Umesahau kuwaauliza kwamba wanajishughulisha na Mambo ya kuoga 😂😂😂
@AdrophHittler2 ай бұрын
😢😢😢😢.. Cjapata ujasiri huo
@joe-luxemwizere80755 ай бұрын
Sandra fanya vyovyote vile ilo dela la kihindi usilivuwe😂😂😂
@user-ib4vq3ou3t5 ай бұрын
Ety afanye vyote lkn dera la kiindy asilivue Steve ww atar😂😂😂😂😂
@Draco150805 ай бұрын
Noma sana😅😅 usipite bila like hapa😊
@PauloZakayo-hy3ro5 ай бұрын
Zuchu
@wycliffeamaheno65805 ай бұрын
Comedy Kali sana keep it up ndaro na steve
@cheedmsafibrand67525 ай бұрын
nawakubali sana WANANGU xo natamani tufanyaje hata tangazo🥰🥰💪🔥💯👍🙏🙏🙏
@zidaboy_tzcomedy67595 ай бұрын
Uyoo wa pili angekimbia ndio ingenogaa😂😂😂
@jennet64845 ай бұрын
Miguo ya kihindi tu kuoga aaahhh😂😂
@growyourmoneyeveryday5 ай бұрын
Mimi wa one😂😂😂😂
@Nicholas1dd4rs8j5 ай бұрын
Wa kwanza from Kenya munipe likes zangu za kutosha 😂😂😂😂
@MayebeGloriaHeinz5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@patohraizer5 ай бұрын
Kipindi Cha njoto unafungia watu ndani😂😂😂
@thadeobinga5 ай бұрын
Steve katuletea mgen yaan ka Hajra 👍👍👍
@LilmmyCrazyfficial5 ай бұрын
MMH? JAMANI AMA KWELI UYO NDARO NA STEVE MWEUSI. INABIDI KWANZA WAPELEKWE HOSPITAL 🏥 WAKAPIMWE AKILI. 😅😅😅😅. BECAUSE AWAJAMAH WAKO KAMA WEUUUH? IVI “””LAKINI CONGRATULATIONS ON NDARO MJESHI KIKOFIA AND STEVE MWEUSI”””. Team NDARO AND STEVEN MWEUSI. please leo nipeni hata LIKE MBILI TU? Zina Tosha Jamani 😅😅😅😅
@LilmmyCrazyfficial5 ай бұрын
Leo sija chelewa kabisa kwaiyo nyinyi wote pitiyeni hapa kwangu 😂😂😂. Leo mimi ndo wa kwanza kbs ❤❤❤
@faidhacute5 ай бұрын
Miguo ya kihindi kuoga aaaah 😂😂
@johnmwandu21165 ай бұрын
Nani kaongea upuuzi, unaongea upuuzi mbele yangu😂😂😂, ila Steve😂😂
@ZainaHalifa5 ай бұрын
Nimekua wa kwanza kuwafatilia Steve na ndaro naombeni like zangu
@mikelangat84525 ай бұрын
Si nipewe huyu loveness haki, mrembo na sauti tamuu ❤
@JumaZuma-uw5ms5 ай бұрын
JD Fd VB Bvm
@kalihasifosten5 ай бұрын
Kalihasi
@eEmmoizTeka4 ай бұрын
hi niaje mpenzi
@abedimhjeshi5935 ай бұрын
❤❤❤😂😂😂 ila NDARO na STEVE mh mnajuwa mpaka mna kera
@alfredtebeka24975 ай бұрын
😂😂😂 mnawauza wake wenu😂😂😂
@ismailyibrahimy23285 ай бұрын
Ahahaha mnajua mpaka mnakera
@mmungaramazani9 күн бұрын
I like Ndaro with Steve Mweusi acting comedy together. hawa wasee huwa wani ni bamba sana.. big up ma bros
@user-ul8eb1ns8l5 ай бұрын
😅😅😅nko zangu Kenya nkiwatazama mazeh. Nkupeda san Steve na kundi lako❤❤❤❤
@lunangabenjamin31215 ай бұрын
Elfu moja hailipi maboya kweli,kweli.😅😅😅
@ashamwanganzi64005 ай бұрын
Mwajua mpka bac jmn Steve na ndaro😂😂😂😂
@josephomondi9075 ай бұрын
Ambieni loveless nampenda
@AgueroBoaz-ei5qt5 ай бұрын
😂😂😂 ni shee analia
@DishaniDisha-zm2gm5 ай бұрын
😆😆😆good job kabisa
@johnyjoe28945 ай бұрын
Wake wenu kaliwa kisa tamaa ya hela😂😂😂
@consoponsiano975 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂ila ndaro 🙌
@nemesstephen3295 ай бұрын
Nakubali sana hii combination
@kaparohafidh29155 ай бұрын
Ilo Dera la kihindi usilivue😅😅😅😅
@protaziusvedasto5 ай бұрын
Kaz mzur ❤❤
@HuseinSalimAli-fd6rs5 ай бұрын
Watching from Nairobi kenya ....wanangu Mimi nawakubali sana kazi zenyu kwa kweli ni nzuri sana ....ila ndaro kamshauru mwenzio kaoe......😂😂😂 anyways sio neno.
