Рет қаралды 102
NATIONAL wamepania kuchinja Mbuzi watatu Uwanjani/Mganga wao Atamba
Siku ya 22/06/2024 kutakua na BONANZA litakalofanyika katika uwanja wa shule ya msingi KIWALANI, Bonanza litakalo kutanisha Timu mbali mbali toka Kiwalani.
Michezo mbali mbali itakuwepo siku hiyo ikiwemo MPIRA WA MIGUU, REDE, POOLTABLE, CHANDIMU NA KUKIMBIZA KUKU
BONANZA limeandaliwa na MAC SPORTS ACADEMY chini ya mratibu wake SALUM KABUGO