NAMNA YA KUMSHINDA JINI MAHABA - DISCIPLE LEWIS MPOLI

  Рет қаралды 4,545

Reality of Christ Arusha

Reality of Christ Arusha

Жыл бұрын

KANISA LA REALITY OF CHRIST MINISTRY - ARUSHA (ROC). IBADA ZETU NI KILA SIKU YA IJUMAA SAA KUMI JIONI PAMOJA NA JUMAPILI KUANZIA SAA TATU ASUBUHI, MAHALI NI EDEN GARDEN NANE NANE NJIRO MKABALA NA NABAKI AFRIKA - ARUSHA.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0744222292
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Follow our Instagram: / roc.arusha
Subscribe our KZfaq: / @realityofchristarusha
#sunbellakyando #pastorsunbellakyando #pastorjohnsembatwa #realityofchrist #realityofchristarusha #disciplelewismpoli

Пікірлер: 26
@user-rh3lc5nx2e
@user-rh3lc5nx2e Ай бұрын
Amina mtumishi uyu jini simpendi kabisa na iwe mwisho wake Leo amenitesa vya kutosha
@WAHINDIKWEMBE-er8bj
@WAHINDIKWEMBE-er8bj 10 ай бұрын
Shalom mtumishi, mimi ni mama nina miaka 42, naandamwa na nguvu za jini mahaba, sijawahi kuolewa toka usichana wangu kila nikiingia kwenye mahusiano yanavunjika, naomba maombi yako mtumishi
@nicholaskatana7623
@nicholaskatana7623 10 ай бұрын
Amen pastar nimebarikiwa na mafundisho yako hayo yote uliyo fundisha nimayapitia na bada ya maombi ninaamini nimefunguliwa Mimi ni mkenya kutoka Malindi mungu akubariki mtumishi
@user-rh3lc5nx2e
@user-rh3lc5nx2e Ай бұрын
Leo mwisho wangu wa mateso ya jini mahaba
@fatumamolel7486
@fatumamolel7486 4 ай бұрын
Ameen
@rehemasilasi2985
@rehemasilasi2985 5 ай бұрын
Mtumishi naomba niombee nimeteseka kwa muda mrefu na hizo roho nimekuwa nikiteseka kweye mahusiano baba naamini Leo nitafunguliwa na nitapata mume wa maisha yangu
@MwaduduFatma
@MwaduduFatma 9 ай бұрын
Ameen nmefunguliwa kutokana na jini mahaba kutoka Kenya
@user-cg3pm3is4e
@user-cg3pm3is4e 10 ай бұрын
Ndoa yangu Ili kufa kwaajili ya mambo hayo nateseka Hadi sasa mungu nisaidie kweli mtumishi nimechoka na mambo haya nipo shinyanga
@monicalaizer7596
@monicalaizer7596 2 ай бұрын
Arusha sehemu gani
@Neema-wy4mh
@Neema-wy4mh 6 ай бұрын
Amen pastor mungu akubariki. Nimeona tulipokuwa ukiomba nilikuwa napga miayoo sana NA machozii yanatiririka. Naamini mungu hajaniacha kafanyakitu. Amen
@dorothynyarukende9393
@dorothynyarukende9393 6 ай бұрын
Mungu awabasliki nimesikiliza maombi yenu nimpokea kwa jina la yesu Christo.
@AnabAbdallah-ii7ou
@AnabAbdallah-ii7ou 9 ай бұрын
Mtumishi niombee na teseka na huyu jini mahaba kila nilibeba mimba watoto wanakufa au mimba kuhalibika ugovi kila siku mimi na mume wangu
@joycemaige6838
@joycemaige6838 Жыл бұрын
Ameeeen barikiwa mtumishi
@LovenessLucas-tc9eo
@LovenessLucas-tc9eo Жыл бұрын
Kwa jina la YESU leo nafunguliwa
@user-qo8tm4sn3s
@user-qo8tm4sn3s 10 ай бұрын
I'm blessed
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Amen amen amen
@lucyshayo3520
@lucyshayo3520 Жыл бұрын
AMEEEEEN
@WAHINDIKWEMBE-er8bj
@WAHINDIKWEMBE-er8bj 10 ай бұрын
Nipo dubai kikazi na wala sijawahi kufanikiwa kiuchumi japo nina mshahara mzuri.
@mariahjoseph1698
@mariahjoseph1698 Жыл бұрын
Ameeen🙌🙌🙌
@leahkaneza1731
@leahkaneza1731 8 ай бұрын
Amen
@rosenanjirawesonga2030
@rosenanjirawesonga2030 11 ай бұрын
Mm pastor ineed your help,,nimeishi kusubuliwa na hizi maroho ilifanya nikatoroka ndoa nikaenda Saudi Arabia kazi,lakini bado nateseka sana na hizo maroho
@prayerlife-ministry
@prayerlife-ministry Жыл бұрын
Very powerful
@EmpressMary-mz6jj
@EmpressMary-mz6jj 3 ай бұрын
Nko na 32 years,ila Sina hamu ya ngono kabisa
@EliakimEzekiel-kf2kg
@EliakimEzekiel-kf2kg 9 ай бұрын
tunaomba utuombee na nguvu za giza
@bekakayaa1639
@bekakayaa1639 11 ай бұрын
Kutoka Kenya nme fungulia maroho ya majini mahaba
@AnabAbdallah-ii7ou
@AnabAbdallah-ii7ou 9 ай бұрын
Mtumishi niombee na teseka na huyu jini mahaba kila nilibeba mimba watoto wanakufa au mimba kuhalibika ugovi kila siku mimi na mume wangu
ROHO YA USINGIZI - DISCIPLE LEWIS MPOLI
1:08:06
Reality of Christ Arusha
Рет қаралды 3,2 М.
NEEMA YA MABADILIKO YA GHAFLA - PASTOR JOHN SEMBATWA
1:17:05
Reality of Christ Church
Рет қаралды 1,3 М.
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 7 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,9 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 11 МЛН
NAMNA YA KUSHUGHULIKA NA UCHAWI UNAOATHIRI NAFASI (MAOMBEZI) - PASTOR JOHN SEMBATWA
1:31:05
SUNDAY OF FRESH ANOINTING -   DISCIPLE LEWIS MPOLI
1:11:26
Reality of Christ Arusha
Рет қаралды 67
MWISHO WA UCHAWI BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:45
Reality of Christ Mwanza
Рет қаралды 4,8 М.
SASA JINI MAHABA MKOMESHE ASIKUSUMUE TENA KWANJIAHII NZITO
1:01:31
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 156 М.
VITA ILIYO KINYUME NA IBADA - DISCIPLE NOEL CHRISTOPHER
1:20:19
Reality of Christ Church
Рет қаралды 1,9 М.
5.ITUMIE DAMU YA YESU KAMA SILAHA YA VITA
2:07:59
MGMN TV
Рет қаралды 37 М.
MAOMBEZI YA PEPO ,JINI MAHABA, FANYA MAOMBI HAYA UKIWA NA DALILI HIZI, MAOMBI NI DAWA.
7:03
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 4,9 М.
WHEN GOD IS SILENT(MUNGU ANAPOKAA KIMYA) - PASTOR JOHN SEMBATWA
1:01:45
Reality of Christ Church
Рет қаралды 2,3 М.
ARDHI INASIKIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
19:35
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 34 М.
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37