Kwangu mimi nadhani Tinny White ndo msanii wa vichesho anayeza kuchukua nafasi ya Zembela aliyeamua kusoma alama za nyakati na kujiongeza kuwa mwanahabari, na ametusua kutokana talanta ya vipaji alivyojaaliwa na Mwenyezi Mungu! Hongera sana Tinny White!
@user-bc1dj4su8w4 жыл бұрын
Tin white unajitahidi sana. Mungu akuzidishie.
@user-mm5tf7yn6p4 жыл бұрын
Ringo na kipugw nawapendaga saaaana❤👍🇧🇮🇧🇮
@ramaccr75254 жыл бұрын
Kipupwe na kukubali sana mtu wangu wa ngunvu
@mariakibona1724 жыл бұрын
Nice movie
@soma1tv7504 жыл бұрын
Daah atar sana jamanii tine nuksi
@fabianpius19624 жыл бұрын
Unaoga unapaka mafuta unatandika vizur na kishuka unajifunika asubuh unakuta Mchunga😂😂ila ni kwel