No video

MWIJAKU APEWA ZAWADI NA DIAMOND AMSIFIA NA KUMUAMBIA HAYA MAZITO MBELE YA WAALIKWA "UOE SASA"

  Рет қаралды 35,406

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Ni kutoka kwenye hafla iliyoandaliwa maalumu kwaajili ya uzinduzi wa Wasafi Beti ambapo wamealikwa watu mbali mbali maarufu. PLAY kutazama video

Пікірлер: 61
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
Mwijaku nimependa sana kumkumbusha nasibu kufunga ndoa ni jambo jema sana hongera sana kwa ukumbusho
@godfreylutengano9367
@godfreylutengano9367 2 жыл бұрын
Hapo ndio mjue ukubwa wa Mwijaku
@abdimsagati9667
@abdimsagati9667 2 жыл бұрын
Mwijaku anatafuta pesa hajamsarit mtu yoyote mod kamuona kajua atanisaidia kutangaza bet yake
@samwelsanga5339
@samwelsanga5339 2 жыл бұрын
Hahahaha mond genius kishenz...
@janejohn4257
@janejohn4257 2 жыл бұрын
Mbona umetoa mkono mwijaku
@abdulfatahjuma5355
@abdulfatahjuma5355 2 жыл бұрын
Daah👀!! Njaa utumwa kweli jamani , mana ukiwa na kapu la vyakula wanyama hukufuata mpaka jalalani!!!
@aishamussa7246
@aishamussa7246 2 жыл бұрын
Nnachokupndea mwijaku upo proudly xna mkeo hongera na mung ajaalie mzikane
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
Mwijaku maneno yote kwisha kaaaaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 жыл бұрын
Kwani ni mimi tu ndo sielew au 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@agnesmpiluka7929
@agnesmpiluka7929 2 жыл бұрын
Hata Mimi sielewii
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 жыл бұрын
@@agnesmpiluka7929 sa itakuwaje 😂😂😂
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 жыл бұрын
Mwijaku wewe mungu anakuona yani mara hivi mara hivi utaingia wapi kiama wewe jamani
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Ndo umjue mtumsaliti mtu mnafiki ni mwinjako siua mnamwamini maneno yake kawakomoa wanafiki mnae mtusi daimond
@issai.ibungu
@issai.ibungu 2 жыл бұрын
🔥
@groveyagroya1280
@groveyagroya1280 2 жыл бұрын
Hatakama diamond anamapungufu ila Nampa hongera kwa kutowekq chuki moyon
@parfaitkale2503
@parfaitkale2503 2 жыл бұрын
Sielewi Mwijaku leo anacukuwa mkono wa Diamond 😂
@pesambilimusic767
@pesambilimusic767 2 жыл бұрын
Kampa mkono kwishaaa kabisa hawezi kuongea mbovu tena
@dpaul...m.4476
@dpaul...m.4476 2 жыл бұрын
😁🤣🤣ila wewe jamaa unachekesha
@saimonseleka3605
@saimonseleka3605 2 жыл бұрын
Naona Tanzania inamzoom na kumsh😳😳😳Mr mwijaku
@zou7470
@zou7470 2 жыл бұрын
Jamani dunia inaenda kwa kasi kwakwel mwijaku mkono huyo umekwisha kwakwel 🤣🤣🤣
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 жыл бұрын
Umebana mwisho umeachia mbona mkono umetoa pelege kweli huna maisha hulu wewe
@erickkagisa833
@erickkagisa833 2 жыл бұрын
Sisi tuliokuwa tunamtukana mwijaku wakati anaitukana wasafi sura zetu tunaziweka wapi
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 2 жыл бұрын
Aahaha
@sneedlekisengo9592
@sneedlekisengo9592 2 жыл бұрын
harmonize kaa mbali na huyu sinich atakumaliza anapuliza huku na huku
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 2 жыл бұрын
Kaman
@erickzephania1030
@erickzephania1030 2 жыл бұрын
Una bahati wa tz walio wengi hawapo seriously, ungekuwa kwenye nchi za wanaojielewa ungeshakula za kichwa mapema sana. Elimu haina Mahusiano na Usaliti.
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 жыл бұрын
Yetu macho tu mwijaku ni pelege
@nancyg8664
@nancyg8664 2 жыл бұрын
😂😂😂
@athumanmbululo3980
@athumanmbululo3980 2 жыл бұрын
Hajafanya kosa,, ndo mana akasema yeye atabak kuwa mwijaku,, na mond atabak kuwa mond,,
@charlesrwegalulila1069
@charlesrwegalulila1069 2 жыл бұрын
Mondiiiiiiiiiiiiiiiiiii huyooooo
