NESI AKUTWA MTO NDURUMA AMEFARIKI MWILI WAKE UMEOZA /HOFU YATANDA USALAMA WA WAUGUZI ARUSHA

  Рет қаралды 34,300

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 97
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu halali, damu ya mtu haipotei bure. Damu itawsumbua hadi mwisho. Poleni sana wanafamilia 😭💔
@leokamil6284
@leokamil6284 28 күн бұрын
Kabla ya kuwazia ni mahusiano chanzo !hebu tuangalie wivu wa kikazi nao unasemaje huko .Kama ni mara ya pili basi kuna mtumishi achunguzwe hapo Hospitali. R.I.P poleni sana watoto na wafiwa wote
@Dareaziz
@Dareaziz 26 күн бұрын
Kwel ndomana niliacha Kaz Yan niliona kama wananpangilia,Yan kujituma Ni kero kwa watu,watu n wabaya sana
@bengallettv6568
@bengallettv6568 23 күн бұрын
Ya 3 mfululizooo 😢
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 29 күн бұрын
Tujiulize sasa kwann wauguzi tu..... Haya matukio ni mabaya Sana Ila kuna namna ya kujifunza hapa Tujitahid kuwa wema wakati wa maisha yetu Mungu tunaomba huruma yako na neema na mkoa wetu wa Arusha Amen 🙏🙏
@SalhaAlly-x8q
@SalhaAlly-x8q 25 күн бұрын
Tufahamu kuwa mungu anawatambua hao waliomuua na wao wenyewe wanajijua kama mikono yao imefanya kazi hii ya sheitwaan... Mungu awalaani wote walioshiriki mauaji haya
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Ай бұрын
Mungu awatie nguvu wafiwa wote, haswa wauguzi wenzake kazini. Mungu awalinde, awaepushe na mabaya yote, awakinge na kila hila za mwovu shetani.
@ziadasellah5840
@ziadasellah5840 29 күн бұрын
Aameen 🤲
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 29 күн бұрын
Katika viumbe vilivyoumbwa na Mungu vyenye rohoo mbaya kwa mtazamo wangu ni wanadamu kuchukua majukumu ya kumuua mwenzake kikatili inasikitisha mno halafu aliyeua yeye ataishi miaka mingapi imeniuma sana sana ninani wakumwamini ktk hii dunia sasa
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 25 күн бұрын
Toa maelekezo hayo kwa maandishi, na iwe sheria. Hii ni hatari muuguzi mkutojua msaidizi wake alipo. Poleni sana.
@user-fp2hw7fr3k
@user-fp2hw7fr3k 29 күн бұрын
Inauma Sana poleni familia. Mwanga wa milele umwangazie we bwana apumzike Kwa amani.Amen
@polenisanamaxmampetro5257
@polenisanamaxmampetro5257 28 күн бұрын
Kimbe alipandishwa cheo wamemuuwa
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by Ай бұрын
Kwa kweli mnachosha Arusha kwa mauwaji ushirikina mmezidi sana hamna hofu ya mungu kabisa
@polenisanamaxmampetro5257
@polenisanamaxmampetro5257 28 күн бұрын
Chuki kazini watu wanachuuki sana jamani huenda hapo Kuna aliyehusika
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 28 күн бұрын
@@polenisanamaxmampetro5257 poleni jamani kwa kweli inauma sijui mioyo Yao wamekula nini wanakuwa na roho ngumu hivyo
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 26 күн бұрын
​@@polenisanamaxmampetro5257kabisaa yaani inaonyesha kuna chuki
@elizamwacha7458
@elizamwacha7458 Ай бұрын
Dah! Elii, pumzika kwa Amani kipenzi, nakukumbuka sana tukila mikate ya chuo KCMC rafiki yangu. Pumzika kwa Amani mama
@user-fo6ft5dw3e
@user-fo6ft5dw3e 28 күн бұрын
😢😢😢meru jamani ni kwetu, tunasikitisha sana,
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Apumzike kwa amani 😢😢😢binadamu tumekosa utu 😢😢hii habar yanikumbusha miaka kadhaa imepita tanga aliuliwa muuguz 😢😢mama wa watu aliharibika vibaya mno maana mwili wake ulikutwa kwenye mtaro wa maji ya viwandan umeharibika vibaya mno ngoz zinatoka kila akishikwa 😭😭😭nguo zimetundikwa juu ya mti 😢😢walimuingilia yule mama 😭😭😭wapumzike kwa amani 😢😢😢damu ya mtu haipotei bure 😢😢mungu atajibu
@jacquelinepaul-p2z
@jacquelinepaul-p2z 27 күн бұрын
Poleni sana
@NuruhNanyaro-yg4rf
@NuruhNanyaro-yg4rf Ай бұрын
Poleni sana wanafamilia
@elizamwacha7458
@elizamwacha7458 Ай бұрын
Oooh Mungu wangu, rafiki yangu Elinsia uronu, pumzika kwa Amani mama , maumivu sana
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 26 күн бұрын
Ni wazi kwamba inaonesha chanzo cha Wauguzi kuuwawa hapo ni wivu wa Cheo. Na nina imani wauguzi kuna mfanyakazi mwenzao wanamhisi. RIP kwa muuguzi.
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 25 күн бұрын
Sio cheo hakiwezi kuua mtu inaonekana kabisa ameuwawa na mpenzi wake sababu nesi mda mwingi yuko Kazi mpenzi wake anaona kama hapewi Nyambi kwa wakati na upwiroo wampenz wake Amemuua Dada police serekali za mitaa wamtafute mwanaume ni mpenzi wake Dada akahojiwe atasemq yote
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 25 күн бұрын
@@joshuasamson9618Hata Cheo kinauwa!! Cheo kinauwa Mkuu wa nchi/mkoa/wilaya n.k. Watumishi wa serikali huingia Kazini kwa zamu (shift)?? Siamini usemayo kwani mpenzi akikushinda unamwacha. Kazi ni kwa faida yenu wote. Ndio Wauguzi wauwawe na kujiua mfululizo kiasi hicho hospitali hiyohiyo?? Kuna jambo nyuma ya pazia.
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 25 күн бұрын
@@upendoeliya9329 sio check Hayo kinaua mtu ni mpenzi wake ameua sababu ya wivu niliwahi kuoa mke Nesi mda mwingi yuko Kazini nikimuitaji anarundi asubuhi nyumbani asubuhi me natoka naenda kazini ilikuwa najikaza kiume kweli kweli mwisho wa siku niliamua kumkibia kabisa wivu wa mapenzi umeua Dada wa sio cheo usidanganye watu wazi na akili zao
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 26 күн бұрын
Bila kupepesa macho muuaji yuko hapo hapo binadamu tuache chuki makazini
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Mtihani
@AshaMwamba
@AshaMwamba 27 күн бұрын
Jamanii
@user-nk1jm6dh6m
@user-nk1jm6dh6m 26 күн бұрын
Poleni Sana wanafamilia
@rosemkeleja7768
@rosemkeleja7768 29 күн бұрын
Mmmm
@AmedeusMbanda-gh4rj
@AmedeusMbanda-gh4rj 29 күн бұрын
Jamani🙆
@IddyZohan
@IddyZohan 20 күн бұрын
Arusha kunani daah😢
@asteriashios1852
@asteriashios1852 27 күн бұрын
Jamani poleni lakini Arusha tunachoka kusikia maajabu ya mikoa wa Arusha tafuteni watu wa kuwafanyia maombi mwombeni hata makonda alete mwombaji aiombee Arusha Kwa ujumla Kuna shida mji una watu wanaitwa wadudu ombeni sana mungu abadilishe
@zawadisalum755
@zawadisalum755 28 күн бұрын
Pumzika kwa aman dada , Pole sn wana familia
@user-sp6sv3cg9d
@user-sp6sv3cg9d Ай бұрын
Pole family yote Mungu akulaze Mahalo panapokustahili
@Loseboniface
@Loseboniface 29 күн бұрын
Pole San mam pumzika kwa amani
@lucimwica647
@lucimwica647 28 күн бұрын
So sad😭😭 😭 Mungu akumpuzishe kwa amani Mbinguni.
@farajamkundi6664
@farajamkundi6664 28 күн бұрын
Bwana na awaadhibu hao wafanyao huu ukatili,, sawasawa na matendo yao
@19764662
@19764662 22 күн бұрын
R.I.P
@user-fg8hg9fe1w
@user-fg8hg9fe1w 20 күн бұрын
Hivi hili kundi wadudu wa arusha ni wanajishughlisha na nini? wachunguzwe na pia jobless arusha ni wengi mnoo matukio ya kutisha yanaongezeka kila uchapo😢
@AgnesDeonatus
@AgnesDeonatus 29 күн бұрын
🎉😢😢😢😢
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
Rip .mmmmhmm jamani
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 29 күн бұрын
Sasa huyu nesi anasema huyu mama ni rafiki yake sasa mbona ajui jisia ya watoto wake
@leokamil6284
@leokamil6284 28 күн бұрын
Hata mimi nimeshangaa
@spreadlove5300
@spreadlove5300 20 күн бұрын
Labda majonzi nimeshangazwa na hiyo kauli yake
@ShabanMainde
@ShabanMainde 20 күн бұрын
Jinsia aijui 😂 na wankula wote
@spreadlove5300
@spreadlove5300 20 күн бұрын
Nimeshangaa sana hapo 😮
@susanjoseph1835
@susanjoseph1835 28 күн бұрын
Duuh , inauma sana
@AshuraNyamziga
@AshuraNyamziga 27 күн бұрын
Jamani hawa Wauuguzi mara nyingi wana roho mbaya sana kwa Wagonjwa hatuwezi jua kauli nazo zinachangia na utendaji wa kazi nao unachangia
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 25 күн бұрын
Wamtafute mchumba wake au mpenzi wake anafahamu yote hayo yaliyotokea Yaani Mapenzi yanaua watu sana
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 29 күн бұрын
Inawezekana ni visasi vya kikazi na wivu kazini wakati mwingine Mungu aingilie kati mwrnyewe
@leokamil6284
@leokamil6284 28 күн бұрын
Nimewaza kama wewe au wivu tu
@Teaching356
@Teaching356 29 күн бұрын
Ila kwa kweli Mtu anatibu watu nyie ndo mnamuua🤔jamani dunia😢
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
27.6.24.oooh mmhuuwui.
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk 25 күн бұрын
R.i.p kpnz dam yako haitawaacha salama 😭😭😭😭😭🤲🙏🙏🙏🙏
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 Ай бұрын
mmmmm
@CareenMakundi-d3o
@CareenMakundi-d3o 29 күн бұрын
Jamani elinsia uwiiiiiiiii
@leokamil6284
@leokamil6284 28 күн бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 27 күн бұрын
Mimi kuna muuguzi alinitolea maneno ya ajabu hospital ya AICC arusha nikiwa najifungua mtoto wangu wa kwanza niliweka kinyongo cha ajabu na kuapa kulipa kisasi lakini ashukuriwe Mungu alinipa moyo wa kusamehe.hatujui kilicho nyuma ya pazia lakini Mungu mwenyewe ndio anayejua.
@CareenMakundi-d3o
@CareenMakundi-d3o 29 күн бұрын
Uwiiiiiiiii mama ema jamaniiiii
@neemajohn9024
@neemajohn9024 28 күн бұрын
Jaman huyu nes alinizalisha mwanangu wa kwanza😭😭😭
@isaacopolot2027
@isaacopolot2027 Ай бұрын
Arusha na vituko! Duh 😢
@Loseboniface
@Loseboniface 29 күн бұрын
Po
@SurprisedGrapes-by5bw
@SurprisedGrapes-by5bw 24 күн бұрын
Dunia hii😢😢😢😢
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 29 күн бұрын
Huyu nesi mbona halii jamani
@user-qi2bt7mw4x
@user-qi2bt7mw4x 26 күн бұрын
Mbona hulii yaan ww ndio uwe mtu wa kwanza kuhojiwa utowe maelezo vzr serikali imuangalie huyu mama rafiki yake sana halafu watoto wake hawajuwi na wanakula pamoja nina mashaka nae
@Dareaziz
@Dareaziz 26 күн бұрын
Nin hiki mbn ukatili unazd jaman
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 29 күн бұрын
Wachunguzwe ao wenzake maana Kuna shida sana
@leokamil6284
@leokamil6284 28 күн бұрын
Hao ndio wa kwanza hapo kazini hapo
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 26 күн бұрын
Sasa huyo jirani anajidai ana uchungu na huwa anakula hapo kwanini hata asiulize watoto mama yenu yuko wapi?!!!
@elicalyimo2127
@elicalyimo2127 Ай бұрын
Pumzika kwa amani my wii
@ziadasellah5840
@ziadasellah5840 29 күн бұрын
Pumzika kwa amani
@HarisonAindo
@HarisonAindo 27 күн бұрын
𝓝𝓲𝓶𝓮𝓼𝓲𝓴𝓲𝓽𝓲𝓴𝓪 𝓼𝓪𝓷𝓪,
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 28 күн бұрын
Ila arusha kilasku nyie
@consesamallya9763
@consesamallya9763 Ай бұрын
😢😢😢Pumzika kwa amani SR urunu harutakuona tena kazini wala popote 😭😭😭😭😭
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Ай бұрын
Pole sana mpenzi wangu, inaumiza Mungu awalinde jamani.
@consesamallya9763
@consesamallya9763 13 күн бұрын
Ameen​@@MagrethMallya-we8ui
@polenisanamaxmampetro5257
@polenisanamaxmampetro5257 28 күн бұрын
Utadaiea damu yake wewe mchungaji kwani usingempigia cm amekuachia laana
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 28 күн бұрын
Kuna muuguz alinifanyia ukatil mtot wa kwanza sekou toure Mwanza kabila mchaga, ilikuwa mwisho wangu kujifungulia hospital za serikal. Jina nalihifadhi lkn nimemsamehe bure tu Kwa kuwa Nina Yesu ndani yangu
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 26 күн бұрын
Je, una watoro wengine??
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 26 күн бұрын
@@upendoeliya9329 yupo huyo niliyefanyiwa ukatil na anawadogo zake 3 ambao nilijifungulia private hospital bila ukatil
@aickatesha4542
@aickatesha4542 21 күн бұрын
Kwann umesema mchaga naasiwe kabila lako
@Bushman000
@Bushman000 24 күн бұрын
KUNA WENGI WANAPITIA KATIKA CHANGAMOTO MBALI MBALI, UKIONA MTU ANAOMBA KUONGEA NA WEWE JUA KAZIDIWA KIMAWAZO, NA UNAWEZA KUWA MSAADA KWA USHAURI KUMUOKOA
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 29 күн бұрын
wauguzi huwa ni makataili sana wauwawe tuuu
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 29 күн бұрын
Mungu naomba anisamehe wamefanya vibaya sana kumuua...lakini manesi...mmmh! Hapa labda ni kisasi..
@fortunatafelician5625
@fortunatafelician5625 29 күн бұрын
🙄🙄🙄
@suzymeck6279
@suzymeck6279 29 күн бұрын
Hongera wewe utaishi milele
@beatricelivigha4959
@beatricelivigha4959 29 күн бұрын
Wangekunyonga ingekuwepo leo unaweza kuropoka
@RehemaJudika
@RehemaJudika 29 күн бұрын
Hujitambui Mungu akusamehe bure
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 28 күн бұрын
Muogope mwanadamu saana eababu huwezi kupambana nae lakini shetani anakwepeka sio binadamu ni kiumbe hatari saana kuriko hata shetani
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 29 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 29 МЛН