No video

Nay Wa Mitego - Wapi Huko (Official Music Video Lyrics)

  Рет қаралды 1,078,346

Mr Nay

Mr Nay

Күн бұрын

The Song Produced By Touchez Sound
Video Shoot By Mr.ZIzi
Script By Frank Kibonge
Graphic By Zizi
Location By Pilato
Stream/Download:linktr.ee/nayw...
Listen to Nay Wa Mitego on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music:
/ nay-wa-mitego
Boomplay:www.boomplay.c....
KZfaq:
/ @naywamiteg
Spotify:open.spotify.c....
Connect Nay Wa Mitego on Social Media:
Instagram:
/ naytrueboytz
Facebook:
/ naywamitego
Twitter:
/ naythetrueboy
©2023 Free Nation.All rights reserved.
#NayWamitego #Waphuko

Пікірлер: 4 100
@Aksantimulirifreddy
@Aksantimulirifreddy Ай бұрын
Nyimbo hii ninge penda wana wa RDcongo waufate vizuri. Congo wezi ni wengi sana tena ni viongozi. Hiyo inaleta utata kwenye maisha ya mkongomani. Wa dada wengi wanajiuza, vijana hawana makazi Na tena wasomi ni wengi bila makazi.ooooooh Congo RDC😭😭😭🥳🥳😭😭😭
@SindarubazaCherejiyo
@SindarubazaCherejiyo 20 күн бұрын
Nay pa moja sana
@HassaniUlenge-j5j
@HassaniUlenge-j5j Күн бұрын
Uko vizuri nay endelea kusemea wananchi kwa njia ya muziki uenda nchi ikapona
@simamanamtoto
@simamanamtoto 4 ай бұрын
Wote mwizi wanamjua ila wanaogopa kumsema😂😂😂😂😂 Kenya hatuna comeback
@sanchostylist...9719
@sanchostylist...9719 2 ай бұрын
My Kenyan bro😂😂
@Mukomariboy
@Mukomariboy 7 ай бұрын
Kenya wale wanamkubali Ney please likes hapa tuone
@officialkamdudu
@officialkamdudu 7 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@user-eh2rb2ou5e
@user-eh2rb2ou5e 7 ай бұрын
@@officialkamdudu Siku hizi watu wamevumbua njia haramu za kupata likes😂
@Sasaka254
@Sasaka254 6 ай бұрын
@officialkamdudu 😂😂😂 aimbe Ney like zipewe yeye.. haki yamungu 😅
@officialkamdudu
@officialkamdudu 6 ай бұрын
@@Sasaka254 wana chembechembe za ushoga hawa watoto
@Trixie03
@Trixie03 5 ай бұрын
@@user-eh2rb2ou5e very true
@ndabhiloleyesamwel9945
@ndabhiloleyesamwel9945 7 ай бұрын
Ukimtongoza demu leo na gesi inaisha leo,,,na kabra haujakaa vizur na Kodi inaisha leo,,,,😂 nipeni like zangu
@officialkamdudu
@officialkamdudu 7 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@petronillamocheche9826
@petronillamocheche9826 7 ай бұрын
Sura nzuri lakini tabia paka shume😢
@magzeeee
@magzeeee 7 ай бұрын
I relate asee
@earthishardtv
@earthishardtv 7 ай бұрын
😂😂😂😅😅😅😮😮
@tembarooney7899
@tembarooney7899 7 ай бұрын
Kenyan
@clkangwengwe7942
@clkangwengwe7942 7 ай бұрын
90% positive comments and mostly from kenya
@ChrissMtanashatiOfficial
@ChrissMtanashatiOfficial 2 ай бұрын
Hio nchi bana inavituko vingi, wazee wa busara ndio wanatembea na mabinti, vijana nao wanatembea na mashangazi... 🔥 🔥 🔥 Hio nchi ni Kenya maze😂
@adedechrisgone4792
@adedechrisgone4792 7 ай бұрын
Our Tanzanian friends. You have delivered this to us in Kenya. Hot and cold at the same time.
@felisterwilson9259
@felisterwilson9259 7 ай бұрын
This is what is happening in Tanzania right now!!
@kibetkeiyo
@kibetkeiyo 7 ай бұрын
Nyinyi ndio wale mlipata E Kiswahili
@adedechrisgone4792
@adedechrisgone4792 7 ай бұрын
@@kibetkeiyo I wonder why you imagine so, but if it pleases you, Yes!
@kibetkeiyo
@kibetkeiyo 7 ай бұрын
@@adedechrisgone4792 kwa sababu huelewi matumizi ya kinaya
@petronillahosoro4828
@petronillahosoro4828 7 ай бұрын
​@@kibetkeiyowacha makasiriko na msanii,yeye tu ni ujumbe anaputisha
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH 7 ай бұрын
Wapi uko from Kenya Moore 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿🇹🇿 naomba like Za ney wa nitego
@Princekivufiesta
@Princekivufiesta 10 күн бұрын
Hiyo nchi ni Congo 🇨🇩, " wana inchi wana lala Mika na raisi ana lala mika, wote mwizi wana mjua, ila wanaogopa Ku mshika" Vraiment rien que la vérité, courage mon artiste préféré .
@kassimali1477
@kassimali1477 Ай бұрын
One of the song that awoken the Generation Z in Kenya 🇰🇪 So soon the General Alpha is gona join combo
@Kiyanmoyzer
@Kiyanmoyzer 7 ай бұрын
Hizi ndio nyimbo sasa zakusikiliza watu wenye akili timamu
@TumainiKisoma
@TumainiKisoma 7 ай бұрын
Sio we zombie😂
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂​@@TumainiKisoma
@daglasmomanyi7631
@daglasmomanyi7631 6 ай бұрын
Kenya my country
@igiranezablaise4399
@igiranezablaise4399 7 ай бұрын
Ma fans wa Nay kutoka burundi🇧🇮 dondosha like tujuane
@officialkamdudu
@officialkamdudu 7 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@aboubakarirakoze7611
@aboubakarirakoze7611 7 ай бұрын
Pamoja Sana
@jenahando2747
@jenahando2747 7 ай бұрын
@@officialkamdudu kwani kulikuwa na haja ya kumtukana mwenzio. Kama hutaki kumpa like si usepe kimya kimya!
@officialkamdudu
@officialkamdudu 7 ай бұрын
@@jenahando2747 sometimes inabidi utukanwe ili uache ushamba
@igiranezablaise4399
@igiranezablaise4399 6 ай бұрын
@@jenahando2747 achananae mwanangu👊 watu kama hao sio frexh kujibizana nao. pingine sio wazima🧠
@hotnewsprovider254
@hotnewsprovider254 4 ай бұрын
Mwanangu Hio Nchi ni yetu, Kenya
@yamungungendu4839
@yamungungendu4839 3 ай бұрын
Ata Kwetu Tanzania ni hayo hayo..ndiomana Ney kaamua kuimba
@edouardngabonziza1441
@edouardngabonziza1441 6 ай бұрын
Kutoka Burundi🇧🇮 nakuamini sana Mr. Nay. Heshima yako juuu. Hauimbii Tanzania tu Bali East na Africa nzimaaa🎉🎉
@collinskenya3630
@collinskenya3630 7 ай бұрын
Wasanii wote ni chawa wa serikali kasoro Nay wa Mitego🔥🔥🔥, Kenya tupo locked hapa,touch💪💪💪💪💪
@ramadhankwilasa2371
@ramadhankwilasa2371 7 ай бұрын
😅😅😅😅 Wewe umeamua kuweka wazi sasa
@mohakitsao1918
@mohakitsao1918 7 ай бұрын
Waunguza kaka iyo ni siri
@DennisMuti-ls3ys
@DennisMuti-ls3ys 7 ай бұрын
Ile kitu hamjui ni kuwa huu jamaa anatusi si wakenya
@collinskenya3630
@collinskenya3630 7 ай бұрын
@@DennisMuti-ls3ys matusi vitu kawaida ,sisi hatuabudu viogozi wasipofanya walioahidi,tunawatusi vilivyo
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 7 ай бұрын
Na roma2
@mikearon2666
@mikearon2666 7 ай бұрын
Zile shida waTZ wanapitia ni sawa na zetu huku Kenya.
@chingaboy1149
@chingaboy1149 6 ай бұрын
Ujuaje wallai nikweli 😢mateso yamezidi
@HassaniUlenge-j5j
@HassaniUlenge-j5j Күн бұрын
Sawa muiteni panya lakn kuna mengne mzuri na yenye kuisaidia nchi aliyafanya
@byamasumundele6385
@byamasumundele6385 5 күн бұрын
Hongera ney wa mitego
@jacksonsmwashiuya3464
@jacksonsmwashiuya3464 7 ай бұрын
Hii song kali sana aisee, jamaa kampiga nyoka kichwani moja kwa moja Kila atakaye like hii comment atakuwa ananikumbusha nije kuitazama tena👀
@mrsinia3064
@mrsinia3064 6 ай бұрын
😂😂 au cyo
@OnesmoMpangwa
@OnesmoMpangwa 6 ай бұрын
ᴘᴀᴍᴏᴊᴀ ᴋᴋ
@OnesmoMpangwa
@OnesmoMpangwa 6 ай бұрын
ᴘᴀᴍᴏᴊᴀ sᴀɴᴀ
@abeddyjuma4103
@abeddyjuma4103 6 ай бұрын
Wewe ndio nyoka umepigwa kichwani
@johnmwambasi2299
@johnmwambasi2299 7 ай бұрын
KAMA NAWE UNAAMINI KUWA HUU NI WIMBO WA MWAKA 2024,NIKUONE KWA LIKE.
@officialkamdudu
@officialkamdudu 7 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@michomichael4111
@michomichael4111 5 ай бұрын
Ni bonge la wimbo
@ErnestNgoye-bx9td
@ErnestNgoye-bx9td 4 ай бұрын
Nyimbo Kali sana
@tyronenjosh9832
@tyronenjosh9832 6 ай бұрын
Definitely Kenya... This should be made Kenyan national anthem 😤
@philipfulu
@philipfulu 23 күн бұрын
A masterpiece!
@kevinkyalo9331
@kevinkyalo9331 7 ай бұрын
Kenya, Kenya, Kenya, Kenya, Kenya, Kenya, Kenya our country
@siddyoneonlinesi5433
@siddyoneonlinesi5433 7 ай бұрын
Tanzania ndio wanatabia hii Kenya raha mnakula
@NGAWIPA24
@NGAWIPA24 3 ай бұрын
Daaaaahh japo nimekuwa wa mwisho kuiona hii nyimbo ila basi NAWAOMBA mnipe basi japo like kumi tu jamani
@mondigugo4392
@mondigugo4392 7 ай бұрын
Mwanetu wewe roho yako inatakiwa ukaishi TALEBAN maana uwogop kabisa tusemeeee mzeee big up
@Lanesra049
@Lanesra049 6 ай бұрын
Wasanii wote ni chawa wa serikali kasoro mmoja naye anapigwa vita vikali As a Kenyan I confirm this is Erickaa Amondiiiiii
@gentiljabpretty
@gentiljabpretty 7 ай бұрын
Best song..am from Goma Congo ❤🇨🇩🇨🇩
@nakurutoday
@nakurutoday 7 ай бұрын
as Kenyans , we received this song with both hands. It's speaking on our behalf. Thanks. (Unfortunately, I don't know how to express myself in Swahili for you people to understand. I know kingereza kwenu ni kizungumkuti)
@nakurutoday
@nakurutoday 7 ай бұрын
@@AK-op1oz you have a very low sense of humor
@shekinahrwabyo8150
@shekinahrwabyo8150 7 ай бұрын
Wewe ni mtata kama wimbo wenyewe. 😂😂😂
@peterliseche7687
@peterliseche7687 7 ай бұрын
Hii ni utata kizungumkuti
@DanielChaula
@DanielChaula 7 ай бұрын
Wewe ni kiswahili mtupu😂😂😂
@derrickmutuma7185
@derrickmutuma7185 7 ай бұрын
We did not. This song better reflects Tz than Kenya.
@bagdonenoch5088
@bagdonenoch5088 7 ай бұрын
Naaminia kamanda 😎, huyu mwamba kweli🫂. Kama waikubali nipe LIKE mzee 😂 😂
@riskey1999
@riskey1999 6 ай бұрын
hii ni ukweli twamjua mwizi ila twamwogopa...makosa ni sisi wenyewe....nasema nakuballi usemayo NAY....kenyans believing me nipeeni likes
@carl-donald
@carl-donald 7 ай бұрын
Leo KENYA imeongelewa na Nay. Huu ndo ukweli halisi....karibu KENYA.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 ай бұрын
Hapan kaongea kuhus Tz
@carl-donald
@carl-donald 7 ай бұрын
@@aminatanzanya7475 Huu wimbo unatuhusu sisi wakenya....kwa kidogo sana kagusia Tanzania. 🤔
@lakasid3860
@lakasid3860 7 ай бұрын
​@@carl-donaldhauwahusu hata kidogo wapi unawahusu?
@abyomy4485
@abyomy4485 6 ай бұрын
Literally work huwa inagusa society nyingi
@BaronKavashia
@BaronKavashia 7 ай бұрын
As a Kenyan this is the truth and its bitter but he spoke the mind of 53 million Kenyans #inauma Also I understand the insults from my fellow Kenyans. Hio yaonyesha ukweli wauma sio? #amani
@newtonmutea
@newtonmutea 7 ай бұрын
He spoke nothing. We are good in kenya. Speak for yourself not the 53 million you allude to
@user-qr4pz6wb9n
@user-qr4pz6wb9n 7 ай бұрын
Stop being delulu😏
@rashidibrahim4083
@rashidibrahim4083 7 ай бұрын
as a kenyan, you should be ashamed of yourself.
@undergroundgoat4717
@undergroundgoat4717 7 ай бұрын
speak for yourself.uselss man
@BaronKavashia
@BaronKavashia 7 ай бұрын
@@rashidibrahim4083 I am ashamed of being a Kenyan at this point. You are right on that one atleast
@digitalworld5577
@digitalworld5577 7 ай бұрын
Nani amesikia “kuna mabinti wasomi na wanategemea uchi”🙌🏽🙌🏽
@suzzanne222
@suzzanne222 7 ай бұрын
Masocialite and university girls chasing wazee sponsors such a sad country our 254. Air bnb ndio zao kuchinjwa kila siku.
@amosjulius7935
@amosjulius7935 5 ай бұрын
Yap!.. ORIGINAL VOICE OF NATION Yani Goma halichoshiii kisikikiza Bana...NY..Tupia Maweeee hata wakikataa kutoaa Shoooooow KZfaq Ipooooooo🎉🎉🎉🎉🎉...Yani Ni Utataaaaaaaa#
@ChrisCito-w2b
@ChrisCito-w2b 19 күн бұрын
Nay wamitego yes ❤❤
@emmanuelryoba5697
@emmanuelryoba5697 7 ай бұрын
ni hapa hapa bongo wasanii wote ni chawa kasoro TRUE BOY❤‍🔥❤‍🔥💪
@user-eh2rb2ou5e
@user-eh2rb2ou5e 7 ай бұрын
"Wananchi hawasikilizwi wanalia na Mungu wao💀."Men that hits hard
@muddytzmk3339
@muddytzmk3339 6 ай бұрын
Umetumia akili nyingi Sana ila hio inchi nimeshaijua na wewe Kama umeijua gonga like hapa👎
@stanleymanya438
@stanleymanya438 6 ай бұрын
😂😂
@giftladis
@giftladis 5 ай бұрын
Nchi yngu jamanii imeanzwa kuchekwa 😭 MUNGU angalia nchi yanguu 🇨🇩
@THE-HIGHWAY-VOICE
@THE-HIGHWAY-VOICE 5 ай бұрын
si siri tena io inchi ni yangu..kenya na siogopi kusema io inchi ni kenya..
@martinwambua8720
@martinwambua8720 7 ай бұрын
Tanzania endeleeni hvo, that means mnatujali. Wakenya tumekataa kuacha ukabila, viongozi tunachagua kabila letu ama mwenye pesa, thanks so much kwa huu ukweli. Ukweli wauma😢
@alexmathias6620
@alexmathias6620 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 oya true boy lete Mambo mda umepita sasa tunataka nyundo nyingine Lin itatoka najua basata kwa sasa macho kwa you tube kumsubilia True boy kua anakuja na lipi 😂😂😂😂😂😂😂 sihami bongo kwa sitahili hii aise
@wingstarmsanii9862
@wingstarmsanii9862 7 ай бұрын
Hiii Kali Kenya respect rais wa mitaa ney wa mitego go baba
@kevinwangilasimiyu
@kevinwangilasimiyu 7 ай бұрын
Unamtongoza Leo na gesi linaisha leo
@mercychumo
@mercychumo 6 ай бұрын
Mashabiki ndo wajuaji kuliko kocha
@besteva499
@besteva499 7 ай бұрын
Mziki kama huu nikuwupa sapotii kwamusani anaye imba vyakuereweka kama huu mwamba ney wamitego big up ney hapa bongo nawa kubari ww na roma ❤😂😂❤❤❤❤ wana manzese show love here❤❤❤❤
@exsonmwakalobo8865
@exsonmwakalobo8865 7 ай бұрын
Nakubali sana kaka mkubwa mimi tu ombi langu mungu asikupungukie kukulinda bro sisi watu wako tunakupenda sana
@elnestinamgeni2012
@elnestinamgeni2012 4 ай бұрын
love you brother!!! unanikosha sana Kwa kazi zako
@michaelmatatamwakesi199
@michaelmatatamwakesi199 4 ай бұрын
Ma slay queen na ma cool kid 🔥 mwaringa na nyumbani mwalala njaa 😂😂 #kenyan back Benchers
@moamed1238
@moamed1238 7 ай бұрын
2024 level made it congratulations 🎊 👏
@user-ol7dq5hg8n
@user-ol7dq5hg8n 7 ай бұрын
Walia rudia hii nyimbo tujuwane kwa likes 👍
@hassanbaruti4017
@hassanbaruti4017 7 ай бұрын
Mara ya 5 naisikiliza
@Lumegilemukata
@Lumegilemukata 7 ай бұрын
Mara ya 10 sasa
@officialkamdudu
@officialkamdudu 7 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? aimbe Ney like upewe wewe. acha ushamba wewe 😏
@user-sw6fv8ed8v
@user-sw6fv8ed8v 7 ай бұрын
Mm mara 20
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 7 ай бұрын
Nimemsikiliza mara 9 Ney anajua, anajua, anajua tena
@BrightnessMangowi-tb9xk
@BrightnessMangowi-tb9xk 4 ай бұрын
Pls don't ever change Nay....we need more people lyk you
@FarajaDamas-tw5rj
@FarajaDamas-tw5rj Ай бұрын
Msinikanyage jaman taratibu kwenye comment🎉🎉🎉 Alieijua hio nnche tia❤ apa tujuane fromTZ
@omaribrahim8900
@omaribrahim8900 7 ай бұрын
This song talks about real things that society is suffering from. Kenyans should understand their real situation
@Kevoblack01
@Kevoblack01 7 ай бұрын
I sold this song to Nay wa mitego 1month and thanks to him he followed my orders 🙏🙏🙏❤❤❤💪
@wainainawangai2539
@wainainawangai2539 6 ай бұрын
Just crying for my country Kenya, truth hit right. Thanks Nay.
@saidbabaali9082
@saidbabaali9082 6 ай бұрын
Nay hiyo inchi naona ni hii yetu +254 n dis track bt ni moto sana tumekubali mzee baba bigup
@eutychusmotanyatv
@eutychusmotanyatv 7 ай бұрын
As Kenyans we receive your message
@sylviaernest7422
@sylviaernest7422 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@Albert-un8eg
@Albert-un8eg 7 ай бұрын
🤪🤣🤣🤣🤣
@lakasid3860
@lakasid3860 7 ай бұрын
​@@sylviaernest7422hii message niya watanzania nyie jamaa vp 😂
@thekingslayer1661
@thekingslayer1661 6 ай бұрын
Lakini ukiiskiza vizuri ndio utajua alikua anaongelea tz.
@stephenmusa3359
@stephenmusa3359 6 ай бұрын
Chorus; Wapi ukoo?. Jibu ; Kenya
@danielmauti2180
@danielmauti2180 7 ай бұрын
Kenyana give Nay 57m likes the guy is a gem,pure literature.
@margaretmwajuma9253
@margaretmwajuma9253 6 ай бұрын
Hiyo nchi kupata kazi ni utata....kuna matata kibao! I love the lyrics🎉🎉
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 Ай бұрын
Hii nyimbo imenifanya nifute nyiimbo zote za kisenge sijui amapiano tupa kule
@George_Okumu
@George_Okumu 7 ай бұрын
Mmmmh. Wananchi wanalia Na Rais analia
@richardagama6862
@richardagama6862 7 ай бұрын
mwamba kadondosha dude tena,,,yaani hapo nchi inayoitaja braza ni tz tu hamna ingine,asante sana #Nay kwa kuendelea kuwasemea wanyonge🔥🔥🔥🔥
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 ай бұрын
mr nay big up Sana 💪 broo ukiimbaga za kbembeleza nono iz ndyo kia dikoo
@user-xq6ik4eo7u
@user-xq6ik4eo7u 3 ай бұрын
SEMA dogo wananchi wanakukubali sana
@wesleyratemo7832
@wesleyratemo7832 5 ай бұрын
@Nay, naona umeanzisha Vita dhidi ya NCHI jirani...all the same...ukweli ndio umeujaza...hatutarusha mawe....yes juu ni kweli lakini msipoteze heshima!
@sadathahmada9066
@sadathahmada9066 7 ай бұрын
Rais wa Kitaa, hujawahi kutuangusha wananchi wako wa mtaa. #TrueBoy
@eddieoduor
@eddieoduor 7 ай бұрын
Kenya nchi yangu....aibu ya Jumuia kweli !!! Nay umegonga ndipo!!! Ipo siku....ipo siku...
@user-jj6wp5xi5d
@user-jj6wp5xi5d 3 ай бұрын
I watching you from zambia❤❤❤❤❤
@muhdkembo6091
@muhdkembo6091 5 ай бұрын
Bonge moja la idea hapa....umeongelea almost nchi zote za Africa
@nicholasmuli775
@nicholasmuli775 7 ай бұрын
Asante Nay kwa huu wimbo maana huku Kenya 🇰🇪 tunavumilia kua Wakenya Ruto you have made us a laughing stock to our neighbours with your Taxes on everything umezidi bwana Zakayo na ni mwaka tu umemaliza tunaumia hivi je iyo miaka mitano au kumi Kenya yetu utakua umeifanya iko vipi
@spiritedroamer
@spiritedroamer 7 ай бұрын
Nimepata jibu! Huko ni Kenya.
@nelsonsharenya9600
@nelsonsharenya9600 6 ай бұрын
Nimeuskiza huu wimbo,kaka upo juu,Kenya my country,enyewe ulitusorora kweli
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 6 ай бұрын
Nani huyo
@marietacristovao1387
@marietacristovao1387 6 ай бұрын
Nakukubali nay,nyimbo zako zote ni 100% with a true message
@user-eh5ss4dw1c
@user-eh5ss4dw1c 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤, Magu tutakukumbuka sana,Maana siku hizi Nchi yetu kila kitu O.
@jabirkombo5483
@jabirkombo5483 7 ай бұрын
Mkumbuke
@rqquotes9574
@rqquotes9574 7 ай бұрын
Huwezi kuielew kama utaisikiliza mara moja, ubunifu mkubwa sana umefanyika🎉💯
@ramadhankwilasa2371
@ramadhankwilasa2371 7 ай бұрын
Kabisa unatakiwa umakini mkubwa sana
@user-tj7km8jn6y
@user-tj7km8jn6y 7 ай бұрын
Sahihi kabsaa hii n tz baba
@user-rt3xj1hg7m
@user-rt3xj1hg7m 7 ай бұрын
Kabisa
@BarakaSenior
@BarakaSenior 7 ай бұрын
Ukweli usemwe hii nayo ni kenya bila kuficha🎉🎉
@salomelazaro691
@salomelazaro691 6 ай бұрын
Waliorudia wimbo mara tatu tujuane😊
@richardntelika7571
@richardntelika7571 7 ай бұрын
Pure Truth, Kenya is the whole story, Appreciated Mr Nay for speaking this 😢
@salimkheri
@salimkheri 7 ай бұрын
ametunasa hapa😅
@victorbrayan8238
@victorbrayan8238 7 ай бұрын
I also think this is kenya
@aliceogeto9240
@aliceogeto9240 7 ай бұрын
​@@victorbrayan8238 ni tz govt
@josephlyakurwa
@josephlyakurwa 7 ай бұрын
I think it's a story of entire Africa
@254AfterDark
@254AfterDark 7 ай бұрын
this is not even about kenya
@holyjoemusiq3805
@holyjoemusiq3805 7 ай бұрын
Am a Kenyan but this is the bitter truth......Nay you are on point
@user-qf9uj2oc1b
@user-qf9uj2oc1b Ай бұрын
Dogo unajua kuimba kama kondeboy,Ukitoa collabo na kondeboy itakua ni fire 🔥
@stivohmabiashara
@stivohmabiashara 7 ай бұрын
Haitaki chuki......a good friend is that one who tells you the Truth 👊🏿👊🏿 the message is home my bro✊🏿
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 7 ай бұрын
Nisipokoment kwa ndugu yangu ntakuw mnafiki Asante kwa massage! Tunaijua hyoo!
@patrickambale4582
@patrickambale4582 7 ай бұрын
This is what differentiate Nay from others. Everyone can listen and understand the message. Your songs will inspire many generations to come. Keep on speaking on our behalf Big bros. Big up and much love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@wasikejeff3701
@wasikejeff3701 6 ай бұрын
He just talking about my country Kenya😂😂,i love this man
@aquinastera7404
@aquinastera7404 6 ай бұрын
Nay 🙌🏿 hapo umetumulika mbaya Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ujumbe pazaa juu kwani kesi itasha Leo (Wapi uko Kenya 🇰🇪)
@Jenniejws
@Jenniejws 7 ай бұрын
Rais wa kitaa haujawahi kuzingua ila salute kwako na ujumbe umefikaa✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 7 ай бұрын
Together we can This is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
@user-gn4bt6jf6j
@user-gn4bt6jf6j 6 ай бұрын
Nakukubali sana President wetu wa kitaaa ngoma zako zinaelimisha na kuburudisha pia
@Agwata_pulpit
@Agwata_pulpit 6 ай бұрын
So, Nay decided to tell the truth about Kenya in a song. Huu sasa ndio usanii mambo mbaya. Trueboy, just receive your flowers from me.
@nasarostudio2008
@nasarostudio2008 7 ай бұрын
Nimesikiliza nyimbo zangu nyingi hii umetisha saanaaaaa, hii ndo inaitwa fasihi, Ngoma Kali kuliko zote ulizowahi kutoa, big up sana, ufundi mwingi mnooooooo🎉🎉🎉🎉
@dominicmgaya2726
@dominicmgaya2726 7 ай бұрын
The true boy the true artist Bobi Wine wa Tz🎉
@user-zl4rq3kf9f
@user-zl4rq3kf9f 6 ай бұрын
Njoo Kenya nay the true boy you opened the eyes of our musical artists wako kimywa Sana ... The true is better bt well spoken
@RoderickManda
@RoderickManda 6 ай бұрын
Nakubari Sana brother Toka Malawi 🇲🇼
@thecommentor1
@thecommentor1 7 ай бұрын
This is not a song, it is a wake-up call
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 7 ай бұрын
Hii imeendaaa kabisa! Ileeee number 1 trending... 🎉🎉
@bongomediatz
@bongomediatz 6 ай бұрын
Nay wa mitego ndie pekee sio chawa wa serikali.
@FelisianMalaso
@FelisianMalaso 12 күн бұрын
Nchi hiyo no ya moto sana
@PavlovBestfriend-fb3kh
@PavlovBestfriend-fb3kh 7 ай бұрын
Suis ton 1er fan en RDC🇨🇩🔥🔥 Voilà la bonne musique éducative
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 7 ай бұрын
HUYU Jamaa ni hatari sana yaani mrithi Bora wa Professor JAY Tanzania... NAY unafaaa SANA.
@quintinmbwaiki1268
@quintinmbwaiki1268 5 ай бұрын
kaka saluti kwako umetumia akili nyingi sana kwenye huu wimbo
@jaberjohn7556
@jaberjohn7556 6 ай бұрын
Message delivered to KENYAAAaaa
@henemwamboja5749
@henemwamboja5749 6 ай бұрын
Tatizo watu wanaelewa kupitiliza. Nchi yoyote yaweza kuwa. Sio Kenya Tu. So hawaongelei wakenya pekee.
Nay Wa Mitego - Mamlaka(Official Music Video)
3:47
Mr Nay
Рет қаралды 927 М.
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 41 МЛН
Nay Wa Mitego  - Sauti Ya Watu (Official Music Video)
4:21
Mr Nay
Рет қаралды 3,3 МЛН
Nay Wa Mitego  -  Bachela ( Official Music Video )
3:42
Mr Nay
Рет қаралды 1,1 МЛН
Nay wa Mitego alivyofukuzwa nyumbani na kuwa Kinyozi. (Part One)
33:57
Nay Wa Mitego - Kudada deki (Official Video)
3:44
Mr Nay
Рет қаралды 744 М.
Mbosso ft Jaivah - Dokta (Official Video)
4:27
Mbosso
Рет қаралды 708 М.
Kontawa Ft Harmonize  - Binadamu [Official Music Video]
3:59
kontawa
Рет қаралды 1,2 МЛН
Nacha x Stamina - Jua Lile (Official Music Video)
4:58
Nacha Ousam
Рет қаралды 1,7 МЛН
Nay Wa Mitego Ft Atan - Acha Niongee (Official Music Video)
3:20
Nay wa Mitego - Alisema  (Official Video)
3:29
Mr Nay
Рет қаралды 2,3 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 41 МЛН