Mbona naona kama jamaa amebadilika sanaaa... nikiwa na maaana saiv amekuwa na nyodo sana.... na mi nadhani mwanzoni alikuwa ni mtu wa ukimya ngumu ndo zinaongea....
@ibrahimsuleyman2053 Жыл бұрын
😂😂 humjui vizuri asaiv Hana nyodo kapunguza sio kama zaman
@odhiaodhia9898 Жыл бұрын
Fala huyo toka apigwe kizembe simpendi kabisa
@allymasubi9404 Жыл бұрын
Kwani mwakinyo kawafanya nn Azam t.v
@iskariotikiyoyo7839 Жыл бұрын
Dogo unanifrahisha sana kauri zako wakati ukihojiwa 😄😄😄
@saadatiyahyashabani-yg2xy Жыл бұрын
Mgosiiii
@omarybakunda2554 Жыл бұрын
Mwakinyo acha dhalau kumbuka hao mapromota wa tz ndio waliokupandisha.
@ramahkesh9360 Жыл бұрын
Umekuwa na meneno ka muimba taarabu
@bakarimakame4694 Жыл бұрын
Km humuelewi meakinyo bx ww huna ubinadamu
@lusseraymond5449 Жыл бұрын
😂michepuko tena
@KAMTUPE Жыл бұрын
Mwkinyo prox
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Kuna uzulumaji mkubwa Tz ii
@allykondo7510 Жыл бұрын
Mwamba unajua wangine wanaiga tu 💪👊👊👊
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
@@allykondo7510 nmezulumiwa adi najiogopa
@farijala1 Жыл бұрын
Huyu ni mcheza ngumi kweli?
@farijala1 Жыл бұрын
Najaribu kumtafuta KUVESA KATEMBO kwenye KZfaq Nione mchezo wake sijamuona
@saidi1365 Жыл бұрын
Ww ndy mkali wetu ban achan n wasenge kina mandonga maan tok utulie kutopigan mim sijafatilia boxer ten sas umenirudish mwakinyo