NDUGU MUACHE NONGWA | UNDUGU MZURI MUWE MNAAMBIZANA - DR KUMBUKA

  Рет қаралды 47,167

Dina Marios tv

Dina Marios tv

4 жыл бұрын

Пікірлер: 213
@methewofficial7633
@methewofficial7633 4 жыл бұрын
Kama. Kila ukiweka bando unamsikilz huyu jama sanaa na unamkuba❤ gonga like👇👇
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 4 жыл бұрын
Team WiFi wengine
@ubahalfan105
@ubahalfan105 4 жыл бұрын
@@auntiemylee3157 hahah sana tu tna za bure
@fadhilajamal217
@fadhilajamal217 4 жыл бұрын
@@auntiemylee3157 tupooo tupo za warab
@fadhilajamal217
@fadhilajamal217 4 жыл бұрын
@@ubahalfan105 hahaha tupoo za warab
@ameenasur656
@ameenasur656 4 жыл бұрын
@@auntiemylee3157 nipo😊😊😊😊
@nsanzabahizirahma7104
@nsanzabahizirahma7104 4 жыл бұрын
Nakupenda we kaka wallah niko apa kwajili yako unasemaga ukweli kbs from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@teddlyimo6020
@teddlyimo6020 4 жыл бұрын
Nimekuwa wa kwanza nipen like zangu
@hawaabdala5203
@hawaabdala5203 4 жыл бұрын
hahaha tobowa dr.hapo hapo
@twalib09
@twalib09 4 жыл бұрын
Niko hapa kwa ajili ya kumbuka
@aishahussein3879
@aishahussein3879 4 жыл бұрын
Kumbuka Maashallah MUNGU akuweke udugu wangu nakupenda sana
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Dr Kumbuka umeongea ukweli kabisaha ndio maisha tunayo ishi nayo kwa sasa inasikitisha sana Mwenyezi Mungu atusaidie kwa kweli
@dinatalib2703
@dinatalib2703 4 жыл бұрын
Mm nashukur Alhamdulilllah nimemuwachia ndugu yangu nyumba na tumejengewa na baba yetu ila nikaona mm nishapata kibanda changu wacha nimwachie mwenzangu ila hayo mambo duniani yapo
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 4 жыл бұрын
Nimemsaidia ndugu yangu kasoma, kajitenga kabisa anasema tutamrudisha nyuma na huyo ndio kwanza kamaliza degree.
@knifensharper2725
@knifensharper2725 4 жыл бұрын
Dada sopfi mashaallah kwastara
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 4 жыл бұрын
Upo sahihi sana doctor kumbuka
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Wapoooooh twaishiii nao👌
@faridamaxakena7152
@faridamaxakena7152 3 жыл бұрын
Dr kumbuka unatufurahisha sana hasa sie tulio nje ya nchi upweke wa nyumbani tunamiss sana nyumbani tukikusikiliza tunajisikia tuko nyumbani ahsante sana kwa kazi nzuri naongea kutoka U.K.
@khamisshee5131
@khamisshee5131 4 жыл бұрын
DR kumbuka hapo kweye kutia maneno umenigusa mm kama ulikuweko wangu pia yuwamtaka. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪aka bachuchu
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 4 жыл бұрын
Si kwenu tu hata kwetu yako🤣
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 3 жыл бұрын
Dr.. Kumbuka. Safiii sana WAAMBIE WAAMBIE WACHAWIII HAOO. NDUGU. HAWABEBEKI KAMA MZIGO WA MIMAVIIII
@nassraalhabsi2438
@nassraalhabsi2438 3 жыл бұрын
Wallahi sawa sawa mm ndivyo ninavyo fanywa na ndugu zangu kila ninavyo wasaidia lkn wapi wana nisema wana nitukana na kuniharibia maisha yangu kweli ndugu wengine bilis
@cosmasmadata5356
@cosmasmadata5356 3 жыл бұрын
Kumbuka uko vizuri😀
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Yaani dokta Kumbuka umeongea neno leo!! Hili tatizo lipo kwenye familia nyingi! Hongera Kumbuka!
