No video

Nana Dolls nimemkalia Alikiba juu, Tumemaliza video, Sina Namba yake Part 2

  Рет қаралды 25,719

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Mrembo Nana Dolls, Mfanya Biashara, Muigizaji, Video Vixen ajibu kwa mara ya kwanza kuhusu tetesi za kutoka kimapenzi na Alikba baada ya kutokea kama model kwenye Video ya Utu! na wengine kudai yeye ndio chanzo cha kuvunja Ndoa ya msanii huyo!
Full interview ipo hapa! Subscribe channel hii #LilOmmyTV kuangalia interview ya #NanaDolls #podcast
Let's Coonect
/ lilommy
/ lilommy
/ lilommyfanpage

Пікірлер: 52
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Nana nimekupenda bure! Una discpline na matumizi ya hela zako, kitu ambacho wasichana wengi hawawezi. Safi Sana! Big up, utafika mbali sana.
@Whitefab001
@Whitefab001 2 жыл бұрын
She is very smart I love her...keep going nana
@safari23
@safari23 2 жыл бұрын
Nana is a very smart lady I am very impressed…keep it up young lady.
@alvinmbugua9830
@alvinmbugua9830 2 жыл бұрын
This gal is too matured..best show. Lil ommy Nairobi kenya tuko rock
@mashigila
@mashigila 2 жыл бұрын
Nampenda sana Nana Dolls Ana confidence ya Hali ya juu anajua kujibu maswali vizuri nimfatiliaji mzuri wa interview zake sana media mbalimbali anajua kujieleza.Big up sana
@lillkumar9126
@lillkumar9126 2 жыл бұрын
In 9888⁸
@alvinmbugua9830
@alvinmbugua9830 2 жыл бұрын
God bless sister nana ...she will never lack,she's too caring and very humble. Positive response
@bintisaidjuma
@bintisaidjuma 2 жыл бұрын
Her confidence is on another level 😭🥰
@kelvinjungutv820
@kelvinjungutv820 2 жыл бұрын
Kati ya wanao kukubali dunian Mimi Wa kwanza 🔥🔥
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 2 жыл бұрын
Best presenter feat best celebrity in tz🔥🔥🔥
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 2 жыл бұрын
Mpaka Burundi kuna fans wako mamy ila sio sababu ya UTU ni sabab ya PAZIA... Much lov Nasma Hassan ❤️❤️🇧🇮🇧🇮
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 2 жыл бұрын
Wivu ndio utakuuwa mapema sana halafu sasa cha ajabu kaanza kuigiza ila hajapata enterview nyingi kama alivyokuwa kwenye bora ya Dunia utu halafu uzidi kufa sasa kiba ni enternational
@sistersade9039
@sistersade9039 2 жыл бұрын
Very impressive character and wonderful host littleOmmy
@kelvinjungutv820
@kelvinjungutv820 2 жыл бұрын
King of interview 🔥🔥
@upendosulley1654
@upendosulley1654 2 жыл бұрын
I appreciate the way you answered the questions
@asyasaid5012
@asyasaid5012 Жыл бұрын
Nakupenda Nana ❤
@mariamusalumu5143
@mariamusalumu5143 2 жыл бұрын
Nanadollz I love u so much unaniinspaya kinomaa Mungu akubless sana
@saidkiplasta8853
@saidkiplasta8853 2 жыл бұрын
Good interview big up lil omy
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 2 жыл бұрын
My self I used to love this girl keep in touch yr a fighter.. inshort tumesoma wote chuo .. then being emotional 😭 yr like me .. yan mm nikionaw mtu tu anatezeka kwa road machoz yanatoka yan .. Yan you’re definitely like me .. I usually get my classmates wanatakae tu niwashaur na mm sina huyo mtu maybe my mum. Am very inspired by her ... she is cute and genius..
@mrlalji44
@mrlalji44 2 жыл бұрын
true facts ...Nana ni goals tyu
@user-qt1cw9pz4k
@user-qt1cw9pz4k Жыл бұрын
i love you nana
@coolzeddy_official9216
@coolzeddy_official9216 2 жыл бұрын
Ommy ww😀😀😀umemchota swala la kudanga akarukaruka hadi akaingia kingi😅😅😅
@jajimkuumnyama6214
@jajimkuumnyama6214 2 жыл бұрын
Oooi ommy...254 mnyawako sana miye
@kingvikey4682
@kingvikey4682 4 ай бұрын
..daah m nmependa ty anavyoongea,,mdad flan iv maini sanàa😂😂
@shakamelody3116
@shakamelody3116 2 жыл бұрын
Wabongo Umarekani mwingi Sana maneno mawili kiswahili mawili kiingereza Siuongee Tu Kiingereza au kiswahili Sio Kuchanganya Lugha
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 2 жыл бұрын
Wakiwa huku wakohuvo wakiendaga nje yes,no,yes no ninyingi kwer 😂😂 itazame interview ya mondi na snop dog Utacheka kwer yaani Hawajui English nikuchapiatu😂😂😂😂😂
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Жыл бұрын
Ndo fashion kwao
@nadhiramohd1164
@nadhiramohd1164 2 жыл бұрын
Nana💌
@abduladinane5060
@abduladinane5060 2 жыл бұрын
Gostaríamos de intervenção 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@getrudemassawe1221
@getrudemassawe1221 Жыл бұрын
Love you nana❤
@innocentoisso6869
@innocentoisso6869 Жыл бұрын
Nana Doll maisha yako yame nigusa sana ww ni star lakini I aelekea unaishi maisha asili sio ya kutengeneza
@rashidmatili3711
@rashidmatili3711 2 жыл бұрын
Nakubar
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Safi sana like you smart
@Lando_Anthony
@Lando_Anthony 2 жыл бұрын
Pisi kali.. namkubali nana
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Africa interview
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 жыл бұрын
Nataka kukua, I want to grow, 😏kwa time moja
@minzamariamcasmir189
@minzamariamcasmir189 2 жыл бұрын
Inaitwa emphasis
@zulfamakorongo1348
@zulfamakorongo1348 2 жыл бұрын
Nana nimependa Sana msimamo wako mungu akubariki sana
@donhussle948
@donhussle948 2 жыл бұрын
Kijana wamahojiano only Tanzania ...c Africa mashariki ....
@winnienasuwa9962
@winnienasuwa9962 2 жыл бұрын
Fear is stronger than love
@kadogosa2292
@kadogosa2292 2 жыл бұрын
i really appreciate her so guudluck
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 2 жыл бұрын
Nyoooo we pia ulimsema zuchu vibaya ICU mavi yakp
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm 2 жыл бұрын
ila bongo da balaaaa utaona mtoto wakike zogo yate iyo nafujo zote na tharau unakuta kila kitu anafanya mwanaume kazi kweli wanawake jitaidini mfanya kazi wenyewe muangaike mfanye kazi jitumeni acheni kutegemea wanaume jiongezeni
@najimakimaro2908
@najimakimaro2908 2 жыл бұрын
Am just loving u jamn
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 2 жыл бұрын
Lillyommy umtafute Rayvany pia kwa interview
@Zaburi-
@Zaburi- 2 жыл бұрын
Huyo mdogowako mwangalie sana huyo, ongeza umakini juu yake
@coolzeddy_official9216
@coolzeddy_official9216 2 жыл бұрын
Mnakuwaga wa kweli???🙄🙄
@hamiduibrahim6309
@hamiduibrahim6309 2 жыл бұрын
Acheni ujinga
@mwanaidichuma4186
@mwanaidichuma4186 2 жыл бұрын
Munalalamika kingeleza sana alowaambieni musisome Nani!? Nyie kingeleza kitam bhna ukikijua muacheni.ni asara yenu kutoolewa 😂😂
@kidawajuma5884
@kidawajuma5884 2 жыл бұрын
Malaya mkubwa weee
@leaherasto929
@leaherasto929 2 жыл бұрын
Kingereza chake kibaya
@emeldanicholaus6944
@emeldanicholaus6944 19 күн бұрын
Ni lugha ya kigen hata mgeni nae kiswahili pia kwake kitakua kibaya
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 2,8 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 78 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 37 МЛН
MAHARI _Kachara I Mwinyi Mpeku I Kitatange I Kiswabi I Naomba
1:25:40
Jufe Film Production
Рет қаралды 242 М.
4. HARUSI YA ALIKIBA DAR ES SALAAM - PART 4
42:48
Azam TV
Рет қаралды 218 М.
PROFESSOR JAY: DIAMOND tayari, Ningependa kufanya na ALIKIBA
46:00