MWANASHERIA ABANWA NA MAKONDA ASHINDWA KUJIELEWA MADAI YA WANANCHI "RAS HAMISHA HUYU"

  Рет қаралды 23,912

KUSAGA TV

2 ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: KusagaMedia
Instagram: kusaganews
KZfaq : www.youtube.com/@kusagatv6320/videos
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?lang=en

Пікірлер: 53
@EzekielMwishehe
@EzekielMwishehe 2 ай бұрын
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Kaka Makonda piga kazi Mungu atakulipa na kukutetea dhidi ya maadui wa haki
@emmanuelkyandochali990
@emmanuelkyandochali990 2 ай бұрын
Huyu jamaa wa tanroads yupo smart sana
@cloudinhoabdi868
@cloudinhoabdi868 2 ай бұрын
I like Tanzania because of one thing, every issue is taken care of and in front of everyone unlike in our country Kenya whereby only two people can make decisions on behalf of the entire nation. Thanks Makonda coz you remind me of JPM. May his soul rip
@justinelukumay5308
@justinelukumay5308 2 ай бұрын
Mh Makonda Wasaidie sana Binadamu wenzako sawa sawa bila kujali malaumiano maana Mungu atakulinda Hongera sana wanyoonyeshe haswa
@IsanjaRose-tk4nn
@IsanjaRose-tk4nn 2 ай бұрын
Mheshimiwa makonda mungu amulinde na atende haki arusha watu wamedhulumiwa wengi sana
@mangiclaus
@mangiclaus 2 ай бұрын
Ila kaka makonda kuna namna umebadilika na kuna namna nakuona mbali. Ama kweli YESU NI MWANA WA MUNGU. Piga kazi bro
@user-ge6nr9hm1w
@user-ge6nr9hm1w 2 ай бұрын
Kichwaa kimetokaa kwetu hikii kwa magufuli najivuniaa snaaaa
@ngusakabinza9238
@ngusakabinza9238 2 ай бұрын
Makonda anakula MB zetu😁😁😁😁 atatuua mwaka huu
@nwntz
@nwntz 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@MafuvuMabrucky
@MafuvuMabrucky 2 ай бұрын
Makonda piga kazi cc wtz tuna kuona kama mwamba wawanyonge tanzania
@stevenmrama3123
@stevenmrama3123 2 ай бұрын
Tunapaswa kujenga tabia ya uzalendo kwa wananchi wetu.ongera Rpc makonda mungu hakutalie sana
@anthonygenge4366
@anthonygenge4366 2 ай бұрын
Cyo Rpc ni RC
@mwanaidhassan6170
@mwanaidhassan6170 2 ай бұрын
Kiongozi wa Wanyonge simamia haki Baba uko maofusini acheni rushwa dhulma hai dumuu
@florencekyande4443
@florencekyande4443 2 ай бұрын
safi
@johnkushoka6629
@johnkushoka6629 2 ай бұрын
Mwanasheria yupo vzr Sana sema hapewe Air time
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 2 ай бұрын
asante sana watanganyika tusonge mbele kwa mapambano ya kutafuta haki zetu zote walipwe fidia yao bila porojo na chenga chenga asante sana wenu Simba sauti ya wanyonge
@SelemaniSalumu-un8hn
@SelemaniSalumu-un8hn 2 ай бұрын
Makonda nakukubali kwamaswari
@georgedamas7097
@georgedamas7097 2 ай бұрын
Kuna mti Moja unaitwa "Mlebanoni" huu mti hata ukiukata unachipua tu uwe jangwani au kwenye Ardhi uwevu....uyo ni Makonda.
@LoishieMollel
@LoishieMollel 2 ай бұрын
Tatizo ni elimu ya kiutawala hongera mh.makonda endelea ña kazi lakini sioni kama viongoz
@egbertlambert
@egbertlambert 2 ай бұрын
Mwanasheria Yuko sawa,sema tu Siasa ndo zinaingizwa
@zuwenakandele9770
@zuwenakandele9770 2 ай бұрын
Exactatly😅
@Ismail_Hussein
@Ismail_Hussein 2 ай бұрын
Kweli kabisa Makonda alikua na fixed mind. Hii ni siasa tu.
@rajabukitego1662
@rajabukitego1662 2 ай бұрын
Tungepata,viongozi,Kama,Hawa,tusinge,teseka,Hawa,wengine,wako,wapi
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu 2 ай бұрын
Mwanasheria wa halmashauri anatia huruma, pole dada ila kuanzia hapa jitahidi kubadilika naona unapata ugumu kwenye kazi yako.
@RichardLyamuya
@RichardLyamuya 2 ай бұрын
Huyo mwanasheria wa halmashauri hana uwezo wa kufanya kazi .Ajira za ajabu .
@stevenmrama3123
@stevenmrama3123 2 ай бұрын
Watanzania wengi wameumizwa kwa tabia Kama hizi hizi za watendaji wabovu na kuweka maslahi zao mbele kuliko kuwa na uzalendo.kama tukipata wakuu wa wilaya na mikoa wanaofahamu majukumu yao Sasa hakika mhe Raisi awezi kupata changamoto ya kila siku kubadilisha Hawa watendaji wake.hatari sana
@artsonkimath2917
@artsonkimath2917 2 ай бұрын
Mwanasheria yupo sahihio isipokuwa TU mkuu hasikiliziaelezo ya mwanasheria Hadi mwisho
@TheothimePastory
@TheothimePastory 2 ай бұрын
Yangu macho
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 2 ай бұрын
Kunawatu huleta mgogoro kwenyemaendeleo na kupenda fidia kimchongo na wakubwa
@sebastianmusyebi-yv1hm
@sebastianmusyebi-yv1hm 2 ай бұрын
Ndo tatzo lililoko kweny halmshaur sasa mwanasheria hajui kam kuna rufaa na ilishafutwa
@MafuvuMabrucky
@MafuvuMabrucky 2 ай бұрын
Kwanini makonda usije kigoma? Hasa wilaya yakasulu viongozi wote nibutu...
@sebastianmusyebi-yv1hm
@sebastianmusyebi-yv1hm 2 ай бұрын
Makonda msela hyu lazma mnyooke tu
@user-il8wx3eq8i
@user-il8wx3eq8i 2 ай бұрын
Kimbolo ndonilicho kikalili tu
@MafuvuMabrucky
@MafuvuMabrucky 2 ай бұрын
Kwanini makonda using mkoa wakigoma?.. kwetu kunaviongozi butu.. Hasa wilaya yakasulu...
@GeraldBahegwa-rn3vb
@GeraldBahegwa-rn3vb 2 ай бұрын
Ukiacha makandokando yote ya makonda, kuhusu siasa huyu ndiye kiongozi anayetakiwa tanzania, please apewe ulinzi wa kutosha.
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 2 ай бұрын
Mwanasheria wa halmashauri yupo vzuri sana sana ila arrogance ya mkuu wa mkoa Inamnyima fursa ya kujieleza. Hii style pia inawaweka watendaji wa serikali mfano huyo dada ktk hatari ya kuumizwa na wadai kwa kudhani kuwa ndiye kikwazo cha wao kulipwa. Ni style inayodhalilisha taaluma na kubagaza utu wa mtu. Hii mambo ilipaswa ifanyike ktk vikao vya ndani na maamuzi yaletwe hadharani kwa njia ya hekima zaidi.
@user-ge6nr9hm1w
@user-ge6nr9hm1w 2 ай бұрын
Sawa mkuu ukwelii ukoo huruu
@benedictntilla6943
@benedictntilla6943 2 ай бұрын
Wapi amembana kama siyo kumkatisha asiongee? Sioni kama Makonda ana hoja ya maana zaidi ubabe upumbavu mtupu
@TheothimePastory
@TheothimePastory 2 ай бұрын
Bado hamjasema,
@mashakamgendi8082
@mashakamgendi8082 2 ай бұрын
Makonda piga kaz
@MargaretImali-oe9yr
@MargaretImali-oe9yr 2 ай бұрын
Muna sumbua huyo mwana dada hata Kani wewe huwezi kumbuka mambo.yote jemeni samahani
@janethkilaza1387
@janethkilaza1387 2 ай бұрын
Huyu mweshimiwa alitakiwa aje moshi
@RichardLyamuya
@RichardLyamuya 2 ай бұрын
Hizo nafasi mliwapaje watu hao ?Mbona uwezo wa kufanya kazi hawana ?
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 2 ай бұрын
Yani hawa watendaji bwana walio wengi niwapuuzi sana hawafanyi kazi kazi nikuingia Esta na kufatilia upuuzi nakuuliza wauza vitu hibei gani hii bei gani nahawanunui mm nafatilia kiwanja mwaka wa 3 sasa tangu mwezi wa1 mwakahuu naambiwa nitaitwa na siitwi
@enezaeliakyoo2086
@enezaeliakyoo2086 2 ай бұрын
Mwanasheria Hana shida mkuu Wa mkoa angetakiwa ampe nafasi huru ya kujieleza
@derrickmbaku4768
@derrickmbaku4768 2 ай бұрын
Acha ujinga wewe, mwanasheria amejieleza utumbo
@hildpaul7823
@hildpaul7823 2 ай бұрын
ana shidah alitakiwa aseme watalipwa siikuu fulani; period kutetea halmashauri
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 2 ай бұрын
Ss kama halmashauri haina uwezo wa kulipa je.
@Alexismadimo
@Alexismadimo Ай бұрын
Hata akipewa siku nzima hawez kujieleza
@mwanaidhassan6170
@mwanaidhassan6170 2 ай бұрын
Kiongozi wa Wanyonge simamia haki Baba uko maofusini acheni rushwa dhulma hai dumuu
@mwanaidhassan6170
@mwanaidhassan6170 2 ай бұрын
Kiongozi wa Wanyonge simamia haki Baba uko maofusini acheni rushwa dhulma hai dumuu
@mwanaidhassan6170
@mwanaidhassan6170 2 ай бұрын
Kiongozi wa Wanyonge simamia haki Baba uko maofusini acheni rushwa dhulma hai dumuu