Mwinyi Mpeku na Simu Kubwa kutoka Ulaya"

  Рет қаралды 169,972

Jufe Film Production

Jufe Film Production

6 жыл бұрын

Kwa ushauri au kutaka kujua chochote tafadhali wasiliana nasi kupitia E-mail jufepro@gmail.com au +255777909490 au +255716575096.Pia unaweza KUCHANGIA ili kuendelea kuelimika na kufurahia kazi zetu kwa kutembelea link hii www.worldremit.com/en/tanzani...
Tafadhali Subscribe, Share, Comment.

Пікірлер: 75
@abdulwahidmsellem1964
@abdulwahidmsellem1964 6 жыл бұрын
Nadhani ni wa kwanza kucoment,km unamkubali Mwinyi gonga like yako hapa...:
@wambaamwambaje1272
@wambaamwambaje1272 6 жыл бұрын
Abdullwahid Msellem hahaha hongeraa
@hassanboi5906
@hassanboi5906 6 жыл бұрын
Duuuud yaani huyu jamaa namkubali saaaaaanaa 👍💯👍💯
@mbaroukmbarouk6328
@mbaroukmbarouk6328 6 жыл бұрын
Hhhh safi sana mwinyi mpeku ujumbe umefika penyewe
@rayafauz6946
@rayafauz6946 3 жыл бұрын
Hongera mwinyi
@aboubakarhidad2886
@aboubakarhidad2886 6 жыл бұрын
asante muheshimiwa kachara ujumbe umewafika hao washamba maana hawajawahi kufika ulaya washamba hao
@mundhirhamad6595
@mundhirhamad6595 6 жыл бұрын
uposawa mwinyi 👍👍👍
@abdulsamadabdulkheir1652
@abdulsamadabdulkheir1652 6 жыл бұрын
Safi sana mwinyi mpeku wambile wanezowea
@user-qm6si4kz8i
@user-qm6si4kz8i 6 жыл бұрын
Safiii..sna Jufee akili kubwa ninyi
@bosiabu6607
@bosiabu6607 6 жыл бұрын
Shukran jufe
@user-ri8iw3we7l
@user-ri8iw3we7l 6 жыл бұрын
Safi mwinyi maana ss wapemba tukifika nchi za watu twakuzalilisha kwetu kwa ujinga wetu
@faghmyseif6162
@faghmyseif6162 6 жыл бұрын
Safi sana mjomba ujumbe umewafikia wapumbavu wasiyo juelewa waliyo sahau walipo toka nakuwazarau ndugu zao na jama asante
@wardasaidsuod5663
@wardasaidsuod5663 6 жыл бұрын
Mpe mpe uyo wamezowea haoooooo
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Hamjielewi nandomana mnaua jamaa zenu kwa misongo ya mawazo
@wambaamwambaje1272
@wambaamwambaje1272 6 жыл бұрын
Safii kabisaa meseg sent ujumbe umefika
@utaani1
@utaani1 6 жыл бұрын
wambaa 1 kwani ni uwongo? Kuna demu nilimpata akaniomba Samsung galaxy s9 wakati mimi sijaionapo
@FatmasaidBefatt-kz2ly
@FatmasaidBefatt-kz2ly 10 ай бұрын
Safi sana jufe
@ayshaalsahafi5714
@ayshaalsahafi5714 3 жыл бұрын
Siku zengine weyee lazima nikuambile, Hahahaha hongera sana
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 6 жыл бұрын
I dont knw this lg but i fell so happy to see mwinyi mpeku wa peku la ungo
@mpangampanga1609
@mpangampanga1609 6 жыл бұрын
wambie watu wazima wasio jielewa . nilitegemea vijana wangefanya upuuzi wa kutukana walikotoka lkn watu wazima inshallah Allah ipo siku Mungu atawaonesha na hizo jeuri zao wajinga kupata
@abdulmarhaba3918
@abdulmarhaba3918 6 жыл бұрын
Ndio mwinyi nakubali wambie
@jumakhamis918
@jumakhamis918 6 жыл бұрын
TRUE BOY.
@abdrahmanmasudi3220
@abdrahmanmasudi3220 3 жыл бұрын
Angu
@jumakhamis918
@jumakhamis918 6 жыл бұрын
Hahaha mwinyi nikikuona2 najuwa kunajambo
@rahimarajab4306
@rahimarajab4306 6 жыл бұрын
Duh shukrann kwaujumbe
@mussasaid1320
@mussasaid1320 6 жыл бұрын
Rahima Rajab walilewa na barafu wakati wana jacket nzito wenzio tunaenda mkondoni roho kuuza roho walichemka kama hamna issue so mrudi Twende pwani au mje mlime tikiti
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 жыл бұрын
Nice
@kingayo999
@kingayo999 6 жыл бұрын
true boy
@amanotheboss6136
@amanotheboss6136 6 жыл бұрын
😂😂😁😄😄😄😄 kikerekesii
@njmanjma8626
@njmanjma8626 6 жыл бұрын
Napenda mnavyo ongea kipemba jamani nifundisheni na mimi pia kithathangeee jamani...
@adkoadko5941
@adkoadko5941 6 жыл бұрын
Njma Njma aa njoo pemba tukufundishe
@njmanjma8626
@njmanjma8626 6 жыл бұрын
In shaa Allah nitakuja msalimie kithathangee
