Рет қаралды 240,201
Kwa wanaokutana na mkaazi mmoja wa Samburu Sawaya Lepario, wengi mara moja humfananisha na Rais William Ruto. Ni hali hii iliyompa jina la Ruto wa Samburu kutoka kwa wanamfahamu. Bonface Barasa alikutana na mwanamume huyu na kutuandalia taarifa ifuatayo