MWANAFUNZI WA SHEIKH SAID AMVAA BACHU, AMSOMESHA BACHU NAMNA GANI MTUME ANASIFIWA

  Рет қаралды 17,506

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

8 ай бұрын

Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
KZfaq: / @babdeomiladu

Пікірлер: 139
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 8 ай бұрын
Nyinyi masufi jifarijini lakini shekh Muhammad Bachu bado yupo juu, na hakuna hata mpumbavu mmoja wa kisufi atakaemiweza kwa hoja biidhnillah
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
Labda yuko juu kwa elimu ya kuzungumza na Paka 😂
@ahmedbashir9594
@ahmedbashir9594 6 ай бұрын
Lahwla wala quwata ila billah ndugu imefikia kuwaita mashekhe wapumpavu nakusihi kalete istiqhfar
@fikratulmuhibbonlinetvismail
@fikratulmuhibbonlinetvismail 8 ай бұрын
Mashallah elimu imepita katika njia zake
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 8 ай бұрын
Ameshindwa huyo Said mwalimu ataweza huyo mtoto, hadi leo wapumbavu wa kisufi hamjazijibu hoja za shekh Muhammad Bachu. Nyinyi jifarijini katika uzushi
@SuleimanMkubwa-ic1ig
@SuleimanMkubwa-ic1ig 8 ай бұрын
Mungu tujaalie iliohaki ituvae na iliobatili iwe mbali sana kwetu ss waja wko
@shebbygangster9241
@shebbygangster9241 8 ай бұрын
MashaAllah
@mzazi25
@mzazi25 8 ай бұрын
Assalaum aleikum, hizi mijadala hazisaidii umma
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 7 ай бұрын
Comment kama hizi huzikuti kwa mashekh wa kiwahabi
@HashimJuma-en8je
@HashimJuma-en8je Ай бұрын
huu mtihani Bachu kazi unayo usikate tamaa Alla ataklipa
@sofiaahmed2170
@sofiaahmed2170 8 ай бұрын
😭😭😭 Allah awaongoze awape fahamu ya kuiona haki nakuifwata
@abdulrahmansaad7358
@abdulrahmansaad7358 8 ай бұрын
Na wewe pia akuongoze ukasome
@sofiaahmed2170
@sofiaahmed2170 8 ай бұрын
​@@abdulrahmansaad7358🤲 Amin Amin Amin
@abuumaryam7970
@abuumaryam7970 8 ай бұрын
@@abdulrahmansaad7358 huu ususfi imama malik aliusema vibaya nyinyi ndio mnaukumbatia?
@user-om7ov3ji3r
@user-om7ov3ji3r 8 ай бұрын
Kwanza kasome kisha uongee mbeleza watu uyo mwalimuwako DJ said hakuna halicho kifanya bd anatakiwa atowe ushahidi ulio thabit juu ya kuzungumza wanyama kaingia mitini soma kwanza bwanamdogo usifikirie kama hao mawahabi niwachache wa elmu ya dini hapana wanaanza na madoctor mastas na na na ndomana nondozao hazijibiki ubadilika uwa covid19 kilammoja uzikimbia
@ahmaduun6523
@ahmaduun6523 8 ай бұрын
kwenda kuzuru makaburi, kuwapijia maiti matwari, na kuwanyenyekea ndio elimu hiyo? watu wa twariqa hata wakawa mashekhe wa aina gani lakini maadamu itikadi yao ni ya kuzuru makaburi kwa namna alivyo kataza Allah na mtume wake, hao bila shaka watakufa katika shirki na juu yakuwa wao ni mashekhe na maulamaa. Yeyote anayepinga haya ajitokeze.
@tawfiqsaid4918
@tawfiqsaid4918 8 ай бұрын
Muogopeni Allah na mcheni Allah. Sisi hatujafikia hata robo ya kumpenda mtume km walivyompenda maswahaba na hawakufanya maulidi.
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
Una dalili
@mohagurey2214
@mohagurey2214 8 ай бұрын
Sema qalallahu, kisha qala rasul kisha utuambie mashairi. Sio ni mashairi na story wakati wote
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 8 ай бұрын
Tatizo la hawa masufi wanapenda kujifariji katika uzushi na kuendeleza upumbavu wao
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 8 ай бұрын
Mashaallah
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l 2 ай бұрын
HONGERENI NYIE MATWARIQA AMBAO ETI MNAMPENDA MTUME MUHAMMAD S.A.W KUWAZIDI MASWAHABA!!!! VICHEKESHO HIVI...YAANI KUMPENDA MTUME KWA KUPIGA NGOMA NA KULA UBWABWA!!!
@kafiabood6493
@kafiabood6493 8 ай бұрын
Mashllh
@alikocha774
@alikocha774 8 ай бұрын
Hiii kweli haiwezi kusimama Batili mpaka asingiziwe mtume !
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 8 ай бұрын
Angelijua anayoyazungumza hayo maneno Mtihani Wallah
@user-tc3bg9ln9j
@user-tc3bg9ln9j 8 ай бұрын
Allah akuongoze kijana
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 8 ай бұрын
Allah akuhifadhi ewe mwanangu
@user-tl8cj8gw6p
@user-tl8cj8gw6p 8 ай бұрын
Mnasihi pia afuge ndevu insha'Allah japo hyo Sunna iyo haitambuliki kwao😢😢
@faridsalummaulid4681
@faridsalummaulid4681 8 ай бұрын
Allah akupe kheri na elimu yenye manufaa
@abuufayaadh8270
@abuufayaadh8270 8 ай бұрын
Masufi mtahangaika Sanaa eti kuonesha Bachu alishindwa kwenye munaqasha wa mombasa lakini wenyewe Elimu na maarifa wanajua Ukweli kwamba Said amebamizwa vibaya Sanaa, hata yeye ustadh Said anajua maji aliyoingia yalimzidi kimo. Kwa hivyo endeleeni kujifariji lakini Ukweli na Haki Bachu alishamaliza kazi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
Alimaliza kwa kukojoa kitini sasa hana chake sasa azunguka atafuta Paka amsikie akizungumza yule Paka wa Kwanza alozungumza nae hakumjibu alikuwa Paka wa Kiwahabi 😂 😂 😂
@HassanKatumbi-hr5lg
@HassanKatumbi-hr5lg 8 ай бұрын
Masufii hamna kitu kichwani Muhammad bachu mmoja tu anawatoa jasho kila sheikh wakisufi yu wasema lake
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
Bachu huyo huyo mmoja mwanafunzi alimkojoza
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Unamkumbuka vixr ni nani alitimka kwenye munaqasha?😂😂😂😂
@abuufayaadh8270
@abuufayaadh8270 8 ай бұрын
​@@HemedSerious wewe huwezi elewa hii mambo, wenye elimu ndio walielewa kwa sababu ustadh Said amesema yeye hotoki kwenye hoja yake mpaka bachu aseme "sijui" sasa nani anaweza ingia kwenye mtego wa kitoto kama huu?
@JumaRamadhani-jg6hc
@JumaRamadhani-jg6hc 8 ай бұрын
Kama ni Mimi ningesimama na kuanza kusema jamani kwakuwa hapa tumekuja kwa ajiri ya mtume kuanzia Leo tumfate mtume. Mtume hakuburuza nguo na pia alikuwa na ndevu na nk ningeongea la maana Sana kuliko huo utumbo hapo.
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 8 ай бұрын
Kweli Kibano alichochezea bachu kilikuwa sikidogo mpaka leo anakikumbuka
@HajiHaji-lm6ku
@HajiHaji-lm6ku 8 ай бұрын
Mashallah e mungu mzidishie ilmu
@mwinyiulalawi4202
@mwinyiulalawi4202 8 ай бұрын
Chamuhimu ni kujiuliza je maswahaba hawakumpenda mtu au mtume alisahau kufundisha ibada ya maulid?
@nabellamerrey3232
@nabellamerrey3232 8 ай бұрын
Allah mjuzi zaid ila siku zote haki haipatikani ki rahsi ila naamin ipo siku waislam tutaacha kushabikia mambo yasio na ulazima katika jamii, waislam tunatakiwa tukusanye pesa kwaajili ya kusaidia mayatima ,wangonjwa,watu wasio jiweza na wazee na sio tukusanye pesa ya sherehe wakat kuna waislam wanao hitaj misaadah ila hizo sunnah hatuzioni kabisa
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 8 ай бұрын
✍🏿عندما تتعلم التوحيد: تعرف الشرك و عندما تتعلم السنة: تعرف البدعة. وعندما تتعلم التوحيد والسنة تعرف علماء السنة من دعاة الضلال
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 8 ай бұрын
Hakuwahi nyanyuka hata mmoja na kuanza kujibu hoja zile tangu mnakasha umalize Halafu watu hawajasema km hawampndi mtume . Kijana mdogo subiri uote ndevu ufuge. Watu wanataka uthibitisho ukowapi?
@suleimansahal6433
@suleimansahal6433 8 ай бұрын
Faida yake nini akimvaa huyo Bucha sjui Bacho kwenye kuwaondolea machungu ndugu zetu Filistiin.
@cherehanitzwauzaji
@cherehanitzwauzaji 8 ай бұрын
ʜᴏᴊᴀ 19 ʜᴀᴢɪᴊᴀᴊɪʙɪᴡᴀ ᴍᴀᴘᴀᴋᴀ sᴀsᴀ ᴍᴀsᴜғɪ 1000 ᴍᴘᴀᴋᴀ sᴀsᴀ ᴡᴀɴᴀᴘᴀsᴜᴋᴀ ᴠɪᴄʜᴡᴀ ᴋᴡᴀ ᴀᴊɪʟɪ ʏᴀ ᴍᴛᴜ ᴍᴍᴏᴊᴀ ᴛᴜ sʜᴇɪᴋʜ ᴍᴜʜᴀᴍᴍᴀᴅ ɴᴀssᴏʀ ʙᴀᴄʜᴜ sɪᴍʙᴀ ʜᴀsᴡᴀᴀʜ ᴋɪʙᴏᴋᴏ ʏᴀ ᴍᴀsᴜғɪ ᴛᴏᴋᴇᴀ ᴍᴊᴀᴅᴀʟᴀ ᴡᴀᴛᴀɴɢᴀ ᴍᴀᴘᴀᴋᴀ sᴀsᴀ ʜᴀғʟᴀ ᴢᴇɴᴜ ʜᴀᴢɪᴇɴᴅɪ ʙɪʟᴀ ᴋᴜᴍsᴇᴍᴀ ʙᴀᴄʜᴜ 😢
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
Moja peke yake ilimtoa mkojo
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 8 ай бұрын
Tatizo sio kumsifu Mtume je shu nikweli hadithi munkar yafaa je nikweli wanyama walizungumza?😂😂haho sijui wanafunzi siju nini hayana msingi msingi semeni hii wanyama waliongea.....
@princefeisla3692
@princefeisla3692 8 ай бұрын
Hehe Habib muulize sheikh fauzan na uthaimin kuhusu hadithi munkar 😂
@abuumaryam7970
@abuumaryam7970 8 ай бұрын
@@princefeisla3692 una ulizwa wewe si ujibu hao masheikh ulio wataja si watu wa twarika kwa hio huwakubali. tupe majibu kuhusu hadith munkar
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
Viliongea visokuwa na akili mpaka nyama ilochinjwa ikapikwa ikiwa Sumu iliongea لحمة فقال: يا رسول الله أني مسموم فلا تأكلني Je wanyama vipi ishindikane wako na ulimi Roho na Nafsi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
وعن أنس بن مالك رضي الله عنه: (أن النبي صلى الله عليه و سلم كان يقوم يوم الجمعة فيسند ظهره إلى جذع منصوب في المسجد فيخطب الناس، فجاءه رومي فقال: ألا أصنع لك شيئا تقعد عليه وكأنك قائم؟ فصنع له منبرا له درجتان ويقعد على الثالثة، فلما قعد نبي الله صلى الله عليه وسلم على ذلك المنبر خار الجذع كخوار الثور حتى ارتج المسجد، حزنا على رسول الله صلى الله عليه و سلم، فنزل إليه رسول الله صلى الله عليه و سلم من المنبر فالتزمه (ضمه إليه) وهو يخور، فلما التزمه رسول الله صلى الله عليه وسلم سكن، ثم قال: أما والذي نفس محمد بيده لو لم ألتزمه لما زال هكذا إلى يوم القيامة، حزنا على رسول الله صلى الله عليه و سلم، فأمر به رسول الله صلى الله عليه و سلم فدفن) رواه الترمذي وصححه الألباني . Sijui kama utaelewa haya maneno lkni nikutafsirie kiduchu: kulikuwa na Kiguzo kila Ijuma Mtume S.A.W alikuwa akikitegemea akaja Mrumi akamwambia Mtume S.A.W ataka kukutegenezea Mimbar siku alipo ileta Mtume S.A.W akapanda Mimbar akakiwacha kile kiguzo basi kiguzo kililia mpaka Maswahaba wasikia Mtume S.A.W akashuka juu ya Mimbar nakukikumbatia akawambia Maswahaba wake kama nisengekimbatia kingelia mpaka siku ya kiyama. Sasa ikiwa vitu visokuwa na akili vinamlilia Mtume S.A.W vipi wanyama vishindwe kuzungumza? Wanyama wana ulimi Roho na Nafsi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
عن يعلى بن مرة رضي الله عنه قال: (بينما نحن نسير مع رسول الله صلى الله عليه وسلم فنزلنا منزلا، فنام رسول الله صلى الله عليه وسلم فجاءت شجرة استأذنت تشق الأرض حتى غشيته، ثم رجعت إلى مكانها، فلما استيقظ ذكرت له ذلك، فقال: هي شجرة استأذنت ربها عز وجل أن تسلم علي فأذن لها) رواه أحمد. Mtume S.A.W aliwambrisha Mti ukatoka sehemu yake ukaja mpaka kwa Mtume S.A.W na kumshuhudia kuwa ni Mtume wa Mwenye Ezi Mungu wa kweli mbele ya Maswahaba kisha ukarudi sehemu yake ya Kwanza. Sasa vipi ishindikane wanyama kuzungumza?
@dullafarsiy1230
@dullafarsiy1230 8 ай бұрын
Uwislam haujatufundisha malumbano na ww unaesambaza vedio zamigogoro ya waislam unalakujibu mbele ya ALLAH
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 8 ай бұрын
Mmeshaacha kupiga magitaa na vinanda??? Ukweli utabakia juu hata kama uwongo utatetewa kiasi gani.
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 8 ай бұрын
Kma muko maulidini kwanini musieleze sunna zote za mtume ambazo wafuasi wenu hawazijui hzo sunna za mtume kisha mwajitaka wapenzi wa mtume ? Ama kweli Simba Muhammad Bachu amewatia tumbo joto yani mpka sasa bado mwamzungumza maulidini.....ni maulidi ya Bachu au mtume ? Watu wamezinduka.....ukhurafi hautafaulu
@sarmbadmkali6150
@sarmbadmkali6150 8 ай бұрын
Leta sifa za baba yko tunsifuuu
@princefeisla3692
@princefeisla3692 8 ай бұрын
Naona wameisha mpaka mfungosita Kila siku Kuna maulid basi wamesoma maulidi kuanzia mfungo Tano yamezidi kua mamoto.huzuni Iko Kwa wengine wamefungiwa KZfaq na pia wameshindwa kwenda kwao mpaka Leo hii😂
@hamzangunga1578
@hamzangunga1578 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@dennisajayi1785
@dennisajayi1785 8 ай бұрын
BACHU OFFER YA KWENDA KUSOMA MAMBRUI BADO IKO USIEPOTEZEE
@saidhija6333
@saidhija6333 8 ай бұрын
Yaani ukweli ukidhihir bas uongo hukitenga Mana naona mnazid kuwa wengi kila mmoja mtoto wa bachu mwenzenu Yuko peke yake nyny mmefika Mia sasa
@nusalim3389
@nusalim3389 8 ай бұрын
Siku zote sauti kubwa ya kelele ni kwa kadri ya ukali wa maumivu,halafu siku zote mbwa wanaobekwa hawaumi,kwahio acha msafara msafara usonge mbele Ili Hali majibwa yanabekwa bekwa,ni kwsbb hawana izza na washamba wa ushindi,basi Kila Leo waufanyia vituko mwenzao katulia anaendelea kufundisha na kufafanua
@AbdirahimIbrahim-sh6sl
@AbdirahimIbrahim-sh6sl 8 ай бұрын
Mwatafuta Kiki kwa jina la sheikh Muhammad
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 8 ай бұрын
Maskini 😂😂😂😂😂😂😂
@mosalim871
@mosalim871 8 ай бұрын
Always husema,jmbo lolote la dini ambalo halikufanywa na mtume,maswahaaba na tabii na taabiin ni Bida'a it is as simple as that . Maulid is bidaa fullstop
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
Nyinyi ajabu mwajua kupigia debe Maulid Bida'a hayafai kwenu nyinyi hakuna Bida'a muna Bida'a kibao mulozusha mpaka kwenye IBADA munazo hii mbona hamuisemi kumgawanya Mwenye Ezi Mungu ktk Tauhid? Kabla hijataja ya mwenzako mwanzo taja za kwako
@ibraa1157
@ibraa1157 8 ай бұрын
1st 11
@sarboko
@sarboko 8 ай бұрын
Ndugu zenu wakipalestina wanakufa kwa makundi em wacheni hizo tena. Inaonekana nije raha watu watwarika linawatonesha
@shaabanialrashidy9672
@shaabanialrashidy9672 8 ай бұрын
Mwatafuta umaarufu nasio kuelimisha jamii
@bakariismail3274
@bakariismail3274 8 ай бұрын
Hakunaga mnyama alie wahi kuzungumza huu ni unafiki tuuu
@user-ix8bu3yy5z
@user-ix8bu3yy5z 8 ай бұрын
Kwa kitabu cha albidaya wa alnihaya cha ibn kathir mwanafunzi mkubwa wa ibn taymiyah iko hio hio hadith..je pia ni mnafik???
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 8 ай бұрын
Tuuwach bc huu upumbavu ktk dini mjadala umeisha lkn ss hii mitandao munafny kudhalilish masheikh km wanamuziki jmn tupunguz hay mamb hayana tija yyt ktk dini zaid y mgawanyik
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg 8 ай бұрын
sufi sufuria inashangaa ubwa bwa
@user-jk7sm1dl7p
@user-jk7sm1dl7p 8 ай бұрын
Hakuna dalili yoyote ya kujuzisha bidah ya maulid
@user-jy9tp4xd3w
@user-jy9tp4xd3w 8 ай бұрын
Huna ujualo unazungumza pumba tu kazi yako kuregeza mdomo
@cherehanitzwauzaji
@cherehanitzwauzaji 8 ай бұрын
ᴋɪʟᴀ ᴋᴜᴋɪᴄʜᴀ ᴡᴀᴛᴜ ᴡᴀɴᴀᴀᴄʜᴀɴᴀ ɴᴀ ᴜsᴜғɪ ᴡᴀɴᴀɪɴɢɪᴀ ᴋᴛᴋ sᴜɴɴᴀʜ sɪᴊᴀᴡᴀʜ sɪᴋɪᴀ ᴡᴀʟᴀ ᴋᴜᴏɴᴀ ᴇᴛʏ ᴍᴛᴜ ᴡᴀsᴜɴɴᴀʜ ᴋᴀᴛᴏᴋᴀ ᴋᴛᴋ sᴜɴɴᴀʜ ᴋᴀᴇɴᴅᴀ ᴋᴡᴀ ᴍᴀsᴜғɪ ᴋᴜᴘɪɢᴀ ᴅᴜғᴜ 😂 ᴊᴇ ʜᴀᴍᴊᴀsᴛᴜᴋᴀ ᴛᴜ ɴᴅᴜɢᴜ ᴢᴀɴɢᴜ ᴍᴀsᴜғɪ😢
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
Sewingmachine. Alokudanganya yule wahabi mwalimu wako Abu Ahmad eti alikuwa mtu wa Maulid mrongo sana mimi namjua ndani nje tulikuwa mtaa mmoja kuanzia wadogo musidanganye Maulid yanazidi kunawirika kwa wingi
@user-hw5zu2vc3m
@user-hw5zu2vc3m 8 ай бұрын
Mtoto mdogo unakuwa muongo
@masjidhamzainstitute8890
@masjidhamzainstitute8890 8 ай бұрын
Masufi mna shida kubwa saana sasa hizi majisifa ina saidia nini😢😢😢!?
@Mohammad_shidogo
@Mohammad_shidogo 8 ай бұрын
😂😂😂😂 kwaugue hosipitalini kama waumwa😂😂
@abdulali753
@abdulali753 8 ай бұрын
😂😂😂
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 8 ай бұрын
Masufi hana elimu mpaka wapige story tu
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Stori ni ipi hapo juha?
