Рет қаралды 3,717
Hello, habari Je unajiuliza ni NAMNA GANI RAHISI YA KUPATA LOSS REPORT MTANDAONI?
Je, una changamoto ya kujua namna ya kudownload loss report? ushawahi kujiuliza how to get loss report online? namna ya kupata loss report online bure kwa mali iliyopotea ni rahisi sana!
Hii video inatatatua changamoto ya jinsi ya kupata loss report bure mtandaoni, unajua ni namna gani nzuri ya kupata loss report mtandaoni bila usumbufu wowote kwa kutumia simu yako au kwa kutumia computer yako?
Angalia video hii mwanzo mpaka mwisho kujua namna ya kupata loss report kwa kutumia simu yako. kisha tunaomba utusaidie kusambaza video hii ya jinsi ya kupata loss report mtandaoni kwa kutumia simu au pc.
link ya kupata loss report hii hapa chini
www.ajirampyazone.com/2022/09...
#lossreport