No video

Ndoa ya wazinifu.HAIJUZU

  Рет қаралды 16,987

uongofu

uongofu

6 жыл бұрын

Swali kutoka Congo juu ya ndoa ya wazinifu na majibu ya sheikh Said Moosa Alkindy wa Muscat - Oman.

Пікірлер: 53
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Samahani Shekhe wangu Naomba unifafanulie umeandika ww au umeandika kutokana na mwendo wa Allah Subhana Huwa taala.
@yussufmwinyi4604
@yussufmwinyi4604 Жыл бұрын
una dalili kutokana na mwendo wa Allah?
@mwanamwinyikutunga7884
@mwanamwinyikutunga7884 2 ай бұрын
Shukran
@rasheedwashee9112
@rasheedwashee9112 4 ай бұрын
Zinaa huanza pale mnapo tongozana (zinaa ya mdomo) maana huezi pata kuoa pasi hamja juana na mwenza wako....ama zinaa hii inayozungumziwa ni ya kuingiliana kimwili
@bas2823
@bas2823 Жыл бұрын
YA SHEIKH! SASA HAMNA VIBOKO KUPIGWA NA WATU AU SERIKANI! KUNA VIBOKO VYA ALLAH WU BAS! BAADA YA KUFA! AU LABLA YA KUFA! SHEIKH! U LOOK LIKE MY FATHER! ALLAH YERHAM! NA ALLAH AKIBAREQ NA FAMILIYA YAKO! AMEEN🤲 WU JAMIAN AMIIN🤲
@ibugharib389
@ibugharib389 7 ай бұрын
MASHAALLAH, majibu yameenda shule lakini unadhani wazinifu watakuelewa sheikh. Bega kwa bega mpaka Firdaus
@abdisalim7900
@abdisalim7900 6 ай бұрын
Masheikkh fafanueni vzr hy mambo na sio kulipuka tu,jmbo unaloongelea ni kubwa sn
@bas2823
@bas2823 Жыл бұрын
ALLAH EHDIHUM WU YEHDINA JAMIAN! AMEEN🤲!
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Hapa nimekuelewa Yani ndowa Binti Aposwe.na Atolewe mahari ndio Aolewe na SI wapimane Tabia kwanza ndio Aolewe na kuhusu kuolewa na kuowana kwa wazinifu mfano mwanamme aliezini magomeni Aolewe na Aliezini manzese na SI yule bwana aliezini nae ila Shekhe wangu kusema wanapata mazambi inakuwa kama ushatowa Hukmu ww Yani kama umeruhisiwa kuhukimu kwa mashekhe wenzio waalekumsalam
@mamialsawafi8020
@mamialsawafi8020 2 жыл бұрын
Allah istir jamian muslimini yaraab
@76update7
@76update7 2 жыл бұрын
Nimekuelewa 💯%
@bas2823
@bas2823 Жыл бұрын
ABSOLUTELY WRIGHT👌!
@aliabdalla4708
@aliabdalla4708 2 жыл бұрын
shukran Skh waambie kweli hao masunni
@issaissa8572
@issaissa8572 10 ай бұрын
Khitilifu ni Rehma
@MohamefMullah
@MohamefMullah Жыл бұрын
Elmu ni bahari huwezi kila kitu ukakijua sio sahihi majibu yake, uislamu unasema mzinifu ataolewa na mzinifu mwenziwe, sasa ikiwa hakuna ndoa basi hakuna toba pia,
@mohdsuleiman1445
@mohdsuleiman1445 5 жыл бұрын
Shukran sana shekh bwn nilitaka kujuwa sana iii hukmu
@yahyarajab525
@yahyarajab525 4 жыл бұрын
Mtiani
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 Жыл бұрын
Jibu swali kwa uwazi nasio kwA uelewa wako
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 2 жыл бұрын
NENO (KWANZA) KWENYE HIZO AYA SHEIKH AMELIONGEZA HALIMO KWENYE HIZO AYA. YEYE ASEME TU MSIMAMO WAKE KIELIMU YAKE, LAKINI ASIKATE TU KUA WANAO JUZISHA HAWAJUI ! AL-LAAH AMUHIFADHI.
@antashaal2257
@antashaal2257 3 жыл бұрын
Mtihan mzito kwa waislam
@firo0ozdawah378
@firo0ozdawah378 6 ай бұрын
Shekhe ukiwasema mashekhe wenzako kuwa hawajui lolote hii ni ishara tosha elimu yako inamapungufu ... Laa taknatum mirrahmatillaah ...
@salha6596
@salha6596 5 ай бұрын
Asalam alaykum
@uongofu4584
@uongofu4584 5 ай бұрын
Wa alaykum salaam
@abdulmalicktvabdulmalicktv3750
@abdulmalicktvabdulmalicktv3750 Жыл бұрын
Kama mtui fatua Bora anyamaze tu kuliko kuchanganya watu yangu nihayo tu
@latifahamisi7553
@latifahamisi7553 2 жыл бұрын
Hapa wazinifu wote watakupinga hili ndo hukmu sahihi isoyo konakonq
@nasramkwega
@nasramkwega Жыл бұрын
Jamani mm APA nimeolewa na mwanaume nilie zininae bila kufahamu .fatwaa ya mambo aya IV sasa nipo kwenye ndoa iyo na watoto4 je nifanye je.baada ya kujua ih
@jumahamisi9328
@jumahamisi9328 Жыл бұрын
Kama unetubu Allah anakusamehe dadangu
@suleimanvuai1513
@suleimanvuai1513 4 жыл бұрын
Hizi kukumu kila shekh anasema anavyo fahamu yeye kwa elimu yake mnachanganya watu tu
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Wacha mm nibaki kucheka hawaelezi tukaelewa
@user-cd5sq1dz4u
@user-cd5sq1dz4u 7 ай бұрын
Kasome na wewe na usomeshe wanao maana imekazimishwa elimu kwakula muislamu
@aliambar1022
@aliambar1022 2 жыл бұрын
Assalam Aleikum ikiwa kama umezini namwamke usimuowe na huyo mwanamke nani atamuowa ikiwa wewe mwanamme ndiye uliyomuharibu?
@twahirrafii5197
@twahirrafii5197 Жыл бұрын
Kam wot wametubia je shk half wakaowan pia haikubaliw?
@maalimjuma6833
@maalimjuma6833 4 жыл бұрын
kumbe kwanyie maaibadh...
@yahyamadhehebuabdallahtuli7767
@yahyamadhehebuabdallahtuli7767 4 жыл бұрын
NI KWA WAUMINI WOTE NA MTUME SAW HAKUWA KTK DHEHEBU LOLOTE; UKWELI UNACHOMA KAMA SISI TUMEPOTEA. TUOKOE VIZAZI VYETU WENGI TUPO KTK HIZI NDOA. "AMA TUSHUKURU AU TUKUFURU "
@ahmedsoud9404
@ahmedsoud9404 3 жыл бұрын
@@yahyamadhehebuabdallahtuli7767 ahsant sheikh jee mm Niko na sual kuhusu Riba jee kama kuna watu watoa mikopo lakini ukiregesha uregesha na Riba jee mm nikichukua ntakua na madhambi ama mwenye kutoa ndi ana madhambi?
@allyabdallah6498
@allyabdallah6498 3 жыл бұрын
Anaitwa Shekh gani huyu , samahan
@tunuharun116
@tunuharun116 2 жыл бұрын
Sa itakuwaje
@ashamatenga7327
@ashamatenga7327 2 жыл бұрын
Kwahyo mm nauliza kama watakuwa wameowana wazinifu ,hakutakua na ndoa ila wataendelea kuzini..??
@abdulrahmansaleh9903
@abdulrahmansaleh9903 2 жыл бұрын
kama hujaanza kuzini,unaweza kuowa au kuolewa na slieoa/au haifai
@selemanishaame4174
@selemanishaame4174 3 жыл бұрын
Shekhe hizi ni ikhtilaafu,lakini unavyoelezea kana kwamba ndo msimamo wa wanazuoni...pia jaribu kuchunga adabu za ikhtilafu. inavyoonekana.
@alisaid3074
@alisaid3074 2 жыл бұрын
Hapo na ww umeteleza ulitakiwa kumwambia achunge mipaka nasio kuchunga adabu
@sarmajid8603
@sarmajid8603 2 жыл бұрын
Unataka msimamo wa wanazuoni? Na sio Qur'an ?
@mahaditasilima1027
@mahaditasilima1027 3 жыл бұрын
Kwahy km wapo kweny ndoa na walifanya uzinifu kabla ya ndoa wapeane taraka au
@nasramkwega
@nasramkwega Жыл бұрын
Tunaomba tujibiwe maswalietu
@selemanishaame4174
@selemanishaame4174 3 жыл бұрын
Sasa tutawapata wapi hao waliopigwa viboko...
@antashaal2257
@antashaal2257 3 жыл бұрын
Lkn shekh anaitwa tu kuozsha hajui yeye kama wamezin kaozesha tu
@MohamefMullah
@MohamefMullah Жыл бұрын
Hiyo ndio itikadi ya maibadhi na sio Ahlul sunna waljamaa
@uongofu4584
@uongofu4584 6 ай бұрын
Basi kwa hili maibadhi wana umakini sana.Kama zina ni haramu haitakiwi kuwekewa mwanya wa kufanyika na wazinifu wakajipa toba wenyewe hata kabla ya hukumu
@antashaal2257
@antashaal2257 3 жыл бұрын
Walioana kwa njia hio na wamezaa watafanyaje shekh
@sarmajid8603
@sarmajid8603 2 жыл бұрын
Ni kuachana tu
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 2 жыл бұрын
Shukran
NDOA BAADA YA ZINAA
11:14
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 101 М.
Ndoa baada ya zinaa - Hata kama wakitubu!!! | Sheikh Ahmad Al-badry
10:07
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 100 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 27 МЛН
2 JE YAJUZU KUMUOA MWANAMKE MJAMZITO SH NURDIN KISHKI
32:06
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 30 М.
NDOA BAADA YA ZINAA
27:55
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 6 М.
Nini hukmu ya kumsomea Maiti Qur'an ambaye ameshazikwa? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
4:50
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 4,7 М.
Abdullah Mohammed Alruweihy
42:20
uongofu
Рет қаралды 2,7 М.
USHIRIKINA-SHEIKH SAID BAFANA
42:03
Peacefm Matukio
Рет қаралды 890
FATWA|Jee inafaa mtu  kumuoa mwanamke aliezini nae? Na ipi hukmu ya ndoa baada ya kufumaniwa?
17:23
HUKUMU YA UZINIFU KWA WANA NDOA
24:37
ABUU MANAAHIL
Рет қаралды 7 М.
NDOA NA MKE WA ZINAA
8:43
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 126 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН