Nendeni na baraka ni wimbo ambao upo kwenye album ya ni shangwe ulioimbwa na kwaya ya Mt Maria de mattias mivumoni dar es salaam.tunawakaribisha kuangalia.kusubscribe,kushare,likes,comment,ili tutangaze neno la mungu asanteni
Пікірлер: 10
@MaryMagotoАй бұрын
Hongereni sana Kwa utume MUNGU azidi kuwabariki daima na milele 🙏🙏
@peteralphaxad7771Ай бұрын
Bravo wana wa Mungu
@JosephinaMjema19 күн бұрын
Hongereni sana imekaa vizuri mungu awabariki
@SosybLuwanda-dk8msАй бұрын
Hatare sana
@renathaburchard555425 күн бұрын
Tuna hamu ya kutangaza wokovu wake hakika Mungu atujalie hongereen kwa uinjilishaj ktk roho na kweli
@antipaschuwa294228 күн бұрын
Nzuri hongereni sana
@JovitaNyamwiza-k4fАй бұрын
Hongera sana Maria de matteas
@hendricakimario686627 күн бұрын
Asant sana
@MaryMagotoАй бұрын
Hongereni sana Kwa utume MUNGU azidi kuwabariki daima na milele 🙏🙏