NATAKA KUISHI NJE YA NCHI | HANIFAI | GLADY AFUKUZWA STEJINI HELLO MR RIGHT

  Рет қаралды 88,176

ST BONGO TV

ST BONGO TV

5 ай бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 319
@kapanikapani5280
@kapanikapani5280 5 ай бұрын
Kuna mabint mnawapenda wapate maisha ila hawajitambui hata kidogo, hongera kwahekima yenu mme amua kwa haki
@VivianKimath
@VivianKimath Ай бұрын
Yaan hyu dada chizi
@saumuminja6929
@saumuminja6929 5 ай бұрын
Nampenda dada alliya ,..na Lulu diva jamn....
@salumuhafidhimtabe420
@salumuhafidhimtabe420 5 ай бұрын
Na kuhusu kukaa uchi unaridhika nao piah 😊😊😊
@josilinemutugi
@josilinemutugi 5 ай бұрын
Kwa kweli Mr. Right mzuri Ibnus Stephano yeye ndiye type yangu kwa hakika Muonekano wake, rangi, kazi Anaonekana mwenye kupenda mwanamke, mwanaume mwenye tabia nzuri Msomi anakipato chake Ila mimi mkenya natamani ningepewa hio fursa Ningeenda dating booth na huyu kaka Mimi nishampenda alf urefu wake Kwa kweli pia mie ni msomi ila naamini naweza mpata huyu kaka Sijui kwa kivipi ila naamini
@Baba-JJ
@Baba-JJ 5 ай бұрын
Yaani pamoja na nyodo zoooote hizo halafu deal lenyewe la kwenda nje anafuatilia kaka, 😂 Kwahiyo yeye anaenda kama kifurushi, anataka hard worker wakati yeye hakuna hata anachoingiza kwa siku, anataka hard worker wakati yeye hata fomu tu kutafuta na kujaza na kulipia hawezi. Akili kisoda kabisa.
@jovinathasavoie8018
@jovinathasavoie8018 5 ай бұрын
You did the right thing Mc.garab.Bring serious people on stage not hao wapo to get exposure ktk tv.
@aceeofficial255
@aceeofficial255 5 ай бұрын
Familia zenu tunazijua afu mnaleta mambo ya nchi za njee😂😂🙌🏽 hii nchi ngumu kichiz
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c 3 ай бұрын
😂😂
@sarazacharia
@sarazacharia 3 ай бұрын
😅😅😅
@godfreyzenda9027
@godfreyzenda9027 2 ай бұрын
😂😂We jamaa wewe
@NetNuggets60
@NetNuggets60 8 күн бұрын
😂😂😂
@user-qi2bt7mw4x
@user-qi2bt7mw4x 5 ай бұрын
Sura yenyew hana sasa angekuwa mzur na hata hao wazuri wanaolewa nyoo bora mmesogeza mbele uko akajiuze Mama samia tu ana mume Rais wa nchi heshima ya mwanamke utoke kwa mume hata usome kias gani kama huna mume hueshimiki kaa subir hyo elimu itakuoa
@Zuu673
@Zuu673 5 ай бұрын
Wadada wengi wanakuja hapo ni wadangaji
@EmmanuelElisa-ny3of
@EmmanuelElisa-ny3of 3 ай бұрын
Yeah
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 ай бұрын
Hawa wanawake wengine WAMEKUJA kuuza sula sio kutafuta mwenzao Alafu wanawake wakizingua mara 3 mnamtoa katika program 😂
@InspirationalDinosaurFos-pj3ir
@InspirationalDinosaurFos-pj3ir 5 ай бұрын
Kinajiona hicho kidada
@affelayabdulrahim4199
@affelayabdulrahim4199 4 ай бұрын
Mtu ana degree anauliza swali kama mtoto wa la 7
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 5 ай бұрын
Glady anakua kichefu chefu nyooo na Hana uzuri moja chefu
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 5 ай бұрын
Glad huo uzuri wa kuringa hivyo huna binti mkavu kama kuni unajiona umesoma lkn kichwani yupo empty ila yote ni kujiskia sana so baby girl you belong to the street 😂😂😂
@kelvinnjawike1808
@kelvinnjawike1808 5 ай бұрын
Kalivo kamekonda kama kanatokea sudani😂😂😂😂😂
@user-gb3sf9fy2u
@user-gb3sf9fy2u 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@kefrenbaraka
@kefrenbaraka 5 ай бұрын
Kuna jirani zangu ni watu WA sudani sasa nawaangalia nikisoma moment wee kicheko kitaniua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂jamaan😂😂😂
@princesshamad7908
@princesshamad7908 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 5 ай бұрын
Uyo sister mngesee😂 yan kiukwel mwalim wake alipata tabu
@sophiajason9341
@sophiajason9341 5 ай бұрын
This man is matured
@dicksongabriel231
@dicksongabriel231 5 ай бұрын
Glady anatakiwa apewe udogo haumbe mtu wake😂😂
@boashamah3642
@boashamah3642 5 ай бұрын
GaraB you ve done well for kick off this girl out So others can see this example Well done GaraB ❤❤❤❤
@innocentkanyata9923
@innocentkanyata9923 5 ай бұрын
Huyo Glady hajitambui
@ashamjeni292
@ashamjeni292 5 ай бұрын
😂😂kana maringo sana
@user-yy9jp3ll8p
@user-yy9jp3ll8p 5 ай бұрын
Eb mchungezeni hyo Glady ukute hta hyo degree ya sheria ukute hana mana ana mashauzi xana dah😢😢😢😢
@user-mx8tp2li8e
@user-mx8tp2li8e 5 ай бұрын
Muwe mabadilishano mabinti siyo hao kila siku kama kuna wanaume wanakosa na wanaondoka na wao wawe wanaondoka na kupisha wengine
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 5 ай бұрын
Kuna watu wamevurugwa sasa hapo umeenda kufanya nini au kujidhalilisha tu wewe dada huna haya aibu naona mimi😢😢
@user-li1fl4jp3r
@user-li1fl4jp3r 5 ай бұрын
😂
@princesshamad7908
@princesshamad7908 3 ай бұрын
Huyu grad anaelim hp kafuta nn kashachuja
@EmmaMwanyika
@EmmaMwanyika 5 ай бұрын
NIMEPENDA SANA MAAMUZI YA MAJAJ AND I THINK THIS IS TO HAVE TO BE IT ILI KIPINDI KIWE SERIOUS!!
@beatricesway5782
@beatricesway5782 5 ай бұрын
Jmn huyu mkaka 😢njoo tupendane jmn mm niko single 😢
@paulraphael981
@paulraphael981 5 ай бұрын
Ata mm niko single njoo
@dudumankidume3046
@dudumankidume3046 5 ай бұрын
Niko hapa
@aud548
@aud548 5 ай бұрын
Hako Kademu kabovuu ... afu huwa kana kauli za ajabu ajabu...kanapata wapi ujasiri
@chulelubella2819
@chulelubella2819 4 ай бұрын
Aisee mi mwenyewe nashangaa mikono yenyewe kama mapaja ya ndege
@JenniferDaudy-nb6my
@JenniferDaudy-nb6my 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 jamn huyo kaka nimesoma nae makubwa
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 5 ай бұрын
😂😂😂huyu mashauzi Grady uso mrefu kama ukuta wa shuleee, Si uwende uko ukatafute mabwana uko nje
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 5 ай бұрын
Mmmh ukuta wa shule 😂😂😂😂
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 4 ай бұрын
Ukuta wa gereza😂😂😂
@gracemlay
@gracemlay 3 ай бұрын
Hahahaha
@user-ry2xk8gx3n
@user-ry2xk8gx3n 5 ай бұрын
Demu mwenyewe mbaya
@rhodarichard4494
@rhodarichard4494 5 ай бұрын
Kijana nae ni hajielewi,,, et "nimekuchagua wew kwakua ni msomi " kiufup hao wote Bado ni watoto
@salmahmasoud4333
@salmahmasoud4333 5 ай бұрын
Aje kwangu huyu mr.Right 🤣😂
@charlesnyamizi9707
@charlesnyamizi9707 5 ай бұрын
Glad ka jingaa😂😂 bro kitakuramba😂😂
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 5 ай бұрын
Hicho kingereza wanafikiri ndio maisha
@gracemlay
@gracemlay 3 ай бұрын
Vitoto vya 2000 kuendelea si havijateseka😂😂😂 kwaiyo vinahisi kidhungu ndo Kodi ya fram na pesa ya matumizi😂😂😂😂
@carolinejosephmnyaga8869
@carolinejosephmnyaga8869 4 ай бұрын
This man is amazing.aiseee Glady kafeli wapi? Na ngosha's wanavyojua kupenda Sasa...
@diva_20162
@diva_20162 2 ай бұрын
Hichi nacho chefuu kimekonda kinaleta uzungu hapo wakati chenyewe hakina chcht nyoooooo 😊😊😊😊
@josminimsigwa5146
@josminimsigwa5146 5 ай бұрын
Waschana kama hao jaman wafukuzwe tu waingie tu wengine Wenye malengo ya fasta mmi nawashangaa Sana hao wanaenda kujaji Sana maisha ya juu waachien mabugatii😅
@salumuhafidhimtabe420
@salumuhafidhimtabe420 5 ай бұрын
Glady anatengeneza jina lake nimeona comments nyingi zinamzungumzia yeye keep it up sister......😅😂😂😂
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 5 ай бұрын
Bora hata huyo kaka alivyomkosa maana atampelekesha sana Dada mbishi sana huyo chefuuu
@isackmbade3181
@isackmbade3181 5 ай бұрын
Ndio maana mpaka leo bado yupo hapo huwez kupata Mr right
@SefuHabibu-sn8cx
@SefuHabibu-sn8cx 5 ай бұрын
Kuna wanawake vichwa vigumu na hawaelewi halafu ndio awe mkeo mungu aepushe hii dhahama
@timothmgata3636
@timothmgata3636 5 ай бұрын
Huyu dada jinga sana
@upendoshoo2635
@upendoshoo2635 5 ай бұрын
🎉mmmmm huyo glad kumbafuuuu anajisikia Sana na hatokuja kumpata mme mzuri Kama huyoo
@elinapetro7136
@elinapetro7136 5 ай бұрын
Mtu mwenyewe mwembamba kama spoku za baiskeli alafu kinariiinga kwendraaaaaa😅
@violetnasibumushi5450
@violetnasibumushi5450 5 ай бұрын
Glady kuna vyenye amekaa..😂anataka aonekana akili kubwaz no bade fit for her excellency😂😂..nje utaenda kweli dada au ni hallucinations 🤭
@user-uz7uh5kg7e
@user-uz7uh5kg7e 5 ай бұрын
Njoo uku❤
@Ms05195
@Ms05195 5 ай бұрын
Grabe uko poa sana
@anordgerison8639
@anordgerison8639 5 ай бұрын
Daaah kuna wanawake hawako Serious ....!!!!! 😢😢😢 Halafu hakuna aibu kubwa kama hiyo Ety naenda Kusoma 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-gv6vl7lt5j
@user-gv6vl7lt5j 5 ай бұрын
Ningependa kujuwa hata mtu yeyote anaruhusiwa kuwa na mpenzi mimi ni mu congo .
@isunga1964
@isunga1964 5 ай бұрын
Yaani familia inafuatilia undone halafu unakwenda kwa Mr right familia yangu watakutoa na fimbo mpaka nyumbani😂😂😂
@pridencians1227
@pridencians1227 5 ай бұрын
😂😂😂
@user-rf3sv1li3b
@user-rf3sv1li3b 4 ай бұрын
😂😂😂
@vicenttadei9800
@vicenttadei9800 5 ай бұрын
uyo dada hayuko sawa kwakweli
@mohamedally4496
@mohamedally4496 5 ай бұрын
Gladi hiyo sura kama nyuma ya nyumba alaf nyodo nyingiiii au babako billgate 😅😅😅.
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 5 ай бұрын
Brother Gara B anayezingua mtoeni wasitupotezee muda
@MrCommercial2424
@MrCommercial2424 5 ай бұрын
Wait a minute !!!! Wait a minute!!!... Masters in Whaaaaaaaaaaaaaaat??????!!!!!😅😅😅😅😅😅😅😅😅 It's "Masters in Diplomacy....."😅😅😅😅 Masters in Diploma ndo nini😅😅😅😅😅😅
@boashamah3642
@boashamah3642 5 ай бұрын
Masters in Diproma chefuuuu 😂😂😂😂😂
@gladyRajab-do5cu
@gladyRajab-do5cu 5 ай бұрын
Ujuaji n mwingi sana afu hana lolote uyoo 😂😂😂😂
@MallysAlly
@MallysAlly 4 ай бұрын
Nimependa sana uamuzi wa majudge especially Garab
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 5 ай бұрын
Huyo alikuja kuuza sura alikuja kufanya nn kama anamatarajio ya kwenda kusoma hakwendi shule ila amesikiliza profile ya mwamba kusema ex wake alienda shule inje inidhen na yy akasema anakwenda shule hamna mwanafunzi hapo atoke akavagamliwe mitaani huko asituchoshe na kumschosha Mr wetu atapata mwingine inshaallah
@SaoblackSaoblack
@SaoblackSaoblack 5 ай бұрын
😢yan Glady yupo kama vipumbu vya panya
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu 5 ай бұрын
Hahaha we jamaaa umrnichekesha sana
@SaoblackSaoblack
@SaoblackSaoblack 5 ай бұрын
@@FilbertHabashi-zn1qu Mimi Jamaal😂🥲🥲🥹kumbe na fanana na juma Mimi demu bhn
@katolekiki368
@katolekiki368 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂ati nini?
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu 5 ай бұрын
@@SaoblackSaoblack Hahaha sory ulichokiandika ndo kimenichanganya😀😀
@SaoblackSaoblack
@SaoblackSaoblack 5 ай бұрын
@@katolekiki368 🥲🥹sasa huon mwenzie anaeleza tofaut na yy anaongea maharage
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 safi sana kama unazigua utoleweeeee
@ashamjeni292
@ashamjeni292 5 ай бұрын
😂👌aka ka glady kana maringo sana
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 5 ай бұрын
@@ashamjeni292 wote wakizengua toka sasa mashauzi meng sura wameuza vyakutosha
@gracemlay
@gracemlay 3 ай бұрын
Bora katoleeeeewaaaaàaa maaana nlishagamchoka
@rosemerryfaustin1900
@rosemerryfaustin1900 5 ай бұрын
Kwani huyo glad apo anasubiri nini ni mpumbavu sana
@angelrichard899
@angelrichard899 5 ай бұрын
Jmn mmetenda hakii sana msinge mtoa hapoo.ningeacha kufuatilia hiki kipindi kabisa mnk grad amefanya masihara ...
@aika3024
@aika3024 5 ай бұрын
Mxuuuuuuuuu 😏 Ndio Msomu uyu Glad😃 bac sitak kuendelea KUSOMA😂
@bossykalewa
@bossykalewa 5 ай бұрын
Huyo glady hatakaa hawahi pata mwanaume hapo bana,,, mtoeni huyo mbwa hapo
@lareineminah1353
@lareineminah1353 5 ай бұрын
Mnaleta watu hadi kipindi kinaonekana kama vile nivya kupanga... wafukuzwe kabisaaaa
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 5 ай бұрын
Atoke HP anazingua kenge huyo
@mickyclemence3798
@mickyclemence3798 5 ай бұрын
Kweli nouma sana uyo mwanamke sjui kabila gan vile ila mm nimempa vyeke hapo hapo Mr right tunaomba tuletee wanawake wanye ubongo sawa co wanatuchosha tu😏😒
@evansmuthuri7138
@evansmuthuri7138 4 ай бұрын
Glady just concentrate on your studies you are still young....then later you will find love.
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 5 ай бұрын
Huyo glad wala hajielewi na Wala hastaili kuwa mke bora maana hili ni bomu la Mrusi kabisa 😅😅
@unicemwenda3664
@unicemwenda3664 5 ай бұрын
Glady unakeraaa kusema kweli
@user-mm8zs1qm1f
@user-mm8zs1qm1f 5 ай бұрын
Kwanza glady mgumu kuelewa atoke apo anakera
@christineneema3008
@christineneema3008 5 ай бұрын
Fala huyu dem
@Jackmushil
@Jackmushil 5 ай бұрын
yaani huyu Glady ukisikia zero brain ndo hizi. anafuatilia kaka
@GiftAbduly
@GiftAbduly 5 ай бұрын
Ako ka grad ndio maana hakana nyama mxieeeeeh
@alexmwalingo5020
@alexmwalingo5020 5 ай бұрын
Grad kichwa kibovu hata waalimu waliomfundisha inawezekana walipata shida sana
@user-xl1wt7be3z
@user-xl1wt7be3z 5 ай бұрын
Huyooo glady hajakuja kutafuta mume kama uza sura anapenda camera kila siku imvute uso
@fatumambaruku963
@fatumambaruku963 5 ай бұрын
Imvute tena😂
@JaneKikoti
@JaneKikoti 5 ай бұрын
Huyo Glad ana sura mbovu kama yangu tu
@paulraphael981
@paulraphael981 5 ай бұрын
Umalaya tu
@user-cw2oj1me1i
@user-cw2oj1me1i 5 ай бұрын
Huyo bint akili hamna Sasa unaenda kusoma hapo kafata nn au ndio kafata apate mtu wa kucheza na hisia zake au kujionesha kuwa anaenda kusoma
@kakoxspgnewton
@kakoxspgnewton 5 ай бұрын
Which country is this
@MusondoliRobert-ve4wz
@MusondoliRobert-ve4wz 5 ай бұрын
Uyu cladis mambo mengi Sijui anataka nini pa Mr right
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 5 ай бұрын
Dem mwenye mbaya af hana ata Tako na anaringa bule , mwembamba
@salminitamla9673
@salminitamla9673 25 күн бұрын
Glady anazingua
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 5 ай бұрын
Huyo Glad ni masikini hamna cha nje wala nini?
@sarazacharia
@sarazacharia 3 ай бұрын
😂😂😂 nimecheka 😂😂😂💔
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 5 ай бұрын
Nimsomi lakin hajielewi
@saumuminja6929
@saumuminja6929 5 ай бұрын
Glad hajitambui
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re 4 ай бұрын
Hawa wadada awako serious
@NellyHadrah-wy2vh
@NellyHadrah-wy2vh Ай бұрын
Msishangae hata mwalimu wake anapata kaz sana hiyo kichwa ngumu sana haielewi kabisa
@kapanikapani5280
@kapanikapani5280 5 ай бұрын
Huyo Binti kaja kuzngua watu asepetu chefuuu
@neyzokaunde6039
@neyzokaunde6039 5 ай бұрын
I understand mr right very well
@user-iz7hn3sf5s
@user-iz7hn3sf5s 3 ай бұрын
Glady alikua ana saka mr right wa kumkwapua poket money akiwa nje, 😂😂😂😂
@ceciliapaul4161
@ceciliapaul4161 3 ай бұрын
Huyu dada mwalimu wake aliteseka sana
@user-ud2kd7yy3w
@user-ud2kd7yy3w 5 ай бұрын
grad hana maana amekuja kuwapotezea mda hapo stejini heri aondokeeeee kabisaaaa
@ombeniismail1140
@ombeniismail1140 5 ай бұрын
mweeeeh mr right nimekupenda bure
@gracemlay
@gracemlay 3 ай бұрын
Yani huyu Glady bora hata katoka apooooooo😅😅😅😅😅
@user-gc8qo3qc1q
@user-gc8qo3qc1q 2 күн бұрын
Nyie wabaya tunalinga mno
@gaalunangay9500
@gaalunangay9500 5 ай бұрын
Glad mamayooo zake😂
@mwanashasjambia8572
@mwanashasjambia8572 5 ай бұрын
Mkondee alafu maswali mengii.
@tausimohammedy
@tausimohammedy 5 ай бұрын
garab atoke tu👏👏
@victaboy7273
@victaboy7273 5 ай бұрын
Hawa ni wake au ni vitu gani ? Mambo ya kukomaa na vipato ni mambo gani ? Wao mbona hawaulizwi vipato vyao
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 5 ай бұрын
Gladi hajitambui
@LenashaNgulo
@LenashaNgulo 4 ай бұрын
Kalivo sasa ka grady duh😢😢😢😂
@josephkigembe-ec4pq
@josephkigembe-ec4pq 3 ай бұрын
Shape hana, sura hana, kwann mnapoteza muda?? Toa mnyoo huo kwenye podium mlete chuma.
@fidonsostenes
@fidonsostenes 5 ай бұрын
Kwo kama alijua anaenda kusoma kwo apo alienda kufanyeje jaman
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 5 ай бұрын
Iki kigrad akina hakili alafu kinajifanya kimesoma ss hp aelewi nn mtoeni hp
@nancyg8664
@nancyg8664 5 ай бұрын
Atakua mhaya huyu😂😂 wahaya msiniattack plz😂😂
@andreayust4757
@andreayust4757 4 ай бұрын
Sasa huyo dada anaenda kusoma halafu amekuja kutafuta mchumba 😅daah 😅😅😅 ngachoka
@redlaismakundi465
@redlaismakundi465 5 ай бұрын
Yombo angekuwepo anisaidie kumchamba huyu dada,hakuna cha nje ya nchi wala ndani ya nchi,hata mkimuuliza alichosomea huenda ikawa sio hicho😂😂😂
@bebebebe5677
@bebebebe5677 5 ай бұрын
Yombo msukuma sio😂😂mana Yule anachamba
@DeboraNgura
@DeboraNgura 5 ай бұрын
😂yombo atamuosha kichwan ad unyayo😂😂😂
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 ай бұрын
Huyu glady angekuwa mzur lkn cheus, kikavu😅😅😅
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 112 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 41 МЛН
MARYAM KAZIMIA MICHANO.
9:41
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 245 М.
These are the Ladies confusing men on Hello Mr Right Ke. Mali safi safi!
5:36
PENZI JIPYA | NAMPENDA KWASABABU MWALIMU | ANAONEKANA MTUMISHI
7:14
Время летит быстро 😱
0:19
НЕБО - СПОРТ И РАЗВЛЕЧЕНИЯ
Рет қаралды 3,1 МЛН
He has no power to use all tomato 🍅 🤣
0:15
LikvoFam
Рет қаралды 4,4 МЛН
5 маусым соңғы эфир!
2:27:27
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 504 М.