@tarzanjr9725
@tarzanjr9725 5 жыл бұрын
Wambaje
@abdulwahidmsellem1964
@abdulwahidmsellem1964 6 жыл бұрын
Mwinyi ujumbe umefika,muhimu kuwaambia wanaokwenda ulaya kwa ujinga wao.
@khalfanallbusaid2035
@khalfanallbusaid2035 6 жыл бұрын
Abdullwahid Msellem wanokwenda ulaya so wajinga njinga ni weye fikiri kabla haujaandika ulichoandika usifikirie. Watu wakienda ulaya ndio wana hela wanafanya kazi tena kazi hizo kama wangalikua home huko wasingali zifanya unawezo wa kufanya kazi wiki mzima MTU hajapumzika na akitizama hela ni ndogo na nyumbali hakurudiki pia coz mukimuona MTU amerudi kwa fikira za huko alikua ulaya na hana chochote alicho kifanya maisha ya huku pia ni magumu pia
@rashidseif6103
@rashidseif6103 6 жыл бұрын
Khafan Umeongea ya muhimu sana kaka,hiyo ndio hali.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Mshukuru mnaposaidiwa kwenye chakula, nguo za sikukukuu na maafa yanapowakuta ndani ya familia. Simu kubwa uletewe ukahadithie na mwengine aagize.....Na pengine huyo aliepo Ulaya ni mmoja tu. Ndio mnapotia jamaa zenu maradhi. Hamuna imani wala fikira.
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 7 күн бұрын
❤❤❤
@mohammedomar1569
@mohammedomar1569 5 жыл бұрын
Nikakuzingile na mbura 😆😆amenikumbusha mbali enzi hizo za utotoni jamani nimemis yale maisha.
@AbdullaAbdulla-pw5nd
@AbdullaAbdulla-pw5nd 4 жыл бұрын
👍💯💯
@badrumbaroukomar1150
@badrumbaroukomar1150 6 жыл бұрын
mpaka mbura hhhh mwinyi ni shida kwa madongo
@38wahida
@38wahida 6 жыл бұрын
😂 😂 😂 Mtihan
@aboubakarhidad2886
@aboubakarhidad2886 6 жыл бұрын
eeh muheshimiwa mwinyi so kachara
@khamispcali8099
@khamispcali8099 6 жыл бұрын
saf
@a.856
@a.856 6 жыл бұрын
Hahaha mwinyi...
@bimkubwasuleiman8041
@bimkubwasuleiman8041 6 жыл бұрын
Dazuu
@madevuj.r3372
@madevuj.r3372 6 жыл бұрын
eti ukija uku afirika ndivyo mtongoavyo.hahahahaha
@halimakombo788
@halimakombo788 6 жыл бұрын
mwinyi mpeku
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 жыл бұрын
mm nikikuona tu najua kuna jambo
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Kazi yako unalinganisha na kazi ya kusimamiwa na mzungu? Hvi huoni vijana wakija kutembea huko walivyopinda migongo na kuchoka?
@shemsahumood4262
@shemsahumood4262 4 жыл бұрын
🤣🤣😆 yamempata
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 жыл бұрын
Ata kidigii
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 жыл бұрын
Mpaka mbura
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
😂😂
@abdulmarhaba3918
@abdulmarhaba3918 6 жыл бұрын
Wambie wale washamba kweli
@mundhirthani1355
@mundhirthani1355 6 жыл бұрын
hongera mwinyi kwa kuwapa ukweli najua itawakost ila ucjali wamekuelewa
@user-jl6xk7rw1o
@user-jl6xk7rw1o 6 жыл бұрын
Mundhir Thani mic u mwinyii
@utaani1
@utaani1 6 жыл бұрын
Fauzia Al Jahoury hujambo bibie. Nakusalimia kama una nafasi
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Mm mtu asoshughulikia kwao simsapoti lkn na anaeagiza vitu vya luxury pia simsapoti. Simu kubwa nanzuri kuliko nitumiayo mie naeza kumletea mama na baba angu tu kama wataitamani sinabudi nitanunua lkn kwa mwengine asahau.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Akitaka chengine kama blender, rice cookers, toaster, anatatzio, maradhi, au mtaji wa biashara ok lkn simu namwambia wazi, NO! Mana nishafanya hayo naunamkuta mtu anakaa na simu mwaka mwingi anapiga bei hajali umenunua bei gani halafu anakwambia ati imeharibika nimeiuza. Kumbe kaipenda nyengine kaongeza pesa kanunua.
@user-iq3fd2pd1p
@user-iq3fd2pd1p 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@QuranFirst610
@QuranFirst610 6 жыл бұрын
Eeeeh makubwa,
@wambaamwambaje1272
@wambaamwambaje1272 6 жыл бұрын
Hahaha Art ya bwaga kilimia
@mohdali7612
@mohdali7612 5 жыл бұрын
kwann wacbaki makwao bac
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 6 жыл бұрын
Wapemba oyee haha
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 4 жыл бұрын
Oyeeeee nipo saudia namcheki huyuuu mwinyi mpeku
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 6 жыл бұрын
JAMANI HUKO TUSHAPITA SIKU NYINGI SANA MAKOSA KAMA HAYO NI MAKOSA YA SHULEN JITAIDIN KUA MAKINI KWENYE EDITING, MFANO HUYO MZEE ALIKUA NA NDOO NGAPI MKONONI? MBONA KWENYE CLOSEUP AMEWEKA NDOO MOJA NA KWENYE MIDSHOT ANAWEKA TENA NDOO
@adamkatet274
@adamkatet274 6 жыл бұрын
Haji Mgwami sio ndooo ile ni pweza wale ukuona viziru
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 жыл бұрын
Angalia vizuri tangu mwanzo alikuwa na ndoo moja na pweza .
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Kafanya vibaya huko kukusema nje tu alikua akufahamishe. Lkn nanyie mtumie akili na huruma. Mtu pengine ukoo mzima wamebahatika 2 kwenda Ulaya na huko anandugu 7+ na wazee, wajomba, mashangazi n.k ni jukumu lake na ameridhia kupata radhi za Mola wake na wazee wake kwakuwasaidia kukidhi mahitajio ya chakula, mavazi na mambo mengine madogo madogo kila mwezi. Halafu anatokezea mtu anamuagiza na simu yy mwenyewe hanayo. Na akikuletea ww na mwengine unamuhadithia na yy anataka. Simasikhara mjueee na ndio mana kuna ndugu zenu Ulaya stress za uwendawazimu kwa mnavyowachanganya na pengine mtu mshahara wake nimdogo. Tofauti na anapokuja huko nyie mpo wengi yy ni mmoja tu na isitoshe sana mtu atakuletea ubuyu, mwengine chips, mwengine pweza.....lkn simu kubwa simasikhara na sio peke yako unayoitaka. Na kama unajua bei yake basi bora hata umwambie akupe mtaji uanze biashara.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Mtu aliye nje halafu asisaidia kwao simpendi na wala simsapoti lkn na mtu aliye Afrika halafu akakuagizia simu ww mwenyewe unaipangia miaka kuinunua na hujainunua simuungi mkono.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Zawadi watu hupeana na ndizo zinazozidisha mapenzi. Lkn mtumie akili bila ya hivyo mnaeza kumuua mwanao/nduguyo kwa moyo au kumtoa akili kabisa.
@mbaroukmbarouk6328
@mbaroukmbarouk6328 6 жыл бұрын
Hhhh safi sana mwinyi mpeku ujumbe umefika penyewe
@khalfanmassud4775
@khalfanmassud4775 6 жыл бұрын
naiss
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
BWANA MWINYI_Kiswabi I Dongo I Mwinyi Mpeku I Bi Kidecha
19:34
Jufe Film Production
Рет қаралды 143 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 26 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 7 МЛН
Mwinyi Mpeku /Dongo/Naomba_KOTI LA UWAMINIFU
9:31
Jufe Film Production
Рет қаралды 67 М.
MWINYI MPEKU + KISWABI + DONGO_Mbuzi wa Magavi
10:56
Jufe Film Production
Рет қаралды 189 М.
Sheha~ Kachara&Mwinyi Mpeku&Dongo&Mpemba
7:52
Kachara Media
Рет қаралды 56 М.
Maeneo Huru ya Uwekezaji Micheweni Pemba
7:13
ZIPA TV
Рет қаралды 6 М.
UWONGO WA KALE PAT 7 MAU MPEMBA DONGO NA MAKUNDE
6:29
Mau Mpemba
Рет қаралды 51 М.
CHEKESHA: FUNDI CHEREANI | NAPIMA T TATU
9:10
CHEKESHA
Рет қаралды 77 М.
haki zetu - kachara
4:51
Kachara Media
Рет қаралды 46 М.
Mwinyi Mpeku na Kitatange _ ZAKAATUL - FITRI
7:13
Jufe Film Production
Рет қаралды 190 М.
MWINYI MPEKU ATEMBELEA DAR ES SALAAM
4:49
Mc23FancyPants
Рет қаралды 62 М.
kachara ~ akataa kuibiwa & kidundo
4:58
Kachara Media
Рет қаралды 106 М.
Как мама ухаживает за мной VS гостями
0:50
Время горячей озвучки
Рет қаралды 3,4 МЛН
All creatures are from God #jesus #jesuschrist #jesuslovesyou
0:19
Jesus By Your Side
Рет қаралды 29 МЛН
【斗罗大陆】还好唐舞桐没被坏人发现 #斗罗大陆#唐舞桐
0:40