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 4 жыл бұрын
Ahsante kumbukaaa manenoo kwenye mstari mambo 💥💥💥love from Luxembourg
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 4 жыл бұрын
Hujakosea Dr. Big up mola akulinde na hassad❤
@haribalbusaidi2146
@haribalbusaidi2146 3 жыл бұрын
Hahahaaa..nakupenda bure doctar kumbuka...nikiwa na hasira nikikuangaalia tu..kabla sijasikia maneno..nafurahi...hongera
@haribalbusaidi2146
@haribalbusaidi2146 3 жыл бұрын
Swadackta
@pilirwambo3418
@pilirwambo3418 4 жыл бұрын
Love u 💗 kumbuka
@reyAlila
@reyAlila 4 жыл бұрын
Kweli Kumbuka Asante message nzuri
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 жыл бұрын
Wozaaaaaaaaaa Tufokeee Kumbuka nakuoendaje Ujumbe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@khadijazinga8173
@khadijazinga8173 3 жыл бұрын
Dr unasema kweli ndugu kazii
@fallymetoo191
@fallymetoo191 3 жыл бұрын
Umelonga kaka!!!
@princesssunnatmiraj7783
@princesssunnatmiraj7783 4 жыл бұрын
Maashallah umejaaliwa kipaji
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Manenooo kuntuuuuuuuu💪👌jamani nawapenda mnooooooh😘😘😘😘
@fatmakombo7584
@fatmakombo7584 4 жыл бұрын
Jamani nakupenda dr efm Imeichangamshaa
@madamboss348
@madamboss348 4 жыл бұрын
Dr kumbuka hoooyiiiiiieeeeee nakupenda mpka naumwa
@naimanimo4925
@naimanimo4925 4 жыл бұрын
Doctor wooooo tell them 🇺🇬🇺🇬🇺🇬❤❤kumbuka
@asiahassan6336
@asiahassan6336 4 жыл бұрын
Sema wew kumbuka,
@brigidmua2548
@brigidmua2548 3 жыл бұрын
Kumbuka ...International speaker 🔊 👌
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
Nikweli kabisaaa 💓💓
@lucywilliam1331
@lucywilliam1331 3 жыл бұрын
Nakupenda sana we mkaka,unaongea ukwel yaani
@hamisisukari3016
@hamisisukari3016 4 жыл бұрын
Brother Kumbuka Kweli kabisa Umeongea point ndugu wengine jau hawajuhi leo unayo au hauna ukimwambia sina hana kununia
@bimaisarankamia4153
@bimaisarankamia4153 4 жыл бұрын
Imenikuta hiyo.
@sarahmohamed337
@sarahmohamed337 3 жыл бұрын
Huyu kaka anisema mm🤦hata simu sipigiwa na dada Wala kaka..mm ndio niwatafute.mtihan wallah hasa pale unapokua kapuku..wazazi na wanangu ndio kila kitu Allah atustir wallah.
@HansBwoi
@HansBwoi 3 жыл бұрын
Mpe kinywaji Dr. Kumbuka ntalipa
@esadkulovic6777
@esadkulovic6777 4 жыл бұрын
Hapo hapo dr,wape wakati wote,siku moja tu umuambie sina au wacha niangalie,utakoma kma ulivyokoma titi la mamako,oh ajiskia,mungu na mm atanipa,zitakutoka,mwisho ilo ilo atajizungusha hta atake kulala na mmeo,.jamani ni ungwana huu?na nnachopata chote nakileta nyumbani tupateni sote,but bado,sijui kwa nn,mungu atuondolee roho mbya yarrab.