@abdillahali836
@abdillahali836 8 ай бұрын
Kupitia ule munqasha Wa mombasa watu weengi walijua kua baadhi ya masufi ni wajinga we mtu unenda kushika shika kiti alichokalia mwenzako kwa kejeli ety mbona kina maji maji huu kweli uelewa sahihi ndo mana nyie hadi Leo Mnapiga kelele mkijisifu watu wametulia mkirudiwa mseme watu wakorofi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
Alikojoa kweli yeye bachu mewenyewe amenyaza mbona hajaraddi mpaka sasa alijua aibu nilimpata dhahiri sio siri. Wacheza na nyama za wanazuoni. Bado basi
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Nynyi Kwa kejeli ni namba Moja na kejeli inawauma sana wkt ni mabosi wa kejeli😂😂😂
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 8 ай бұрын
Hata huyu mtoto alimfaa bachu kwenye munaqasha 😅😅😅😅
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 8 ай бұрын
Toweni mijadala yenye faida ya kisheria sio kuacha kazi na kutetea mambo yasiyokuwepo ktk sheria!na kama ni sifa mbona Allah kamsifu Mtume wake?sasa sifa gani zaidi zinazojulikana asizozijuwa Allah na hata Maswahaba!wacheni mambo ya ajabu!
@fikafikan8484
@fikafikan8484 8 ай бұрын
Ww ndio uwache ajabu na ujinga sisi ndio twafaa kumsifu zaidi mtume s a w hii nikuoneshwa sisi binadamu Allah kamumba mwenyewe mtume s a w na yy Allah kamsifu na kumswalia mtume s a w na malaika wake hio nimoja kuonesha sisi tumswalie sana mtume na kumsifu na ww kama huna mtume ndani ya moyo wako pepo huoyoni mahasidi wa mtume lazima mtume s a w atangazwe ili watu wamjuwe vizuri kunawengine hawamjui lazima atangazwe
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 8 ай бұрын
@@fikafikan8484 ujinga unao wewe unayeshabikia kitu usicho na elimu nayo baadala ya kusoma Qur AAN na hadith za Mtume unashabikia mashairi yaliyotungwa na binaadamu!huo ndio uwerevu wako?wewe kweli kichwa kikubwa lkn ubongo wa kuku!
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 8 ай бұрын
BACHU HUYU KIJANA ANATAKA MUNAQASHA NA WEWE NI 5HT ELEVEN
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 8 ай бұрын
AFU MUACHE KUMSHAMBULIA BACHU,,WATU WANAJUA IPI PUMBA UPI MCHELE...BACHU NI BINADAM,,,NA SO KWELI KWAMBA HUYO KIJANA ANAMZIDI BACHU KIELIMU,,,MSITUMIE NGUVU KUAMINISHA WATU...
@princefeisla3692
@princefeisla3692 8 ай бұрын
Hehe
@princefeisla3692
@princefeisla3692 8 ай бұрын
Hehe
@fatumajuma592
@fatumajuma592 8 ай бұрын
Kweli
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Bacha ana elimu gn ww juha kusoma matini tu hajui? 😂😂😂kiarabu anaandika Kwa kiswahili juhaal
@cherehanitzwauzaji
@cherehanitzwauzaji 8 ай бұрын
ᴡᴇᴡᴇ ᴋɪᴊᴀɴᴀ ᴍᴄʜᴇ ᴀʟʟᴀʜ ɪʟᴍᴜ ʏᴀᴋᴏ ʙᴀᴅᴏ ɴᴅᴏɢᴏ ɴᴀ ᴍᴀsʜᴇɪᴋʜ ᴡᴀᴋᴏ ᴡᴀʟɪᴠʏᴏᴋᴜᴀ ᴡᴀᴄʜᴀᴄʜᴇ ᴡᴀ ᴀᴋɪʟɪ ᴡᴀᴍᴇɴʏᴏᴏsʜᴀ ᴍɪɢᴜᴜ ᴡᴀᴋᴜsɪᴋɪʟɪᴢᴇ ʜᴀᴘᴏ ᴜɴᴀᴄʜᴏᴋɪᴏɴɢᴇᴀ ɴɪᴍᴀsʜᴀɪʀɪ ɴᴀᴡᴀᴏ ᴇᴛʏ ᴡᴀɴᴀғᴜʀᴀʜɪ ᴅᴜʜ😢
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf 8 ай бұрын
Hhhhhhh uyo kijana asaa muongo maneno ya uongo tuuu ndo kazi yao ndio maana wamekuwa felia
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Km hujabainisha huo uongo basi ww ndio muongo!!!
@JabirHaji-vj2nf
@JabirHaji-vj2nf 8 ай бұрын
Felia amfundisha felia mweziwe ndo hao kina said mambrui na wanafuz wao wote ni felia na wanaendelea kufeli allah awaongeze waijuwe haqqi
@muhamedjumaa6867
@muhamedjumaa6867 8 ай бұрын
Iloooooo😅😅😅 debetupu
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Unalalamika km kafeli si utuambie wapi kafeli au chuki tu inakusumbua 😅😅
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 8 ай бұрын
Wapotevu mnafanya maulidi au mmeenda kwenye mipasho muogopeni Allah hii Chanel yawatu wa bidaa ndio maana kuandika kichwa cha habali uchonganishi
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Mpotevu ww huwezi kumjua, Allah anasema aliepotea na aloongoka ni yy tu ndio anawajua sio ww na mm Wala yyte pumbavu ww
@safaasayed8037
@safaasayed8037 8 ай бұрын
Tunataka kujuwa wanyama walisema au laa? Na hadith munkar inatumika au la?
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
Hadithi munkar kutumika au kutotmika alitakiwa kujibu bachu akatimka
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg 8 ай бұрын
​@@HemedSeriousKw hio kama bachu alitimka ndo mkasusa kuwasomesha hata wafuasi wenu. Maana mpaka leo mnajiuliza UST. SAID MBONA HAKUTUSOMESHA? KM BACHU HATAKI KUJIBU SWALI C ANGEMTOA THAMANI PALE PALE KWA KUONYESHA WATU VILE BACHU ALIVYOMTUPU? Na mtakufa nacho hicho kijiba cha roho au mukubali kusoma bila y kuvitenga vitabu
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
@@AliDaud-si3fg kwn nyny mnataka kufundishwa? Wkt mnajiona mnajua kila kitu wakt mbumbumbu km nyny hawatokei
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg 8 ай бұрын
@@HemedSerious c o cc 2 bali hata wewe bado jaahil kwenye lile suali
@HemedSerious
@HemedSerious 8 ай бұрын
@@AliDaud-si3fgmm cwezi kuwa jaahil sbb c mpuuzii
@mohagurey2214
@mohagurey2214 8 ай бұрын
If you really love the prophet pbuh anza kufuga ndevu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 8 ай бұрын
Jama msisahau kwamba ujinga mbaya alafu kibaya zaidi msipojijua kwamba wajinga nayo mbaya zaidi
@user-be5hd4rc2i
@user-be5hd4rc2i 8 ай бұрын
Haram kiboko you Sufis are lost in the mchuzi wa biryani
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 8 ай бұрын
Hana lolote kakaririshwa tu ili aeneze uzushi
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 8 ай бұрын
Yaani maneno ya kishirikina kabisa
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 8 ай бұрын
Jihadhari na hii Hadith ya Mtume S.A.W ushirikina usije ukakuangukia wewe. Mtume S.A.W asema: عن حذيفة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : «إنَّ ما أَتَخوَّفُ عليكم رجلٌ قَرَأ القرآنَ حتى إذا رُئِيَتْ بَهْجتُه عليه، وكان رِدْئًا للإِسلام، غَيَّرَه إلى ما شاء الله، فانْسَلَخَ مِنْه ونَبَذَه وراءَ ظَهْرِه، وسَعَى على جاره بالسَّيف، ورمَاه بالشِّرك»، قال: قلتُ: يا نبيَّ الله، أيُّهما أوْلى بالشِّرك، المَرْمِي أم الرَّامي؟ قال: «بل الرَّامي». [حسن] - [رواه ابن حبان]
@SuleimanMkubwa-ic1ig
@SuleimanMkubwa-ic1ig 8 ай бұрын
Mungu tujaalie iliohaki ituvae na iliobatili iwe mbali sana kwetu ss waja wko
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 80 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,6 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 92 МЛН
SHEIKH SAID AMJIBU ALIEULIZA SWALI MTANDAONI
4:53
BABDEO MILADU
Рет қаралды 8 М.
HESHIMA NA UNYEYEKEVU WA DR ISLAM KWA MUHAMMAD BACHU || MOMBASA KENYA.
4:22
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 64 М.
BALAA LA ARAFA HUSENI MADRASAT NURUFAHAMIA {Dufu ndogo}
26:13
TWARI ONLINE TV
Рет қаралды 21 М.
KUMUHESHIMU MTUME (S.A.W) NI KUPI ? | USTADH SAID OMAR SHIRAZY
11:15
HISTORIA YA UKOMBOZI WA QUDUS. UFISADI NA HILA ZA MAYAHUDI. SHEYKH; HAMZA MANSOOR
45:32
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 80 МЛН