MZEE MASATU: YANGA ANAANZIA KAJAMBA NANI CLUB BINGWA !!! | KISAYANSI SIMBA YUPO GROUP STAGE.

  Рет қаралды 23,059

wispoti tv

wispoti tv

Ай бұрын

JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

Пікірлер: 41
@DavidChristino
@DavidChristino Ай бұрын
Mzee masatu shikamo mzee wangu
@mankamanka7415
@mankamanka7415 Ай бұрын
❤❤❤Simba nguvu moja❤❤❤
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le Ай бұрын
Yanga wanajifanya wakubwa kumbe wanaanzia hatua ya awali cku zote cmba atabakuwa cmba hawez kuwa paka japo wanafanana
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Sawa mkubwa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Amne_ggg6
@Amne_ggg6 Ай бұрын
Mzee Masatu nakukubali mno❤️❤️❤️
@sangaelly8548
@sangaelly8548 29 күн бұрын
Mzee Masatu unajua utani hora sana
@WilliamCharles-iq8ym
@WilliamCharles-iq8ym Ай бұрын
ww mzee,Chawa Sana.Tunawasubili tr 8.
@DanielChaula
@DanielChaula Ай бұрын
Mkubwa anaonekana sio mbaka muulizane
@AlfredMwakabana
@AlfredMwakabana Ай бұрын
Kweli matatu simba mzee si anachezea tu bakiza maneno mzee masatu
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 Ай бұрын
Nyie watangazaji hao wasemaji Watu wazimà wapewe wazee wenzao. Muwakilishi wa Wanainchi yupo Mzee Mpili. Hebu mualiki akumbane NAO hao wanaokaa ktk nyumba za kupanga
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
WACHEZAJI WAZINGULIWE KWA ALBADIRI ATAKAE JARIBU KUWAROGA AFE TU
@husseinchalamila2624
@husseinchalamila2624 Ай бұрын
Simba atabak shilikisho, yanga ataanza awal kimataifa
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib Ай бұрын
Hapo ndipo mpokosea ongelea timu Yako lpo kwenye kundi lakike yanga lpo champion llgi
@RamadhanChembela-p9r
@RamadhanChembela-p9r Ай бұрын
Kwenye kombe la luzaaa
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 Ай бұрын
Mbona huyu mtangazaji ni kama vile anavi nasaba vya Lomalisa fc? Kwani anajaribu kuwa tetea wachezaji wa Timu Lomalisa fc kuhusu umri wao
@gladnessmichael2459
@gladnessmichael2459 Ай бұрын
Unaota alinacha mzeeee unaongea kishabik poleeee sana
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad Ай бұрын
Yani watu hawajuagi tu ila kiukweli hatua za awali huku Kuna faida sana mechi 4 hz unaingiza mbinu vizur tu za kufanya makundi yawe Bora kwako sema watu wao wanaona km ujinga lkn ni faida sana
@HassibuMvungi
@HassibuMvungi Ай бұрын
Mzee masatu utatuharibia watabadilisha mganga hao
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe 29 күн бұрын
Masatu uko levo gani?au shirikisho
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 Ай бұрын
Huyo masatu aombe sana kizazi chake kisafwate akili zake😢
@bone102
@bone102 Ай бұрын
Haya tuambie Kati ya Simba na Yanga nani mkubwa CAF tupe na ushaidi ili tuone wewe na huyo mzee nan watoto wake wasifuate akili zake
@seifmsabah4384
@seifmsabah4384 Ай бұрын
Nikweli hatua ya awali ila sio luzer
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Shirikisho 😂😂😂
@JenniferMjie
@JenniferMjie Ай бұрын
Shabiki maandazi
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Ай бұрын
Yanga ni ndogo hata wajaze mizee na Azam watapigwa kama Ngoma na hata wagosi wa kaya
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Huyu mzee hua ndiye wakwanza kulalamika team ikianza kupoteza
@abdulomari4932
@abdulomari4932 Ай бұрын
Huyu mzee akili kisoda
@nasseraljahwri6310
@nasseraljahwri6310 Ай бұрын
😂😂😂 KAJAMBA NANI
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Tusi kubwa hilo, Injinia anasikia na Gamondi.
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u Ай бұрын
Masatu makina magumu tunajaribu kuroga majina yanapotea Sasa safar hii cjui tutafanyaje
@abdallahsaid4139
@abdallahsaid4139 Ай бұрын
kajamba nani utopolo
@MauBonde
@MauBonde Ай бұрын
Simba hata wakibebwa hawafiki popote kimataifa nakumbuka ligi ya mabingwa afrika walipitishwa hivyo hivyo lakini hata robo hawakifika zilikua mechi kadhaa robo nusu na fainali.
@mussamazoya7994
@mussamazoya7994 Ай бұрын
Yanga yako iliishia hatua gani?
@user-vb6zv8ov8v
@user-vb6zv8ov8v Ай бұрын
Wakati mwingine mambo mengine hata ukimpa mwehu anaweza kukupa jibu,Kolo ni mkubwa akiwa wapi? Huko lazima aonekane mkubwa yuko na nani huko,kweli timu iko kundi moja na Uhamiaji ya Zanzibar bado unatamba Masatu ni bado bikira huyo apelekwe jando
@nasseraljahwri6310
@nasseraljahwri6310 Ай бұрын
Hii msg sijui umeandikiwa?? Chukua SM yako bro, msimamo wa Caf ranking Simba WA ngp Vs Chura?? Ukiachana na shirikisho 😂😂
@Khalidniya380
@Khalidniya380 Ай бұрын
Simba kutofanya vizuri mwaka huu haimanishi kama Simba imekua mbovu hili ni jambo na msimu tuu
@athumanibakari8618
@athumanibakari8618 Ай бұрын
Hata angekuwa club Bingwa asingeanzia Matopeni
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Mzee simba ni mkubwa aliyedumaa. Miaka mingi harefuki, robo unacheza mara ngapi?? Halafu maneno yenu ndio yanayowaroga. Sasa msimu unaanza na mmeshaingia kwenye mfumo wa kuiongelea yanga. Endeleeni mimi yangu macho na masikio.
@johnmwanja4476
@johnmwanja4476 Ай бұрын
Vyura acheni Nongwa...SImba mkubwa Utopolo ni KAJAMBA NANI😅
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 32 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 28 МЛН
The fighter forced himself to be respected
0:34
IMBALANCE
Рет қаралды 4,5 МЛН
Friends Supporting Friends
0:15
Red Bull
Рет қаралды 23 МЛН
Respect Beautiful Moments 😍
0:21
Air Football
Рет қаралды 4,9 МЛН
Footballers Crazy Jumps + Goats😮
0:27
Football Arena
Рет қаралды 14 МЛН