No video

MWANAFUNZI ALIEACHA CHUO, NA KUTUMIA ADA YA WAZAZI KUUZA VIATU BILA WAO KUJUA HADI SIKU YA MAHAFALI

  Рет қаралды 161,793

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Suzan British mwenye umri (24) binti alieamua kuacha Chuo akiwa mwaka wa pili akisomea Ufamasia bila ya Wazazi wake kufahamu na kuendelea kumlipia ada, na yeye kuitumia ada ya Wazazi wake kuanza biashara ya kuuza viatu huku Wazazi wake wakiamini mtoto wao anaendelea na masomo hadi hapo walipohudhurua mahafali yake 2020

Пікірлер: 493
@musamargwe5948
@musamargwe5948 3 жыл бұрын
Safi sana huyu Dada amenifundisha kujiamini na sku zote kwenye maisha hakuna kufeli Amini unachokifanya,,,,big up dah ungeweka number basi tungekuunganisha hata kutoka mikoani biashara yako ikue mama
@theclamalombe9406
@theclamalombe9406 3 жыл бұрын
Malkia wa nguvu
@wellbrand3415
@wellbrand3415 3 жыл бұрын
Kujiamini, nidhamu katika pesa na kuheshimu watu... Keep on living with that spirit... It will take you up to your highest destination. Hongera sanaaa Suzy 👏👏👏
@molaizer992
@molaizer992 3 жыл бұрын
Ushauri "Don't learn from successful people stories, learn from failure people stories"
@joellymballawah8188
@joellymballawah8188 3 жыл бұрын
Jack Ma Quotation 😂😂😂
@erastoelias524
@erastoelias524 3 жыл бұрын
True broo✊✊
@elipidiusezekiel1176
@elipidiusezekiel1176 3 жыл бұрын
That's what Jack ma said
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 3 жыл бұрын
If you learn from failure people you'll also be failure.
@elvinstevy1300
@elvinstevy1300 3 жыл бұрын
@@aganolamotoeliya2027 no u won't be a faliure rather u will just learn how to escape the setbacks that made them fail n u will succeed
@calossantos486
@calossantos486 3 жыл бұрын
"kuliko kupoteza muda ni bora ukajiamini kwamba uko sehemu fulani." 💪
@bablojakitalambo504
@bablojakitalambo504 3 жыл бұрын
Ula ula aina kufilimba kusoma sio kutoboa bali tunaondoa ujing 2 ""Find money""big up sister
@youngsimbawcb1814
@youngsimbawcb1814 3 жыл бұрын
Daaah!!!!! Ukifanya kitu cha Mana kupitia PESA zao...... Japo watalalamika ila baadae wataona ni kitu cha Mana ukianza kuwasaidia....... Jambo zuri dada........ Mungu ni mwema nimejifunza kitu,,,,, kwamba Kuna kitu kiñaitwa kuheshimu pesa na nidhamu ya pesa na watu.....
@winniemwasenga
@winniemwasenga 3 жыл бұрын
Yani ningekuwa mimi ndo nimekusanya hizo ada 😂😂 i can't imagine vile mom angekufa presha
@geesmile..9599
@geesmile..9599 3 жыл бұрын
Ahhhhhhh
@naimanuran2663
@naimanuran2663 3 жыл бұрын
😂😂😆
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Kwa mama yangu mm unachezea mbata ile mbaya
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Nakumbuka nilichezea mbata nikiwa chuo mwaka wa kwanza hahahaha kwa mambo ayo ayo ya pesa dah.
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Nakumbuka nilichezea mbata nikiwa chuo mwaka wa kwanza hahahaha kwa mambo ayo ayo ya pesa dah.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
"Siwezi sema nime jutia nasema nime Jifunza "
@danielkiwanga2853
@danielkiwanga2853 3 жыл бұрын
;
@youngsimbawcb1814
@youngsimbawcb1814 3 жыл бұрын
Ni kweli kàbisa yaani
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Жыл бұрын
Intelligent is not about books it is about passion and do want Make sense to you and bring value to your life.. congrats sister
@mkonongo_og
@mkonongo_og 3 жыл бұрын
Brilliance congratulations to you!! Lkn piah hata matajiri wakubwa ukiwauliza watasema walianza kwa kuuza 'karanga' Hivyo ni vyema kuona na kujifunza, cyo lazima uwe na elim ndy upate pesa Lkn piah ni lazima uwe na elimu ili upate pesa. Hapa tunasema bampa tu bampa, ukipata pa kuchomokea Bc ndy Hapo Hapo shikilia... #.BongoLand
@shabanalfan9705
@shabanalfan9705 3 жыл бұрын
Hio biashara ni mpaka uwe umefanikiwa usipofanikiwa utaelewa..... Wa kwanza apa naomben like zangu
@hopefelex4409
@hopefelex4409 3 жыл бұрын
Fake point
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 3 жыл бұрын
Kuwanga lazima hiyo biashara mana wengi.wanafeli
@bxsportshd7923
@bxsportshd7923 3 жыл бұрын
Utashiba hizo likes hata tukupe za dunia nzima???
@abasihassani9301
@abasihassani9301 3 жыл бұрын
Umeonaaa
@coletashirima2193
@coletashirima2193 3 жыл бұрын
Mkaka unakaa unaomba like za nn sasa
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 жыл бұрын
Duh.mkanikumbusha mbali. Niliacha chuo pia nikatumia mtaji kwa baishara...nikaja kusoma baadae na sijutii hadi leo. Ingawa biashara niliacha baadae ila nilijifunza sana maisha na kujitegemea katika muda ule
@felixmathias6362
@felixmathias6362 3 жыл бұрын
Hii interview nadhani haifai. Haifundishi jamii. Itasababisha vijana waige huu ujinga. Vijana watadanganya sana wazazi.
@chax255
@chax255 3 жыл бұрын
Inafundisha pakubwa sana. The end matters more than the beginning
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 3 жыл бұрын
Kila mtu anamaisha yake unaweza ukaiga mbinu ya huyu dada ukaharibikiwa maisha!!!
@johnjoseph763
@johnjoseph763 3 жыл бұрын
Sahh
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Kwa kweli
@helenalwambano-pj4rp
@helenalwambano-pj4rp Ай бұрын
Dadaa shikamoo🎉🎉 MUNGU aendelee kuibariki kazi yako😊😊
@geofreyjackson9292
@geofreyjackson9292 3 жыл бұрын
sometime it good so good sababu unapata mtu anamaliza en still yupo mtaan almost mwaka au ata zaidi ya miaka anasubil ajira, au mtaj at least afanye chochote lakn nothing. so that is something to learn 🤔.." maisha n kuchagua" so ur in to the right track. Big up dear
@danielkembo2177
@danielkembo2177 3 жыл бұрын
Mmmh.. Ulidisco ila ndio hivo ulijiongeza sema fresh pambana
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Pia nmemwelewa alidisco chezea msuli wa chuo weye,hahahaha ni atar sana ctak kukumbuka.
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
@Humphrey Msengi hahahaha ndo ivo
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
@Humphrey Msengi usipo jitoa akir unaaibika kila ck masup tu
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 3 жыл бұрын
Kbsaaaaaa
@NEWMOVIES-ln3gg
@NEWMOVIES-ln3gg 3 жыл бұрын
Huyo ni mimi kabisaa hapaaa nimeachaa zangu chuo mwaka wa pili huu nimeajiriwa mahali mshaharaa mzuri to nna tegemea Hadi mwez wa sita inshaallah nifungue duka la nguo pamoja na boda boda mojaa nieze miliki,,,,
@anjelawillison4971
@anjelawillison4971 3 жыл бұрын
Me too nimeacha Chuo and am running my Bussiness hear in mwanza Am turning twenty 23 this year ntarudig tuu Chuo anyway😝😝😝 sijui lini
@NEWMOVIES-ln3gg
@NEWMOVIES-ln3gg 3 жыл бұрын
Oooh
@raphaelnkwabi9676
@raphaelnkwabi9676 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@jescamoshi3821
@jescamoshi3821 3 жыл бұрын
Jamn suz hongera sanaaaa😄😄😄😄nmekukumbuka enzi zile mk
@gtv3409
@gtv3409 2 жыл бұрын
Bora uliamua Classmate Wangu Congratulations nying kwako Dadaangu.💪🏽🙄
@ibrahimnyanga9778
@ibrahimnyanga9778 3 жыл бұрын
Entrepreneur is risk taker , innovators
@nicelemoTripleFive
@nicelemoTripleFive 3 жыл бұрын
Superwoman huyu dada namuona mbali sana siku zijazo. Congratulations sister
@daisy-lome3736
@daisy-lome3736 2 жыл бұрын
Hii historia yngu kbsa jmn
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Huyu dada yuko so trick na mjanja mjanja sana. Ila ujanja umemsaidia.
@shadrackmgeni5458
@shadrackmgeni5458 3 жыл бұрын
Anaweza kua mtanzania wa Kwanza kumuunga mkono mbunge wa kahama na msukuma
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 3 жыл бұрын
Ndiyo
@shariffuboetz1851
@shariffuboetz1851 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 3 жыл бұрын
Vyeti bila Hela sawasawa na bure Tu😂 kwahiyo tutafute pesa
@ckosmah21
@ckosmah21 3 жыл бұрын
akili ni nywele elimu ya sahv ni kujiongeza hongeraa😂
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 3 жыл бұрын
Akili - toa kila kitu ulichojifunza darasani =Akili Angefuata vya darasani ingemkata maana sometimes Elimu ya darasani inalengo la kukufanya uwe mtumwa vile but ni mtazamo tu
@raphaelnkwabi9676
@raphaelnkwabi9676 2 жыл бұрын
Jichanganye na wewe uache sasa 😂
@ibrahimkanuto3514
@ibrahimkanuto3514 3 жыл бұрын
Onyo usijaribu kuiga ikibuma huna wakumlilia na utaonekana kama kinyesi
@mustaphagairo1936
@mustaphagairo1936 3 жыл бұрын
Amin kwmba, kamali mchezo hatar
@dionestermwinuka7520
@dionestermwinuka7520 3 жыл бұрын
Nimecheka kinoma
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 3 жыл бұрын
Tafuta hela
@anthonycharles7182
@anthonycharles7182 3 жыл бұрын
Agza soda mkuu
@aishandembo6362
@aishandembo6362 3 жыл бұрын
Kwel
@sabitintaganda9115
@sabitintaganda9115 Жыл бұрын
Huyu Dada anaroho ngumu siyo rahisi sana kuwa namaamzi kam haya ,Wengi wanavyuoni wanapenda kufanya kitu kam hicho ,But nafsi zinawafyonza kwanguvu nakuogopa chozi lamzazi ,Lakini yote na yote ukiamua kitu kam hichi inakubidi uungame mbele zamwenyezi mungu then umtangulize katka maamzi yako yakiwa na displine yahali yajuu mfano namna yakutumia fedha,Tofauti nahapo utajutia kufanya kitu kam hicho najamii itakuona kam msaliti ,kam siyo mweu.
@kephasjonas594
@kephasjonas594 3 жыл бұрын
Yuko sawa tu tunasoma ili tupate pesa
@khalidtv6200
@khalidtv6200 3 жыл бұрын
Fact
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 жыл бұрын
Good
@edsonbalige3702
@edsonbalige3702 3 жыл бұрын
Safi Sana Dada yetu, unajiamini na kukiamini ulichonacho tayari nimependa
@exaverykapiry1811
@exaverykapiry1811 3 жыл бұрын
Sster we noooooma Tanzania tungepata watu Kama nyie tungefika mbali Mungu akutangulie katika maisha yako
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 3 жыл бұрын
Tungempata Kama huyu bas Tanzania ingekuwa Kama China
@eliarichard9218
@eliarichard9218 3 жыл бұрын
Nicee Madame.
@an6808
@an6808 3 жыл бұрын
Wazazi wanoko akija kwenye graduation anataka Graduants book, nilifoji kila kitu, na wala sijutii, saizi hamna kitu nina maisha kuliko wanaomiliki vyeti
@damxon3013
@damxon3013 3 жыл бұрын
Ko had leo wazaz wako hawajui kuwa uliacha
@maryglady2901
@maryglady2901 3 жыл бұрын
Suzy wetu,,Hebu Pambana mwaya
@rahmakawtharylupande6972
@rahmakawtharylupande6972 3 жыл бұрын
Wanaoacha wakaingia mtaani na maisha yakashindkana hawaonekani kwenye media, hivyo kila mmoja na funguo yake ya maisha. Akili ya kuambiwa changanya na yako.
@pabloescober6709
@pabloescober6709 3 жыл бұрын
hii sio nzuri kwan itafanya watoto wetu waige kuacha chuo nakuiba ada sijaipenda mm bnafsiii
@gabrieladam1065
@gabrieladam1065 3 жыл бұрын
Safi sana vyeti havina mchongo hapa mjini
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 жыл бұрын
Ila miongoni mwa course nzuri kwa Sasa ni pharmacy. Cheti chake ukiwa nacho na ukasimamia duka la dawa Yale ya jumla kinalipa 1.2m Hadi 1.5m. ukifanya na supply chain ukafanya kwa miradi inakulipa zaidi labda aseme hakupa mshauri Mzuri Ambaye ana exposure ya mambo hayo. Ok by the way ni maamuzi yake Ila mi niliangalia hiyo biashara na cheti Cha pharmacy duh kapoteza. Angesoma akawekeza kwa biashara angekuwa mbali zaidi
@chax255
@chax255 3 жыл бұрын
Biashara yyt lazma uichoree ramani kichwani mwako na ujue utapenyaje kila sehemu hyo ramani kichwani mwake haikwepo alifanya biashara ambayo ramani yake anaielewa kirahisi.
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 3 жыл бұрын
Kila mmoja Kuna anachokiamini....hata hivyo Elimu haina Mwisho
@godfreymsafiri3380
@godfreymsafiri3380 3 жыл бұрын
Hzo statistics zako ndugu! Mambo kwa ground yapo tofauti Sana 😂🤣
@bojopa7
@bojopa7 3 жыл бұрын
Kumbuka alifeli mara mbili sasa hiyo cheti angepateje
@giftgodson5603
@giftgodson5603 3 жыл бұрын
Nakusupport mwenyewe naiwazia kusoma hata diploma yake tuu nijiajiri
@badmanno.1650
@badmanno.1650 3 жыл бұрын
Nimependa rasta zake. .... Safiii ... Cheusi mangala
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 3 жыл бұрын
She took a very tough decision hiyo risk ni kubwa sana anyway tunaomba biashara yake ikuwe mzuri much love from Nairobi
@hemedymturi756
@hemedymturi756 3 жыл бұрын
Daah!, mchele unachenga ila huyu dada kapiga chenga nyingi zaidi ya mes
@marrykaranga2808
@marrykaranga2808 3 жыл бұрын
Hongera Suzi
@harunikiongozi3831
@harunikiongozi3831 3 жыл бұрын
Hongera sana nimeipenda
@lydiathomas7438
@lydiathomas7438 3 жыл бұрын
Mmm
@peacekatembo6944
@peacekatembo6944 3 жыл бұрын
Una akili Dada!....kuna watu wanakata tamaa na kuingia kwny kuolewaaa na kuzaa
@jamilasaid1764
@jamilasaid1764 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@hopefelex4409
@hopefelex4409 3 жыл бұрын
Kikubwa maisha tu make money ######kaz kaz mama la mama
@godfreynyaki6319
@godfreynyaki6319 3 жыл бұрын
Dada amenifunzaa kitu kikubwaa sanaaaaa....big up my sister
@romeraphael6472
@romeraphael6472 3 жыл бұрын
Na wwe ukawaibie wazazi wako
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 жыл бұрын
@@romeraphael6472 😂😂😂😂
@shariffuboetz1851
@shariffuboetz1851 3 жыл бұрын
Sio naww ukale ada xax ata kama amekufunza k2 😂😂😂
@innocentherman5101
@innocentherman5101 3 жыл бұрын
Chukua ujasiri wake na si vingine
@peterlujuo1640
@peterlujuo1640 3 жыл бұрын
Smartest woman I ever saw
@khalidtv6200
@khalidtv6200 3 жыл бұрын
Umetisha sana sister Suzzy
@suzanikwabe7483
@suzanikwabe7483 2 жыл бұрын
Big up wajina
@yothamclement6469
@yothamclement6469 3 жыл бұрын
Good planner,,,, kupata Elimu nikitu kizur Ila Kazi nikuibadili hiyo Elimu uliyoipata kuwa pesa.
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 3 жыл бұрын
Mkurya wa sirar kabsa huyu dah hongera sana Mungu akutangulie
@nickypezzooo7792
@nickypezzooo7792 3 жыл бұрын
In gwitryo village 😙😙😙
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 3 жыл бұрын
@@nickypezzooo7792 had huku😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nickypezzooo7792
@nickypezzooo7792 3 жыл бұрын
Yaaan asikwambie mtu 😂😂😂😂😂😂
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 3 жыл бұрын
@@nickypezzooo7792 😂😂😂😂😂😂😂
@nickypezzooo7792
@nickypezzooo7792 3 жыл бұрын
@@cipladapretty8617 mambo ni moto wacha suzie apige pesa bwanaaaa
@SGL_tz
@SGL_tz 3 жыл бұрын
Now thats real hustle there, Bcoz others might use fees for luxury but her she made it a capital.... not all get such chances. but Hongera Kwake.
