NAPE ATINGA KWA MIGUU IKULU KUOMBA ASAMEHEWE "SINA AMANI, NAKOSA USINGIZI "

  Рет қаралды 224,676

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 254
@florakankutebe3987
@florakankutebe3987 4 жыл бұрын
Kusamehe ni jambo jema, hongera sana JPM!
@varlesjohn4092
@varlesjohn4092 4 жыл бұрын
Mdogo akimkosea mkubwa lazima lazima aombe samahani kuonesha utii kwa mkubwa na mzazi nisamehe na kusema usiludie too ndio upendö
@hamzalaus9599
@hamzalaus9599 4 жыл бұрын
Kama umekili kuwa umekosea, busara ni kuomba radhi kama ulivyofanya hongera Sana bro kwa kujitambua
@patrickmahona2826
@patrickmahona2826 4 жыл бұрын
Magufur is good and best leader.....anaongozwa na roho ya mungu nasi tunamwombea aeendelee kutupambania wanting.....thanks
@salhasalha9362
@salhasalha9362 4 жыл бұрын
Ongera Mh kwa jambo zuri sana
@herifredrickson2040
@herifredrickson2040 4 жыл бұрын
Kuomba msamaha ni vizuri zaidi.
@michaelmpigauzi9210
@michaelmpigauzi9210 4 жыл бұрын
Hongera kaka kwa kutambua hilo sasa mambo yataenda vizuri ushakuwa huru, na Mungu ambariki rais wetu kwa kukupokea!
@stewartmillanzi7198
@stewartmillanzi7198 4 жыл бұрын
That's very good...I like the action. There's nothing bad about it. It's a courageous action.
@carodavies3422
@carodavies3422 4 жыл бұрын
His excellency the president; DR Joseph Maguuu,What a good example shown to other politicians. For forgiving Nape and others you actually showed your stance hapa kaz tu.congratulations.many more
@carodavies3422
@carodavies3422 4 жыл бұрын
My son 'hon Nape' that is great courage'and this is the only way of building up a new Tanzania'by reflecting on forgiveness if anything went wrong' and a mistake made is never a mistake' but a mistake repeated will be a mistake therefore .be careful and congratulations
@Mja_Gongo
@Mja_Gongo 4 жыл бұрын
Kwenye maisha kuna kitu kinaitwa kuanguka,lakini hatupaswi kuanguka na kuendelea kukubaliana na hali ya uangukaji kwamba ushindwe kusimama,yesu alipoanguka mara tatu na msalaba alikuwa anatufundisha kuweza kusimama na kuendelea na safari,hivyo alichokifanya Nape ni kuanguka na kisha kusimama,ameonesha ukomavu wa kisiasa na amejijua alipokosea na amani ya mkosaji hupatikana baada ya kuomba msamaha,hata asingesamehewa,amani angeipata tu maana ameshakili kosa lake,barikiwa JPM kwa kuzirejesha amani za waliokukosea,Mungu awabariki nyote mliokosea na aliyekosewa,Mungu ibariki Tanzania yetu.
@khadijambuya794
@khadijambuya794 4 жыл бұрын
Jaman huyu bba ana moyo mashaallah Allah akusimamie zaidi in shaallah mmi kitu najua Kkupenda na kkuombea dua jembe letu mh magufuli
@HASASON
@HASASON 4 жыл бұрын
Masikini JPM pamoja na yote anayopitia lakini bado tu ni mwingi wa upendo, amani na uvumilivu, Mungu akupiganie baba yetu JPM 💙
@veniusstansilaus4987
@veniusstansilaus4987 4 жыл бұрын
Hakika magufuri we ni jembe. Nape hongera sana
@saidisimba7982
@saidisimba7982 4 жыл бұрын
Nape safi sana maana mm nakukubali sana umefanya kitu cha uungwana sana chapa kazi
@kuluthumkalonga4757
@kuluthumkalonga4757 4 жыл бұрын
Na aswa magu kiboko
@frolamrema3683
@frolamrema3683 4 жыл бұрын
Mimi sio ccm lakin nampenda magufuli sanaaa tokea akiwa wazir
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
Moja kati ya maraisi wakitofauti duniani🚡 inshaallah tutafka mbali aseeee Huyu ni raising wa dunia✈
@augustineaugustin5254
@augustineaugustin5254 4 жыл бұрын
Mimi ni Murundi🇧🇮 namupend san laisi Magufuli ✍️✍️
@hasanially9294
@hasanially9294 4 жыл бұрын
Sana jpm kazi nzuri
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
Mwenyew nimechek 😂😂😂maan nape kafurah htr
@lameckluoga3318
@lameckluoga3318 4 жыл бұрын
Umefanya vizuri sana nape. Live long my president!
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Mungu Awalinde Awatie nguvu sana.kuomba Msamaha kwa Uliye mkosea nijambo jema Duniani na mbinguni.Binadam kukosea ni jambo lakawaida .Binadam si maraika.Mungu Awabariki sana.
@mbwanarajabhussein7141
@mbwanarajabhussein7141 4 жыл бұрын
Huo ndio ubinadamu wa kumuheshimu aliye na mamlaka juu yako, sasa shirikianeni kwa amani mjenge nchi..MUNGU AWABARIKI NA AWAEPUSHE NA WAFITINI
@deboramrema2861
@deboramrema2861 4 жыл бұрын
Safi sana kuomba radhi ni jambo LA msingi asante baba Magufuli kwa kumsamehe
@mashmash2826
@mashmash2826 4 жыл бұрын
Woooow makufuli he have a good heart and he is really thats good .GOD bless you magufuli
@pamelamwitula1101
@pamelamwitula1101 4 жыл бұрын
True
@mashmash2826
@mashmash2826 4 жыл бұрын
@@pamelamwitula1101 yes pamela very had to find a President like him wengi huwa wako proud na age mfanyia kitu kibaya sana.but he took it very simple
@manmkama4829
@manmkama4829 4 жыл бұрын
iyo ndio hekima
@mashmash2826
@mashmash2826 4 жыл бұрын
@@manmkama4829 yes you are very right
@singlemom6915
@singlemom6915 4 жыл бұрын
Dah hongera sana magu Allah mwenyew anatusamehe ije siye tusisamehe👊together we can
@sebastianngimba4850
@sebastianngimba4850 4 жыл бұрын
Ndio maana kristu,hapo kristu anacheka kwa furaha ya upendo alio tuachia.hongera sana NAPE/MAGUULI.
@mbalejohnlubale1348
@mbalejohnlubale1348 4 жыл бұрын
Asante jpm kwa kumsamehe nape maana kwa mungu umeongeza kiwango maandiko yameandika asiyesamehe na yeye hatasemehewa mbele za mungu
@maikomahundi7631
@maikomahundi7631 4 жыл бұрын
Safi sana, msamaha huponya mwili na roho. Mambo ni mazuri sana sana.
@annaalsnadi8722
@annaalsnadi8722 4 жыл бұрын
Vzr sana Rais kwa msamaha hakika najifunua kuwa na Rais wa namna tofauti
@stejohfinest7235
@stejohfinest7235 4 жыл бұрын
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🏽 viva Uncle 🙏🏽
@neemareed2025
@neemareed2025 4 жыл бұрын
Ni Bora kujishusha kuliko kujikweza ,love you Nape mungu akupe maisha marefu
@AB-ym2pu
@AB-ym2pu 4 жыл бұрын
Good luck brother, let open another chapter.
@mohamedsasma879
@mohamedsasma879 4 жыл бұрын
Jpm nakukubali na mungu akuongoze vema katika tote mana kama iunavyosema unasamehe kwa dhati ya moto mungu nawe pale unapojisahau ukamkosea na kumuomba anakusamehe pia !kwa Nape nawe umeonyesha ukomavu kama Mtoto kuwa Nazi haishindani na jiwe!hongera sana nape na mungu akutunze umetumia busara kubwa!
@mligombuma2287
@mligombuma2287 4 жыл бұрын
Muungwana akivuliwa hasimami uchutama....Hongeraaa Nape ww ni muungwana kaka
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 жыл бұрын
MAGUFULI YOUR REAL A MAN. MAY GOD BLESS YOU MORE.
@stevenkyanzi5622
@stevenkyanzi5622 4 жыл бұрын
Kufanya kosa sio kosa.kosa kurudia kosa Hongera Nape kwa kujirudi Hongera Baba Magufuli kwa moyo wa huruma Mungu akubariki wewe ni chaguo la Mungu piga kazi
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 4 жыл бұрын
safi Sana nape mtu mwenye kukubali makosa akakiri na akamuomba radhi aliyemkosea msamaha hukubaliwa mpaka mbele ya mwenyezi mungu mwingi wa kusamehe Allah ampe nguvu rais wetu magufuli na moyo wake wa huruma
@annajohn6595
@annajohn6595 4 жыл бұрын
Kweli umefanya Busara kuomba msamaha,safi sana
@mwitathedon7270
@mwitathedon7270 4 жыл бұрын
Pole kaka ndio uzalendo ukikosea kuomba msamaa
@eddechriss2664
@eddechriss2664 4 жыл бұрын
Hongera H. E JPM hongera Nape, Tumuunge mkono Rais wetu kwa manufaa ya TAIFA LETU
@antonyjoseph7858
@antonyjoseph7858 4 жыл бұрын
Amina JPM
@user-my7bv5er7f
@user-my7bv5er7f 4 жыл бұрын
safii baba ! kuomba msamaha sio kesi at all ! u free up your heart
@raymondhaule6947
@raymondhaule6947 4 жыл бұрын
Nakupongeza sana sana nape mungu azidi kukupaujasiri nimefurahi sana baba yetu amekusamehe nakupenda sana nape endelekukkitumikia chama chetu
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 4 жыл бұрын
Safi sana kuomba msamaha sio aibu ukijiona umekosea ni wajibu kuomba msamaha
@mariammussa2540
@mariammussa2540 4 жыл бұрын
Samehe 7 ×70 hongera RAIS WANGU JOHN POMBE MAGUFURI kwa kuwa na moyo wa huruma na wakusamehe👏👏👏
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 4 жыл бұрын
Huo ndio utu..Big up kaka!
@johntuju8816
@johntuju8816 4 жыл бұрын
Huo msamaha aloenda kuomba uwe ni wa UKWELI na siyo unafiki maana wewe JANJA JANJA MINGI.
@pilottv6336
@pilottv6336 4 жыл бұрын
Umeongea
@chinamilenas3375
@chinamilenas3375 4 жыл бұрын
Mi naona wanafki wanajiwekea mazingira ya kupata kura kwny majimbo yao hawa, siwaamini😄
@jumakapesa726
@jumakapesa726 4 жыл бұрын
Nape hongera sana, umefanya jambo la heshima na la kimaadili. Mhe: Rais umeendelea kuonyesha moyo wa ubaba.
@furahamwikombo4670
@furahamwikombo4670 4 жыл бұрын
Nape nakupongeza, kwa uzalendo. Waliokushikia manati kwenye mkutano nao wakuombe msamaha, Kama wewe ulivyo na busara. Wapo wanajifanya hawajawai kukosea,hawajui hata kuomba msamaha. Ahsante Mfalme wa nchi kumsamehee kijana wako. Tunakuomba umtafutie walio mshikia manati nape kwenye mkutano.
@uwesusinde9976
@uwesusinde9976 4 жыл бұрын
Hpngera sana nape kwa umri wako una nafasi kubwa sana wa kulifanyia mengi taifa lako chama chako usikubali kutumiwa na watu ambao umri wao ushakwenda wakijua wakikosa hapa hawatapata tena jifunze kwa mh: kikwete alisubiri mpaka alifika anakotaka na usikubali kushawishiwa rais wetu ni mtu mwenye upendo na uzalendo na nchi yetu sisi na wewe tukiwa kama vijana tunakila sababu ya kumuunga mkono Nape hongera sana ni ujasiri na uumgwana wa hali ya juu.
@wendestiven7201
@wendestiven7201 4 жыл бұрын
Hongeraa saanaa baba wa taifa..wetu
@zuberyyussuph1503
@zuberyyussuph1503 4 жыл бұрын
Good
@kulwachristian8350
@kulwachristian8350 4 жыл бұрын
Kiukweli nimejiskia kama kulia hivi. Hongera sanaa nape nauye umeonyesha uzalendo
@salmaothuman8412
@salmaothuman8412 4 жыл бұрын
Hakuna mkamilifu safi mh magufuli
@sarahminja7255
@sarahminja7255 4 жыл бұрын
jamani raisi wetu anapigwa vita mpaka anatoka mvi nyingi Mungu akupe subra utashinda tu
@vincentmaya8817
@vincentmaya8817 4 жыл бұрын
Umefanya la mbolea kuomba rdhi,safi sana! Dunia nzima inajua haijawahi tokea kiongozi kufanya mabadiliko makubwa ndani ya hawamu ya kwanza ya uongozi.Tunae kiongozi!
@ndogoroedson9438
@ndogoroedson9438 2 жыл бұрын
Utakuja kulipwa hapa hapa! Umejisahau Sana nasikia kwa Sasa unapanga namna ya kutaka kumuhujumu Makonda! Kwa jina la Allah hutafanikiwa kabisa! Cku zote wanafiki hawatabaki salama
@naimanurdin2846
@naimanurdin2846 4 жыл бұрын
Msamaha ni Dawa ndani ya moyo Hakika na Mtu muungwana na mwenye Khofu ya mungu lazima kusamehe
@elishadaiypius8359
@elishadaiypius8359 4 жыл бұрын
Barikiwa Rais wetu
@neyshazamaloyce3078
@neyshazamaloyce3078 4 жыл бұрын
Hakika kila mkosefu ni vema kujishusha na kusamee ni seemu ya ibada hongera sana kwenu nyote
@chandrnyoeliakim1006
@chandrnyoeliakim1006 4 жыл бұрын
Duuu pole umetia huruma mweee
@aldoba2826
@aldoba2826 4 жыл бұрын
Vizuri lkn kumbe watu kama nape MNA mawazo tofauti na wengine.
@navyoagrey7523
@navyoagrey7523 4 жыл бұрын
Nawapendaa mbarikiwe
@lukasimchina5265
@lukasimchina5265 4 жыл бұрын
Hongera mape huo ni uzalendo
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 8 күн бұрын
Uyu nimzee kagoma wa CCM sinichi sana asitusumbulie mama etu
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 4 жыл бұрын
Safi sana Nape,,,uo ndio ungwana aisee,,!!
@williamkivulenge3081
@williamkivulenge3081 4 жыл бұрын
good
@makwirojryg1885
@makwirojryg1885 4 жыл бұрын
Rais magufuli naomba uwasamehe lakini usiwaamini hata chembe tena kuwa imara zaidi Mimi nadhani wanatafuta njia rahisi ya kukuhujumu waangalie sana.
@user-oq3dd5xj9m
@user-oq3dd5xj9m 4 жыл бұрын
One voice will be there forever unless someone has to surbotage. The Peacock voice... Did you hear that at 1:28?
@Semnyawenda
@Semnyawenda 4 жыл бұрын
i thought it was a cat voice!
@madinayasini9402
@madinayasini9402 4 жыл бұрын
m agufuli endelea na moyo huohuo baba utuongoze
@user-oq3dd5xj9m
@user-oq3dd5xj9m 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Peacock the beauty of White House in DAR
@carodavies3422
@carodavies3422 4 жыл бұрын
Yes muzzur.l love your comment on forgiveness of nape by jpm ,congrates
@lucaskasonde2434
@lucaskasonde2434 4 жыл бұрын
Good Mr President
@godfreychitanda8098
@godfreychitanda8098 2 жыл бұрын
Daaaaa
@bafaello2619
@bafaello2619 4 жыл бұрын
Hongera
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 4 жыл бұрын
😂😂😂Ila magu unatunyoosha baba
@eggypeter4687
@eggypeter4687 4 жыл бұрын
Huyu baba jmn Mungu ampe maisha marefu
@winnesakara6957
@winnesakara6957 4 жыл бұрын
Asante
@papafikiri
@papafikiri 4 жыл бұрын
Ungekomaa ungeyumba Nape huyo mtu kawekwa na wananchi kupitia katiba...unapokengeuka unakiuka mkataba wa kijamii tulioingia (social contract theory).na uchaguzi wa mwakani kwa upande wako una kazi kwa tabia mbaya uliyoonesha
@johashisamson1915
@johashisamson1915 4 жыл бұрын
Goes around comes around
@madamloveness7274
@madamloveness7274 4 жыл бұрын
Msamaha unaponya mioyo ya watu iliyojeruhiwa
@mussataliye7815
@mussataliye7815 4 жыл бұрын
Kuomba msamaha si dhambi
@philipkomba5525
@philipkomba5525 4 жыл бұрын
bismilahhh
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Wanajuana!!!!
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 4 жыл бұрын
Umefanya uungwana Nape na umekuwa huru.
@hassankidisa8070
@hassankidisa8070 4 жыл бұрын
Msaka tonge Hana hata aibu
@neemajoshuaer9562
@neemajoshuaer9562 4 жыл бұрын
Hongera sana Nape huo ndio ukomavu wa Kisiasa
@princessaidal1130
@princessaidal1130 4 жыл бұрын
Mtu akikili makosa yke ni lazima asamehewe,,, Hata baba yetu wa mbinguni alinena akatuambia sameheni nanyi mpate kusamehewa,,, big up President Magufuli,,
@shabbymakapane1910
@shabbymakapane1910 4 жыл бұрын
kuomba msamaha ni jambo la hekima
@janeypheremmanuel9844
@janeypheremmanuel9844 4 жыл бұрын
hahahahahahahahahha kazi kweli kweli kwaiyo Analia au alafu why mpaka wandishi hii inatisha ifike sehemu wamuheshimu uyu mzee anatusaidia sana watanzania jamani
@tonnymasizi3331
@tonnymasizi3331 2 жыл бұрын
🙏🙏🏼🙏🏻🙏🏻
@tz7976
@tz7976 4 жыл бұрын
Kwahuyu rais mpaka namhurumia alivyo na moyo mzuri uliojaa hekima mungu amzidishie ampe maisha marefu ingekuwa mm hawa wenye vidharau vya kijinga ni kusukuma ndani tu ila baba wawanyonge anasamehe tu asante baba mungu yu nawe kipenzi chutu
@maisaalawi5399
@maisaalawi5399 4 жыл бұрын
Na usiridie Tena, hongera Sana
@florabaruti8032
@florabaruti8032 4 жыл бұрын
Maisa Alawi ifanya kosa gani
@davidnicholaus5304
@davidnicholaus5304 4 жыл бұрын
Safi sana Nape huo ndo utu uzima na kwa Rais Magufuli Hongera Sana rais yani najisikia faraja
@vicentandrea8155
@vicentandrea8155 4 жыл бұрын
Hongera, nape huo ndio uzalendo, na kuomba msamaha sio ujinga
@summanelson5523
@summanelson5523 4 жыл бұрын
Yaani sauti zisingevuja ungeomba msamaha????
@nicksonlwiwa144
@nicksonlwiwa144 4 жыл бұрын
Daaaah hatari Sana hii
@japhetmwamlenga1010
@japhetmwamlenga1010 4 жыл бұрын
Nimetoa machozi jpm amewakosea nini hadi mmuundie genge la kumhujumu jamani mnamchosha rais wetu,nilikuwa msiba anaongea uongo du inauma sana ,nape kuanzia leo kuwa hekima unamwita rais mshamba maana yake ulituambia watanzania wote washamba ira poa bora yameisha yasijiludie tena .
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 4 жыл бұрын
nampenda rais wnguuuuuuu
@firdaus7428
@firdaus7428 4 жыл бұрын
Rais Magufuli ni wa kipekee apewe tena Urais mpaka aseme mwenyewe basi sasa napumzika
@fanuelngambiye1342
@fanuelngambiye1342 4 жыл бұрын
We have a Nice President Magufuli is a Man of the People for the People who living Forgiveness life
@augustinejohn1835
@augustinejohn1835 4 жыл бұрын
This is trues,
@paulinamuhando6040
@paulinamuhando6040 4 жыл бұрын
Amefanya vizur kukosea kupo na msamaha tuliwekewa sisi
@evodevodymark4400
@evodevodymark4400 4 жыл бұрын
unamtukana baba kweli si laana hyo
@sideyasin2745
@sideyasin2745 4 жыл бұрын
Kuomba msamaha nivizuli sana mweshimiwa
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 4 жыл бұрын
Mzee wa bao la mkono...Ushampiga bao la mkono JPM
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Wasamehe wote watakaokulilia radhi yako maana hata mungu anatusamehe sana...lkn kuwanao makini Sana ....binadamu wanambinu nyingi Sana..... Asili huvia ktk damu ya muasili..... Hawa NI nyoka wenye sumu ya kuua taifa letu.... Tusiwaamini Tena.
@newsongcelebration6994
@newsongcelebration6994 4 жыл бұрын
Kajitambua
@ernestsinje9532
@ernestsinje9532 4 жыл бұрын
UPENDO
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
FULL VIDEO: Nape alivyozuiwa na Polisi "alietoa Bastola aje hapa'
23:39
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
LIVE SCENE, NAPE akitolewa Bastora Hadharani. KITENGE AAMULIA
2:27
Junior Syaary
Рет қаралды 650 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 586 М.
ASKARI ALIYEMKOSHA RAIS MAGUFULI NA KUPANDISHWA CHEO
1:31
Bongo5
Рет қаралды 1,3 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН