NANDY aanguka gafla jukwaani kwenye SHOW ya MARIOO nakuzimia, akimbizwa hospital akiwa hajitambui

  Рет қаралды 267,758

Mino TV

Mino TV

7 ай бұрын

#Harmonize #Kondegang #Rayvanny
Jiunge nasi kupitiaa mitandao yakijamii Facebook Instagram na Twitter gusa link za pages zetu apo chini pia waweza kuchat nasi kupitia whatsapp ama kutupigia kawaida kupitia namba za simu +255755449629 karibu sana kwa habari mbalimbali
FACEBOOK / minotv
INSTAGRAM / minotv_tz
TIKTOK / minotv_tz .

Пікірлер: 307
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 ай бұрын
Jamani tumche mungu popote unaweza ukafa mda wowote 😢😢😢😢
@asiaasia1069
@asiaasia1069 6 ай бұрын
Amina inshaallah 🙏
@MoureenPresiours
@MoureenPresiours 6 ай бұрын
Mungu akuponye nandy kwa ajili Yako na familia Yako zaidi🙏
@user-fp7pl5rs1m
@user-fp7pl5rs1m 5 ай бұрын
Hawapendiz had wende ushi
@maryswadie4078
@maryswadie4078 7 ай бұрын
Nmefurahia the way man is strong
@mwantumjaff1602
@mwantumjaff1602 7 ай бұрын
Dunia tunapita ndugu zanguni tumche MUNGU 😢😢😢
@elizabethmasitsa6537
@elizabethmasitsa6537 7 ай бұрын
Also they should check themselves time to time
@tevancetony
@tevancetony 7 ай бұрын
Amen
@asiaasia1069
@asiaasia1069 6 ай бұрын
Inshaallah 🙏
@machanohaji9841
@machanohaji9841 6 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-um4fk5ls3v
@user-um4fk5ls3v 7 ай бұрын
Pole sana Nandy natumaini utakwa sawa ila ujipe mda waku pumuzika kwaza nakupenda sana mudogo wangu ❤❤❤❤
@SashaOscar
@SashaOscar 7 ай бұрын
Huyo atakuw ni mjamzto ana mimba changa na ukute bd hajajua ❤❤❤❤
@Hazfir.Official
@Hazfir.Official 7 ай бұрын
Kweli
@dafrosamapunda5884
@dafrosamapunda5884 7 ай бұрын
Kabisa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 ай бұрын
Mungu amsaidie apone Harak Mama Naya wetu
@neemaremigi5068
@neemaremigi5068 7 ай бұрын
Jaman waja cc kila doctor naona kaja na majibu yake😢 hii dunia tuu jama hujui ww kesho utaanguka ukiwa wap cha msingi kumwombea arudi kwenye afya yake achen kujifanya madoctor bn.
@user-lz9op2rg3p
@user-lz9op2rg3p 6 ай бұрын
Hiyo shisha nyingi mtakufa sana shishaa sio nzuri Nandy uko mama kuwa mke bora fanya mziki ila vitu vingine acha 😢😢
@user-tg1rb2cd1y
@user-tg1rb2cd1y 7 ай бұрын
Watu wengine awapendi mafanikio yawatu pole nandy wangu ❤MUNGU yupo pamoja naww
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 7 ай бұрын
Hakuna lolote ana mimba change TU yule inamsumbua na mara hii anazaa mtoto wa kiume yule
@user-jf9pt8bu5j
@user-jf9pt8bu5j 7 ай бұрын
​@@nahlahassan-fd6le😢 weeeeee
@olicej7837
@olicej7837 6 ай бұрын
​@@nahlahassan-fd6le😂😂😂😂😂mtabili
@syliviamgeta8131
@syliviamgeta8131 7 ай бұрын
Pole nandy wang mungu akuponye
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 6 ай бұрын
Ooh pole Sana Dada Nandy kipenz Mungu akuponye mwaya
@ChenchiKing
@ChenchiKing 7 ай бұрын
God Bless In 2024
@philismukura4293
@philismukura4293 7 ай бұрын
My favourite girl from Tz Qr baby girl na vile napenda hii song ya mapenzi failings 🎉❤❤❤❤pole aky sweet 😢
@najmqhamisi5637
@najmqhamisi5637 7 ай бұрын
Pole nandy wangu pole sana ndomaisha hayo tafuta hela
@SaidiNkanda
@SaidiNkanda 7 ай бұрын
Ni uchovu wa show na kutokupata muda mzuri wa kupumzika
@user-rg3lq7sd9f
@user-rg3lq7sd9f 7 ай бұрын
Quick recovery msanii Nandy in Jesus name
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 7 ай бұрын
Upone kwa haraka kipenzi,l chetu❤❤❤
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 ай бұрын
Acha tu waanguke mungu nae amechoka kutembea uchi kila kukicha unafikiri mungu anapenda!
@metrineomega1635
@metrineomega1635 7 ай бұрын
Jistirii uende mbingu na hujui jehanamu inakungoja wewe juu wewe wajiona msafi na upo hapa Bado ku watch 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wewe tupatane jehanamu nitafuonyeaha pa kukaa
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 ай бұрын
@@metrineomega1635 Rudia kuandika vizur maana sijakuelewa Sina Cha kukujibu
@FatmaAtmiz
@FatmaAtmiz 7 ай бұрын
Kweli kabsaandugu😢😢
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 ай бұрын
@@FatmaAtmiz Yani ni mtihani kwa kweli mungu atupe mwisho mwema
@monicapeter9065
@monicapeter9065 7 ай бұрын
Hahahahah una mambo ila ni kwel wanaboa kwan ukiwa na kipaj cha kuimba ndio unapata na kipaj cha kutembea uchi wanaboa sana
@user-rw4nf2sm3f
@user-rw4nf2sm3f 6 ай бұрын
Pole nandi mungu akuongzee kibali zaidi mmaa❤
@metrineomega1635
@metrineomega1635 7 ай бұрын
Pole mamake kinaya quick recovery love from Kenya
@tidybway2411
@tidybway2411 7 ай бұрын
muziki usitumike kutomkumbuka Mungu,kesho sio yetu ata dakika moja ya mbele sio yetu
@olicej7837
@olicej7837 6 ай бұрын
Si ansali kwa mwamposa jmn😊
@susannmoses4773
@susannmoses4773 6 ай бұрын
Nandy is Fucking strong 💪🏻 👏 ni kakaake Naya anakuja🙌🙌🙏❤
@eppiemodest
@eppiemodest 7 ай бұрын
Tungemwimbia Mungu na kuanguka hadi kuzimia Madhabahuni hakika thawabu yetu kwa Mungu ingekuwa kubwa sana. Nakushauri Nandý. Umwimbie Mungu upate makao mazuri mbiguni. Mungu kakupa karama ya kuimba mbona humwìmbii yeye??
@gladysbenson3943
@gladysbenson3943 6 ай бұрын
Nandy go back to singing for God . Remember your first hit song was praising God.
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 6 ай бұрын
Mungu amshushie neema🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@emakulathjmkhai3736
@emakulathjmkhai3736 7 ай бұрын
Au tutarajie mtoto wa pili🥰🥰🥰
@janifferkavutu7484
@janifferkavutu7484 7 ай бұрын
Maybe
@judithsijaona9875
@judithsijaona9875 7 ай бұрын
Ata m nahis
@FlorenceKerubo-xw6lx
@FlorenceKerubo-xw6lx 7 ай бұрын
Quick recovery nandy❤
@sandraatieno3988
@sandraatieno3988 7 ай бұрын
pole nandi nakupenda Bure aki ❤
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 7 ай бұрын
Sorry nandy we pray for you 🙏 quick recovery 🙏🙏❤️
@user-kl6rg4gw5g
@user-kl6rg4gw5g Ай бұрын
Pole princess wetu❤😢 mungu akusaidie upone harka
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 7 ай бұрын
*naweka ulianzi wa Mungu juu ya Nandi dada nimpambanaji kwel kama kuña mtu kafanya imrudie mara 2024 ila kama nihoma basi Mungu amponye amen*
@adelaidaolomy5364
@adelaidaolomy5364 7 ай бұрын
Acha ujinga we m2 achoke uko usingizie kulogwa😢
@user-xh3fo2du7q
@user-xh3fo2du7q 7 ай бұрын
🙏amen
@kampotkanangila9647
@kampotkanangila9647 7 ай бұрын
Nandy wangu de african press's usijali mungu iko nawe sema nikweli labda uko nahujahuzitojunami kati nuko na mimba nili hanguka tu sana
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 7 ай бұрын
Ndioo ana mimba yulee
@user-jf9pt8bu5j
@user-jf9pt8bu5j 7 ай бұрын
​@@nahlahassan-fd6le😂 ww ndio ulile mpa cz nakuona kwa kila comment atiiu mimba
@olicej7837
@olicej7837 6 ай бұрын
​@@nahlahassan-fd6leunaweza ukawa huna mimba na ikatokea 😢
@dianadee7763
@dianadee7763 6 ай бұрын
Ooh My This is so shocking sometimes our body need to rest Tuache ku overdo I wish her quick recovery
@user-sz9ch3hb7w
@user-sz9ch3hb7w 7 ай бұрын
Mungu akuepushe na mabaya kipenzi ❤
@faithnduku4193
@faithnduku4193 6 ай бұрын
Quick recovery baby girl
@user-nc2wf4tj5l
@user-nc2wf4tj5l 7 ай бұрын
Quick recovery Beautiful ❤
@joanjoan1831
@joanjoan1831 7 ай бұрын
Woyyiiee Nandi qr maadui n wengi mungu tu atulinde
@claressahassan4264
@claressahassan4264 Күн бұрын
Nakupnd cn nand ❤❤❤❤❤❤❤
@hawahabibty3981
@hawahabibty3981 7 ай бұрын
Quick recovery queen🙏🏽
@batuli8665
@batuli8665 7 ай бұрын
Nipenda i wengine apo wangeaza kuongea maneno yao nimependa i chanel pole nandy🥹
@gracemelegance6623
@gracemelegance6623 7 ай бұрын
Quick recovery dear beautiful gal ❤❤❤
@evergeorge3269
@evergeorge3269 7 ай бұрын
Tabia za mimba Chang's izo kukuangusha bila sababu😂😂😂😂
@batulialmass8914
@batulialmass8914 7 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 6 ай бұрын
NANDY jitajidi kuvaa vzr basi
@idatyqkala769
@idatyqkala769 7 ай бұрын
Jamani apo ndo billnass hana uchungu wa mke au mana xio rahixi mke azime alafu mume apate nguvu ya kupanda jukwaani na kuruka tuweni makini
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 2 күн бұрын
😂
@user-xw4zw6tj4t
@user-xw4zw6tj4t 7 ай бұрын
Yatapita ayo nandy pole Sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@paschalmiambi346
@paschalmiambi346 7 ай бұрын
Daahh inauma sana..pole Sana nandy
@user-ip9tn7ny9c
@user-ip9tn7ny9c 6 ай бұрын
Pole san nandy, mungu akuponye
@agripinamallya7433
@agripinamallya7433 6 ай бұрын
Tunakupenda tu Nady Mungu akulinde
@edwardpaulo3351
@edwardpaulo3351 7 ай бұрын
Pole my dear sister 💕
@JohnBangulambona
@JohnBangulambona Ай бұрын
Pole sana dada yangu natumaini utakuwa salama
@user-gt8sm8wl5q
@user-gt8sm8wl5q 6 ай бұрын
Pl kpnz nkupend ujui tuu pole xn tutakuombea dear. Mungu akulind🙏🙏🙏🙏
@ProssyPatra-fk4oq
@ProssyPatra-fk4oq 6 ай бұрын
Pole sana dad mungu akusaindia❤❤❤❤❤
@user-pe5de9wc2o
@user-pe5de9wc2o 6 ай бұрын
Utakua sawa mamy utapona kwanguvu za mungu itakua nimcoko
@congratulationmayunga3833
@congratulationmayunga3833 7 ай бұрын
Mario alikuwa anaogopa kumshikashika kisa ni mke wa mtu😂
@talangemihambo7869
@talangemihambo7869 6 ай бұрын
Pole sana nadi Mungu akusaidie
@SurprisedBlackKitten-zc2vl
@SurprisedBlackKitten-zc2vl 7 ай бұрын
Pole Nandi mungu atakuafu
@erickgulayi2089
@erickgulayi2089 7 ай бұрын
Noma sana
@user-sw4rd9yz4j
@user-sw4rd9yz4j 6 ай бұрын
Pole bi shost ndio ukubwa huo usishtuke wifi ang love ue❤❤❤❤
@user-bl4ky1dx3v
@user-bl4ky1dx3v 7 ай бұрын
Pole sn Mrs.nenga org😊😊I love you so much mmh mwaa❤❤
@user-ul2vr7lo1c
@user-ul2vr7lo1c 7 ай бұрын
Polee❤
@SneyperGang-xx5dp
@SneyperGang-xx5dp 6 ай бұрын
Pole xan dad
@EvelyneNsabimana
@EvelyneNsabimana 7 ай бұрын
Mungu akuponye dada
@dravioanjelomgulunde6332
@dravioanjelomgulunde6332 7 ай бұрын
Mungu hapendi dhihaka cozi hapa alienda nakusali lakin ona alivovaa kweli hayuko serious
@user-jc9fv8di6o
@user-jc9fv8di6o 6 ай бұрын
Pole Sana nandy mugu aendelee kukuchunag wangu😢
@user-ct1pj8hm1o
@user-ct1pj8hm1o 7 ай бұрын
Poleee dada anguu mungu akuponyee
@Sweetqualvian
@Sweetqualvian 9 күн бұрын
Sina uhakika sana kama nandy anaumwa mna ingekuwa kweli billnas asingepata hata nguvu ya kupanda jukwaani itakuwa wenda kapata kizunguzungu tuu
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm 7 ай бұрын
Pole daaa
@Masika-pu5mo
@Masika-pu5mo 7 ай бұрын
Pole nandy
@user-od1xd1fc7x
@user-od1xd1fc7x 7 ай бұрын
🎉pole
@user-gn6wg6wz7e
@user-gn6wg6wz7e 7 ай бұрын
Jaman pole San members wet 1:31
@munirashee8932
@munirashee8932 7 ай бұрын
Quick recovery gal
@sarafinamtweve512
@sarafinamtweve512 7 ай бұрын
Pole san
@user-xy6qn8bt6h
@user-xy6qn8bt6h 6 ай бұрын
pole sana upoe haraka
@zuheilarama6233
@zuheilarama6233 7 ай бұрын
Mwenyezi ampe nafuu haraka
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 7 ай бұрын
Pol nandy yuko pamoja na wwe ❤❤❤
@BarakaJuma-sk7pj
@BarakaJuma-sk7pj 7 ай бұрын
pole sana nand
@user-lu7ck9ld1x
@user-lu7ck9ld1x 7 ай бұрын
Pole nandy wetu jaamn
@user-qq9wu3cj6t
@user-qq9wu3cj6t 7 ай бұрын
Nashangaa billnas hata anaendeleaje na show tyuu hawazi mke wake kazimia huko duuh.. anyway dunian tunapita jamani tumche Mungu
@elionoradavid4704
@elionoradavid4704 7 ай бұрын
Ilikuwa najiulz ht mm
@joycesamwely7896
@joycesamwely7896 7 ай бұрын
Anamuwaza sana sema ndiyo wameshakula hel za watu unadhan pale Kila mtu ataelewa shida zako?
@euniceletta6385
@euniceletta6385 7 ай бұрын
Ilikuwa lazima afanye hvyo Ili kuwawek watu sawa then baad ya huo wimbo atoke kuangalia kinachoendelea. Mana ilitaka kuwa inshu
@BintiMusa-w6g
@BintiMusa-w6g Ай бұрын
Duuuu pole Sana nandy
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 7 ай бұрын
Huu mziki bhana we mwenyewe kuimba umeshindwa alafu mziki unazimwa tena unasema siwasikii😅😮ii
@nono.Muyinga-Burundi
@nono.Muyinga-Burundi 6 ай бұрын
Pole😢😢
@nchimbithomasemanueltnchim213
@nchimbithomasemanueltnchim213 7 ай бұрын
Pole sana nandy wewe na bilnass
@rosekitondo6350
@rosekitondo6350 6 ай бұрын
Hio siku nandy alikua ameperform show tatu ....so ni uchovu...... quick recovery...
@user-mb7oe3pg3y
@user-mb7oe3pg3y 6 ай бұрын
So sorry nandy😢
@ArRahman-ih1pi
@ArRahman-ih1pi 5 күн бұрын
Yan watu Dunia imewahadaa mpk wanamsahau mungu😢
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 ай бұрын
Mbona sijaelew mm nandy kazimia Nenga jukwaani 😎
@ArafaAlly-gs3yi
@ArafaAlly-gs3yi 7 ай бұрын
Ndio alizimia na anahaki ya kuzimia kwasab siku moja amefanya shoo4 yan ajapumzika ata kidogo
@naanaa522
@naanaa522 7 ай бұрын
Et jamn nandy kazima nengaa anafurahia jukwaanii waongoo hawaa
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 7 ай бұрын
Pole kipenzi chetu
@user-pr2gc7iy5y
@user-pr2gc7iy5y 7 ай бұрын
Show kali Official sadatte loway seen
@paulinamarwa
@paulinamarwa 7 ай бұрын
Pole kipnz
@AMINAHADIA-hl1to
@AMINAHADIA-hl1to 6 ай бұрын
❤❤❤
@SaadaKiyungi-uz6jn
@SaadaKiyungi-uz6jn 7 ай бұрын
Tumche mungu jamani hatujui kesho yetu itakuwa lini
@QueenMishy
@QueenMishy 7 ай бұрын
Pole my😢
@duasufiani2782
@duasufiani2782 7 ай бұрын
Mtoto baadae ataona mama alivyo vaa vizuri
@JanethMichael-ez7vp
@JanethMichael-ez7vp 6 ай бұрын
Pole sn
@elizabethwanjiku7831
@elizabethwanjiku7831 6 ай бұрын
Nandy huwa ana pumu yaani asthma nadhani ndio sababu. Baridi na pia stage anxiety. Pressure ya kuburudisha
@user-nw5qq1uv1r
@user-nw5qq1uv1r 6 ай бұрын
hizo kelele sio nzuri
@user-nw5qq1uv1r
@user-nw5qq1uv1r 6 ай бұрын
Halaf mm kunakitu sijaelew mbona nandy kadondoka nenga anaingia
@user-hm4or9sf8y
@user-hm4or9sf8y 7 ай бұрын
Pole mwaya
@salmabasil385
@salmabasil385 7 ай бұрын
Anaonekana kama mjamzito apunguze kuruka ruka mana hiyo nguo ni kama alizokua anavaa wakati anamimba ya naya
@user-xd1wu4tu3n
@user-xd1wu4tu3n 7 ай бұрын
Quick recovery nandy😢
@NaimaKaka-yo4hb
@NaimaKaka-yo4hb 7 ай бұрын
Pole nandi
@Motv07
@Motv07 18 күн бұрын
Da marioo na nenga nan mkali
@AgathaMatambula-lf7fv
@AgathaMatambula-lf7fv 7 ай бұрын
Hajalala huyu kuunganisha show apumzikagee hela zipoo
@user-wf2is8nm8y
@user-wf2is8nm8y 7 ай бұрын
Yeah we ndo umeongea point....ameonganosha sana show
Ona Watoto Wa Uswazi Walivyomkalisha Chino Kwa Kucheza
3:36
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 279 М.
LIST YA WATOTO WA MASTAA WAZURI NA WALIOPENDEZA ZAIDI 2023,UTAWAPENDA
11:38
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН
KUMBE UGOMVI WOTE MARIO ALIMTRACK PAULA KAJALA
1:24
Official Mrangi
Рет қаралды 29 М.
❤️ NAMPENDA PAULA SIO FAHYVANNY | HARMONIZE SITAKI BIFU - RAYVANNY
12:16
KESI YA KOMASAVA Vs HAKUNA MATATA | DIAMOND & MARIOO - USWEGE MURDERER
6:12
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45