@vailetherasto2288
@vailetherasto2288 4 жыл бұрын
Ukweli mtupuuuu 😍
@salumame4845
@salumame4845 3 жыл бұрын
Uko sawa dr
@wardawarda4515
@wardawarda4515 4 жыл бұрын
Dahhhh umesemaaaa doctor
@uwimanauwimana7303
@uwimanauwimana7303 4 жыл бұрын
umenigusa kumbuka na dada yangu mimi. yupo radhi yende kuniuwisha kwa watu baki na marafiki zangu. bila sababu yeyote 😭😭
@advocatekarama4917
@advocatekarama4917 3 жыл бұрын
Vumilia dear muombee tu kwa Mungu
@uwimanauwimana7303
@uwimanauwimana7303 3 жыл бұрын
Karama classic Accessories asante. mamy
@alicethobias932
@alicethobias932 3 жыл бұрын
Sema baba
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 4 жыл бұрын
Ndioooo twambie babaa asante
@joycekinyange6179
@joycekinyange6179 Жыл бұрын
🙌🏾
@tumamamyfatma2942
@tumamamyfatma2942 3 жыл бұрын
Mashaallah wee kaka umenikoshaje hata kwetu wapo hao
@rahiminamsangi8558
@rahiminamsangi8558 4 жыл бұрын
We love u tuko nje ya nchi lakin tunawapata kisawasawa na big up kwa Dina Mario
@umrayanalbattashi2323
@umrayanalbattashi2323 4 жыл бұрын
dokta kumbuka unasemapwet nakupenda sana niko oman
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Kweli kaka big up to kumbuka
@mwaminkalikwera5038
@mwaminkalikwera5038 11 ай бұрын
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 4 жыл бұрын
💖
@salmasimai2375
@salmasimai2375 4 жыл бұрын
Tobaaaa
@fatmaalmujhairu1977
@fatmaalmujhairu1977 4 жыл бұрын
Kwer kumbuka mm yananikuta
@aoman5214
@aoman5214 4 жыл бұрын
😀😀😀Kumbk Huw nafurahi Sana
@paulogaspersoka4267
@paulogaspersoka4267 4 жыл бұрын
Dah ni kweli kabisa ,yaan imenigusa sana
@streetwalking1133
@streetwalking1133 4 жыл бұрын
Nipo hapa kwajili ya KUMBUKA 😄 nakukubal sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@nyokskinyah8246
@nyokskinyah8246 4 жыл бұрын
Dr, kumbuka nakupenda bure
@zinabal-dubae3551
@zinabal-dubae3551 3 жыл бұрын
Hapoo
@faridariziki8766
@faridariziki8766 4 жыл бұрын
Hapo kwenye roho kubwa kuliko kiwiliwili🤣🤣🤣
@agnessjoseph1072
@agnessjoseph1072 3 жыл бұрын
Aaah ni hatari jaman
@magrethyohana4282
@magrethyohana4282 3 жыл бұрын
Hayo ni kweli kabisa kaka
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 3 жыл бұрын
Santeee
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Bala
@hibbatkhalt2363
@hibbatkhalt2363 4 жыл бұрын
Kweli kaka
@zamibrahim3014
@zamibrahim3014 4 жыл бұрын
Kweli kabisa..
@bettympungu5279
@bettympungu5279 4 жыл бұрын
Kweli.kabisa
@user-un3df1sl2h
@user-un3df1sl2h 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@esthersimbeye6896
@esthersimbeye6896 3 жыл бұрын
Ira we kaka ni mkweli kabisa continue
@sadasambuka5053
@sadasambuka5053 3 жыл бұрын
Yapo ayoo
@salmasimai2375
@salmasimai2375 4 жыл бұрын
Kweli
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 жыл бұрын
Mwenyewe masikoo na asikie
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 4 жыл бұрын
Qwely kbisa Dar.kmbka udugu k.ma jua mbinguni
@halimamamuma7314
@halimamamuma7314 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@mariammwilwa1374
@mariammwilwa1374 2 жыл бұрын
uko sahihi
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 4 жыл бұрын
Kumbuka kama umeniona miee jamaniiii
@sharifaoman1367
@sharifaoman1367 3 жыл бұрын
Safi
@upendomtambo5103
@upendomtambo5103 4 жыл бұрын
Unabaka mbuuuu
@rizikiabdalla3308
@rizikiabdalla3308 4 жыл бұрын
Daaaa leo mh
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 4 жыл бұрын
Dr kumbuka umeni gusa🤣🤣
@roseedevooo1236
@roseedevooo1236 3 жыл бұрын
Maneno kuntu mm dadang kanichunia bila sababu 😆 sijal wala nn
@zamdameena3479
