MWAKINYO AFUNGUKA, "NAJIAMINI ZAIDI, NIMEJIANDAA VIZURI, ZITAPIGWA NGUMI, HAWEZI KUKAZA"

  Рет қаралды 48,689

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 122
@sandalakabalo5442
@sandalakabalo5442 Жыл бұрын
Kwenye ngumi tunamwakinyo,kwenye mpira ni tuna samata na kwenye music diamond
@ochutv521
@ochutv521 Жыл бұрын
Mwakinyo ni mtu ambae anae tuwakilisha tanzania kwa upande wa ngumi lweny mpila kuna samatta kweny music tunae diamondi👋👋
@josephjohanes9327
@josephjohanes9327 Жыл бұрын
Kwenye muzik hapo umefeli mtaalamu wa muzik ni Harmonize haina ubishi hyo
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 Жыл бұрын
Safi sana brother hasani mwakinyo pia tupo pmj na wewe brother pambana mze usijali
@yohanemellau3220
@yohanemellau3220 Жыл бұрын
Nakubali mwamba Sina shaka ñawe brother God bless you
@selemanmwinyimkuu1912
@selemanmwinyimkuu1912 Жыл бұрын
Huyu mwamba apewe heshima kubwa katika taifa hili.Anayoyafanya ni makubwa na tukubali kuwa hii ni zawad kutoka kwa Mungu,na kama tutaweka chuki pemben na kumuunga mkono watanza wote basi hakika ataipeperusha vizuri bendela ya tanzania
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Жыл бұрын
Kweli kka point kaka nakubali
@bwenza_tz5965
@bwenza_tz5965 Жыл бұрын
Mwakinyo Talk On Point👏🔥
@williamloserian5999
@williamloserian5999 Жыл бұрын
🙏🙏Tunakukubali sana broo mungu akufungulie njia tupo nyuma Yako kukusaport broo🙏🙏
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Жыл бұрын
Champez mtuu wawatuu nakubali bro we mpambanaji mnoo
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Dua mwakinyo inshaallah.hatakm mapigo ya moyo yananienda mbio kabla y pambano.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
MWAKINYO MCHAPE KWA KO MPAKA DUNIA IPATE HABARI.👍👍👍
@danieldavid4733
@danieldavid4733 Жыл бұрын
Tucheze ngumi Tuache kujipa umbele Mungu ndiye umuinua mtu na sio MTU kujiinua
@mayalakatema2576
@mayalakatema2576 Жыл бұрын
Unataka kusemaje labda 😎🤏
@hamzakamil5001
@hamzakamil5001 Жыл бұрын
mungu saidia mwakinyo apigwe kweli kweli wallah waswala llahu alaa sayidina muhamad wa alaa aalihi waswahbihi wasallam
@Hassan-ot1mc
@Hassan-ot1mc Жыл бұрын
Atapigwa mzazi wako choko wahed
@hamzakamil5001
@hamzakamil5001 Жыл бұрын
@@Hassan-ot1mc hua sijibishani na wasio rizqi watatufta ma kha...........
@cmb6342
@cmb6342 Жыл бұрын
Mpuuz mmoja wew
@hamzakamil5001
@hamzakamil5001 Жыл бұрын
hua sijibishan na wajinga katafte wajinga wenzio maana mmezoea kumpa kichwa na sifa ambbazo hana mmezoea kumbeba ndio mana mnaumia na atapigwa kwa kudra za mwenyezi mungu
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Жыл бұрын
Namkubali sana Brother Mwakinyo InshaaAllah tutashinda💪
@wishjrtz
@wishjrtz Жыл бұрын
Vifaa ununue mapem zisije kutokea sabab za kitot kam kipind kile we ni professional do your preparation early we believe in you ever
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Жыл бұрын
Namkubali sana uyu jamaa mwakinyo
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Жыл бұрын
Love bro
@cmb6342
@cmb6342 Жыл бұрын
Yan watu hawajui tuu kuwa mwakinyo cyo bondia wa lele mama Ni jembe la ukweli sana
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 Жыл бұрын
Mungu amjalie ashinde kwa kishindo
@abbassalum6824
@abbassalum6824 Жыл бұрын
Kwaiyo Mwakinyo Msikitini ten bas mambo yakidunia yashakua mengi ten
@ibrahimmwansasu1044
@ibrahimmwansasu1044 Жыл бұрын
Mtu kazi tuu hapa wew katafute viatu na beg
@fredykomba6273
@fredykomba6273 Жыл бұрын
ni mmoja kati ya wapiganajii bora kabisa duniani.
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 Жыл бұрын
Dunia ya kigoma au
@mwanaidijiran3296
@mwanaidijiran3296 Жыл бұрын
Tusubiri pambano la mwakinyo na mandonga! Tuone kama mwakinyo atakwepa ndoige 👊👊👊
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
Hahahaha... huwez kwepa ndoige
@edgarnestory8466
@edgarnestory8466 Жыл бұрын
Mwakinyo Jr is the best one in Tanzanian boxers ever💪🏼💪🏼🥊
@damasmayanja2930
@damasmayanja2930 Жыл бұрын
NO
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 Жыл бұрын
Wa mchongo tu
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Allah akuafikishe yte tumuachie allah
@hassanabazar9411
@hassanabazar9411 Жыл бұрын
All the best Champez
@allysudi2567
@allysudi2567 Жыл бұрын
Vizur broo
@nurdinkarata7985
@nurdinkarata7985 Жыл бұрын
Blessed ✊🏾
@rahimmzungu4762
@rahimmzungu4762 Жыл бұрын
Karib zanzbr
@hamzakamil5001
@hamzakamil5001 Жыл бұрын
naomba iwe historia ZNZ ya mwakinyo kupigwa
@fatmaahamadabass8080
@fatmaahamadabass8080 Жыл бұрын
Kila laheri kaka ushinde hilo pambano.
@mikidadiame3571
@mikidadiame3571 Жыл бұрын
Karibu zenji broo kilalaherii inshallah
@Manjay_killer
@Manjay_killer Жыл бұрын
Utakua ushindi wakweli kwani ushindi anavyoshinda sio wakweli promoter Kama umejichanganya kuongea
@khasamkonde
@khasamkonde Жыл бұрын
Karimbu sana Zanzibar kaka tupo tunakusubiri
@mahmoudjuma6796
@mahmoudjuma6796 Жыл бұрын
Mwamba Huyu apa
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Жыл бұрын
Bora hapo Zanzibar viatu tutakuletea tu hata kwa mguu
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 Жыл бұрын
Huna jipya wew wa kawaida sana yani Sana kwa bahati mbaya una perception ya kujionaga wewe Tyson vile 🇺🇸
@dizzobostuwa2489
@dizzobostuwa2489 Жыл бұрын
Oi
@stedickdamas1908
@stedickdamas1908 Жыл бұрын
kila la kheri
@meckcassius3983
@meckcassius3983 Жыл бұрын
Kiatu tatizo
@joanesasalavaleriano9980
@joanesasalavaleriano9980 Жыл бұрын
Brow Napenda uongeaji wako, wewe aunaga majigambo
@devdmrema7859
@devdmrema7859 Жыл бұрын
Mm nishabiki wa mwakinyo ila aliniudhi sana alipo uza pambano
@shaabansulaymaan4478
@shaabansulaymaan4478 Жыл бұрын
Sasa leta tena habar za viatu kubana
@ruttajames6873
@ruttajames6873 Жыл бұрын
Amna kitu hapo
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
Tatizo la Mwakinyo Watanzania walikuamini sana. Lakini kiukweli kwasasa Hatukuamini tena huwo ndo ukweli.. Kingine acha zarau punguza malingo na majivuno broo
@saidihussein6718
@saidihussein6718 Жыл бұрын
Acha majungu choko ww Sisi bado tunamkubari
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
@@saidihussein6718 Siku zote Hata shoga ana mashoga wenzake kwahiyo wewe ni shoga wa Mwakinyo sijakukutaza endelea kumpenda shoga mwenzio
@binmussahaji4932
@binmussahaji4932 Жыл бұрын
Mwakinyo nipo pamoja na ww.wazanzibr wanahamu sn na ww
@manoramatv858
@manoramatv858 Жыл бұрын
Tarehe 30 akakae tena chini anyooshe mikono kiatu kitereze, Wakati sie tutatumia ghalama zetu mpaka Zanzibar nauli
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
😂ngoja auze pambano
@marcellysumaye341
@marcellysumaye341 Жыл бұрын
Lile pambano lake na smith ilipotelea wap!! Nilitaka nishangae kuwa smith arudie pambano
@azzantwaha2689
@azzantwaha2689 Жыл бұрын
Viatu visijee vikambanaaa mshambaaa uyoooo
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Жыл бұрын
Haipingwi
@raro5506
@raro5506 Жыл бұрын
Amna kitu huyo mfanya biashara wa ulingoni. Promoter wa kick huyu maana sifa nyingi kama mwakinyo ajawahi pata nafasi kubwa kuzidi hii na akauza....tuache kumbeba mpuuzi. Wewe Je ni mzalendo?
@photopicha8298
@photopicha8298 Жыл бұрын
Mandonga utamweza
@hamadhamis9763
@hamadhamis9763 Жыл бұрын
Asituangushe tena aviandae kabsa viatu vyake asje akatuletea swaga tena
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 Жыл бұрын
Kaka haujakosea mandonga achana nae chizi yule asikusimbie hakili yule kama jibwa Koko linalobweka nyumbani polini aliendi
@edgeredson9691
@edgeredson9691 Жыл бұрын
Huyu sindio alisema hapigani tena nchini? Halafu huyu sindo alisema anamtaka mandonga apigane nae?
@hekimashola9079
@hekimashola9079 Жыл бұрын
Achenii uongo bac wa bongo alisema hatak kupgana na WA Tz cz yy ndo ananyota Nyingi kulko bondia yoyote hap bongo.
@stevenbushiri2291
@stevenbushiri2291 Жыл бұрын
Kama hujui kitu Bora ukae kimya
@hekimashola9079
@hekimashola9079 Жыл бұрын
Yaan kuongelea negative Mwakinyo nikutosea heshima tunaopenda mchezo wa ngumi Tz maana Mwamba ndo amefnya wa bongo tupende ngumuu tena baada kupga mtu uingereza miika mitano iliyo pita daa inatosha jmn tumpe heshima yake bac na Bado jama tunaona vision nikubwa na sema 2 weng wetu oyaoyo Nyingi lkn hamta ki2
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Жыл бұрын
Mbona aliposema Twaha Kiduku anataka kupigana na nyinyi mlikataa? aliposema MANDONGA mmekubali harakaharaka? Nimewashusha thamani sana
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
Andaa viatu kabisa na bag lako ulivae wakati wote usiliweke kwenye mizigo.
@bornkilla6173
@bornkilla6173 Жыл бұрын
Namkubali sana Mwakinyo ila Mnaletaga watu hata KZfaq haiwajua tunataka watu kama Lyam smith 😂
@mbwanamussa637
@mbwanamussa637 Жыл бұрын
Huna ujualo wewe
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Yani swahiba wangu kila unapofanya interview zako kweny vyombo vya habari mapigo yamoyo yanakwenda mbio kabla hata ya pambano
@allybtz1263
@allybtz1263 Жыл бұрын
Namukubal sana mwamba na anajituma
@moudys
@moudys Жыл бұрын
Viatu nitavishika mimi, nitampa avae ulingoni
@adinanimjombaadinaimjomba1690
@adinanimjombaadinaimjomba1690 Жыл бұрын
Mara unasema umeibiwa vitu sasa upo kwenu pambana
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Жыл бұрын
Na yeye ndio kaka kuziinua ngumi Tanzania
@jituakilimali15
@jituakilimali15 Жыл бұрын
Vile viatu usivae tena bro
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Жыл бұрын
Mandonga anakutaka kwa sababu anajuwa yeye akipigwa ndo anatrend so achana nae
@dstaroficial
@dstaroficial Жыл бұрын
bondia 10 bora duniani izo ndoto angalia mabondia uzito wake balafu uangalie mwakinyo namkubali lkn kila nikianglia naona mwaknyo bado
@macozjouder5071
@macozjouder5071 Жыл бұрын
Hahaha hufatiliiii kabla ya kunyang'anywa mikanda alikuw namb kumi na alikuw na nyota nne uwe unafatilia taarifa za boxing zinapatikan box rec
@daniel.shao.9028
@daniel.shao.9028 Жыл бұрын
10 bora katika uzito wake.....ranks zina uzito tofauti
@Chemba67
@Chemba67 Жыл бұрын
WAUZA VIATU WOTE MUWE KARIBU NA ULINGO .............
@nexto6357
@nexto6357 Жыл бұрын
Kama choko vile🤣😂😂😂
@barakawillson1741
@barakawillson1741 Жыл бұрын
Makubalii
@josephjohanes9327
@josephjohanes9327 Жыл бұрын
We know that mwakinyo he gonna do wonders
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 Жыл бұрын
Hivi kaachana na kukaa marekani ?
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
😂😂😂😂dah Hili Pambano Mwakinyo Kaishalinunua
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Жыл бұрын
Acha kuwa mwanamke Malaya kama bora uwe kimya kama huwez kuwa nimwenyebusara
@rashidiadamu4674
@rashidiadamu4674 Жыл бұрын
Acha usenge ww
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Жыл бұрын
Kwanini mnapenda kuwa hivyo jamani?pesa uliipeleka wewe au!!
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
@@saidizuberiissa7286 sawa Mke wangu nimekuelewa, na Vipi Sasa Mbona Jana Ulininyima Mkundu na Unanipaga Jamani😌
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Mchumba tu uyu anajikubali san
@dullawest7778
@dullawest7778 Жыл бұрын
Ww hujikubali..?
@benjamindenice53
@benjamindenice53 Жыл бұрын
Huna ngumi wewe tushakuona kama mandonga
@westchugagang5323
@westchugagang5323 Жыл бұрын
Mbona Mimi najua anae hamasisha ni mandonga
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Kimbau unashindwa hata kumuongelea hata kumuongelea bondia wako wamchongo unarudia rudia maneno!kaka hamna kitu hapo
@yussufpazzi6715
@yussufpazzi6715 Жыл бұрын
Mbona unamkimbia xana twaha kiduku ww
@westchugagang5323
@westchugagang5323 Жыл бұрын
Bondia wa mchongo narudia bondia wa mchongo pambano umesha linunua Hilo siliangalii hilo
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
We nae fala kweli ,,, kama una daut na uwezo wa mwakinyo we hujui k2 kabsaaa
@hekimashola9079
@hekimashola9079 Жыл бұрын
Nani ambayee sio wa mchongoa au ndo yule anae pgia mapambano ya ndanii2 😂😂
@fabrisiowissa692
@fabrisiowissa692 Жыл бұрын
Kiukweli Kama mwakinyo amefikia uwezo wa kununua bondia Toka amrekani basi anastahili sifa kubwa pia,ni mawazo yangu tuu
@barakawillson1741
@barakawillson1741 Жыл бұрын
Maana ya kuvaa saa mbili mikono yoote ni ulimbukeni. Na ana chochote uyu jamaa anajificha tuu kwenye migongo ya watanzania.😏
@rashidkambi4584
@rashidkambi4584 Жыл бұрын
Kuchukua ubingwa bila kumfunga mpinzan nisawa na makelele tu
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 Жыл бұрын
Hatuchezi ndondo cup, team mwakinyo tuko juu
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Жыл бұрын
Leteni mabondia siondizi msilazimishe tuonekanetunajua kumbebado
@damarygaratulu9135
@damarygaratulu9135 Жыл бұрын
Boya tu anapenda sifa mbwa huyu
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 Жыл бұрын
Kuma mako katombwe uko
@damarygaratulu9135
@damarygaratulu9135 Жыл бұрын
@@revocatuspaulo6716 panya kaloa kuma tu ww chupi tako sasa unatokwa povu vp anakupelekea Mkia nn unashoboka na mwanaume mwenxio
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
Kumamayo cyo bure unazagamuliwa nguruwe ww
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
Huyu n msenge barid achanen nae
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@damarygaratulu9135 KWANI UNA CHUKI NAE MPAKA UNAMWITA MBWA???
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 14 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 66 МЛН
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 42 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН