Another furahi day Mungu katuwezesha tena kucheka pamoja...❤❤😂😂😂😂😂more love
@ElieBMunepo Жыл бұрын
Mimi ni Congo , tanzania ni our second home kabisa 🇨🇩🇹🇿
@msafirifabian2143 Жыл бұрын
We love u
@allymwinyi9704 ай бұрын
Sisi watanzania tunajua Hilo na tunawakubali sana.
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Jotiii ety nimeamini hii familia hawatutaki, bro never disappoint 👊🏼 👊🏼
@chrismuganwa8634 Жыл бұрын
Nishai yule kabisa hata mi naku support she is so beautiful!! Love from Burundi 🇧🇮
@goodluckndagile9381 Жыл бұрын
Huyu jamaa apewe ballon d'or😁
@ramadhanimalanga9306 Жыл бұрын
Kofia ya Mshenga 😂😂😂...nakubali sana Team joti
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti sana. Joti umechenji gia juu kwa juu😂😂😂😂👍.
@agnesbasistian9248 Жыл бұрын
🤣🤣🤣ushaharibu tayari mtaka yote kwa pupa hukosa yote 🥰😘
@mozespatnam7469 Жыл бұрын
Joti unafaaa unge andaa tqmthiliya maaana team yako ni hatari sanaa ipo good good sanaaa✌️🔥🔥
@Vincentksang277 Жыл бұрын
Wakenya tunahumia na watoto wazuri wa kitanzania❤😊heshima nayo
@mlewazitotv Жыл бұрын
Mashabiki zetu wa joti TV tunawapenda sana 🤗 #mlewa
@salomeblack0 Жыл бұрын
Tulio amka na joti gonga like 😍😍😍
@richardscofeld9136 Жыл бұрын
😂😂nimecheka nusu nife ,huo mkoti/pisha nijambe, nakukubali sana joti
@ibrahimadam8623 Жыл бұрын
This is now therapy by entertainment, quality delivery. Well done Joti team
@asha_homedecorations Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Namtaka Huyu Namlia Asali Nampiga Pa Pa Pa 🙌
@paulmwanyika7622 Жыл бұрын
😀😀😀😀
@sikitu8957 Жыл бұрын
Wabembe tupo wengi Tanzania Wengine ni wana siasa wakubwa kabisa siwezi kuwataja ni seme Tz is our Secord one we love you our brothers tukijikata Na Kongo sud Kivu yote itakuwa TZ
@benjaminkangolo2017 Жыл бұрын
Nyote wa shenzi sana 😂😂😂😂😂 good job guys big up keep going
@octavianmasala3862 Жыл бұрын
Joti always deserves to be a GOT 🤣🤣🤣🙌
@shafiikhamis2336 Жыл бұрын
Baba mtu na mtoto mtu wote wahuni...si kwa majina hayo🤣😂😃
@lewimontaz1373 Жыл бұрын
Nishai, ndio king of comedy, amebaki, Tanzania,❤❤❤❤
@pastoraile7195 Жыл бұрын
This best comedy in Africa nice team good group
@abdillahsalim1623 Жыл бұрын
Joti the genius
@amsiabbas3809 Жыл бұрын
😀😂😂🤣🤣🤣 Joti kakutananacho leo hadi wazee wa Kyuba wamemkataa kabisa
@lyrics_forum Жыл бұрын
Nawaambia huyu Jamaa ni Kanumba wa Pili katika Scripts na Story Writing.. Kazi nzuri sana Mr Joti AKA Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo😅
@kaisarimbisso50118 ай бұрын
Kanumba wa pili? Mtu akifa anasifiwa zaidi ya uwezo wake halisi
@djpatruick Жыл бұрын
Joti Mungu akuweke myaka mingi kwa kweli uzidi kututowa stress🤣🤣🤣🇧🇮
@@prenciaiqram9382 njoo nikupe like kubwa … si unapenda like ?
@BrysonMayunga-lc6mq Жыл бұрын
Naitwa Lukas Charles nkingwa Niko nyuma yako Lucas mhuvile unani inspire Sana joti ila natamani Sana nikufikie na nikupite❤❤❤hongera umeweza Sana u r my favourite comedian
@elikanateonest3126 Жыл бұрын
Muhogo mchungu katisha sana utambulisho na jina la pili la joti wametisha Sanaa🔥🔥
@merrynancesimon1562 Жыл бұрын
Mtombagile 😂😂😂😂😂😂😂joti😂😂😂😂😂❤❤❤😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤nawapenda wote Tim joti❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mautopolo Жыл бұрын
Aiseeh you deserve to be the president of comedy
@uwimana6533 Жыл бұрын
Asije kua Zenlekys 😂😂 kaivuruga nchii
@hamisimtemi3803 Жыл бұрын
Kama umemsikia cameraman anacheka gonga like hapa..Joti on fire!!!
@abuusirleh8196 Жыл бұрын
Joti huyu mama bonge la actor😂😂
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Hakitoka King 👑 kiba kwenye mziki anakuja king joti 🎉 kwenye comedy anaweza mpaka anaweza tena ongerah kaka mungu akusimamie kaka❤❤🙏
@thomguy2766 Жыл бұрын
Umeongea point
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
King kiba??? Ok
@stevekasawala2315 Жыл бұрын
No doubt mkuu
@albertkadyanji97227 ай бұрын
Apo kwenye king wa mchongo kibamia mmmmmhhhhh misipooooo
@ashabakari6066 Жыл бұрын
Jmn joti akili zako wazijua mwenyewe,umenivunja mbavu hapo ulipokua unasalimia😂😂❤
@hajiakbar724 Жыл бұрын
Daah eti naenda kuongea na wapumbavu wanzangu, joti unaniuwa mbavu zangu ndugu yangu
@nurdinikilapo4264 Жыл бұрын
Daaa joti na hii timu umeonyesha unajua zaidi Congratulations Nishai🤝
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Never disappoint jotiiii 😂😂🤣
@angelicaflorian8189 Жыл бұрын
Ila joti 😬😬😬🙌 anaulizwa mshenga anajibu yeye Eti wao ni watu wa cuba na mtoto wao ni wa cuba 😁😁😁
@mary2615 Жыл бұрын
So funny episode 😅😅😅
@kilasibashari8931 Жыл бұрын
Jot 😂kumbuka humwezi mtukufu wa Ramadhani tuache kidogo bro, dah! 🙌 respect comedy yako🧏🤦🔥🔥🔥
@juniorfariala6505 Жыл бұрын
Joti ongera mimi ni mkonkomami kabila yangu ni mbangu mbangu sisi wa kongo ni ndungu na watazania tuko pamoja ❤❤❤❤
@bonisachubwa1046 Жыл бұрын
Hapa Sherbrooke Canada nimekuwa wa kwa kuicheki MV Joti
Najiulizaga why X wangu was attracted with this tarented guy.... Nikimuonaga this guy remind of Happy nyakyusa gal whr u are.. Those moments am greatful stay safe with the princess u have
@CelestineKimarolelo Жыл бұрын
Joti..😂😂😂😂😂😂😂 Live longer my brother.. This was epic..😆😁🤣🤣🤣
@saidikikwayu3772 Жыл бұрын
Daah....😂
@maryamathman8917 Жыл бұрын
Joti jamani aki nimecheka hapo mwisho😂😂😂😂😂😂😂
@alfredfelix1911 ай бұрын
Mmbembe kabila langu hilo 🙌 Najivunia sn
@p.kasongot979 Жыл бұрын
wabembe tujuane hapa congo moja , Tokos
@elikanateonest3126 Жыл бұрын
Jotiiiiiiiiii kabadili gia angani!! 😂😂😂😂😂😂😂😂
@athenaramadhani8889 Жыл бұрын
Wabembe tujuane jamani abenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@darviedeben1885 Жыл бұрын
Hhhhhhhaa me huo unga tu dirishanii hoiii😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌,jotiii basii
@Seifbrown Жыл бұрын
Mze ku toka Congo 😅😅😅😅 mobimba😂 ❤❤kama una wa kubali gonga like basi 😂tu enjoy
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Joti ni mtu wa kuaribu tuu😂😂😂😂😂😂❤❤
@rajabusaidi6692 Жыл бұрын
Jamaa mzinguaji sana 😆😆😆😆😆😆
@caponevado1353 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Joti 💪💪... Long tym I didn't see mjogo mchungu #Legend 💪pale ITV 😂😂... You guys always make my day.
@josephinebaran1099 Жыл бұрын
Joti ujaigiza km mwanamke cku nyingi,huwa inapendeza sn,keep it up
@rashidmohammed4887 Жыл бұрын
Ehh joti bana kumbe mbembe. Mwavyui
@thomasnyingo7272 Жыл бұрын
THE COMEDIAN IN AFRICA 🌍 KEEP UP JOTI, NIKIFIKA DAR LAZIMA NIKUTAFUTE 😂😂😂🙏🙏🙏
@jasminehaland-ko4qs Жыл бұрын
Good job joti
@rajabusaidi6692 Жыл бұрын
Akuna kama joti🤣🤣🤣🤣
@josuebrown7163 Жыл бұрын
Umtafute ili iweje kwamfano, au uko wapi kwaajabu labd🤷♂️
@AsmaAsma-gd3mv Жыл бұрын
@@josuebrown7163 mbona machukizo broo😉😂
@nangitv5209 Жыл бұрын
Joti Hawa wazee wa Cuba wahuni sana wataniuwa😂
@JudithDaniel-sw4ogАй бұрын
From uk 🇬🇧 penda sana jotiii
@muhitiraamissy7198 Жыл бұрын
Hahahaha jotibanaa 😁😁😁😁🤣🤣🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@destinydesire3796 Жыл бұрын
Prime minister of comedy in Tanzania Good morning Mr Joti
@Godmaletz Жыл бұрын
President
@malaikamzuri6604 Жыл бұрын
Pale mwisho mbavu zimetaka kutoka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ishimwemurenziange7609 Жыл бұрын
Kumbe nishai mutukutokeya congo🇨🇩🇨🇩 Na mimi mutukutokeya uganda 🇺🇬🇺🇬
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Hata mimi.nisngkubali.yaan alete Dem mzuli skubali😊
@zackygomez1241 Жыл бұрын
Ambao leo ni birthday yetu tujuane hapa 🙏🙏🙏
@matolahphone Жыл бұрын
😂😂😂 Fovorite comedian 😅😅
@saidifrancismyombo4949 Жыл бұрын
J0ti mm Kwa upande Wang wew kw Tz hii. Wew ni mchekeshj No 1