna mkristo kafiri,waislamu ndio makafiri
@siliviasimon7970
@siliviasimon7970 Жыл бұрын
🥰😂
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Unaiamini injili wakati hauna hiyo injili,😆eti imechakachuliwa basi tuletee yako ambayo haijachakachuliwa, kafiri ni wewe na ndugu zako majini ambayo kiongozi wako aliya silimisha.
@alouisejohn7752
@alouisejohn7752 Жыл бұрын
Nguruwe itawarafuna ndungu zangu muulizen mtume wenu but sorry kwahilo
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Elimu ni Mali yako iliyopotea itafute.
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
Njaaa mbaya
@stevendavid8054
@stevendavid8054 Жыл бұрын
Angeokoka tu kabisa,ndo mtaongea mpaka,makafiri ndo nyinyi wenyewe
@khamiswanyatu1776
@khamiswanyatu1776 Жыл бұрын
😂
@hasreeyasini
@hasreeyasini Жыл бұрын
Kwann nimesema hasokuwa muislam kumuombea muislam ndani yake Kuna shirk diamond kaombewa kwa jina la yesu na ktk maombi itikadi yetu ni kwa mwenyezimungu peke yake
@kisaujibabou9436
@kisaujibabou9436 Жыл бұрын
Yani nyiyi Mimi siwahelewi ivi mkimpimia Shoga Mondi hamuoni tu Kama ni Jini huyo nikiumbe wa sheitwani Lana zimshukiye Mbwa yeye. Mara kava kanzu Mara kava msalaba uislam siyo dini yakuchezea izo ni pesa akifa ataziwacha na ataulizwa aliyoyatenda tatizo lauyo mumewake mwinjako nayeye hajuwi kutofautisha kuwatembelea na kwenda kanisani wapi Mtume kaingiya kanisani Mbwa wewe
@sostentulian9462
@sostentulian9462 Жыл бұрын
Makafiri ni nyie waislamu wafuga majini mashoga na wachinja watu wauwaji ma umbwa nyie
@mrtwo-b9056
@mrtwo-b9056 Жыл бұрын
Point of collection,...mwijaku umujue yesu ...utanishukulu baadae
@LuckyBoy-pp2md
@LuckyBoy-pp2md Жыл бұрын
Umemaliza 😀😀😀😀
@chrisplanb447
@chrisplanb447 Жыл бұрын
Soma hadithi vizury matini
@azzamohamed6649
@azzamohamed6649 Жыл бұрын
Inaupendo gani dini imejaa ubaguzi utasema kuna alie kufa akaenda mbinguni akaambiwa Mungu niwa waislam niajabu sana 😒😒
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Жыл бұрын
Khe na ww pia ni muislam
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
Huna akili wewe mkiambiwa!pombe,nguruwe,zinaa na hanasa nyinginezo ni dhambi nyie mnaona ni ubaguzi!wakati mabeberu makristo yana bagua ngozi zetu hamsemi!ebu nambie nchi gani ya kiislam inabagua watu!?shida nyinyi makafili mnakalilishwa maneno ya chuki wachungaji wenu wapiga pesa! Hamtaki kuambiwa ukweli mnamkumbatia shetan kutaka muwe huru tuu!nchi za ulaya na Marekani zina ukristo mwingi ndo zinazo ongoza kuuwa,ushoga na dhambi za kila haina hamsemi nyie kazi kila siku uislam mbaya!wakristo ni watu mnaopinga Mungu ndomana huwa hamuamini kuwa kuna dhambi!ebu amkeni kwenye huo usingizi mzito tokeni gizani mje kwenye mwanga!huo uhuru mnaoupigania una mwisho wake!
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 Жыл бұрын
Yasikupe shida hapo mpenzi wangu
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Mhhh ww upo dini gani mpaka uongea maneno ya shombo kama ayo pumzi isikupe kiburi
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 Жыл бұрын
@@shwaibukhatibu2838 usiyzjibu MAFENESI ndugu yangu
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Жыл бұрын
Kafiri babaako mzazi.nyau weweee
@anthonydcosta-hh7lu
@anthonydcosta-hh7lu Жыл бұрын
Sasa wewe nahuyo majini nini? Hao unawaita makafiri kumbuka huwa njaa yako inakupelekaga kwao
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free Жыл бұрын
Mbona unaongea uongo kwenye mwezi huu? Mala utaenda na familia yako yote kwa Harmonize Leo kiko je?
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
SASA KASWIDA NINI ??? KASWIDA NI UISLAM USITAKE KUNITUKANISHA NA RAMADHANI SHOGA MKUBWA WEWE -WEWE CHUNGA SANA NA MAMBO YA KIISLAM UTAKUJA KUJUTA
@mtailwahamisi
@mtailwahamisi Жыл бұрын
MSIBAA HUUUU HAMNA KITU HUJAMAA KISA ANACHOKITOA TOFAUTI NA ALICHOKIFANYA NASIBU ABSULI.SOMA SUR YA MAKAFIRI.KUNAKUAHIRIKIANA KIJAMII NA KUSHIRIKIANA KISINI SASA HUYO AMEENDA KUABUDU PASAKA WEWE HAMNA KITU MUOGOPE ALLAH ACHA KUJIPENDEKEZA
@sdkiller827
@sdkiller827 Жыл бұрын
Ww Ni maleyi
@luluwabinthamed2860
@luluwabinthamed2860 Жыл бұрын
Please zungumza bila kuingiza dini usichezee quruani vipi awachawishi wewe anaimba aleluya mwijaku hujuwi dini na masharti yake wapi Quruani imeandikwa nenda kanisani uimbe kwaya
@sdkiller827
@sdkiller827 Жыл бұрын
Mmmmh
@salummohamed9179
@salummohamed9179 Жыл бұрын
Alafu ujue mtu kuhubiri kanisani kwa neno la bibilia sio kulingania Bac ni makosa kwa sababu kanisani kuna hichi ukisoma ; Ufunuo 2-21 inasema ivi: Na kwa Malaika wa kanisa lililopo Pergamo waandika kama alivyo anenae yeye mwenye upanga mkali kuwili napajua ukaapo ndipo kwenye kiti cha enzi cha shetani : maelezo kanisani apo mjue ndugu zangu
@ngoni7944
@ngoni7944 Жыл бұрын
Mke wako kapotea kuacha dini yake na kujiunga na dini yako, ipo siku ataona makosa aliyo yafanya na kurudi kwenye dini yake anayo ijua na aliyo zaliwa nayo.
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
Je mtume s.a.w alienda kanisani
@anthonydcosta-hh7lu
@anthonydcosta-hh7lu Жыл бұрын
Wagapi wameoa na kuolewa na wakiristo?
@salimabdallah1396
@salimabdallah1396 Жыл бұрын
Hakukua n makanisa
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Жыл бұрын
Naona zezeta linaongea
Jua Kali leo Ijumaa Usiku 23-8-2024 High Quality Definition
24:54
Kasai Boy Tv
Рет қаралды 28 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,3 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,2 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 51 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
ZUCHU ATHIBITISHA KUACHANA NA DIAMOND, ZARI AWA CHANZO
1:32
JOH MEDIA TZ
Рет қаралды 719
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 52 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,3 МЛН