@Barnizeboy5 ай бұрын
Cheka tu😂😂
@AmisiIddi5 ай бұрын
Mmmmm was kwanz
@eduhscott59985 ай бұрын
Ni mwaka huu wa 2024 tunaongea kuhusu kipato kazi nzuri aise kenyan 🤍😂😂
@user-wr6db6zg6e5 ай бұрын
Nyie wasenge mnajua kinoma😅😅😅
@ChenchiKing5 ай бұрын
Ila Hawa Jama Wanajuw Kwelii🎉🎉🎉
@SHIJA_5 ай бұрын
jamani wadogo zangu 😀😀😀
@Issaali-it4nt5 ай бұрын
Muko poa ❤❤❤
@Dr_Cayden_Official5 ай бұрын
Cheka sasa❤
@user-vu9jy9tj1f5 ай бұрын
Ndaro na steve🔥🔥🔥
@user-ib4vq3ou3t5 ай бұрын
Steve na ndaro ujue nawafatilia hilla mnachelewa sana kutoa video aky nawapenda mno
@abedimhjeshi5935 ай бұрын
Mh jeshi ki KOFIA & STEVE mme ya kanyaga kweli 😢😅😅😅🤦🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾🏃🏾👈🏾
@Nahumu-jp8wf5 ай бұрын
ndo kitu inayo takiwa mmeuzaa 💥💥
@user-ym2fk5ox8m5 ай бұрын
Ndalo nakupenda 😂
@Suzie5175 ай бұрын
Nguo ya kihind kuoga aaah 😂 I love stev🙌
@JiggerAmos5 ай бұрын
Nawakubalii😢😢
@francismuthiani3495 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mchunge msipigwe Dera la kihindi asililivue😂😂😂😂😂😂
@CELINENYONGESA-dd8qs5 ай бұрын
steve toeni vichekesho haraka mnatoa polepole sana bana
@gyeong59725 ай бұрын
Uwo msemo Stave unanichekesha 😂😂😂 et Kuoga aaaaah!!!
@khamisjuma-pl6tu5 ай бұрын
nawakubali steve na ndaro ila steve salute kwake
@khamisjuma-pl6tu5 ай бұрын
unyama
@user-bg3bd7gi1s5 ай бұрын
Nakukubali steve
@mayaashassan39185 ай бұрын
Wanaume wa ovyo hawa😂😂😂😂😂wanauza wake zao kwa mababu😅😅😅😅yaaan hpo hamna waume kabsaa
@dannyosolo27525 ай бұрын
Vichekesho Kwa Steve na Ndaro....hata hivyo poleni sana Kwa Dr Ali Hassan Mwinyi
@iamramj_5 ай бұрын
Ila Stever😂😂😂😂🙌 YOUR TALENTED BRO😄
@ZakaboyMusa5 ай бұрын
Sawa kabisa
@user-kd6qq3fh7w5 ай бұрын
Ndaro na steve ❤❤❤❤😂😂😂😅😅
@aswaneliphas22715 ай бұрын
Much love from me guys like back ❤😂
@user-uf5fd6qs3p5 ай бұрын
nawakubal sana Steve na ndalo😂😂😂😂😂😂
@AsiaTibenda-dj6ws5 ай бұрын
Wazee wakaz
@SindarubazaCherejiyo4 күн бұрын
😂😂😂😂 stev na ndalo wana nini aswa awafahamu wanayo yafanya
@GriphineJonesGriphine5 ай бұрын
Leo mm wa kwanza Leo tokea Kenya ❤❤❤❤❤❤ wapi likes zangu❤❤❤❤❤❤❤
@KafrogyPep5 ай бұрын
Sendra Pisi Kali.. Alafu mbna kama amepoa Huku kwa Steve.. Hatujamzoea hivi
@RizikiZiki5 ай бұрын
😂😂😂😂 Akili ni mali kweli 😂😂😂😂
@user-mr5pl1fg9qАй бұрын
Vijana mnatisha endeleeni kutupa raha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dastanchitera-bm5wn5 ай бұрын
😅😅😅😅 iyo imeendaaa😅😅😅😅
@hellenmudanya92075 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mungu wangu
@amam2211-10 күн бұрын
Steve mchokozi halafu yuwaita serekali😂😂😂
@jemsOzil-rx4nr5 ай бұрын
Mbona sauti aipo kaka au nilisimu langu
@athumanabdullah15265 ай бұрын
Sim yako
@user-ew1tm6vu2g5 ай бұрын
Steve serekali 😂😂😂
@Shamilamasoud3 ай бұрын
mnanyanyasia watu rasta😂😂😂😂
@AUGENSYLIVAND-rq7hz5 ай бұрын
Mwenzenu nawaelewa
@GerlasVayahi-sr7xx5 ай бұрын
Nawakubari
@saumodzumbo96715 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 jamani mbavu zangu mm 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AdamZainab-mb7qjАй бұрын
Steve na choz anatoa ety kisa kafumania jaman 😅😅😅
@user-rc3ud7hx4y5 ай бұрын
Kazi zuri jamani nipeni like wangu namm
@musaamos24313 ай бұрын
Nyie jamaa noma sana
@user-oh3ls5vf4r5 ай бұрын
From Nairobi Kenya locked
@winstongeorge20844 ай бұрын
😂😂😂hahahaga dah watu wa taka
@TupoComedy5 ай бұрын
Uwiiiiiii ase mmenxhnda akil meeee😊😊😊😊😊
@user-dv6gj5lp4b5 ай бұрын
😂Hawa watu duhhh aise xio mxhezo haki y’a mungu 😂😂😂😂😂
@EricNdayipnb3 ай бұрын
😂😂😂yani situvin ubarikiwe na unachekeshasana
@user-ux2nr5yw2p5 ай бұрын
We stv na ndaro munaweza
@user-hu1ok9fj2h4 ай бұрын
Fanya ila ilo dera la kihindi usilivue😂😂😂
@nasrahassan73465 ай бұрын
Seteve nimecheka si mmesema watafute 😂😂😂 usilie seteve nawapenda wote na ndaro
@Lavieka5 ай бұрын
Jamani Ndaro ana maneno ya ki akili kama vile babu😂😂