MWIJAKU AFUNGUKA ZUCHU KULALA NA DIAMOND/HARMONIZE KUOA/MKE WA PILI WA ALI KIBA/BODYGUARD WA DIAMOND

  Рет қаралды 4,209

Carrymastory

Carrymastory

11 ай бұрын

Tumepiga Story na Mwijaku

Пікірлер: 15
@salimakuyela7813
@salimakuyela7813 11 ай бұрын
Mwijaku Yuko sahihi nampenda na anajua dini Ujumbe unawafikia wahusika wakitaka waufanyie kazi wasipotaka waache ila ukweli kaongea♥️♥️♥️
@halimamasai2234
@halimamasai2234 11 ай бұрын
Mwijaku upo sawa usthadi ujumbe umefika kwa wahusika 👍👍👍
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 11 ай бұрын
Uko sahihi kaka ujumbe umefika hisabu iko kwa Allah
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 10 ай бұрын
Zinnah ngapi umefagilia we Mwijaku????
@helenkambi3918
@helenkambi3918 11 ай бұрын
Mmmh dini yaijasema mkubwa haikosei. Kwa hivo mtu mkubwa akitenda kosa aachwe tu kwa sababu yeye mkubwa
@salassalas-eo6vo
@salassalas-eo6vo 11 ай бұрын
Ustadh tunakuuliza waislam kamari halali kwenye uislam wewe si balozi wa kamari tumeamrishwa tufanye kazi za halali tule halal kufanya umbea ukashif watu kwenye mitandao na kuwataja majina hio halal kwenye uislam basi nnakufahamisha hayo ni katika madhambi makubwa kwrnye dini riudi kwenyedarsa ukasome uilewe vizuri dini uijue ndio useme kwenye mitandao kuchukua mkono wako uka mpost mkeo watu wasostahiki kumuona wakamuona hio ipo kwenye dini hatukatai wanofanya kina zuchu lkn dini yetu inasema mfate mtu pwke yake umfahamishe usimkashif watu wakaskia kuna watohukymiwa akhera kwa siri na kuno watohukumiwa kwa dhahir ambao ni hao wanoadhirisha aibu za watu wakazitangaza isome vizuri dini ndugu yangu uilewe ki undani kabisa
@OnlyRuky
@OnlyRuky 11 ай бұрын
Swadaktaaaa huyu ni mnafiki ktk wanafi because na dalili zake zote anazooo Shwain huyu
@abdiadam394
@abdiadam394 10 ай бұрын
Hakuna aya inayosema "ujana ni nusu ya kichaa" unaboronga ayaa na hadith usifanye hivyo
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 11 ай бұрын
hakun haja ya kukumkubusha ataiona interview mwenyew
@salassalas-eo6vo
@salassalas-eo6vo 11 ай бұрын
Na kuimba umkataze pia afanye kazi ya halal mziki haram kwenye dini pia sema km mziki haram usifiche
@helenkambi3918
@helenkambi3918 11 ай бұрын
Hapo mwijabu sikubaliani na wewe. Sai mke wako ashamaliza miaka mingi akwenye dini mke wako hajitandi mtandio ana suka nywele marasta na mambo mengi mengine
@OnlyRuky
@OnlyRuky 11 ай бұрын
Waaandi wahabri Asanteni leo mmejua kumpa za Usooo huyuuu Munafikinaa
@salassalas-eo6vo
@salassalas-eo6vo 11 ай бұрын
Sasa kuimba halali mbona una sapoti waimbaji na nyimbo haram tunaambiwa anaesikilizatu atakwenda kuwashiwa moto wa mashikio sasa mbona na wewe una sapot waimbaji na uisla umekataza mziki na haram
@fakiikibakola1300
@fakiikibakola1300 11 ай бұрын
MIAKA 10 YA NDOA BDO TU AJAZOEA TU UISRAM AWEZI TNA HYO KAFIRI
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 11 ай бұрын
haha mkono unauma kaniloga kweli very stupid
BABA YANGU KIPOFU Full episode /23/ #love
28:53
BabaJoan
Рет қаралды 197 М.
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
Why Is He Unhappy…?
0:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 67 МЛН
头还可以刷卡买东西的吗?#海贼王#路飞
0:26
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 20 МЛН
il caldo fa brutti scherzi #dog #fight #punch
0:18
Cronache della Campania
Рет қаралды 23 МЛН