MWIJAKU ABANANISHWA NA DAHUU, GEAH ISHU YA KUPEWA GARI NA MKEWE, TAZAMA AKIJITETEA ATOBOA SIRI

  Рет қаралды 104,307

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 199
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Жыл бұрын
Hongera Mwijaku mwanaume mwenye kujiamini 👍👍👍
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
Asante Da Huu umeweka ukweli halisi hakuna kuficha. Hizo hela za Royal Tours aseme tu ukweli sio kudanya umma
@dogojahman9381
@dogojahman9381 2 жыл бұрын
Uyo mwamba waga namkubali sana yeye na Levo 💪💪💪💪💪💪 maisha niku pambana kwa kila njia mna jua kuzi saka saana
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Me too
@mesikamesika3008
@mesikamesika3008 2 жыл бұрын
Elimu bila kujitambuwa ni adhabu ya kichwa. Huyu bwana hekima hana wala hofu ya mungu. Vijana tupambane maisha ni fumbo
@deotvonline2776
@deotvonline2776 2 жыл бұрын
Kama umemuelewa mwijaku kaamua kujinunulia gari ili kumkumbusha Mama Samia amkumbuke kwa kujipendekeza kwake gonga like hapa🤣🤣🤣🤣😂😂
@methuselamarco7108
@methuselamarco7108 2 жыл бұрын
Asante dadaangu umeliumbua lipumbavuu hiloo
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 2 жыл бұрын
Chama la wana WATOTO✔️ NYUMBA ✔️ GARI✔️ SIMU✔️ 😂😂😂 unamuita mpaka mkeo, mme wangu 🤗🤗 👏👏👏👏
@hdggu6792
@hdggu6792 2 жыл бұрын
Huyu baba muongo jamani midevu kama striwaya😂😂😂
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Yahni
@KamstheMixologist
@KamstheMixologist 2 жыл бұрын
Mwijaku we love you from Congo 🇨🇩
@rahima928
@rahima928 2 жыл бұрын
Gari amepewa na silence ocean ya biashara yeye na baba levo yani uonyeshe upendo sehemu nyingine baada ya familia yake eti akupe gari unajitia sheikh unasema daimond na rayvan wanatembea na wanawake wakristo wakati wako umeshindwa kumbadilisha dini wala jina
@josephmateru8892
@josephmateru8892 2 жыл бұрын
Nimewapenda bure mmeongea ukweli mwijaku mpigaji cna na vijana wanachulia vtu simple cna
@allenudindo3803
@allenudindo3803 2 жыл бұрын
fresh sana mwijaku,sifa za mwanamke wako ni kitu kikubwa sana ,upendo 🌹
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 2 жыл бұрын
Da geah mzuri
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 2 жыл бұрын
ila mwijaku usife sasa ivi mungu akuweke tunacheka sana juuu yako,
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md 2 жыл бұрын
Mwijaku we unajua kufurahisha binaadam big up bro me uo uso wako ndo unanifurahisha yani unaonesha kabisaa km unaongea unachojiskia tu kuongea. 😀😀😀👍
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
*Da huu* Umetisha, wallah nimecheka 😀😀😀😀
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 2 жыл бұрын
😀😁😂 ananifurahisha sana Mwijaku mambo yake
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Napenda sana vituko vyake 😀😀😀 mwijaku khaaaa😀😀😀
@abdulnaseerabdulhakeem9302
@abdulnaseerabdulhakeem9302 2 жыл бұрын
" Et mme wangu,aaah mke wangu" 😁😁😁😁😁
@samatarabdullahi8083
@samatarabdullahi8083 2 жыл бұрын
Safi mwijaku.Napenda sana wewe uko mwongea wazi.Salamu kutoka Somalia.
@christiannyamamba9089
@christiannyamamba9089 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 mwijaku mtambo sana ana utoto mwingi sana
@ramadhankanoun3007
@ramadhankanoun3007 2 жыл бұрын
Jicho kwa da Geah kwa Mwijaku daaaah🤣🤣🤣🤣🤣limenichekesha sana
@lelarubea6405
@lelarubea6405 2 жыл бұрын
Mwijaku muongo amenunua mwenyewe anataka kuonesha amenunua,aliona akionesha mwenyewe watu watamchamba kwasababu anasema watu kila siku
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 2 жыл бұрын
Mwijaku muongoo,😂😂😂Anasutwaa jamniii😂😂
@fadymoses4994
@fadymoses4994 2 жыл бұрын
Mwjaku 🙌🙌😂😂
@aminakazogolo2229
@aminakazogolo2229 2 жыл бұрын
Nmecheka🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏽
@chieframadhani4976
@chieframadhani4976 2 жыл бұрын
Mwijajo ni mbishi aliesoma aiseeeeee
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Hela ya mwijaku nagar kaenda kununua yeye mwenyewe kampa mkewe apate kuongelewa
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 2 жыл бұрын
Napendaga mwijaku,akipambambanishwa na baba levo
@shaniashani7026
@shaniashani7026 2 жыл бұрын
Da huu ❤
@shamsishaaban6695
@shamsishaaban6695 2 жыл бұрын
Husna safi sana huo ndio ukweli
@saleheheda4537
@saleheheda4537 2 жыл бұрын
Mwajaku Chawa mwenye Akili nyingi
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 2 жыл бұрын
Mwijaku si alisema yeye nitajiri ana hela kumshinda daimond sasa Leo Hana hela vipi? Alafu ana deal na beti za WCB na matangazo mengine kaona haya kusema kanunua yeye watu watamponda gari ya rahisi angalau angenunua gari ya milion 60 kwasababu yeye anasifa kukosoa watu
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 жыл бұрын
Kumbe hata babalevo pia yuko na hela kumshinda🤣
@simulizi2632
@simulizi2632 2 жыл бұрын
Mwijaku maneno ya uongo na kujiamini kwake ukisikia yanaumiza 🙋🏾‍♂️😖
@joachimompesh7387
@joachimompesh7387 Жыл бұрын
Jitu Kama hili siyo la kuliiga fala
@yahkiwera3611
@yahkiwera3611 2 жыл бұрын
Kazi kwelii kwelii
@rukkynassor2279
@rukkynassor2279 2 жыл бұрын
Hapo wasema kweli
@almachiusemmanuel9506
@almachiusemmanuel9506 2 жыл бұрын
Mwijaku uko sahihi mkuu
@sophiamumbe888
@sophiamumbe888 Жыл бұрын
Hiyo gari kanunuwa mwenyewe mwijaku wewe unapenda sana sifa na kubwiiru
@kimingowameno4068
@kimingowameno4068 2 жыл бұрын
Duuu jamaa Ana macho makavu huyu hahahahaha
@jamesobedy3940
@jamesobedy3940 2 жыл бұрын
Kumbe wanakujua wenzio 😂😂😂 Muongo hivyo 😂😂😂😂😂😂😂😂
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 2 жыл бұрын
Eti wanamkopa 🤣🤣 halooo mwijaku
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 2 жыл бұрын
Nimeskia iyo kauli ya million tano ya yule kaka kumbe mbwa tu
@francismwacha253
@francismwacha253 2 жыл бұрын
Gea ni mweupe pee😁
@mwombekimartin4761
@mwombekimartin4761 2 жыл бұрын
Aya bwan
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bwana Mwinjaaaaaaa!!!!
@hosnakamees5454
@hosnakamees5454 2 жыл бұрын
😂😂😂😂🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@salmamakweta1198
@salmamakweta1198 2 жыл бұрын
mwijaku nimekupenda sababu unamsaport Konde
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nicheke mie watazania acheni Kuishi maisha ya kujisifu tunajuwa mnavyotaka maisha feck
@aminakazogolo2229
@aminakazogolo2229 2 жыл бұрын
Geah🤣🤣🤣🤣🤣
@innat04
@innat04 2 жыл бұрын
maneno mengi mpaka umetoboa siri mwisho ukasema 'nimenunua kwa Jasho langu' 😆 Mwijaku wewe!!!
@nesto3587
@nesto3587 2 жыл бұрын
Namsubiria babalevo anajibie maswal hayo😂😂🤣😂
@realramjen3270
@realramjen3270 2 жыл бұрын
Kanunua mwenyewe
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 2 жыл бұрын
Mwijaku wewe umepewa hela ya royo ya mazaaa bana wacha kutuzengua wewe😅
@vickykapama8386
@vickykapama8386 2 жыл бұрын
😃🤣🤣🤣🤣 kha Mwijaku atafika Mbinguni amechoka sana kwa UONGO ANAVYOUPIGA🥲🥲
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
🤣🤣nacheka kama mazuri
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Kazi ipo hapo kwa Mwijaku
@charlottempangala3881
@charlottempangala3881 2 жыл бұрын
Hivi mwijaku yuko sawa kweli???
@barracksgabriell9152
@barracksgabriell9152 2 жыл бұрын
Kwenye leo tena kasema milioni 18 hapa anakomaa 22
@Zenny89
@Zenny89 2 жыл бұрын
Kha!! Lexus??😳🤣🤣🤣
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 2 жыл бұрын
😃
@magynzioka1122
@magynzioka1122 2 жыл бұрын
Mwijaku unawafanya wanaume wezio wajione kama awaoa wanawake saiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mwijaku msifie Hadi upokonywe
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Mimi nataka niwe chawa wako
@lillianbarongo2807
@lillianbarongo2807 2 жыл бұрын
Mwijaku 😂😂😂
@mariamally1244
@mariamally1244 2 жыл бұрын
Muongo mwijaku
@worldstartz
@worldstartz 2 жыл бұрын
😂 😂
@allykota8355
@allykota8355 2 жыл бұрын
Kapewa na Mama anatangaza movie
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Jomba Mwijaku Leo unasutwa makavu live 🤣🤣🤣🤣
@zenamwasekaga7460
@zenamwasekaga7460 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄Mwijaku nyie🙌
@lelarubea6405
@lelarubea6405 2 жыл бұрын
Sasa lazima uje uoneshe mtandaoni mambo ya gari,kazi kupenda kusema wenzako kumbe nawewe unapenda kujionesha huna lolote
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 2 жыл бұрын
Kakojoe ulali lela..
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 2 жыл бұрын
Kabisa akojoe alale kweli
@belak999
@belak999 2 жыл бұрын
Na wewe km unalo onyesha 🤸🏻‍♂️🤸🏻‍♂️🤸🏻‍♂️
@bernadyahimba4279
@bernadyahimba4279 2 жыл бұрын
Kumbe bajaji ilikuwa ya kwake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 2 жыл бұрын
Mmesema kweli tuache mitandao
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 2 жыл бұрын
Mhh km unaoa Kwa sababu ya ivyo Kuna mapenzi ya dhati kwr hp 🤔🤷🏾‍♂️
@bahatimkando8875
@bahatimkando8875 Жыл бұрын
Wwwww 😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪
@ayubukedimundi3221
@ayubukedimundi3221 2 жыл бұрын
Mwijaku ndio kanunua Gari kama box hahaha hahahahaha kaona aibu kusema kanunua yeye a naona haibu
@mwanajumamohammed6327
@mwanajumamohammed6327 2 жыл бұрын
Fumbo kwa mama samia
@melcksedeki1012
@melcksedeki1012 2 жыл бұрын
Mwajuma choko tu
@aishambagi7371
@aishambagi7371 Жыл бұрын
Mwongo mkubwa
@emmanuelemmanuel3047
@emmanuelemmanuel3047 Жыл бұрын
mke wangu wanamkopa
@simiyioninkwaya9291
@simiyioninkwaya9291 2 жыл бұрын
Umesema ukweli dada yagu
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 жыл бұрын
Wabongo kweli wanafi yaani mke kumpa zawadi mumewe nyie kinawauma nini jamani wivu mbaya ongera sana mwijaku
@ayubukedimundi3221
@ayubukedimundi3221 2 жыл бұрын
Sio kwamba wivu..... Mwijaku kaona akisema kanunua Gari bovu ivyo Gari kama nyumba kama box wakina baba levo watamcheka kaona asingizie mke wake
@maryamdunga3896
@maryamdunga3896 2 жыл бұрын
Wanaushamba
@jailoschahe9124
@jailoschahe9124 2 жыл бұрын
Unamshugulikia vizuri iyo ndo zawadi ya kumshugulikia vizur
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 dume zima linafurahiya kupewa gali na mkewe kama kaongwa anakupumbaza uyo mkeo aya kunasiku atakuzawadia na mume mwingine na umpokeeee na utangazee kama unavo ropoka asaivi
@mkongwegabagendi2713
@mkongwegabagendi2713 2 жыл бұрын
Nimecheka 😂
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 2 жыл бұрын
Alivyo mkavu Sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@laizerlekisongo1216
@laizerlekisongo1216 2 жыл бұрын
Dada nimekuelewaaaa Yan na ile bajaji nimekuelewaaa
@costantinebahakaso3736
@costantinebahakaso3736 2 жыл бұрын
Hana hera
@festomatewa3638
@festomatewa3638 2 жыл бұрын
huyu jamaa mpigaji saaana😆😆😆😆
@omanigaming6430
@omanigaming6430 2 жыл бұрын
Mwija😆
@fidelekahezi5175
@fidelekahezi5175 2 жыл бұрын
😂😂😂😂🤣tuma mtambua sasa
@alkhudhertarek976
@alkhudhertarek976 2 жыл бұрын
😁😁😁😁chawa huyu
@godlistenorio5950
@godlistenorio5950 2 жыл бұрын
Tangazo hili jamani
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 2 жыл бұрын
7
@portinagodson3836
@portinagodson3836 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shamssaid2892
@shamssaid2892 2 жыл бұрын
Gea umeshikika🤣🤣🤣
@aishatest4451
@aishatest4451 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂😅
@samwesupa6906
@samwesupa6906 2 жыл бұрын
Hhhhhh
@irenebeddah6524
@irenebeddah6524 2 жыл бұрын
mmempa makavu. nimependa
@teodosiampogole6767
@teodosiampogole6767 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mosesgatsinzi7308
@mosesgatsinzi7308 2 жыл бұрын
Haha Yaani Tanzanians nawapenda tu sana
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Daah jomba jomba mwijaku kampeni ya wanaume huko bongo muanze kuogongwa magar na kununuliwa vitu kama zote, jamani nchi wanawake mmeachiwa muanze kununulia wanaume magari 😂😂😂😂😂🏃🏿🏃🏿
@majutosanaelias4307
@majutosanaelias4307 2 жыл бұрын
Una bere wara nyuma
@kimingowameno4068
@kimingowameno4068 2 жыл бұрын
Hahahahaha
@majaliwakinyonyi1006
@majaliwakinyonyi1006 2 жыл бұрын
Anawadanganya iyo nimilion 8000.000
@khalossalim3723
@khalossalim3723 2 жыл бұрын
Mwijaku mkavu 😂😂😂😂😂😂
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,5 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
LIVE MAHABA YA MWIJAKU AKIMSHAWISHI SNURA AMUOE MKE WA PILI
14:05
Millard Ayo
Рет қаралды 179 М.
GEAH HABIBU,NATISHIWA AMANI,AMTAJA ADAM MCHOMVU #NIPE5 TBC
31:35
Gangana Info Channel
Рет қаралды 34 М.