Рет қаралды 48,414
Sheikh Said Bafana awahuusia ndugu Waislamu kuzishukuru neema za Allah alizotuneemesha bure.Pia Yatupasa kufahamu kuwa kushukuru neema ni katika jumla ya makamu matukufu na daraja za juu.
Hivio ndivyo Allah Subhana wa taala anavyotuambia kuhusiana na suala zima la shukrani ya neema, haya na tuzingatie pamoja.