Mwandishi wa Habari Mkongwe Asema Uhuru wa Habari Ulikuwa Afadhari Enzi za Mwalimu Nyerere

  Рет қаралды 3,690

The Chanzo

The Chanzo

8 ай бұрын

Taasisi ya Maalim Seif Foundation leo imeandaa mkutano wa tatu Zanzibar katika kuuenzi mchango wa Maalim Seif Hamad katika uongozi Tanzania. Kauli mbiu ya mkutano huu ni Siasa, Uongozi na Utawala:Tumekosea Wapi, Tujisahihishe Vipi?
Kiongozi wa chama cha upinzani cha South Afrika Build One South Africa, Mmusi Maimane ni mgeni mwalikwa katika tukio hili.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 6
@chazyjacks673
@chazyjacks673 8 ай бұрын
Mzee nomaaa
@knight6757
@knight6757 8 ай бұрын
Big up...mzee !
@w4058
@w4058 8 ай бұрын
Aache aache kujikomba
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 8 ай бұрын
WAKATI WA NYERERE UHURU WA BAHARI? ACHA KUJIKOMBA!!
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 8 ай бұрын
Hahaaaa hatar😂😂
@hajihassan5433
@hajihassan5433 8 ай бұрын
Sio Bahari ni Habari. Ni upuuzi wana habari kudai uhuru. Habari ni kile usichopenda kukisikia! Unategemea uhuru atowe nani.
Waziri wa Mafuta wa Oman alivyolonga Kiswahili kama Mbongo IKULU
7:59
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 93 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
TABIA 8 ZINAZOUA MAHUSIANO MENGI
20:36
Success Path Network
Рет қаралды 19 М.
OMOSH JAKA BABA 1 HOUR || RUTO SIO SAKAJA
13:42
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 9 М.
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
Police surround Jimi Wanjigi’s Muthaiga home
7:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 76 М.
Afrolanka in Dar Es Salam vlog🇹🇿 part1
11:03
AFROLANKA
Рет қаралды 12 М.
JINSI YA KUPATA PESA | NJIA 7 ZA KUFANIKIWA KIFEDHA
11:39
Success Path Network
Рет қаралды 6 М.