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 3 жыл бұрын
Chezea pharmacy...
@vero57
@vero57 3 жыл бұрын
Hogera sana dada , elimu hainamwisho, kazi nzuri
@silenceneverson8648
@silenceneverson8648 3 жыл бұрын
I get a big leason from you my ccter congratulations keep it up from 🇲🇼
@msevenkeya9394
@msevenkeya9394 3 жыл бұрын
Kikubwa uzima suzy ,mungu yu pamoja na wewe
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
MashaAllah 💕
@paulfrancis5701
@paulfrancis5701 3 жыл бұрын
Brima nimekubali
@josephdaimajuma8282
@josephdaimajuma8282 3 жыл бұрын
Suzy umetisha Sana kwa huo ujasiri
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 2 жыл бұрын
Mtangazaji umekosea sana. Hukumuuliza binti reation ya Mama ilikuwaje. Hii imeshusha sana hadhi ya kipindi chako hicho.
@clevermngao7565
@clevermngao7565 Жыл бұрын
Wee jamaa huna mtiririko mzuri wa kuhoji! Mi nilifikiri ungeweza kupata information Zaidi kuhoji pale mama alipofika dukani!
@isacklugalila8732
@isacklugalila8732 Жыл бұрын
Big up sana,wanasema ameupiga mwingi 💯💯💯💯
@jeseayubu1839
@jeseayubu1839 3 жыл бұрын
Sema pharmacy ni ngumu Dada yangu ila hongera umeijua wapi pakutokea
@kingofx2161
@kingofx2161 3 жыл бұрын
Hii ndio màana ya "Risk taker"
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 3 жыл бұрын
Asee namuonaga huyu Dada Duh yupo Frem karibu Na Omela hahaha Hongera sana. Nimejifunza kitu ila na mi ningetumia Ada kwenye Biashara Mzee wangu sijui..........angenifanyaje hahahaa sijui Angenipongeza
@irenennko6464
@irenennko6464 3 жыл бұрын
Hahaaaa ana tofauti n wangu
@owlbig
@owlbig 3 жыл бұрын
I like her 😄❤️🇧🇮
@hajimramba3788
@hajimramba3788 3 жыл бұрын
Suzy wewe mpambanaji hongera, hakuna kitu kibaya kama kukaa na mavyeti yako ndani alafu Ajira hakuna wafwaa na presha. Hongera but all in all piga evining course upate hata diploma au degree ubalance na muda wa biashara maana inawezekana but vzr ziwe course za art.
@nickypezzooo7792
@nickypezzooo7792 3 жыл бұрын
Suzie my neighbour in Gwitiryo village Big up sana suzie
@emmanuelsaiko5716
@emmanuelsaiko5716 2 жыл бұрын
💯 big up
@linahshirima2159
@linahshirima2159 3 жыл бұрын
Hongera Sana mamy❤️❤️❤️❤️🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@zeliamnyoge7340
@zeliamnyoge7340 3 жыл бұрын
Hard to start but is better to do
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
kujiajiri nibora zaidi kuliko hata vyeti.
@ericklaura7511
@ericklaura7511 3 жыл бұрын
Better to listern to your heart and decide, bravo to her 🙏👏 wanasema kupanga sio kuchagua
@noelyumbya7285
@noelyumbya7285 3 жыл бұрын
Nzurr hiii
@corlyneman966
@corlyneman966 3 жыл бұрын
Home girl amazing one blood
@mitchelljohnson5218
@mitchelljohnson5218 3 жыл бұрын
Mm nimeona sawa tu kwa sababu sio wote ambao wamesoma ndio wakafanikiwa unaweza kufanikiwa kwa kupitia akili ya kuzaliwa
@sebastiandianne822
@sebastiandianne822 3 жыл бұрын
Big Up Sis🔥
@shariffuboetz1851
@shariffuboetz1851 3 жыл бұрын
Jamn huyu dada me nmempenda bure kabxa
@mrblack1067
@mrblack1067 3 жыл бұрын
Tatizo munawashawishi wengine nao wachukue ada kama mtaji au sio😀😀😀😀
@benjamininyambaso5041
@benjamininyambaso5041 3 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhhh
@arkadiesgroup6083
@arkadiesgroup6083 3 жыл бұрын
Hongera sana
@wilsonsaghy4171
@wilsonsaghy4171 3 жыл бұрын
Big up....life is all about ideas
@emmanuelamos4581
@emmanuelamos4581 Ай бұрын
Namba please.