@angelshirima2289
@angelshirima2289 2 жыл бұрын
Unajua tatizo la chawa hanaga power😙😂😂😂
@estheraldo506
@estheraldo506 2 жыл бұрын
njaa mbaya sana🤔
@fadhilarashidi5184
@fadhilarashidi5184 2 жыл бұрын
Watu wakigoma wote
@yessendelwa8921
@yessendelwa8921 2 жыл бұрын
duh!!!!😕😳😗😗😗😗😗😗
@costajr5666
@costajr5666 2 жыл бұрын
ISSA Azam😁😁😁
@chrispinchris70
@chrispinchris70 2 жыл бұрын
Atari nishida
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 2 жыл бұрын
Jaman Domo alimea lini ndevu???🤣🤣🤣🤣🤣
@mahrooqsuleiman7216
@mahrooqsuleiman7216 2 жыл бұрын
Kanunuliwa
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 2 жыл бұрын
Kwanini asikatea kaona Kuna faida utajua ujui 😊😊
@rrerruhbyyyhseeko4049
@rrerruhbyyyhseeko4049 2 жыл бұрын
Wewe mondi Kwani huoni mwijaku ni nyoka
@jescaizengo9722
@jescaizengo9722 2 жыл бұрын
Mwijaku mnafiki we mbaba😃😃😃😃
@DULLAHMASTER
@DULLAHMASTER 2 жыл бұрын
Hakushikwa mkono kweli
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
Mwijaku wewe
@najmanassoro308
@najmanassoro308 2 жыл бұрын
Ndevu simba umekua
@NajmasoudiNajmasoudi
@NajmasoudiNajmasoudi 2 жыл бұрын
Hahaha
@felisterjames9770
@felisterjames9770 2 жыл бұрын
Tamaa mbele maut nyuma
@fayzal-amoudy6285
@fayzal-amoudy6285 2 жыл бұрын
Betting Haramu, Dini hairuhusu
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Mwinjako kawasaliti kond boy ndio kogoma hiyo kama mlikua hamjui .kawapiga rungu kichwani mashabiki wake
@jp1780
@jp1780 2 жыл бұрын
Mbona jibonge aliwasaliti wasafi
@davidjoseph9776
@davidjoseph9776 2 жыл бұрын
Mondi kumbe anandevu
@wilsonjohn1919
@wilsonjohn1919 2 жыл бұрын
Nipe mkono tuone
@abdallahalbakri2561
@abdallahalbakri2561 2 жыл бұрын
Sasa Mwijaku sikuelewi mara Harmonize. mara Diamond siku elewi kabisa unapiga kote kote alafu na wewe unavo dai msomi lakini mbona huna msimamo najuwa huna njaa lakini as far as I am concerne mwanume lazime uwe na msimamo kwa hali hii ndugu sikuelewi kabisa ndugu yangu mimi msha biki wako usin late down please explain ndugu yangu
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 жыл бұрын
It's all about money ,kama unachukulia seriously issue ya mondi na tembo unapoteza mda mkuu Hustler kwanza pia mwijaku yupo kazini wala hamna ubaya wowote.
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Mwangalie ISSA AZAM anavyomuangalia mwijaku 😂 Astagfirullah laadhwim Nuru ya uso imepotea kawa mdogo kaa piritoni mwijaku, 🤣 Aristotee kashakupa za uso kwa macho 😄 kasema Aristote usitukane mamba kabla hujavuka mto mwijaku leo kikwapi na ulishawahi kusema diamond hana uwezo wa kukuajiri,mara mkono wa diamond usishikwe 😂sasa wewe leo uneushika mkono wa diamond na ajira kakupa 😂
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 2 жыл бұрын
Yajayo yanafurahisha 🤣🤣🤣
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
@@ashuraumari1322 yaani ni balaa ataanza kumpamba diamond na kumponda harmonize 🤣bado h baba na Hussein machozi kuja kumpa mkono na kupewa ajira na diamond 💎🤣
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 2 жыл бұрын
@@waheedahtanzania4912 🤣🤣🤣kabisa malipo ni hapa hapa duniani uko tuendeko ni maesabu2
@issai.ibungu
@issai.ibungu 2 жыл бұрын
🔥
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 12 М.
Dkt. Hussen Mwinyi. ona jinsi alivyo ondoka bada ya swala ya Ijumaa Mkwajuni
1:50
Maahadishifaa Kivunge Tv
Рет қаралды 34 М.
Jay Melody_Sugar (Official dance Video)
2:05
SQS ACADEMY
Рет қаралды 27 М.
keyboards
0:20
qeri
Рет қаралды 11 М.
SUSPENSION | BACK BENCHA - USWEGE MURDERER
4:08
Uswege Murderer
Рет қаралды 23 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН