MZEE ANAYETENGENEZA RADI SUMBAWANGA KAFUNGUKA, ANAO WATEJA CONGO, KENYA NA SOUTH AFRICA

  Рет қаралды 544,821

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

#MzeewaRadi

Пікірлер: 815
@blackwarrior-animations593
@blackwarrior-animations593 3 жыл бұрын
Kama Umegundua Mtangazaji anahisi Kupigwa radi baada ya Interview. Gonga like
@FirebwizeGelfas1571
@FirebwizeGelfas1571 3 жыл бұрын
😂 😂
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 3 жыл бұрын
ihhiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani
@zeddybass6672
@zeddybass6672 5 жыл бұрын
kama umeona watu wanavizia camera gonga like
@angeljames2088
@angeljames2088 3 жыл бұрын
Hahaha
@victoriankanue7849
@victoriankanue7849 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤸🏼‍♀️
@SaidLikando-ny4fu
@SaidLikando-ny4fu 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@fei3668
@fei3668 5 жыл бұрын
Yan wew mtangazaji unajua kuhoji na unamface mtu adi raha hongera
@vidovidox2632
@vidovidox2632 5 жыл бұрын
Frida Mbilinyi Asante Sana
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 жыл бұрын
Daaa hongera sana mtangazaji kwa maswali yako mazuri kwa mzee huyo hakika nimekuelewa.
@vidovidox2632
@vidovidox2632 5 жыл бұрын
Elizabeth Mwandu Nashukuru sana
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 5 жыл бұрын
@@vidovidox2632 nilitaka nijuwe ni sumbawanga upandegani, nnasumbiliwa sana, mwanangu ana ugonjwa wa ku anguka (kifafa) vile 😏
@jannyalviny9276
@jannyalviny9276 5 жыл бұрын
@@vidovidox2632 hyo mzee ypo sumbawanga sehem gani majanga ni mengi
@jimmylanson2154
@jimmylanson2154 5 жыл бұрын
Mzee anasema wanae wengne mungu kashawachukua dat means ana recognise na Ku appreciate uwepo wa mungu you guys put ur trust in God!!
@johnrimoy370
@johnrimoy370 4 жыл бұрын
Mtangazaji interview skill, zimepungua. 1. Watu wanataka kujua radi inatengezwaje( open ended questions) 2.Uko juu juu sana ( explorations ya phenomenon ya radi hujafanya vizuri)
@magazimahushi6417
@magazimahushi6417 Жыл бұрын
Daa RIP mzee Fabian. Nilifika kwake mwaka jana mwezi wa 3. Bahati mbaya nikakuta amefariki dunia
@user-es7pv6nf5r
@user-es7pv6nf5r Жыл бұрын
😭😭😭😭
@odavia6357
@odavia6357 Жыл бұрын
Kakanaomba unisaidie namba Yako ww maana ulikua unamjua zaidi
@essy503
@essy503 8 ай бұрын
Nani karidhi uganga wake anaeza saidia watu
@etrillyodfrex97
@etrillyodfrex97 8 ай бұрын
Kaka naomba unitumie namba yko tuongee
@SmilingBread-zx6gz
@SmilingBread-zx6gz 6 ай бұрын
Tuzungumze
@olgavicbindo14
@olgavicbindo14 5 жыл бұрын
Mtangazaji uko vzuri kati ya watangazaji wote wa ayo tv ,Upo vzuri bro hongera sana
@maidasaid9449
@maidasaid9449 5 жыл бұрын
Shirki ni miongoz mwa dhambi nzito na zenye kuangamiza.tumuogope Allah na tuepukane na shirki...munaochukua namba na kuyaamini haya nanyi munaingia ktk jukumu.
@shemnayghosaima7856
@shemnayghosaima7856 2 жыл бұрын
Je bunduki na mabomu ni shirki ama????
@samueljr9105
@samueljr9105 5 жыл бұрын
Pole kwa kusema hivi, mzee uchawi si dili onee nyumba yako vile iko alafu una ujanja ya kutengeneza radi itoke TZ hadi KENYA kweli Africa imelaaniwa 😢😢na anasisitiza sio uchawi km mtu akikosea unamtumia radi ss si huo ndio uchawi ("baba mbinguni ni mbali") Alafu hawa vijana wadogo wanajivunia kusema namba za simu baba apate kazi huku wakifunzwa uchawi wa radi badala ya kuenda kazini
@francecemamba3748
@francecemamba3748 5 жыл бұрын
Imelaaniwa akiliyako wewe mbaka leo umetengeneza nini
@samueljr9105
@samueljr9105 5 жыл бұрын
Sasa ww akili yako ya uerevu chezea huyo mzee akutumie radi ndio utajua mchawi si rafiki
@emmanuelletema8385
@emmanuelletema8385 4 жыл бұрын
Samuel Jr ww una nn ? hujwahi rogwa kudadeq zako ngoj siku ikijakufika
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 2 жыл бұрын
Mpokee Yesu ww mzee usije ukaangamia maana unafanya kazi ya shetani Mungu hapendi
@D.P.O
@D.P.O 2 жыл бұрын
@@mariamswedi1140 Huo ni uchawi kabisa na Yesu karibu anarudi.
@lugendondayanse4910
@lugendondayanse4910 5 жыл бұрын
BABU NAOMBA UOKOKE, , Mtangazi unahoji vzr sana, ila utakuwa best kama utaokoka ili uwashauri wa namna hii wamgeukie Yesu.
@honesternanyaro2106
@honesternanyaro2106 5 жыл бұрын
Yesu ni zaidi ya yote .Rudi kwa Yesu las cvyo utapata taabu sana
@pendomkumbo8262
@pendomkumbo8262 3 жыл бұрын
Na atapata tabu sana ,maana radi zote alizorushia wenzie zitamrudia zote
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 3 жыл бұрын
Amen amen
@dunianitv7510
@dunianitv7510 2 жыл бұрын
Yesu ambaye hayupo nasi?🙄🙄🙄🙄🙄🙄au yesu aliyesulubiwa na wanadamu na akashindwa kujitetea?
@stacymaimuna3260
@stacymaimuna3260 5 жыл бұрын
Hakika shirki ni dhambi iliyo kua kubwa zaidi katika dhambi zote. Ya Allah tuepushe na shirki
@mariamjuma1068
@mariamjuma1068 5 жыл бұрын
Amiin
@nyokamuddy4194
@nyokamuddy4194 5 жыл бұрын
Amiin
@aminamauhfoda9201
@aminamauhfoda9201 5 жыл бұрын
Ndio maana wanalaana hawana hata pahali pazuri pa kulala wateja wengi alalapo hapajulikani
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 5 жыл бұрын
Aamiin
@princemujuni9803
@princemujuni9803 5 жыл бұрын
co dhambi kbs ss hapo shida iko wap kumyoosha boya aliyekuzingua
@edrickniwamanya9968
@edrickniwamanya9968 4 жыл бұрын
Wanaosema Mungu ndo kila kitu wao ndo wakwanza kuwanga
@kimmauston1059
@kimmauston1059 5 жыл бұрын
Uchawi sio dili unatengeneza radi lkn makaazi hayaeleweki unafaida gani ?
@antoinettedjumapili2522
@antoinettedjumapili2522 5 жыл бұрын
anatengeneza radi halafu yeye fukara saana ivyo? uchawi wa wa Africa bure saana mzungu akijuwa tengeneza radi ata hakikisha dunia nzima imefaidika na yeye mwenyewe anakuwa billionaire
@sampatrick9951
@sampatrick9951 5 жыл бұрын
Uchawi ni technology yetu Africa
@antoinettedjumapili2522
@antoinettedjumapili2522 5 жыл бұрын
@@sampatrick9951 technology ambayo haiwasaidi hatakidogo ona wazungu uchawi wao wakuruka angani walitengeneza plane na ikafaidi dunia nzima ki usafirishaji na inafanya muchawi alie igunduwa tajiri saana ona uchawi wao wa simu kusumulia na mtu ako upande mwengine wadunia ina tusaidia watu wote na walio igunduwa vizazi vyao vyote vitabaki matajiri Africa una ambia huyo muchawi anauwezo wa kutoka au uwezo wa kufanya mtu tajiri utakuta huo muchawi yeye na kizazi chake maskini wote wa hali ya juu kweli wa Africa ujinga unatusimbuwa
@privatuswapeter4457
@privatuswapeter4457 5 жыл бұрын
Kim Mauston Kwa kikawaida Wanao tibu kweli uwa awapendagi ela nyingi ivyo maisha yao uwa ya ivo
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 жыл бұрын
Umenena kweli, tunapenda kuaminishwa ujinga.
@nusurakajubu8785
@nusurakajubu8785 4 жыл бұрын
Alhamdullilah kwa kutengemea Allah
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 жыл бұрын
Duh ngoja nijie radi aisee Kuna mpumbavu mjini ananizingua kishenz
@joshuahashim5401
@joshuahashim5401 5 жыл бұрын
Wee mzee laana ya Mungu iko juu yako kama hutatubu kwa Mungu uchawi sio dili.
@mathnasaeed3806
@mathnasaeed3806 5 жыл бұрын
Joshua Hashim muache babu ajifaidie utamu wa uchawi bhanaaaa
@rizikisamwel9904
@rizikisamwel9904 5 жыл бұрын
Wafrika wanauana kwa uchawi wakati ulaya wanatumia uchawi kutengeneza hela
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 жыл бұрын
Amen..
@shishismile1973
@shishismile1973 5 жыл бұрын
Sasa kama unatibu hivi na vile unakaa apo maskini, ama miungu yako haipendi mijengo mzuri
@samehekyomo9042
@samehekyomo9042 3 жыл бұрын
Ukinichokoza hapo utakua umeniporomoa😅😅
@pakobrand5321
@pakobrand5321 3 жыл бұрын
Mnapromote uchawi. Mtalaainiwa , subirini.
@shemnayghosaima7856
@shemnayghosaima7856 2 жыл бұрын
Mbona hamlalamiki kwenye mabomu na bunduki au kwasababu ni wazungu
@shazamzasha2167
@shazamzasha2167 5 жыл бұрын
I thank God almighty coz when He comes in my aid, hakujangi kubahatisha
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 5 жыл бұрын
mjue Mungu zaidi ndivyo mema mengi ya nchi yatakavyokuijia.
@nuurinkluge7584
@nuurinkluge7584 5 жыл бұрын
Mungu anasema mujisaidieni ninyie nanyi nitawasaidia
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 5 жыл бұрын
Nuurin Kluge Mwanadamu huwezi kumusaidia MUNGU hata ck moja utaumia.
@sixbertkomba3631
@sixbertkomba3631 4 жыл бұрын
Asante Millard ayo kwa updates
@barakamnai5515
@barakamnai5515 2 жыл бұрын
Du vijana wa uyu mzee wako kama panya rodi anae amini agonge like hapa🤣🤣🤣
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 5 жыл бұрын
Jamani mungu yupo. Na dawa zipo. Namnaotoa koment zenu kuhusu nyumba yake! waganga wengi hawana nyumba nzuri. manyumba mazuri makaburi ya duniani tu. nyumba ya kudumu ni kaburi lako. nayeye hajawalazumisha mkatibiwe. wabongo bwana unavituko haviishi
@marianachristophory4916
@marianachristophory4916 3 жыл бұрын
Asha umesema kweli.
@shabanimohamedijafar8142
@shabanimohamedijafar8142 5 жыл бұрын
MZEE KAMA HUYU BAADA AINGIE MSIKITINI ATUBU.KWAMOLA WAKE KAZI KUSHIKIRIA MITUNGURI NAMIZIMU HALAFU WATOTO NAO WANARISISHWA UCHAWI INNA LILLA WAINNA ILAIHI RAJIUUN ALLAH AMUONGE AISEE MZEE HUYU
@abdubabu4944
@abdubabu4944 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu amekataa ushirikina jamani tumuepuke huyu mzee tujikinge kwa Allah ili tupate rehema zake insha allah
@carlsonndesanjomwanga2028
@carlsonndesanjomwanga2028 5 жыл бұрын
Uislam Ni uchawi pia
@abdubabu4944
@abdubabu4944 5 жыл бұрын
@@carlsonndesanjomwanga2028 ukrstu niukafili tu hakuna namna nyingine hakunaga mungu mwenye govi kama alivyo kua yesu
@abdubabu4944
@abdubabu4944 5 жыл бұрын
Hakunaga mungu mwenye govi kama yesu
@abdubabu4944
@abdubabu4944 5 жыл бұрын
@@carlsonndesanjomwanga2028 Kwanza kiasili wakristu niwachafu sana hua si wasafi kabisa wengi wao hua wananuka midomo nahata wakienda haja kubwa hwajisafishi ipasavyo niwachafu sana lakini waisla niwasafi wamoyo namwili pia kama prof asadi
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 5 жыл бұрын
@@carlsonndesanjomwanga2028 uchawi alianzisha mkristo bar Yesu 😀ucjioshe kupitia Uislamu kafiri mnuka shombo ww
@conradiuschrisant6456
@conradiuschrisant6456 5 жыл бұрын
Mzee yuko vizur huoni kuwa ana bodyguard pembeni
@siwemaking8321
@siwemaking8321 5 жыл бұрын
hahaha
@clavinarobert6077
@clavinarobert6077 5 жыл бұрын
Hahaha
@reubendick4033
@reubendick4033 5 жыл бұрын
Hahahaha
@upendomatinya6851
@upendomatinya6851 3 жыл бұрын
😂😂😂
@filbetinyoni8105
@filbetinyoni8105 3 жыл бұрын
wanafuata kamera hao tuwaone
@micamathew6433
@micamathew6433 5 жыл бұрын
Jmn uchawi ni noma, yaan ukiamini uchawi bac mwisho wako sio mzuri, jmn hapa duniani tunatafuta mwisho mwema yaan mwisho mzuri, sasa ukiamini uchawi hakika maisha yako yako hatarini, maana yake utakuwa umemwamini shetani.... Ewe mkristo yeyote hata kwa dakika moja usiwahi kuamini uchawi, mwisho wako itakuwa taabu mnoooo.... Amen...
@halifajuma545
@halifajuma545 3 жыл бұрын
Huyu mzee yuko sahihi kuna wachawi wana sumbua watu huyu mzee ata wamaliza
@najimshaib9306
@najimshaib9306 5 жыл бұрын
SubhanaAllah
@godlisten8120
@godlisten8120 5 жыл бұрын
witchcraft...!!! jamaa anatengeneza intercontinental ballistic missile.😆😂😂😂🤣
@muhmad9293
@muhmad9293 5 жыл бұрын
Godlist3n achani wnga unasaidia w2 wkat ww na familia yako mko hoi au nd mgang hajigangi?
@dionisemyigezo9137
@dionisemyigezo9137 5 жыл бұрын
Intercontinental ballistic missile😁😁😀😂
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 5 жыл бұрын
Godlist3n hiyo ngoma kutoka urusi
@issaathumani4682
@issaathumani4682 5 жыл бұрын
😁😂😂
@macklinpeter5864
@macklinpeter5864 4 жыл бұрын
@@dionisemyigezo9137 qonk
@Nilo-hf8ye
@Nilo-hf8ye 3 жыл бұрын
Kama umesikia utakuwa umeniparangua gonga like
@allyyuzo9382
@allyyuzo9382 3 жыл бұрын
Sana nilo music home boy green city
@stanleyjacob6744
@stanleyjacob6744 5 жыл бұрын
Kwanini Baba yako aliye kurithisha utaalam huo arishindwa kumpiga radi Idd Amin dada,,,,
@dishasuwa7616
@dishasuwa7616 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@siwemaking8321
@siwemaking8321 5 жыл бұрын
hahaha
@veronicambaga9995
@veronicambaga9995 5 жыл бұрын
Haaaaaaq
@ayeshiiddi8274
@ayeshiiddi8274 5 жыл бұрын
😁 daah akili zako bhana
@ueberttv5734
@ueberttv5734 5 жыл бұрын
Nahisi wanataka kufanya jambo la babu wa loliondo hapa lazima kuna kitu
@mwanaidiramadhan3919
@mwanaidiramadhan3919 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@agnesmwaseba5655
@agnesmwaseba5655 5 жыл бұрын
Haswaa naona huo ni mchongo kama sio mpango kabambe wa 2019/2020.
@salummuhija4435
@salummuhija4435 5 жыл бұрын
Ingekuwa matapelitapeli ungesikia tiba laki tano, inaonekana mzee anasaidia tu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 жыл бұрын
Babu loliondo aliitisha jero, lakini tapeli vilevile.
@mwachamwacha5538
@mwachamwacha5538 5 жыл бұрын
Salum Muhija hakuna msaada kwa wachawi .
@marcmakata254
@marcmakata254 5 жыл бұрын
Kwahiyo anasaidia kuumiza wengine
@kurthumissa6822
@kurthumissa6822 4 жыл бұрын
Salum Muhija una namba ake jaman
@mzazilyimolyimo5465
@mzazilyimolyimo5465 5 жыл бұрын
Kama una shida yoyote ile, fanya dhikiri. Mtaje Allah kwa wingi, hakika yeye halali, hashindi na lolote, ndo mlinzi wa viumbe vyake, ndo mtoajia na anajibu dua za waja wake. Achani shirik mwisho wake ni mbaya, rudini kwa Allah mpate rehema zake. Allahu Akbar
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 жыл бұрын
Swadakta
@edinarasta5608
@edinarasta5608 5 жыл бұрын
Millard Ayo utabaki kuwa juu kwani huwa una longolongo kwenye hbr zako.....big up kaka!!
@castorycastory7632
@castorycastory7632 5 жыл бұрын
Ee
@stevekayuwi9186
@stevekayuwi9186 5 жыл бұрын
Edina Rasta sana
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 жыл бұрын
Mtangazaji naona una heshima sana, fanya ujinga hapo uone.
@evakiwia6768
@evakiwia6768 5 жыл бұрын
Watoto wenyew WK km wezi maskin hatar amsaidie nani?hebu mtupe habar za maana achen kupromot ujinga
@Godifrehi-bt3ht
@Godifrehi-bt3ht 5 жыл бұрын
Yes
@evakiwia6768
@evakiwia6768 5 жыл бұрын
Zeinab Farah umeonaeee anaonekana hajala sk kadhaa halafu anashusha radi eti anatibu sbb yy mwenyew anaonekana mgonjwa hatar
@chachawambura4030
@chachawambura4030 5 жыл бұрын
Yaonesha anasaidia tu jamii ndo maana hana ukwasi mwingi.
@samaillahchiwila8223
@samaillahchiwila8223 5 жыл бұрын
Ukiwa na tatizoo ndio utajua kama wanoenda apo ni wakristo na waislam na utagundua ata waganga nao niwatu muhim
@evakiwia6768
@evakiwia6768 5 жыл бұрын
chacha wambura Hana lolote kusaida jamii gani?kwan hao wtt wk sio jamii?kuwa mganga ni kutafuta mateso tuu hkn faida yyt
@deboramatpapaztv
@deboramatpapaztv 5 жыл бұрын
Ngoja nikienda kwa nandy sumbawanga nitapitiapo...hahaaaa
@luluamin1388
@luluamin1388 5 жыл бұрын
Msafara wake umepata ajali. Itabidi ughairi
@georgemisalaba7043
@georgemisalaba7043 3 жыл бұрын
0755175430
@noelkomba7876
@noelkomba7876 5 жыл бұрын
Anauza shilingi ngapi Hilo radi? Mtangazaji hebu muulize.kuna wasenge wananizingua nataka niwashughulikie
@juschalejr9176
@juschalejr9176 5 жыл бұрын
Noel Komba buku tuh
@alicemsuya3039
@alicemsuya3039 5 жыл бұрын
Noel Komba sasa jamani mbona anaishi kimaskini kweli shetani anajua kutesa
@ceomeja670
@ceomeja670 5 жыл бұрын
Noel Komba 😂😂😂🤣🤣🤣
@husseinmunga9591
@husseinmunga9591 5 жыл бұрын
unashida? nenda utajua kuko huko🤔
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 жыл бұрын
3000
@muhidinimdanku1208
@muhidinimdanku1208 5 жыл бұрын
Mungu ameshachukua kiumbe chao.# ha ha haaaa
@danielhaule155
@danielhaule155 3 жыл бұрын
Mi ndo nimeiona hii vdeo 2020, corona anatibu?
@feruzimbanza1014
@feruzimbanza1014 5 жыл бұрын
Mtangazaji wangu hiyo siyo jazi ya kutaka jujifunza hiyo mtu wangu. Bora mtu ajifunze kulima mahindi. Hiyo kazi ya la'ana mpaka mbele ya Allah. Kinga onatoka kwa Allah siyo kwa mzee fabian.
@kirundumweteni2072
@kirundumweteni2072 2 жыл бұрын
kila mtu na yake baki ba allah
@isserkherry8593
@isserkherry8593 5 жыл бұрын
Mzee kwann asingeanza kutengeneza hela kwanza, maradi ya nn sasa ,,,mambo mengine bhana
@elisantej5512
@elisantej5512 5 жыл бұрын
😅😅
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 жыл бұрын
Hapo sasa😂😂😂
@godlisten8120
@godlisten8120 5 жыл бұрын
😆😂😂
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 5 жыл бұрын
🤣😄😂🤣 hana kimbia na hana break
@isserkherry8593
@isserkherry8593 5 жыл бұрын
@@nickalreadyknows me nashangaa
@raphaelmganga374
@raphaelmganga374 3 жыл бұрын
Sumbawanga nawanyooshea Mikono🙋‍♂🧟‍♂
@jaydon3361
@jaydon3361 5 жыл бұрын
Duh umezaa Simba na yanga
@uswizinyanginywa2498
@uswizinyanginywa2498 5 жыл бұрын
Hahaaaa
@oredinondo5044
@oredinondo5044 4 жыл бұрын
Hivyo vitu vyote ni vitu ambavyo Mungu amewapa ujuzi baadhi ya watu kwaajili ya sisi kuvitumia kwa kujilinda,kupeana adhabu,... Ubaya ni pale ambapo tunatumia kudhuru mtu kudhuru wengine bila sababu ya msingi. Mzungu anaetengeneza nyuklia ama bomu yakuuwa watu maelfu wasiokua na hatia kwa wakati mmoja tunamuita ana utaalamu wa hali ya juu ki teknolojia na kumsifia,ila kwa mzee kama huyo anaeua mtu aliyemuibia kwa radi mnamuita mtu wa shetani, Fikiria sana.
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 жыл бұрын
kunahitaji akili kubwa sana hapo, achilia mbali hizo nyukiria Kuna haya magonjwa wanayo yatengeneza hawa wazungu ambayo yameuwa wengi Duniani hawasemi
@kikondosimama1342
@kikondosimama1342 2 жыл бұрын
Ppppppppppp
@wilsonemanuel9915
@wilsonemanuel9915 2 жыл бұрын
Sasa wew kaka hapo Umechemsha bado kumpa salaya toba hakili kilito wew Unafanya hatoe Namba ya simu Eti watuwaje kwake hatakuja MTU hapo
@dunianitv7510
@dunianitv7510 2 жыл бұрын
Achana nahao wanaojifanya wanamjua yesu sana kuliko Ibilisi anavyomjua yesu. Hawajui huo wanaouita uchawi ndio uliitwa muujiza wakati wa yesu
@fatumanasoro5057
@fatumanasoro5057 2 жыл бұрын
Wee unaongea pumba
@peterkyese4516
@peterkyese4516 5 жыл бұрын
Yesu ninusuru mm mweeh kumegemea mwanadam dioh
@maryameliya1367
@maryameliya1367 5 жыл бұрын
Kaka upo vizur kwa kuhoji rahaaa
@januarymassawe1945
@januarymassawe1945 3 жыл бұрын
Piga kazi babu kiboko
@NyotaBalolane.
@NyotaBalolane. 3 жыл бұрын
Mzeee mungu akuhurumiye sana sababu njiya yako ni mbaya ila yesu christu anakuitaji uokolewe njiya ya kweli ni ya uzima wa milele na wale watoto wako unao wafundisha piya mungu anawaitaji wamurudiliye tu
@NyotaBalolane.
@NyotaBalolane. 3 жыл бұрын
Andika kwenye KZfaq" SAMEHE" by nyota balolane 👏
@wilsonjohn1919
@wilsonjohn1919 5 жыл бұрын
Duuuu ukinichokoza utakuwa umenipalamula, hatar sana babu weeeee
@mamachris6811
@mamachris6811 5 жыл бұрын
Ha ha haaaaa ! kupalamula msamiati mpya
@gabrielmalecela3701
@gabrielmalecela3701 5 жыл бұрын
😂😂😂 we jichanganyee umpalamleee tyyuu dah
@beatriceisack5317
@beatriceisack5317 5 жыл бұрын
Hahahahaaa
@sylivestermwasile4203
@sylivestermwasile4203 3 жыл бұрын
Oya alieniuzia kichwa cha USB kariakoo akanambia ni flash GB 16 mwambieni nishafika salama kwa Mzee fabiani mpeni taarifa
@emmanuelshalom7612
@emmanuelshalom7612 3 жыл бұрын
Hahahaaaa nisamehe brodter maisha tu daah
@taifocuscompany9246
@taifocuscompany9246 5 жыл бұрын
Ayo mnapenda sana mambo ya ushirikina..
@sarajastiny6520
@sarajastiny6520 4 жыл бұрын
Jamani mtangazaji naomba namba yahuyo mzee au nielekeze kijiji anacho ishi please
@abdallahsaid5497
@abdallahsaid5497 5 жыл бұрын
Mganga wakweli hakai nyumba mzuli
@graceassa2587
@graceassa2587 5 жыл бұрын
Anakaa bhna ww sema mganga wa kweli achaji kias cha pesa unampa chochote ulichonacho sasa kama mganga mkulima anapesa zake ashindwe kujenga kisa uganga mmmh
@francecemamba3748
@francecemamba3748 5 жыл бұрын
Imani yakotu najisi alivyo jipanga kuishi
@nailahaule705
@nailahaule705 5 жыл бұрын
Abdallah Said kweli kabisa
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
Amna mganga wa kweli awa wotee ni watumishi wa shetani tukiangalia kwenye torati ya musa waganga awakua na nafasi Mungu alisimama na musa waganga wakashindwa...tukiangalia kwa kina Daniel waganga walishindwa kutafsili ndoto za mfalme nabukadeneza ila Daniel aliweza maana Mungu alijifunua kwake na waganga wakaamuliwa kuuwawa na Daniel akashika nafasi so waganga ni watumishi wa shetani sio wa Mungu ata kidogo....
@estasage5506
@estasage5506 3 жыл бұрын
Mimi nasaidiwa na Yesu Kristu wa Nazarethi. Sisaidiwe na agents wa shetani in name of Jesus Christ of Nazareth. Wapigwe kwa damu ya mwana kondoo. Yesu kristo wetu ni Mungu
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 5 жыл бұрын
Watoto 24 #u a the man😁😁
@drritte6967
@drritte6967 5 жыл бұрын
Mrudie Mungu kabla mauti haijakufika maana jehanamu ya moto ipo.
@NyotaBalolane.
@NyotaBalolane. 3 жыл бұрын
Amen
@leonceurio1467
@leonceurio1467 3 жыл бұрын
Kula mtu apa duniani kapewa huduma na Mungu Huyo aukumiwi ndio huduma yake kwan hadhuru
@blandonkisinga2716
@blandonkisinga2716 5 жыл бұрын
Naona na matoto yamesha lith uchawi tayale, kaa dunia hiii yamesha lith umaskin kabisa hakuna maendeleo hapo.
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 5 жыл бұрын
Eti ukinichokoza ..umeniparamura😂😂😂😂
@danieldaniel-lb2on
@danieldaniel-lb2on 4 жыл бұрын
Hahaa!
@agentchidisautimbaya2141
@agentchidisautimbaya2141 3 жыл бұрын
Hata Mimi nimepaelewa hapo
@nusurakajubu8785
@nusurakajubu8785 4 жыл бұрын
Namtengemea Allah peke yake ndo anaweza wengine majanga tu
@yeshuasweapon4384
@yeshuasweapon4384 3 жыл бұрын
Njoo kwa YESU
@johnsonjusto9564
@johnsonjusto9564 5 жыл бұрын
Mzee unatimu ya football na netball
@kelvinmwage8986
@kelvinmwage8986 5 жыл бұрын
Yup vizuri
@jimmymaingi5967
@jimmymaingi5967 5 жыл бұрын
God is the key to all problems
@angelinasimchimba705
@angelinasimchimba705 5 жыл бұрын
Mathias msumeno(ulimwanawitu,wamulola umukombe wiyo vyooo akudanganya ayantu,.......mfipa mjinga alie gizani,sisi tulio na YESU,tunaishi kwa amani,....wanaishi maisha ya laana na mikosi tu,sisi tunarithishana imani ya Bwana Yesu,wao wana rithishana uchawi....UPUMBAVU ULIOKITHIRI
@stephanomnyakiju7149
@stephanomnyakiju7149 5 жыл бұрын
Angelina Simchimba mh! balaaa
@shemnayghosaima7856
@shemnayghosaima7856 2 жыл бұрын
Raha gani uliyokua nayo? Mbona ndugu zake wapalestina hawana raha unayo wewe????
@antonnyshadrack4136
@antonnyshadrack4136 5 жыл бұрын
mťangazaji uko Powa sanaaaaaa
@kuchumamakesi9382
@kuchumamakesi9382 3 жыл бұрын
Nilichojifunza kwa Fabiani anzuia mambo mabaya yasitokee yani wachawi wanaowaua wenzao bila huruma ndo anawashughulikia, wezi, majmbaz vibaka wote anawafumua anaemdharau hajawahi kuumizwa
@petermuganda3706
@petermuganda3706 5 жыл бұрын
mtangazaji uko vizuri
@georgeswaiswai4581
@georgeswaiswai4581 2 жыл бұрын
Milady wapo kwa ajili yakukusogezea habar wewe kama nimtu wamungu umeokoka jipange upande wako wakristo,piga maombi uzizimishe rad za mzee,maana nayeye yupo anaemtumikia
@mohamedissakaishema9895
@mohamedissakaishema9895 3 жыл бұрын
Allah atuhifadh
@thomaszakayo7536
@thomaszakayo7536 5 жыл бұрын
Dawa ya kujikinga ni Yesu tu..
@maryemmanuel6589
@maryemmanuel6589 5 жыл бұрын
Amen
@deboramatpapaztv
@deboramatpapaztv 5 жыл бұрын
Jaman mnasema ajenge nyumba kwani amesema anaagua kwa biashara?anasaidia tu jaman?waganga wa pesa sio kabisa...unakuta eti mganga anasmartphone..ananyumba nzuri...majanga...
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 5 жыл бұрын
Tutaftie fisi tupige bodaboda huku,kwan usafr ni shidaa kwetu
@moviezakutafsiriwa1049
@moviezakutafsiriwa1049 5 жыл бұрын
Nimekuelewa,Lakin Mzee Wangu Tujenge Nyumba Sasa.
@leylasaid2616
@leylasaid2616 5 жыл бұрын
Piga ua garagaza hawa watu wanamna hii yaani wenye asili ya uganga huwa hawanaga maendeleo..asilimia mia
@hezronpeteruggh684
@hezronpeteruggh684 4 жыл бұрын
Watoa huduma hawawi matajiri
@FUNDIMAKAVAKIGOMA
@FUNDIMAKAVAKIGOMA 3 жыл бұрын
Nyumba ndo nini wew
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 Жыл бұрын
😁😁😁
@mankialema6490
@mankialema6490 5 жыл бұрын
Makazi hafifu,afya hafifu,waliomzunguka kizungumkuti, Kazi yoyote isiyokuwa na baraka za kimungu Haina baraka hata kidogo Wateja Toka Kongo,Kenya, Uganda,Zambia,SA,huwa wanakuja kupata Tiba bure? Wiiii SI ningeona gorofa happy Acheni Mungu aitwe Mungu,,ole wake atakayemtegemea mwanadamu atakayekufa muda wowote
@mwazanimnyamani8493
@mwazanimnyamani8493 5 жыл бұрын
Watu wote wanaojifanya wao mungu MTU matokeo yake yanakuwaga namna hiyo.koti kubwa kama nyumba ya mende
@josephmayunga7861
@josephmayunga7861 5 жыл бұрын
Kweli
@riz00rajebo82
@riz00rajebo82 5 жыл бұрын
Radi zauwa watu kumbe ww ndo wa tengeneza jipange NA lakumjibu allah wako
@oracleemanuely7946
@oracleemanuely7946 4 жыл бұрын
mankia lema mizimu aitaki gholofa
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 Жыл бұрын
😁😁😁😚
@simontamba1285
@simontamba1285 5 жыл бұрын
Yesu Ni zaidi ya ....
@princemujuni9803
@princemujuni9803 5 жыл бұрын
ni kweli kbs Yesu ni zaidi lkn kuna vitu vingine huwa havimuhusu hlf yy ndiye final nikishindwa humu dunian bac msaada wangu utatoka kwake
@suzanamenamenswingahallelu198
@suzanamenamenswingahallelu198 5 жыл бұрын
Amen .God always is hiller
@irenemassuky2521
@irenemassuky2521 4 жыл бұрын
Nimwiz uyo sio mganga
@NyotaBalolane.
@NyotaBalolane. 3 жыл бұрын
Amen sana
@hamisikabwe3980
@hamisikabwe3980 5 жыл бұрын
Mzee yupo vzr sana kikweli.
@kurwpaul1134
@kurwpaul1134 4 жыл бұрын
Hamisi Kabwe yupo vzr kwa anaye mwamini
@taifocuscompany9246
@taifocuscompany9246 5 жыл бұрын
Milad kuna watu wengi sana wanafanya mambo ya maana... Achana na wachawi hawa ni hasara tupu
@jescasamwel3374
@jescasamwel3374 5 жыл бұрын
Ciamin uganga namwamini mungu wang alie jua
@NyotaBalolane.
@NyotaBalolane. 3 жыл бұрын
Amen
@hafidhyakoub5350
@hafidhyakoub5350 5 жыл бұрын
Jamaa unamuogopa mulize vizuri ana tengeneza vp radi
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 жыл бұрын
Miladi namba sana namba yahuyo mzee kunamtu kanizurumu hela nyinyi naombasana samahani
@nadystyle339
@nadystyle339 4 жыл бұрын
Waru wakijijini wana lifestyle yao eti anawasogeza watoto waonekane kwenye camera kawashikia na fimbo kama ng'ombe 😂
@V.O.T
@V.O.T 4 жыл бұрын
Kumbe tunazo silaha nzuli tu kuliko nyukria ,atenge neze nyingi tuzi fanyie majalibio ya kiulinzi ,tusiwe na mawazo duni
@ombenimshahara2838
@ombenimshahara2838 3 жыл бұрын
Kweli kaka umewaza mbaliii
@Ishengoma1
@Ishengoma1 5 жыл бұрын
Mzee wa radi dah! Ile kitu noma. Iliwahi kunikuta huku nikipika. Nilisikia paaaawhaa nyota mia, sufuria kule, mwiko kule...mafiga hayakuonekana. Dahaaaaaaa!
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 5 жыл бұрын
😁
@immamrema2288
@immamrema2288 5 жыл бұрын
Duu mm namikos Kama yote inabidi nimtafute UYU MZEE haloo miladi ago mniunganishe😢😢😢😢
@marthakingu4756
@marthakingu4756 Жыл бұрын
Mambo
@muhammadmbaruku1171
@muhammadmbaruku1171 4 жыл бұрын
Towa namba zako mzee na aniwani ya mahala ulipo
@yelemiakameta6033
@yelemiakameta6033 4 жыл бұрын
Mungu akusaidiye ujenge nyumba
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 10 ай бұрын
Eh, Babu Fabi... Ina maana hapo ni Tanesco kuenda mbele! Anaye leta ujinga anamurikwa!
@kiatu
@kiatu 5 жыл бұрын
Je hii elimu dunia imeshafanyiwa research hata kidogo na sisi wa-afrika? Ama mzungu alisema ndio basi tena?
@martinjosephat6970
@martinjosephat6970 4 жыл бұрын
Hakuna cha waganga mganga in mungu pekeake
@marygregory7566
@marygregory7566 5 жыл бұрын
Yesu ndo jibu
@diamondplatnumz41
@diamondplatnumz41 5 жыл бұрын
We mungu
@peterkyese4516
@peterkyese4516 5 жыл бұрын
Xaxa anawateja nchi zotee hizoo afu makazi hayaeleweki doooh...jamani hi dunia ina mamboooo jamann🙄🙄🙄
@mathnasaeed3806
@mathnasaeed3806 5 жыл бұрын
Peter Kyese yeye anawasaidia hebu msikilize vizur kamaanisha hatibu kwa tamaa bali anasaidia watu km unalo tatizo nenda ukajichukulie radi yako
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 5 жыл бұрын
Mathna Saeed anawasaidia ndiyo lakini anapata chochote mtu hawezi ingia gharama zake kukutengenezea tu maisha haya
@salmaothuman9762
@salmaothuman9762 5 жыл бұрын
Maana unafanya uchawi hauna faida unaishi maisha magumu halafu unafanya shirki bila kumuamini mungu
@foodmark482
@foodmark482 5 жыл бұрын
Mzee Fabian tena eeeeeh nabadilisha jina uwiiiiiii
@antonyjeremia7224
@antonyjeremia7224 5 жыл бұрын
Food Mark babu ni noma
@emmanuelmbuliimo7055
@emmanuelmbuliimo7055 3 жыл бұрын
Na Mimi Kuna mganga mkuu YESU KRISTO ATUPENDAYE Ni tabibu mkuu wa matatizo yetu yote Ni mkuu sana kuliko yeyote na yeye na mkaribisha na mtu awaye yeyote Yesu kristo yupo pamoja nasi
@annenduku5243
@annenduku5243 3 жыл бұрын
Mzee Fabian angali hai?ningemtaka nizungumze naye
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 жыл бұрын
Hakun mgonjw hat mmoja aliyejilotea kumjengea hat nyumba aliyefanikiw jmn
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 26 МЛН
LIVE: Netanyahu delivers speech before Congress
2:15:05
Associated Press
Рет қаралды 564 М.