Changamba awe anaweka namba y mzee said tuwe tuna m support anafurahisha sana
@neemadaniel623324 күн бұрын
@@eliudmasha9530 haswaa
@trice_yanga24 күн бұрын
@eliudmasha9530 shida watu wanamsumbua
@kapondadr584025 күн бұрын
Mzee saidi ni mmoja tu mtandaoni 🔥🔥🤣🤣
@jambia451525 күн бұрын
Mzee Said unanifurahisa sana unanifanya nicheke
@musahairikha813524 күн бұрын
From congo nakupata father said like your interview
@B.M-ix4rz25 күн бұрын
❤❤❤❤❤you mzee said kwa kweli unanisogezea siku kwa furaha
@daudikisoma228425 күн бұрын
Mzee Saidi bhana,hauna mtoto wa kike nije kuoa mana natamani uwe ata mkwe wangu Kwa kwel unanipa raha sana
@salumuomari25 күн бұрын
Mimi nainjoy Sana kwa mzee said nafurah Sana daah mungu akuweke Sana mzee
@OctavianJohn-og7wg25 күн бұрын
Mzee said mwenyezi mungu akuweke unanifuraisha sana
@ChenchiKing25 күн бұрын
Yan Mzee Said Tu Ni M’moja Tu Kwa Bongo Nzima❤🎉
@FosterBwalya-rh9lh25 күн бұрын
Mzee said mungu akubaliki kila siku unazidi kuleta furaha ndan ya bongo
@mesuitozil152725 күн бұрын
Wawe wanamlipa asipoteze nguvu bure
@kampista1125 күн бұрын
Mzee saidi, arajiga, mobeto na azizi ki nacheka sana. Watu wanashaanga nacheka nini kumbe huyu mzee. Mzee Mungu akuneemeshee barka.
@MwanahamisiMchombo25 күн бұрын
Mzee Saidi ni mmoja tu🎉🎉🎉🎉
@Shadia54425 күн бұрын
Jamaniii jamaniii jamaniii haya nilikuwa namsubili mzee saidi jamaniii chagamba na mzee saidi chagamba anainjoi sanaaaaaa 😂😂😂😂
@SadatiRajabu25 күн бұрын
Umeonaeeee hatari sana, nilikuwa namsubilia
@Shadia54425 күн бұрын
@@SadatiRajabu miee mzee saidi tuu 🤣🤣🤣🤣
@faustalutambi810125 күн бұрын
Kabisa
@vangraphixvan832025 күн бұрын
@@Shadia544shadya
@user-li6zg6tg7o25 күн бұрын
Mzee said nataman nikuone mzee wangu siku moja pia nakuombea Kwa mungu uishii maisha marefu saana na enjoy saan kumwona huyu mzee wangu big up changamba😂
@abdulrazaqkatoma564825 күн бұрын
Huyu Mzee yupo vizuri sana kwenye interview 😊
@user-zx1vk9pr1w25 күн бұрын
Hahaahahah ! Mzee side azizi yupooooo 🤣🤣 ! Jin lakooo 😂
@user-mq4rg9lu4h25 күн бұрын
Kila nikimwangalia Mzee saidi Yani nafuly kweri Mzee mungu akupe maisha malefu
@DicksonNasibu-tv7vr25 күн бұрын
Coacher wenu amerudi Rwanda mzee saidi
@Mary-fs4mc25 күн бұрын
Kocha gani jamani
@DavidSwila25 күн бұрын
Pole mzee said maumivu bado yapo palepale
@Mary-fs4mc25 күн бұрын
Sijui itakuwaje😂
@erickmalipesa101823 күн бұрын
Nakupenda sana Mzee wangu Mzee said hakika tuna furahi sana baba hongera Kwa kipaji hicho. By Erick malipesa kutoka ilemba sumbawanga.
@issaabdi912925 күн бұрын
Mzee saidi kweli inshaaala tutakupelekea Azizi key. Juwe yanga taifa kubwa wamemtumia bebeto kumzugua Azizi key kuongeza Mkataba.
@mwanaidimtengo815125 күн бұрын
Jaman Nampenda sana Mzee Saidi,Anafurahisha sana,Chagamba tunaomba utuleteee kila siku,hachoshi kumsikiliza
@bonifacekankoma966324 күн бұрын
Chagamba hongera sana kwa kutuletea mzee Saidi . Kwa mzee saidi nacheka kwa vituo😂😂😂🤣🤣
@phineusfredrick492125 күн бұрын
mzee saidi inakusemesha kweli kwel,👏👏👏👏
@user-qu1ut5ri2z24 күн бұрын
Mungu akulinde mzee wetu
@MohammedIsmail-fw9vn25 күн бұрын
Mzee said ndio anatendea haki bundle langu
@Wami-Sababisho24 күн бұрын
Mzee Saidy 😂😂😂😂,Mobeto 😂😂😂. Safi sana nikisikiliza interview za huyu mzee siku inaenda vizuri kabisa 😂😂😂.
@user-vi7ly9zh1q25 күн бұрын
Kutoka Oman 🇴🇲 nakukubali sana mnyamwezi mwenzangu mzee said 😂😂😂
@MeddyRaymond25 күн бұрын
Mzee said what is which 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwajumampokileomckapela754122 күн бұрын
Mzee said tunampenda 😊😊😊😊😊
@thomasnachenga79525 күн бұрын
😂😂😂 eti UYUGU UYUGU 😂😂😂
@eliudmasha953024 күн бұрын
Mzee said 😂😂 🔥🔥 changamba uwe unaweka namba ya mzee said awe anapata hela ya chai aise anatupa raha sana Yanga fans
Ila Mzee Side Mwenyezi Mungu akuweke na akupe Afya njema❤❤
@juma625324 күн бұрын
Ehe twende ukatue vizuri😊😊
@MagrethKyaruzi25 күн бұрын
Mzee Said leo mnyoge mnoooo😂😂
@SelemaniSelemani-bw4ps24 күн бұрын
Mzee anaongea ukweli kabisa sis washabiki yanga na simba timu itakayofanya vibaya sijui kama tutawakubali wachezaj wetu, ila sasa hivi kila mtu anaongea lake,,,!😮
@PacchaYassin24 күн бұрын
Me you TANZANIA
@fathimadaid342925 күн бұрын
Hata mie nampenda sana
@RichardAmos-eo9dh25 күн бұрын
Ila mzee said 🔥🔥🔥🔥🔥
@abdallayunnus347523 күн бұрын
Nkubali mzee said na gamba
@user-ug1nv3xl4d25 күн бұрын
😂 nilikua nasubiri uy mzee kwa hamu baada ya kubaki kwa ki Stefani
@ChenyBae24 күн бұрын
Chagamba Naomba namba ya mzee said nimtumie chochote ananfurahisha sana
@privatarimo481123 күн бұрын
Mzee said unajua mpira na wewe ni mkweli well done ✅
@fafa_thedon25 күн бұрын
Mzeeee wetuuuu🎉🎉🎉🎉
@mahmoudaziz471724 күн бұрын
Ndo namkaaa nakutana na mzee wetu side boy😅😅😅nacheka tu.
@MichaelMwambango24 күн бұрын
Mzee Said 🔥🔥🔥
@JumaSango-yo8bj25 күн бұрын
Mzee said noma sana leo umeniuwa mbavu zangu😂😂😂
@IsraelMtafya-fq2lf24 күн бұрын
Sema mzee unajua mpila
@FredyPeter-rq8hj25 күн бұрын
Safisana Mzee said nilikua nawaza mb zangu zinakata bila kusikia manenoyako matam😂😂😂😂❤
@edinamwanasenga158425 күн бұрын
Mzee saidi unanifurahisha sanaa changamba una tupa raha
@user-kd9tc4tl5f25 күн бұрын
Mzee said usiumie bhana
@edwardpaulo335124 күн бұрын
Yani mimi najikutaga nacheka sana nikianza kumsikiliza mzee said😂😂😂😂
@ManumbuManumbu-o8c25 күн бұрын
Mzee anamuogopa sana azizi ki kama corona😂😂 ila anasema ukweli Simba mjipange
@mdashirumbaraka852924 күн бұрын
😅😅😅😅😅Safi sana mzee unachangamsha game
@DullaBallack-mw9zd25 күн бұрын
Nice
@angellomarcel567722 күн бұрын
Huyu mzee Bwege kweli yaani K kasaini kisa Mobeto😂
@abdulrazaqkatoma564825 күн бұрын
Mzee all the best 😂😂😂
@jonasmalima914325 күн бұрын
Mzee said bwana
@andreamlela138325 күн бұрын
Karakashanee maana yake ni kurupushani ya kugombania kitu. Nabahatisha Mzee side.
@moshielfesty799225 күн бұрын
Mzee Saidi 🎉🎉🎉🎉
@yasrikomba787425 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂mzee anazingua sana
@mahirnassor311823 күн бұрын
Mzee Said welcome Yanga 😂😂😂
@jabalimikechi775025 күн бұрын
Uyugu Uyugu 😂😂😂😂😂😂
@ramadhaniselemani64725 күн бұрын
Side kama side
@MohammedIsmail-fw9vn25 күн бұрын
Hapo mzee Said dirishani huwa anafanya nini kila siku
@ibrahimmagesa89223 күн бұрын
Aziz ki,Mavunde,Arajiga,Saidoo na mzee Said dam dam 😂
@kitulageorge512322 күн бұрын
Mzee Saidi 😂😂 naona umeshawahi kuwa mchekeshaji sasa maana watu tunacheka tu huku
@MariamMbonde-v1e24 күн бұрын
😅😅mzee side bhana ubaya ubwera 😅😅😅 et hazijampendezaaa mh mh acha hizooo chama kadamshii na kijani na njano😅😅😅
@dullywa997324 күн бұрын
😂😂😂😂huyu mzee simba inamuumiza sana
@KISIMBAKUCHA25 күн бұрын
Napenda xana mzee saidi
@DarliotonTumaini25 күн бұрын
Ki mobetto arajiga🎉🎉🎉
@erickemmanuel948625 күн бұрын
Oi nipe location nionane na mzee said
@JANE-jv4eq24 күн бұрын
Nimeamua kuludia tena kumsikiliza tena mzee saidi 😂😂😂 . Kalaka shinee 😂😂😂. Hakuna ngendembe 😂😂😂😂😂
@user-od8lh6il8q23 күн бұрын
Dah huyu mzee
@patrickmukundichalamila303825 күн бұрын
Afu ndo mara waaa mzee Said anajua na English 😂 aise watafaidi wengi wallah 😂😂