Ma sha Allah shekhe kishik Allah akupe afya na uzima in sha Allah
@user4126 жыл бұрын
Shukran sheikh nurdin Allah akulipe kila la kher katika juhudi yako ya kutuelimisha..... Nazipenda sana hutba zako. Allah atukujaalia utukufu hapa na huko akhera inshallah
@ZainabJolie12 жыл бұрын
Jazzaka Allahau kheri somo nzuri sana allah awazidishie na awape afya njema na maisha mazuri duniani hadi akhera ishallah
@rajabuhassani11055 жыл бұрын
mungu atujalie sote
@Neighborsjiran8 жыл бұрын
Mashallah shukran jazaka lahu kheri
@ummhaani433911 жыл бұрын
ni nzuri sana mungu ambariki
@ustadhibrahimmohamed76218 жыл бұрын
Kwa kweli ni neema tuyaingize katika utendaji
@hdgdbsngzgsjs22115 жыл бұрын
Akuepushie na kila shari
@faridahfaa88569 жыл бұрын
Masha allah
@kultychuu12 жыл бұрын
shukran mwangazamweupe.
@maayahmerali16737 жыл бұрын
Maasha Allah,,
@afrgal11 жыл бұрын
Mola Akuziidishie na akupe Umri mrefu ili uzidi kutufunza Dini watu kaa mimi atukuzaliwa katika Uislam lakini tunapenda Uislam na tunaamini ndio Dini ya kweli,lakini atuna Elimu.Shukran