No video

MWIJAKU AFUNGUKA BIFU ZITO LA RAYVANNY NA MARIOO KISA PAULA/ BASATA WAINGILIE KATI/ WASIJE KUUANA

  Рет қаралды 58,193

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

MWIJAKU Ametema Cheche Jioni Yaleo Wakati Akifutulisha Watoto Yatima Maeneo Ya Sinza #mwijaku #marioo #rayvanny

Пікірлер: 62
@kairatiswahilli7024
@kairatiswahilli7024 Жыл бұрын
Mimi jamani Siwezi kuongea neno baya kwa mtoto wa mtu kwa Sababu na mie nina mtoto😢
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
Umegonga ndipo muhimu tuwaombee
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 Жыл бұрын
Muogope Mungu mwijaku, haifai kufuatilia maisha ya watu na kuwadhalilisha. Wasitiri na wewe utasitirika siku ya kiama.
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Eti nyonya damu jamani 😁😁😁😁🙌❤️
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Жыл бұрын
Kweli kwa maneno ya mwijaku kuhusu Rayvan ni wazi kamrdia fayma kulipa kisasi Hakuna upendo wa kweli tena kwao
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
Kisasi gani
@norahmakrean525
@norahmakrean525 Жыл бұрын
Kisasi gani
@maymbeyu5458
@maymbeyu5458 Жыл бұрын
Nmemmiss mwijaku jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Nyiee!! Msimlaum marioo Paula nae kazd kujirahisish Kwa wanaume weny pesa marioo kua na Paula sio tatiz rayvany atulie na mkew uko!!
@-cv4qk
@-cv4qk Жыл бұрын
👏
@SamiryOmary-yw6se
@SamiryOmary-yw6se Жыл бұрын
Wachwenii jmn paulaa
@OfficialValentin
@OfficialValentin Жыл бұрын
Darasa la 7 B
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Жыл бұрын
Nyonyadamu😂😂😂matapeli 😂😂😂😂😂
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Жыл бұрын
haaàa mwejaku iko kazini apo itabidi Ray akulipe mapema
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r Жыл бұрын
Ila huyu baba daah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅
@rusijuju3845
@rusijuju3845 Жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂
@magakany6688
@magakany6688 Жыл бұрын
Mume na mke ni wafunge ndoa kama hakuna ndoa bc nirafiki ila hakuna mume na mke ukizaa naye ni mzazi mwenzako kwani mtoto alipatikana wakiwa marafiki ila sio mume na mke hapo bdo ni marafiki tombeni Dua afunge ndoa tu
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌ila mwijaku eti nyonya damu jmn
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Ni kweli analoongea kajala ni mchunaji
@louangesid
@louangesid Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@mwezzireen17
@mwezzireen17 Жыл бұрын
Niwanyonya damu za watu wale😢Mario katachuka chini ty Hadi kwa mziki
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
Wewe Marioo Mtoto wa Mjini .Tofautisha mtu anayetoka Mbeya au Mtwara Na Mtu Aliyezaliwa Dar na Kukulia Hapa hapa😂😂😂.Hanyonywii.kina Harmo na Ray Wameingia Kichwakichwa
@rehemafungo7387
@rehemafungo7387 Жыл бұрын
Kumbuka!mapenzi hayana mtu wa mjini🤔,sidhani kama sisi watu wa Mbeya ni washamba kama unavodhani ndugu,pls!
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
@@rehemafungo7387 Kama Sio Ushamba Ni Nn,Yani Rayvanny Alikuwa anajua Paula Aligongwa Na Harmonize.lakin akampeleka Kusoma Uturuki .akamuacha Mke wake wengine wakimgongea .Koh Mpaka Sasa Rayvanny Kagongewa Fahyvanny na Hela Kapigwa.
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Жыл бұрын
Kwani dowa ilisha tiari mpaka Ako kwa marioo😅😅😅😅
@jumakapola419
@jumakapola419 Жыл бұрын
Wauza uchi wa mitandaoni ayo ndio kazi zao apo ni ela tu
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
Nyonya damuu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Wewe mwanaume mzima mbona unatoa!!! Unavyowaibia kwa domo lako
@agnessndaro2897
@agnessndaro2897 Жыл бұрын
😂😂😂😂nyonya damu😂😂
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu Жыл бұрын
Mabause wann.nikweli....
@lovenesstaim513
@lovenesstaim513 Жыл бұрын
Rayvan aliachana mda mrefu na Paula , kwasasa amerudiana na mkewe Fayvan, sasa kipi kinacho muwasha Marioo kuwa na Paula???? na endapo akimkasilikia Marioo basi Rayvan bado anampenda Paula, eeeeh! Guys Rayvan mke wako fayma nimzuri sana, lakini anachepuka, mwanaume yeyote ambae hajawai kuchepuka aniite mbwa tafadhali niko pale namngoj
@MwajumaOmar-sg1ob
@MwajumaOmar-sg1ob Жыл бұрын
Wenae usituchoshe nimke au hawala hana talaka 😁 eti mke wew sema mzazi mwenzi kwani alimuoa lini kwa ndoa ipi?
@MtuSafi
@MtuSafi Жыл бұрын
Mkewe?😂😂
@lovenesstaim513
@lovenesstaim513 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 akina juma lokole utawaona tu
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Sasa ulitakaje?Mario na Paula wawe single forever
@lovenesstaim513
@lovenesstaim513 Жыл бұрын
@@agwalubifaridah7079,,,No, ndo kwanza natak kuona mambo mazuri zaidi ya haya yanayo endelea
@AhmedMbarak-wr4wd
@AhmedMbarak-wr4wd Жыл бұрын
Hahaha mwambino ana hashuo
@khamisali5978
@khamisali5978 Жыл бұрын
Huyu jamaa mbona ukimuona ndani ya mitandao anaongea mambo ya watu tu
@yveswasso1350
@yveswasso1350 Жыл бұрын
😆😁😁
@mrsab303
@mrsab303 Жыл бұрын
Mwijaku 😅😅😅😅😅😅
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Afu kihusu mkewe kumnunulia range,yeye anafanya kazi gani huyo mkewe ya zaiiid hadi yeye ndio kuwa mara zote anamnunulia magari mwijaku?
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Жыл бұрын
😂😂😂nyonya damu mwijaku
@hellenbenny8913
@hellenbenny8913 Жыл бұрын
Umbea tu umewakaa khaa bongo bwana
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Hili jamaa limbea sana jitu la hovyo linachafua watu mno lipo kama cyprian musiba
@mohammedwanjiri2057
@mohammedwanjiri2057 Жыл бұрын
Umenena ukweli😂😂
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Жыл бұрын
Hahahahahaha
@maryammwinyi932
@maryammwinyi932 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ety mtu km mwambino hawez kumualika.....marioo hawez coz anazini😂😂😂😂😂😂
@HalimaJuma-de5gc
@HalimaJuma-de5gc Жыл бұрын
Marioo kumchukua demu wa rayvanni kazingua sana hawawezi kuwa marafiki kama zamani
@lovenesstaim513
@lovenesstaim513 Жыл бұрын
hmm!
@allanothuman2941
@allanothuman2941 Жыл бұрын
KUMBE DEMU SS TTZ NN HAPO SS ET KWAN WW HUY ULIE NAE N WAKWANZA
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Heeei sasa Rayvanny naye ingawaje nampenda alitaka kufukuza ndege wawili?
@olivemauwa2877
@olivemauwa2877 Жыл бұрын
Mario Hana kosa rayvanny akaende kwa mke wake
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Mwijakuu eti ataniletea hashuwooo unavituko
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
😏😏😏😏😏Mwehu hauna akir🤔🤔🤔mukafili
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Ameongea ukweli Kajala tapeli
@louangesid
@louangesid Жыл бұрын
Ukweli unaumaa😁😁😁
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
RIP Swahili
@louangesid
@louangesid Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁 binti ameshamshika masikio
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 46 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
HOUSE GIRL EP 38 | S2 | love story💞💕
20:06
BUSATI TV
Рет қаралды 16 М.
MY MOTHER EP 03  | Sad Story 💔💔
20:32
BUSATI TV
Рет қаралды 4,4 М.
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 46 МЛН