Ulinzi wa MUNGU ni halisi sana, juu ya wampendao 💯🥺🙌👏🙏
@neemashilangi36863 жыл бұрын
Baba Mungu akutunze...kwa siku za karibuni nimepata mzigo wa kukuombalea. Mungu akupe afya maana una hazina kubwa ya kuujenga mwili wa Kristo katika Nyakati hizi za hatari.
@yedeclassicofficial99543 жыл бұрын
Kumbe Mungu anatuepusha pasipo sisi kujua Mungu naomba uniepushe na mishale ya adui na unipe moyo Wa msamaha
@user-ko6qh6ri3h5 ай бұрын
Nimebalikiwa sana baba yesu azidi kukubaliki
@dismasmlingi73213 жыл бұрын
Uskimkaairikie yule anaeleta majaribu amina 🙏🏾🙏🏾 nimelibeba hili Mtumishi wa MUNGU
Baba...Nakupenda sana ..nakuombea Mungu akutunze na akutumie ....na akuongezee miaka ya kuishi.💕💕💕💕💕💕💕💕💕
@heavenlight50843 жыл бұрын
Hili neno ni zuri sana,nasikia raha sana.
@ernestbutagalalaАй бұрын
😭😭😭😭 pole mtumishi wa mungu kwa misukosuko uliyoipitia
@Mwinamila-38 ай бұрын
MUNGU aendelee kukulinda mwalimu wetu wa neno la MUNGU
@pstrhonemikebadda48323 жыл бұрын
What a grace filled word of testimony and teaching. May God continue to protect you in Jesus’name. Pse kindly remove the bell sound for the smooth flow of the message.
@jescamungure96103 жыл бұрын
Glory to God 🙌🏽🙌🏽 Asante Yesu kwa kutupenda 🙏🏼
@tajimwambole31153 жыл бұрын
Kabisa
@agnessmungy46803 жыл бұрын
Kweli Baba watabaki wanashanga! 🙏 Mungu yuko pamoja na wewe anakulinda sikuzote za maisha yako
@marykarebeti94103 жыл бұрын
Hutokufa mtumishi wa Mungu, hadi Yesu atakapokuita Kwake.
@venancelaurent43 Жыл бұрын
Hutakufaa Bali utaishiiii💕💕 Kwa Neema ya munguuu..... Atakushibisha wingiwa siiiiku
@mercygodia40843 жыл бұрын
Steps of a righteous man are ordered by God. Amen.
@petermatabwa50853 жыл бұрын
Walio ndani ya yesu kiukweli huwezi kuwaua kamwe!
@irinapardon42303 жыл бұрын
Glory to God
@venancelaurent43 Жыл бұрын
Barikiwaaaaa mtu wa Mungu👏👏👏👏👏
@kulwafundi89383 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu
@carolema35693 жыл бұрын
Ameniii mungu ni mwema
@frankjoseph7323 жыл бұрын
Amen Aisee mtu wa Mungu Baba la
@kelvinmbela77783 жыл бұрын
Amen pastor 🙏🙏🙏
@addya.bernard95803 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana!
@sarahlyimotv13803 жыл бұрын
May God continue to sorround you with His Shield 🙏🙏
@philipomgovano65113 жыл бұрын
Ahsante sana Mwl wa Maisha yangu ya kiroho
@moseslukumay66133 жыл бұрын
God bless you my father
@sabratally7688 Жыл бұрын
Oooooh hallelujah 🙏🙏 utukuzwe MUNGU
@jemicit3 жыл бұрын
Amina. Nimetiwa nguvu na nimefarijika hakika.
@gabrielpott33253 жыл бұрын
🙏 saana hakika mw MUNGU nimkubwa daima.
@agnesskimu79383 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah
@evelynwangai93853 жыл бұрын
Amen Amen 🙌 😭
@veronicawoisso53323 жыл бұрын
Barikiwa sana Mwalimu, nimejifunza kitu hapa. Mungu atabaki kuitwa Mungu.
@wasajo3 жыл бұрын
Kuwa ndani ya Yesu na kuwa connected na Roho Mtakatifu hatuwezi dhurika kabisa na lolote Mark 16:16
@francismfinanga25883 жыл бұрын
Thank you Jesus Amen
@marrytanzania90353 жыл бұрын
Oh Hallelujah Hallelujah
@doricekajuna61853 жыл бұрын
Bwana Yesu naomba uikuze iman yangu nizidi Kukuamin Zaidi
@patrickedson503 жыл бұрын
God is so good
@graciousmedia82353 жыл бұрын
Glory to God Ameen
@juliusmsele32613 жыл бұрын
Ameen
@deokessy62883 жыл бұрын
Amina baba
@rizikirafael508 Жыл бұрын
Amina
@magrethmallya77283 жыл бұрын
Amina Amina Amina.
@hilgathjoshua88043 жыл бұрын
Jina la Bwana lihimidiwe Milele Amina.
@GraceRichard-fn3yk5 ай бұрын
Hadi raha ukiwa na yesu
@catherinemoshi43473 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@SmartBrainTv20203 жыл бұрын
hallelujah
@nolimittvonline68223 ай бұрын
Aminaaaaaaaa
@gabriellyadam94153 жыл бұрын
Amem
@jescamahenge14053 жыл бұрын
Amen
@innocentkaaya28483 жыл бұрын
Mungu anakulinda na ataendelea kukulinda mtumishi was mungu
@happinesshaonga8488 Жыл бұрын
Haleluya
@magdalenajohn65642 жыл бұрын
Yap tunaomba mwendelezo
@emanuelnyab98723 жыл бұрын
Aamen
@agnelahaji19223 жыл бұрын
Halleluya
@medardissa62533 жыл бұрын
Yesu kristo ni BWANA
@wanzitaathuman48723 жыл бұрын
Ameeeeeeeen!!!!!!
@willymgeni82273 жыл бұрын
Bila yesu mimi ni mtu bure kabisa
@asiachaula95243 жыл бұрын
Giory to god
@emmanuelurassa17243 жыл бұрын
God is good all the time!!
@brysonkaaya10593 жыл бұрын
mungu akutunze amen
@paulherman6818 Жыл бұрын
Andika Mungu kwa kuanzia na heruf kubwa maan kwa heruf ndogo unamaanisha miungu ☝️☝️
@happnesmatende62713 жыл бұрын
Eee natamani nitangaze ukuu wa usio longanishwa na chochote kwa huu ushuhuda