Big up My brother Hon. Patrick Advocate of the Champions
@abedihussenikhalfan4007Ай бұрын
Huyuuu mzeeee ananjaaaa sanaaa fanya kazi mzeeee uza ata kahawaaa
@allidehunter3223Ай бұрын
Team magoma - tukutane kwenye like apaaa. 👇
@muunganopetermtemi1535Ай бұрын
Jamani yanga ilikuwa yabakili sasa imekuwa yanga imara watu wanaanza chocho chocho lengo kuturudisha nyuma,jamani tusikubari hali hiyo iendelee,
@martinlema4192Ай бұрын
Nimegundua hata mimi nawezakuwa hakiku jamani... mnikumbuke!
@dullywa9973Ай бұрын
😂😂
@salmamustapher5611Ай бұрын
hakiku ndo nini
@HalimaMaulidi-sv7leАй бұрын
Juz mlicheka ya mangungu leo kwenu ama kweli mwenzio akinyolewa zako tia maji leo kwenu chekeni xaxa
@josephlorri431Ай бұрын
Mashauri mawili tofauti..
@user-id5oc7hm4nАй бұрын
Mlungu chibiduuuuu 😂😂
@ANAFIMATUMLAАй бұрын
Haujitambui wew sabab hazifanan
@AishaJuma-py7veАй бұрын
😂😂ubaya ubwela
@SwediramadhaniJumaАй бұрын
Acha wajichanganye tu sisi kwetu furaha
@ZainulKiondo4 күн бұрын
sio waliojiita wanachama wa Yanga hebu nyoosha kiswahili
@MathewNathan-yb2bzАй бұрын
Haki itendeke na yanga yetu iendelee kuwa salama.Mungu na azidi kuibariki yanga.
@RoseMalley-dt9ubАй бұрын
Amina
@bethmahela2182Ай бұрын
Asante mwanasheria umefafanua vizuri
@khalifasaidi7001Ай бұрын
Kiukweli hawa watu sio wa kuwaacha salama lakini swali langu kwa viongozi kwanini timuyetu inakumbwa na mambo ya kisheria ya mala kwamala? Mnge tafakari hili kama panapwaya tafuteni watu sahihi inatuumiza sisi wanayanga
Hao wazee walimletea noma Marehem Manji, na kuna tukio manji aliwafokea waka nyamaza. Mie nnafikiri wanahisi kuna watu wanafaidika sana na mafanikio team inapofika kwenye pick wanasahau kuendesha team ni mziki mnene.
@AbdallahMgayaАй бұрын
Kila la kher Inshallah😢
@johnmmbwanga5251Ай бұрын
Huyoooo mzee mchawii
@benOfficial36Ай бұрын
Nyie siasa ni mbaya sana, Hawa wazee ukweli wametumwa na SIMBA na sio kitu cha ajabu 😂😂
@Shafikimanga7Ай бұрын
Kitaalamu imekaaje hii. Kesi ilishaamriwa na mpaka imefika kukazia hukumu ndio muombe kuingezewa muda. Lakini pili what if mahakama ikatupilia mbali ombi lenu. Lakini swali la kiakili ni kweli watu wanawezaje kuendesha kesi mahaka kuu taarifa zisiwafikie kipindi chote mpaka kumalizika kwake hasa ukizingatia ukubwa wa timu na upana wa mashabiki waliokuwepo katika kila kada? Nina wasiwasi na hili.
@MussaMathias-d1wАй бұрын
Hao wazee hawawezi kuiongoza yang ni njaa tu inawasumbuua
@Daniel_89_89Ай бұрын
Why press, kapambaneni mahakamani kwa hoja na nyie mahakama itoe hukumu
@amanimwalimu1293Ай бұрын
Wazee noma sana
@geofreymwinuka-zu3fwАй бұрын
Mdaa wotee huu kesi inaendeleaa mlikuaa wapi kama wanasheriaa hadi hukumu inatokaa ya upandee 1
@barakamachard1944Ай бұрын
Walikua hawajui kitu
@user-gy3wo2ez4dАй бұрын
Eti sain zimegushiwa ina maana mnataka kuwafanya mahakama kuu ni wajinga sana 😂😂😂 au hawana ueled na kaz yao
@josephlorri431Ай бұрын
Kama yanga sporting club haikuwa na wito wala taarifa yoyote kuhusu kesi hadi ikatolewa hukumu labda kuna yanga nyingine ilopelekwa mahakamani..
@user-gy3wo2ez4dАй бұрын
Uyo mwanasheria muongo sana ... yaan kaongea utumbo mtupu nna wasiwasi na elimu yake
@josephlorri431Ай бұрын
@@user-gy3wo2ez4d tatizo ni viongozi wa yanga kumdharau mzee magoma na team yake..mwanasheria anasubiri agizo la viongozi. Magoma alikaa na hukumu yake tangu mwaka jana akisubiri yanga wavurunde kwenye ligi,yeye achochee kuni..akaona kwa usajili huu, ni sawa na kusubiri meli Airport kwa yanga kupata matokeo mabaya.. akapata usaidizi wa simba ili kuitoa yanga kwenye mstari..ubaya ubwela. Mzee kayatimba
@benedictodaniel1842Ай бұрын
Niwachawi hao mungu kuweka kifo alikuwa sawa,
@KitumbiAbrahamАй бұрын
Mbona unatumia nguvu nyingi kujieleza. Maneno yako yanaoneasha Kuna shida ndani ya Yanga.
@mkudemkoba1489Ай бұрын
Wasizan kuongoza timu ni sawa na kuongoza familia. Safi mwanasheri kwa ufafanuz wako
@shaameshaame2837Ай бұрын
Wananchi tumfunge mtu tuweke mbali ubinadamu. Kufoji sahihi ya mtu tuikomalie maana wajinga wapo wengi ili tuwakomeshe
@abdallahmzee4335Ай бұрын
Unaushaidi na hilo ?
@shaameshaame2837Ай бұрын
@@abdallahmzee4335 ukweli ukidhihiri uongo utajitenga mama Fatma karume yupo hai kama wamemsingizia atakuja na sahihi yake
@samwelmasunga8293Ай бұрын
Kaka magoma ana uwezo apeleke guu lake clubuni
@ErickRichard-kh7tjАй бұрын
Hakuna aliyebushi sahihi. Inavyoonesha walisaini kweli Lkn mmewatafuta mmewapa ela wakane sahihi zao Tena mnawakana wanayanga wenzenu Tena mnajificha kwenye kivuli cha kusema ety makombe na vyote ni batili Kiongozi kamili huwajibika ili kutoa funzo Mkiongea mbele za umma ni muhimu kuzingatia aina ya watu mnaowafikishia ujumbe sio wote ni akili kisoda
@Maryc2GАй бұрын
Hao wazee hatuwataki kuongiza timu. Tunaupenda uongozi wetu wa sasa wa ENG Herse Saidi
@babycandycharles7816Ай бұрын
Wafungulieni kesi ya jinai hao matapeli hao namuwafukuze kabisa uwanachama hatuwataki fukuza hao wasitualibie timuyetu wehu hao
@AmirAbdul-v5fАй бұрын
Mhhhhhhhh mpaka nimeshanga Kwan kuna panapovuja wambie wazee hao hawatofika mbinguni make ni wa hovyooooooooooo injinia jipange kuiongoza yanga miaka 100
@mamboleoomary2723Ай бұрын
Yanga bhana eti Kila kitu wanakanusha wanasheria gan wanasubiri hadi kesi itolewe uamuzi ndio wanaamka usingizin,wanasheria wa utopolo sijui kama wana vyeti halali
Mwanasheria umepuyanga sana yan umejaribu kupindisha ukweli lakin hayo mambo ni ya kisheria sio ya kishabiki na mahakama kuu imeamua kisheria , maelezo yak hayaoani pili unaelezea uko unakwama kwama ni waz unajarib kuongea kuwalizisha wanayanga that is too bad lete hoja lete fact lete evidence
@ibrahimkasim922Ай бұрын
Huyu mwanasheria anayeongea hapo ana njaa Kali anatetea kibarua chake wakat ameshindwa kutetea kisutu
@johnmwasilu7087Ай бұрын
Kweli kabisa na muongo mkubwa
@EmmanuelChrispin-bo5xhАй бұрын
Wapolowapolo wahuniii!
@user-mi3jn7rq3kАй бұрын
Jopo hili ndiyo lilimshindwa Bm3 Wanasheria uchwara hawa
@masoudmpenda9058Ай бұрын
Ss tunataka maendelee ya yanga hao wazeee njaaaa ila muwasameee yanga ilivyo moto hata kama waliingia kwa mtutu wa bunduki kwetu ........ ❤❤
@rexgodwill7353Ай бұрын
Rita nao wanasema hii katiba ya 2020 iliyowaweka viongozi kwenye madaraka ni batiri kwa maana haijasajiliwa je hii nayo Rita niwahuni pia?
@David-mq6csАй бұрын
Wewe ni mwanasheria wa Klabu au wewe pia ni mwajiriwa unayepoteza kazi yako kwa hii hukumu? Huwezi kuwa fair… step out and speak from outside.
@salmyhussein6255Ай бұрын
Kama timu ni yao wapeni, mushakula pesa sana ni mda wao sasa
@bakarirajabu3783Ай бұрын
Yana kuhusu wewe
@fazo-kl9fuАй бұрын
Jaman aje mikoan uyo ndo atajua Kaingia Cha jeshi
@ericrukamba6802Ай бұрын
Wapumbafu hao, wametumwa kufanya uhuni ,katika Kilabu ya Yanga? Wafutwe kwanza uwanachama alafu wachukuliwe hatua kali,wahaini nafikili wametumwa na wahuni
@dietrichoswald34Ай бұрын
Ukubwa wa taasisi ya yanga uendane na uwezo wa wanasheria wake kukabiliana na maswala ya kisheria, iwe kitaifa au kimataifa. Kujirudia rudia kwa matatizo yanayohusu mikataba na kesi za ndani na kimataifa ni kiashiria tosha kuwa tunahitaji kujiongeza capacity, exposure na experience ya ku handle legal matters za klabu kubwa tena kisasa. Kitengo kiongezewe nyenzo na competent supporting staff.
@user-gy3wo2ez4dАй бұрын
Ww mwanasheria usifanye mahakama kuu yetu haina akili wala ueledi ina maana watu wagushi sain wagush uanachama alafu mahakama isijue 😂😂😂😂
@SurprisedAstronomicalMod-lp7ehАй бұрын
Huyu mzee magoma anadhani timu inaendeshwa kwa bei ya kofia ama?yani hawezi hat kumlisha msheri kwa siku halafu anaitak timu,huyu mchawi tutamponda mawe
@adelnabukuku7144Ай бұрын
Wasione vyaelea vimeundwa jamani tamaaa itawauwa kiukweri yaani time imekaa vizuri wanaanza kuleta chokochoko
@adudeswalehe8724Ай бұрын
Unasema sio wanachama wa yanga halafu mnachunguza muwapeleke mkutano mkuu wa club ??? 😂😂😂 sema KIMEUMANA
@Machozihussen-er8cpАй бұрын
Mpira wa Bongo ni siasa na upuuzi mtupu uchunguzi gani ufanyike kuhusu uanachama wao? Wakati ukiingiza jina tu kwenye system itaonyesha kwamba huyu si mwanachama au huyu ni mwanachama halali mwenye kadi ooxxy hivyo y mnawafanya wadau wa soka hawajitambui hata kidogo? Issue ya kughushi sahihi huenda nikakuelewa kidogo, baadhi ya viongozi wa soka Bongo janjajanja nyingi sana na hiyo AFCON ambayo tutakuwa wenyeji kama hatutobadilika tutatolewa mapema sana, klabu tunazotegemea sana kutoa wachezaji wenye uwezo wa kupambana kwenye international football ni simba, yanga na nyinginezo, mara Leo uwekazaji wa batili, mangungu na try again hawafai, kesho Hersi na jopo lake la uongozi wapo kibatili yaani! Stupid kabisa!!!
@user-kv8sq6qz7gАй бұрын
Matapeli walizani wataingusha Yanga hahahaha Yanga iko pale pale
@EzekiaMichael-jn5npАй бұрын
Akakae ndani huyu Mzee mchawi huyo sio bure
@BatistaNgwisoАй бұрын
Mimi nilijua tu kwenye msafara wa mamba na kenge wamo huyozee hafai kwa lolote
@chescomolla5557Ай бұрын
Uongozi wa yanga uko kiboya sana inakuaje jambo limeanza 2020 hadi leo hawalijui ngoja wangolewe na midude isiyojua hata kusoma na kuandika ndio itajua
@johnmwasilu7087Ай бұрын
Ujuaji mwingi
@DStarTz-if2koАй бұрын
Wanawadanganya mbuz wao si waishtak mahakama kama wanaonew
@britishsaid1700Ай бұрын
Ali komwe kibarua kimeota nyasi
@FloraMunis-nt7lfАй бұрын
Jamani wafatilieni hao watu wanataka kututoa kwenye mudi yetu tena wnatakiwa watuache kbis
@hakimundabila7940Ай бұрын
Hayo unaonaje ukayapesleka mahakani badala ya kwenye vyombo vya habari
@ManenoMwakyomaАй бұрын
Watoke TU yanga ni yawatu wengi sio ya kikundi
@SHIJADAVISАй бұрын
Hapa kuna walakini, hata kitengo cha sheria cha sheria kujitathimini maana Yanga sc kuna kesi nyingi klabu imeshndwa kwenye kesi za wachezaji. Hapo kuna kitu.
@MkuuuJafariАй бұрын
Anawatetea mabosi zake nawe ni batili😂wazee hawakujuwi😂 (Principle )
@herbertluoga2904Ай бұрын
Huo ni mpango wa Simba,siyo wazee wa yanga.mamluki hai
@user-hl9xu4vo1qАй бұрын
Mi nawatakia kila la heri chama langu
@RevoVkiizaАй бұрын
Injiner hersi piga kazi mwamba usitishiwe nyau
@user-xm5xg1tt6dАй бұрын
Utapeli mtupu
@ayubunangigi829Ай бұрын
Mmeyatimba ujanjaujanja mwingi,kama munaweza muipinge mahakama kenge nyie ,haiwezekani mtu mmoja afoji saini ya watu watatu,pia kama viongozi makini kwanini kesi tangu 2022 ndio ijulikane leo,mpaka muda wa rufaa umeisha nyinyi hamjakata rufaa mmejichanganya.
@YustardNkongokiАй бұрын
Wafukuzwe na tena wachukuliwe hatua kali ya kisheria wanataka kuvurugia furaha zetu
@josiacharles2778Ай бұрын
Yani izi timu zetu zinapenda kiki, jambo linatengenezwa tu ili kufuraisha watu
@dullaswahiba843Ай бұрын
NYIE MAKO MNAPO MZUNGUMZIA RAIS WA YANGA MNAZUNGUMZIA DUDE KUBWA LINALOISHI ANGANI SIKU LIKISEMA LISHUKE LITAIFUNIKA DUNIA MZIMA 💪
@NyorokaNyengeАй бұрын
Mimi ni wa simba lakin wazo langu naomba haki itendeke.hawa wazee wanyooshwe ili iwe fundisho kwa wengine.
@kazinaimwishehe-ec3xuАй бұрын
Acha ujanjaujanja watu tunajua kinachojiri
@ntulloboy2916Ай бұрын
Unaongea maajabu mzee asikilizwe anahoja za msingi acheni dhalau
@amiroamiroboa8724Ай бұрын
Wazembe sana Yanga yaani Kesi inafikia hatuwa hiyo nyiye Viongozi Hamuelewi nini kinaendelea 😦😦😦 Club itauzwa na Hamuna Habari 😀😀😀Hata mukishinda kesi hii lakini Munafaa Kujiuzulu na Kuwaomba Radhi Wanachama na Wapenzi wa Yanga..
@batistamkwele2061Ай бұрын
Wanamchango gani katika yanga hao wazee wala mihogo
@MalakiaMwantage-y5cАй бұрын
Mbona timu iliyumba hamkugombania hivo viti
@FaridahKisaluАй бұрын
Wazee noma na nusu eti Tiwakabiz timu; hadi Chama na Azizi k? Dube, Pacome hata mdaka mishale? Weee unataka kuwauza kkkk Wazee nyie no shikamo from kwangu lakin mume trend
@fazo-kl9fuАй бұрын
Yaaan kama wakijitokeza hazaran du Bora tuwapige mawe
@user-gy3wo2ez4dАй бұрын
Ili swala sio swala la propaganda ni swala la kisheria..... note this points wanayanga
@nathanmateow9455Ай бұрын
Mwanasheria gani anasema wamegushi kabla jeshi alijasema na anasema wamefanya kosa la jinai kabla vyombo husika havijasema,yeye ni polisi yeye mahakama.chuo gani Cha Sheria kasoma.