Рет қаралды 86,520
"Taarifa mbaya kwangu sitaki, nataka taarifa zilizo njema, naenda mbinguni" Ni moja ya maneno yanayopatikana katika wimbo huu.
Ni kweli tunapitia mambo mengi na pengine wengie tuko milimani na hatujui namna ya kutoka. Kupitia wimbo huu wenye ujumbe mzuri Bwana akatuponye.
Wimbo huu umebeba jina la album "MWENDO" iliyozinduliwa rasmi leo tarehe 25/06/2023. Karibu usikilize na uzidi kubarikiwa. Tunashukuru kwa kuendelea kuwa sehemu ya mafanikio ya huduma yetu.
Channel hii ni rasmi kwa ajili nyimbo zote za Mamajusi Choir iliyoko chini ya kanisa la Anglikana (The Anglican Church of Tanzania (ACT) lilipo Majengo Moshi.
Mawasiliano ya Viongozi mbalimbali:
Mwalimu wa Kwaya +255756412279
Mwenyekiti wa Kwaya +255754267151