RIP Charming Ila ukweli mwakatobe anazidi kunogesha movie daily we Nengeneka We mchumba We zuchu Vita ni vita muraaa I like it
@Ammarloliso7 ай бұрын
Shobo tu😂 anamiliki vitu baba mwenye nyumba hana 😅
@borasbinking13307 ай бұрын
Anaye Mkubali MWAKATOBE hanipe Like Twende Sawa.😃😃😃
@Ammarloliso7 ай бұрын
Anasema mimi nakula kodi tuu😂
@user-eb6nr2dp9n6 ай бұрын
Unajua
@user-ru8zk5gt4g5 ай бұрын
Ndio namjua
@user-ru8zk5gt4g5 ай бұрын
We unamjua😢😢
@user-rv9kq3up5d5 ай бұрын
Anajituma Sana huyu jamaa pongez kwake
@jumaalexis60208 ай бұрын
mwakatobwe nakukubali sana eti wechukuchaaaaa woyoyoooooyo😂😂😂😂😂
@user-pd8cm4sz7m7 ай бұрын
Mwakatobe au wew mchaw kwelii 😊😊😊😂😂😂😂
@kidawarashid55025 ай бұрын
😂😂😂usije Kuta kweli
@SharifaSalim-gg8xn5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Usikute ni mchawi
@zunguboy1085 ай бұрын
mana anapend kwel .
@user-kizota127 ай бұрын
Mambo mengi mjini kama unga wa ngano haahaha respect mwakatobe ety nibadlike nigeuke simba kama utakaa hapa au utageuka ndukii hahaha
@Ammarloliso7 ай бұрын
Maji yao mikojo baba 😅😅 faridi uwezo unamuona
@mdondijr3 ай бұрын
Nnacho mkubali mm mwakatobe cyo mkata tamaa yaan ni mpambanaji xna!
@lizchepkorir20007 ай бұрын
wakwanza kuona ni charming 😭😭 eeh mungu ipumzishe roho yake mahali pema🙏😭😭 movie nzuri kaka zangu kutoka Tanzania keep moving mwakatobe daah😹😹😹dubu on 🔥
@Bikhafija7 ай бұрын
😂😂😂😂
@lizchepkorir20007 ай бұрын
@@Bikhafija nilicheka Jana karibu kufa😹😹ama walitaka kuniua huyu dubu kweli Pooh🙌
@francinentakirutimana98316 ай бұрын
Nice movie nimeyipenda iyo🥀🌷🥀burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunawapenda sana❤❤❤
@OfficialDubu_tz6 ай бұрын
🙏🙏🙏
@theetrendingsisters25468 ай бұрын
Mwenye nyumba anaweza sana🔥🔥🔥✅✅✅💯💯
@user-tq7gp3ue7g3 ай бұрын
Rip charming! movie nzur 🎉🎉
@user-xt1jy7yi8r7 ай бұрын
Mwakatobe wewe ni mkali kabisa sapoti kwako😅😅
@Ammarloliso7 ай бұрын
Huwajui tuu😅😅paraka kaaa jiko la gesi
@dismasstanislaus65236 ай бұрын
Hii pore wapangaji mtangurizemungu
@NanoGantrevoh3 ай бұрын
We kuweza 😂
@annamtika1804 ай бұрын
We matango nyanya pilipili hoho kitungu❤😅😅😅😅😅😅
@VailetMduda3 ай бұрын
Mwakatobe umetisha
@nempodesimba18 ай бұрын
Wa kwanza nipeeni like ❤
@simonnyamai1998 ай бұрын
Mtoto wa kiume unaomba likes
@user-pj1vo8eq7g7 ай бұрын
mwakatobe mbavu zangu mimi 😂😂 hadi na cheka kwa sauti😂😂 katobe
@IddahMmasi-gd9qi5 ай бұрын
Nakupendaga sana Mwakatobe na maneno Yako...😂😂😂😂😂
@moreenmukami84758 ай бұрын
Wakwanza Mimi hapa😢😢😢❤❤❤❤❤
@Bikhafija7 ай бұрын
Wanga hawaendi pepon😂😂😂
@user-tb9yg3jg3v7 ай бұрын
Mwakatobe unaweza unaweza tena😂😂😂😂😂 eti na utasema hapo bado😂😂😂
@ThuwaibaRashid-fg2ep3 ай бұрын
Usione kanenepa huyu anakunywa kojoo😅😅😅
@user-pd7zf3tc9q5 ай бұрын
Mnaigiza vema sema lugha ni kali sana ukiwa na watoto wako huwezi kuangalia kwa nafasi.
@NuratAbdallah-zd4ip6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mwakatobe we shenge shenge tenaaa
@HASSANJUMA-ju8fpАй бұрын
Hii umeuwa bradha #mwakatobe
@user-cs2jd1fd1s3 ай бұрын
😂😂😂😂za zamani sana jmn kupiga mswaki na mti 😮😮
@user-cs2jd1fd1s3 ай бұрын
Mmmmmh
@user-cs2jd1fd1s3 ай бұрын
Kwann comment yangu imekuwa highlighted
@ramadhanimdiya3477Ай бұрын
M/Mungu akupe maisha marefu Mwakatobe uzidi kutuchekesha😀😀😀😁😂😀
@KondoRombanyama-fy5fn7 ай бұрын
Mwakatobe umenifanyanicheke mpakanilie😅😅😅😂
@andrewmwakangata37056 ай бұрын
Hii inabidi iendelezwe aseeeh😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@OfficialDubu_tz6 ай бұрын
🙏🙏
@user-sg5ir3qi3v3 ай бұрын
Una baya mwakatobe umetisha sana
@SophiaOmary-vz4cf3 ай бұрын
Hats mm nakukubali 😊😊
@madaiincubationcenter49477 ай бұрын
Nzuri sana, hongereni sana wasanii hawa wanajua kuunda maudhui ya kichawi
@OfficialDubu_tz7 ай бұрын
Tunashukuru sana 🙏
@samsonjuma8567 ай бұрын
Nangoja next plz mnatuchelewesha sisi wakenya plz
@IkaLand-mw9ci6 ай бұрын
Nakubali sana mwakatobe
@HusnaShomary2 күн бұрын
Ongera sana nakupeñdav❤
@honda.tz.17686 ай бұрын
nakuelewa xana mwakatobe we ni talent kwenye hili
@mwalwegowilly41137 ай бұрын
Kama NDIO wanavotufanyiaga ivi wachawi wanatutesa aisee😅😂
@danbestwamalwa77353 ай бұрын
Mwakatobe the mchawi😅
@HawaMansur7 ай бұрын
Ndio mukambiwa muombe sana kabla ya kulala Mchawi hawezi kukidhuru
@user-zj3hm8wm5f8 ай бұрын
Namkubali Dubu pia
@OfficialDubu_tz8 ай бұрын
🥰🥰🥰
@calebwaweru88006 ай бұрын
Watching from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪all the best
@user-zu3vk6dt3p7 ай бұрын
Mwakatobe we n nomaaaaa❤❤❤
@shazilnamkoko-jx4fp4 ай бұрын
Hivi huyo charming Charles ni nani naomba nijuzeni,wazee wa achukucha...
@nganjimovie2 ай бұрын
Kaka m nakubarii sana uwezoo wako
@oman1oman1797 ай бұрын
Mwakatobe kimemkuta kitu😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu mimi
@Ammarloliso7 ай бұрын
😂😂tuungane nguvu 😅😅
@fatumaathumani48433 ай бұрын
Nampenda dubu❤❤❤
@OfficialDubu_tz3 ай бұрын
🙏🥰
@vicklove79857 ай бұрын
Eti mmetupa nguvu za kuwatesa wana inchi ila cha kushangaza ndo wanao tutesa sisi😂😂😂😂😂😂 our God is alive bana
@Ammarloliso7 ай бұрын
😅😅wewe unakula biriani baba mwenye nyumba amekaaa tuu 😅😅
@Kindamtatatz7 ай бұрын
R I P mwanangu xana,ulitixha xana kweny cn zako 😢😢
@Jaydannychawaboy.8 ай бұрын
Eti wachikucha wayayowoya 😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢 mwakatobe weeeeee😂😂😂😂😂 nakukubali Sana 😂😂😂😂😂❤❤❤
@dokorati7 ай бұрын
Naomba nijue hii movie imetoka lini mana naona wanatukumbusha yalio pita😢
@user-oq1wx2le5h7 ай бұрын
6 . Be 666yyyy6yyy
@nickjovin78627 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-gt6qt6yu8b7 ай бұрын
Et Juma selemani😂😂😂
@barbiepixie926 ай бұрын
Ila.mwakatobe😂😂😂
@user-gx9gd9zc3o7 ай бұрын
Mwakatobe aki wee utakua mchawi wavkwel😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@user-mu3rb5cw1t8 ай бұрын
Mwakatoka ukute ulimloga kweli charming
@ngumbaohalimah657 ай бұрын
Jamaniii😂😂😂
@Nimriysbabe9847 ай бұрын
😂😂😂😂jmny
@pilishazycounterog82006 ай бұрын
,😂😂😂
@user-ih8ix1qf1c6 ай бұрын
Mwakatobe🔥🔥
@haso_mutribuog73837 ай бұрын
anahitaji kubanduliwa😂😂
@Ammarloliso7 ай бұрын
Chogo kaa mwiko 😅😅
@SophiaOmary-vz4cf3 ай бұрын
Unasema kweli
@AnnetyMalai15 күн бұрын
Nikibokoo mwakatobe❤😊
@user-op4cy7wc6u4 ай бұрын
Unawez aun mpizan
@user-rp5qo2bi3s6 ай бұрын
Mwakatobe unakuja kwa moto sana bro unatisha kama zuchu🔥🔥🤣🤣🤣🤣
@TeddyAmos-go9qq7 ай бұрын
Duuuuuuuuu nimecheka sana hii moviee
@rahymaaa43577 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Ila Huyo baba Ni kiboko Kwa mikavu live mwakatobe Dah 🔥
@Ammarloliso7 ай бұрын
😅ongoza njia 😅😅 twende uku weee bwege 😅
@SophiaOmary-vz4cf3 ай бұрын
ammarloliso
@user-gz1om8yg2e7 ай бұрын
Nakubali baba ❤❤❤ ukiinngiza mganga hahaha😂😂😂
@PendoJoseph-vm1oc3 күн бұрын
Mzurimwakatibe kapatikana
@lovelyakvee7 ай бұрын
Juma kijicho kwamb walimponz kweny bigboss😂
@dommykatey30377 ай бұрын
Tipwatipwa ameshindikana😂😂i love your creativities guy! Mob love from 254🇰🇪
@OfficialDubu_tz7 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@KatibuWakutesaАй бұрын
Bab uyu jamaa anatisha san maan kila kionjo atari nwakatobe tisha sanaaaaas
@Verohtv2547 ай бұрын
Watanzania naomba sasa mwende mnichinguzie mwakatobe😂😂😂😂 haikosi ni mchawi wa ukweli 😂😂😂😂
@OfficialDubu_tz7 ай бұрын
🤣🤣🤣
@sosomokobiasharamgaya30208 ай бұрын
Rip charming charz
@user-kt8ib5dz4w4 ай бұрын
Hatariiii kwa kweli huyo ndyo mwakatobe bhn 😅😅😅😅
@ashamwanganzi64008 ай бұрын
OMG 😢😢😢😢Rip charming daaah
@F.j844 ай бұрын
Wallai nimecheka mpaka basi movie mzuri na hongereni
@OfficialDubu_tz4 ай бұрын
🙏🙏
@AbuubakarJuma-se9cp7 ай бұрын
Charming🎉🎉 pumik kW aman❤❤
@FoziaGure-kn7cb7 ай бұрын
Rip charming Charles we miss you
@OfficialDubu_tz7 ай бұрын
🌹🌹
@mrsinia30645 ай бұрын
hiv huyu charming charles ndio yupi
@musakihama72057 ай бұрын
Et uliniponza kwenye big bosi nikafa kizembe😂😂😂😂.
@lawrencetngenzi79776 ай бұрын
😂😂😂nimeipata hiyo
@user-qy6mn9sl5o8 ай бұрын
Charming jamn why😭😭😭
@imanichalle7 ай бұрын
Mwakatobe mchawi kweli mm namjua
@user-gx9iz1gi1w7 ай бұрын
Mwakatobe unajua mpk unajua tenaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Jimmie_theDirector7 ай бұрын
Kuna uwezekano Uyu jamaa ni Mchawi Kwa maisha yake ya kawaida 😂😂😂😂😂😂😂
@user-kq9ye8ow7l7 ай бұрын
Hata mi naona
@lizchepkorir20007 ай бұрын
si uongo huyu nimeanza kumshuku🥱
@auntmakochela42027 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-ei9su8hj3s7 ай бұрын
Aah mwenye nyumba huyu hataru 😂😂
@ZainabAbdall-kr4wv22 күн бұрын
Uko vizuriii mwakotob❤
@user-ds6vk7nn1s7 ай бұрын
Eti wanakula kinyesi nomaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂mwakatobe
@aminahhuawei11337 ай бұрын
Baba mwenye nyumbaaa hahahahaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Ammarloliso7 ай бұрын
😂😂unakua unadamshi tuu😂 wewe sikufanyi mmbwa 😂😅
@tatojob5727 ай бұрын
Duuuuh waichukucha yenyewe
@mwadinikheri37723 ай бұрын
Dah hii ni kiboko
@elizabethkithi37535 ай бұрын
😂😂😂😂😂 yani nmecheka kma mjinga🎉❤😂😂
@user-ds6vk7nn1s7 ай бұрын
Yaniiiiii mwakatobe nakupenda unanifulaisha sana 😂😂😂😂😂
@dommykatey30377 ай бұрын
Nakutii unanitii kwaiyoo...😂😂😂
@user-rd8xi7oo6s3 ай бұрын
Kwann san ni Tamthiliy za kichawi wakuu
@user-tq7ex5ni3p7 ай бұрын
We mchawi balaaa!!!
@stellamichael64062 ай бұрын
Nampenda uyu kaka hadi anavyoongea duh❤🥰
@OfficialDubu_tz2 ай бұрын
🙏🥰
@user-nb9kb3ur7d5 ай бұрын
Unaweza nakukubali kinoma
@user-gx9gd9zc3o7 ай бұрын
Charming wetu hatutakusahau😢😢😢😢😢
@dancannyachoti27137 ай бұрын
Mwakatobe anaweza😂😂
@Ammarloliso7 ай бұрын
Utajua ujui 😅😅 mchumba tu😅 Ngoja nikaufanyie kazi
@RahmaRahma-xi4mf7 ай бұрын
Naipenda kinga vhy nuce
@AshfatCpeezy-jc9fw4 ай бұрын
Uyuyuya waichkucha😂 anakodoa kodo
@kusanyaofficial63297 ай бұрын
hahahaha mwakatebe 😢 from burundi
@zawadimlelwa63347 ай бұрын
😂😂😂😂 jiti la makalioni ni fooko fooko
@user-nd8zl5ix9u6 ай бұрын
❤❤❤❤ mwakatobe oweeee 😂😂😂😂
@user-qq4zr3sk2g2 ай бұрын
Mwakatobe kwani shenge ndio nini😂😂😂😂😂
@user-st3hv8pi9i5 ай бұрын
Nlimic hajra❤ kitambo sijamuona
@user-nd8zl5ix9u6 ай бұрын
❤❤❤ mwakatobe oweeee😂😂😂😂😂😂😂
@luisaugustovictor8158 ай бұрын
Juma jicho tayari amesha pelekewa moto🤣🤣🤣
@happykwela3337 ай бұрын
Nimechekamno kwakweli, et komwe ka skulu bas,uso umepauka ka mtaa ulokosa maendeleo😂😂,ila huyu dubu mchumba hata me nmemuelewa😂😂❤❤