@zamdameena3479 4 жыл бұрын
Leo kawika na ndugu kweli umeongea familia zimekwisha zimeharibika sana kama yakwangu astaghafiru lah imekwisha mineno kutwa yani umegusa familia yangu
@marydaula3246
@marydaula3246 4 жыл бұрын
Pole mwaya
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Safi sana 😂😂😂😂
@salmasimai2375
@salmasimai2375 4 жыл бұрын
Kabisa Dr kumbuka umenikuna ndugu haombi kwa ndugu mwenye pesa mpaka. akuzuliwewe uwongo ili wewe usiwe karibu nandugu yako
@pillioman2008
@pillioman2008 3 жыл бұрын
Kabisa kaka waambie ha oo oo ningekupa fanta😁😁😁😁 upoze koo
@mariamumapunda4614
@mariamumapunda4614 4 жыл бұрын
Umeongea dk kumbuka
@pendooscar9322
@pendooscar9322 3 жыл бұрын
Penda Sana hili group
@bahatokelo4190
@bahatokelo4190 4 жыл бұрын
Dr kumbuka
@jdjdjdjjdjdj180
@jdjdjdjjdjdj180 4 жыл бұрын
Please just asking, hii show huwa live saa ngapi? Please
@maishayetutv9164
@maishayetutv9164 4 жыл бұрын
Duuh huy jaman lisha pat kaz
@gilaboy1226
@gilaboy1226 4 жыл бұрын
Kwakweli umenigusaaa atariii
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa yaan Leo Dr. Kumbuka umepatia hasa hasa jamani yako Sana Sana haya yaan 🤔
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 4 жыл бұрын
Kabisaaa daa wanasumbua sana🤣🤣🤣 haliyako,,,,,,ukijikuna unatokaa unga
@pillioman2008
@pillioman2008 3 жыл бұрын
Niache da dina umeongea kitu kimenigusa sanaaa hapo kwenyekubebeka
@godfreymbaya5756
@godfreymbaya5756 3 жыл бұрын
Kabisa yani kama nimekutuma
@priscajuliasi8846
@priscajuliasi8846 4 жыл бұрын
Kabisa kumbuka
@rahiminamsangi8558
@rahiminamsangi8558 4 жыл бұрын
Huyo doctor ni muelewa wa vitu vingi nipen namba yake nimtumie angalau hata laki ya nauli . Maana kuja hapo studio kutupatia elim anatumia usafir we have to help him like how he help us
@teddlyimo6020
@teddlyimo6020 4 жыл бұрын
Kumbuka nampenda bure
@rukiaosman8416
@rukiaosman8416 4 жыл бұрын
Kumbuka hoyeeee
@rukiaosman8416
@rukiaosman8416 4 жыл бұрын
Wallahi ww unani furahisha Allah akufurahishe inshaallah
@rukiaosman8416
@rukiaosman8416 4 жыл бұрын
Hhhhhhhh apetearora hhhhhh
@teddlyimo6020
@teddlyimo6020 4 жыл бұрын
Hoyeeeee
@teddlyimo6020
@teddlyimo6020 4 жыл бұрын
Watu wanazaliwa na vipaji
@priscakatikiro4981
@priscakatikiro4981 4 жыл бұрын
Ndio baba sema tunayaona mengi undugu kazi
@yusraikram2214
@yusraikram2214 4 жыл бұрын
Ndugu wanachoshaaaaaa wana roho mbayaaaa wanafkiiiiiiiiii binafs hamu sinaaaaaaaa tenaa 😭😭😭😭
@zamdameena3479
@zamdameena3479 4 жыл бұрын
Upo kama mm sina hamu na ndugu jamani kanigusa dah
@hawamatuta1905
@hawamatuta1905 4 жыл бұрын
Lkn ndugu zangu mwenye kuukana undugu Allah (s. w. t) pamoja na kipenzi wetu mtume atokua pamoja nao sasa basi tuangalie juu tuangalie chini tusameane kwa ajili Allah love you my ccters
@jepkorirzipporah3777
@jepkorirzipporah3777 4 жыл бұрын
😭😭😭😭
@aoman5214
@aoman5214 4 жыл бұрын
Yaaaaan nazid kuwapenda jmn Raha Sana hiki kipindi
@mariacassian7892
@mariacassian7892 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa ndugu tunatengana sana
@rice6048
@rice6048 4 жыл бұрын
Sawa sawa kumbuka yananikuta mim nalia kila siku
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 4 жыл бұрын
😀😀😀😀👍👍👍
FANYENI WEMA LAKINI USIPITE KIWANGO -  JOGOO WA MCHANA-  DR  KUMBUKA
8:25
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
DR KUMBUKA - WANAWAKE MUWE MNAULIZA KABLA YA KUOLEWA
10:40
Dina Marios tv
Рет қаралды 141 М.
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI SEHEM YA 4
41:57
BUSATI ONLINE TV
Рет қаралды 138
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН