#JEJE YA DIAMOND YA TIKISA ULAYA TAZAMA kzfaq.info/get/bejne/rMxmn6R2yLSlgpc.html
@leonardmartin17573 жыл бұрын
Msanii wa maigizo na filamu ndo huyu
@samolajoseph32113 жыл бұрын
Madebe unajua lakini ray mpeni eshima yake nimuigizaji mkubwa kuliko wote ashafanya kaz nyingi nzur ndomshindani sahihi wamalehem kanumba
@tajjudinihaji27763 жыл бұрын
Rey amuezi gabo kabisa na luga bado chuma
@user-po2rg7gf5k Жыл бұрын
Madebe unafaa kua mwingizaji
@mwakimpalama88773 жыл бұрын
Huyu bwege zamani nilikuwa nawaza yuko vizuri sanaa lakini nimekuja kugundua hakuna msanii hapa
@josephsabuni10033 жыл бұрын
We ndo fala hujui unachokizungumza!
@aetiusaugustine3953 жыл бұрын
madebe ni kifaa kimoja hakipo kingine kama yeye
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
Kabisaaaa anajua sana
@stansilauseliasi78833 жыл бұрын
Hamna msanii hapo utoko mtupu
@mdangadaniel21852 жыл бұрын
Madebe hana mpinzani
@stamalamkulungwa8708 Жыл бұрын
Wewe madebe Ray akuongea kitu kibaya wandishi wahabari wanawagombanisha
@mosadibronze3 жыл бұрын
Rey amjibu vikali madebe lidai bifu limekolea tazama alichojibu Rey kigos utashangaa bongo movie kupolomokakzfaq.info/get/bejne/oKujoax_r7GxdJ8.html
@davidcurtis85563 жыл бұрын
Yani we mshamba kweli yani dah! Hii stly unayotumia itakuponza.
@faumamakwaia50953 жыл бұрын
Madebe kweli hawezi shindana na Rey hawezi ndio maana anajichubua
@faumamakwaia50953 жыл бұрын
Rey hajui hata kuigizaa
@uwesusinde99762 жыл бұрын
Maarifa mengi hupelekea mtu kukosea kwenye imani ya dini ya kiislamu mtu kujiita nabii ni makosa makubwa kabisa yanayopelekea mtu kumvua kutoka katika imani hiyo na mimi nina imani kua wewe unaitakidi kwenye imani hiyo ya kiislaamu sasa ushauri wangu kwako hebu jitahidi kurekebisha sifa hiyo ili uwende sawa na imani yako maana kujiita hivyo ni kufru kwa mujibu ya imani ya kiislamu.
@aristarquekambereofficial Жыл бұрын
Kuna title na jina, tumia akili
@uwesusinde9976 Жыл бұрын
Hakuna mahala katika kitabu wala sunna kunaruhusu kutumia jina nabii kwa title wala kwa jina na hakuna kwenye dunia hii kuna mtu aliitwa nabii huo ni wasifu wa mtu aliejulishwa habari fulani na mungu kwa njia ya wahyi ukitaka zaidi rejea katika vitabu mbalimbali vya dini kama majmui fatawa ya ibni taimiyya na vinginevyo tatizo lini mwaona kila jambo linatumia akili kuna na maandiko yana nafasi ya kwanza kabla ya akili.
@uwesusinde9976 Жыл бұрын
Na washauri tena vijana katika sanaa zenu mkiona mwataka kufanya jambo lina mafungamano na imani ya dini nendeni kwanza kwa wataalamu wa mambo ya dini mkaulize na sio kukurupuka tu kwa kujiaminisha kupitia akili zenu fupi mkajikuta mnakufuru.
@uwesusinde9976 Жыл бұрын
Akili bila ya elimi (nakusudia ya dini) humuangamiza mwenye akili hata ibilisi aliaangamia kwa kutumia akili bila ya hoja za kielimu aliona yeye ni moto na adamu ni udongo kwa hiyo kamwe moto hautasujudu kwa udongo mwishoe akaangamia Allah awanusuru na akili nyingi pasipo maarifa ya dini.