Рет қаралды 33,439
Karibuni wapendwa kwa tafakari kupitia wimbo huu uitwao "MWIMBIENI BWANA" utunzi wake John Mgandu, ulioimbwa na Marafiki wa Khaki Media ili kuendelea kushirikishana tafakari za kila Dominika na waamini wote kupitia Nyimbo.
Karibuni nyote na usisahau kumshirikisha ndugu,jamaa na rafiki kiungo cha wimbo huu!
Wimbo: MWIMBIENI BWANA (Official HD Music Video)- Khaki Media Friends
Mtunzi: John Mgandu
Production: Khaki Media Pro