Mzee hovyo sana huyu network imeferi juzi akasema dunian mungu kashusha watatu gaucho Brazil Messi Argentina na chama Zambia Sasa leo aondoke
@user-gb2pl3ln9mАй бұрын
Kila anaeachwa na Simba watu wanapiga kelele nyingiii vepe mnaogopa
@AndrewShola-ts5lpАй бұрын
Hapa mzee masatu nimekuelewaa kwa kibu hata Mimi nakuunga mkono..🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@saidmansoor8528Ай бұрын
Na uongo nao😅😅😅
@user-bt6ep3yb2hАй бұрын
Kwa kweli simba una uongozi bora sana, mangungu oyeeeee.
@waziribori2280Ай бұрын
Kweli mzee masatu hao wachezaji wanatumika na yanga kutuumiza yaani ni WASALITI NA WAMETUMIKA SANA KWA MIAKA MITATU . SIMBA ISAJILI WACHEZAJI WANAOPAMBANA . YAANI HAO WAKIWEPO BADO SIMBA WATATUUMIZA. MFANO MKUDE ALIWAUMIZA SANA SIMBA
@YozakiKidabuАй бұрын
Mzee wa maan kbsa huyu
@user-yh3dv2bl7uАй бұрын
Masatu wachane hao wandishi wambea hao wawachukue wao
@errydeo8865Ай бұрын
Simba wanachekesha! Last season waliongea hivi hivi😂😂😂msimu ujao nafasi ya sita!
@WilfredSaidi-st3tnАй бұрын
Mzee masa2 unakodi 😅😅😅za ndani😅😅😅
@user-cl4dx3kc6kАй бұрын
Huko nikimkosea heshima chama
@SmartOman-lp9ujАй бұрын
Wewe Mzee masantula apo umewegela
@kolosii4351Ай бұрын
We mzee masatu achana na yanga. Hata kama yanga haisajili kwani kuna shida gani??
@IMmedia224Ай бұрын
WAKWANZA mm
@b.warron4631Ай бұрын
Ole wenu tff mbadilishe ngao ya jamii ..tunacho jua tunataka yanga acheze na Simba ..mshindi WA Kwanza na WA tatu..tupige hawa simba
@binbadru8408Ай бұрын
Na Simba Wana hamu na yanga kiukweli tunashida na nyie
@b.warron4631Ай бұрын
@@binbadru8408 😂😂 nyie tutawapiga nje ndani tena...labda karia awabadilishie ratiba
@malietamalietАй бұрын
acha kubishana na makolo ao wamekua kama wendawazimu sai awaeleweki upepo ukipeleka uku Leo ndo wanaamkia uko na kufurahi mafanikio Yao kuona madhaifu ya yanga ndo watapeleka ata kwenye mkutano wao ndo maana wamemuiba lawi😂
@athmanimkangara9290Ай бұрын
Utopolo kama utopolo
@albertlaizer8464Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 hayo ni mawazo yako lakin na hao uto wenzako
@alfredymalata269Ай бұрын
RAHA YA SIMBA WANASAJIRI KUPITIA MASHABIKI NA SIO KOCHA 😂😂😂
@ibrakananАй бұрын
Huyu mzee masatu anaongea pumba kisenge hajui mpira hata kidogo totally clown 😂
@Makala360Ай бұрын
Ww mwnyw ujui mpira ulitumwa uangalie msenge nn ww