@felisterveronica5452
@felisterveronica5452 3 жыл бұрын
Suzy jmn hongera san ni maamuzi mazuri
@gunbizzo1970
@gunbizzo1970 3 жыл бұрын
Hizi mambo huwa zina siri zake usije ukakurupuka😀😀
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 3 жыл бұрын
Kweli kabisa...tunaangaliaga mafanikio juu juu2
@roggersnathan2592
@roggersnathan2592 3 жыл бұрын
Kweliii aiseee
@bxsportshd7923
@bxsportshd7923 3 жыл бұрын
Acha woga jiongeze utabaki na cheti mjini hapa😀😀😀
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 жыл бұрын
Endelea kubaki na cheti choko nyumbani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@johnjoycemalusu4886
@johnjoycemalusu4886 3 жыл бұрын
Namuelewa sana
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 ай бұрын
Jinga hili
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 2 жыл бұрын
Upo vizur mtoto wa mwanza ❤️❤️❤️
@taetommy8343
@taetommy8343 3 жыл бұрын
Love u
@sittandaki2135
@sittandaki2135 2 жыл бұрын
Dahhhhhhh umenikumbusha mbali sana dada
@lisangiadidja342
@lisangiadidja342 3 жыл бұрын
Na mm nindoto yaku kweli kufungua duka la viatu na mapochi
@stelahgeofrey8330
@stelahgeofrey8330 3 жыл бұрын
Yupo sahihi alijitafuta kwenye shule Kuna wengine wanaajiliwa wanajitafuta pia kwenye ajira hawajioni
@mussanganda505
@mussanganda505 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Iga uone
@SalimSalim-vk6ux
@SalimSalim-vk6ux 3 жыл бұрын
Hongera sana ni mfano wa kujivunia sana
@justinebaada9079
@justinebaada9079 3 жыл бұрын
Congrats sana dada you look so inspired
@sir.godwindavid.8425
@sir.godwindavid.8425 3 жыл бұрын
Big up suzy
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 жыл бұрын
Broo naomba namba ya uwo dada au.instagramu anatumiy jina gani
@happynessmolla1781
@happynessmolla1781 3 жыл бұрын
Mimi sijapenda kabisa kwani naona kama umefanya dhambi kuwadanganya wazazi ungewaambia tu ukweli hutaki chuo naona kama unafundisha wengine kuwatapeli wazazi au walezi. Ungekuwa tu muwazi.
@tamemahmad9902
@tamemahmad9902 3 жыл бұрын
Wewe hujamuelewa msikilize vizur
@bahatikigimbi425
@bahatikigimbi425 2 жыл бұрын
Mbona wapo wanafunzi wanao kula ada kwamambo yastarehe hasa wakiume akiona afanyi vzur darasan,suz yeye amekua nawazo chanya,wanafunzi kawaonya wasfanye kama yeye alivofanya.
@sheltielyagnes5183
@sheltielyagnes5183 3 жыл бұрын
We suzy namuita Basigwa kumbe uliacha Shule😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@anithaphilip3526
@anithaphilip3526 3 жыл бұрын
Hahaha Agness , haujaachaga tu upambe, usiende kumchongea prefect wetu kwa basigwa jmn
@YOBOYSADIO
@YOBOYSADIO 3 жыл бұрын
Kwa wale wapenzi wetu wanaopenda ku angalia the Story Book hii ndio account mpya ya the story book basi fanya ku subscribe video tunapost kila ijumaa asanteni 💕
@mariambeautysonghuseni9549
@mariambeautysonghuseni9549 3 жыл бұрын
hongera sana unitumie namba yako big up
@yourfavouritemovie_tz
@yourfavouritemovie_tz 3 жыл бұрын
Good girl
KIJANA ALIEFELI MASOMO, ANAYO CARWASH INAYOTEMBEA, KAJENGA NYUMBA
17:35
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 111 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 49 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 43 МЛН
MREMBO AMESOMA MASTERS MAREKANI ILA ANAUZA MAKANDE MWANZA
18:47
Millard Ayo
Рет қаралды 595 М.
Dakika 30 za Mtanzania Hallen aliyetajwa FORBES kuwa Bilionea ajae
32:50
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН