Unavyo ona unazani ni rahisi lakini syo rahisi kama unavyo fikiri gharama ya chakula kinachotumika kwa mwezi syo mchezo ngombe 30
@christopherjoseph83306 ай бұрын
Hongera Ayo Arusha, hizi ndo taarifa za kuripoti punguza zile taarifa za mtu kameza chupa,sijui Katw mapanga, sijui dangote
@bahatilaizer87066 ай бұрын
Christopher 😂😂😂😂😂 unanichekesha Atii aache Nini
@philemonmagesa55486 ай бұрын
Ni kweli kabisa taarifa nyingine hazitufundishi chochote ktk maisha
@tanzaniacarschannel69756 ай бұрын
Safi sana..hii breed inaweza kua nzuri,tatizo mitamba mingi ili iweze kua na consistence ya izalishaji maziwa lazima lishe iwe ya kueleweka..sasa hapo kwenye malisho ndo shida inapoanza. Na productivity inapungua kutoka na factors nyingine nyingi mfano ana mimba au hana mimba, hali ya hewa, umri wa ng'ombe, nk so mambo ni mengi kama matunzo ni issue usitegemee hiyo productivity.
@mrdeniskomba61996 ай бұрын
Aisee, lovely
@rahabnkya82766 ай бұрын
HOONGERA SANA MKULIMA MFUGAJI. TUNAJIFUNZA KUTOKA KWAKO BABA.
@ilynpayne74916 ай бұрын
kusema kweli kama mtu una fanya kazi MUNGU anakupa rizki yani ni kupambana tuu hakuna namna mzee ana komaa na ng'ombe zake una kuta kijana wa dar ana waza ku beti na kulala kama fala badae aje awe mwizi
@barakambise19702 ай бұрын
Huyu Baba hizo namba kataja kupiga anakana 😂😂😂😂
@ilynpayne74916 ай бұрын
safi sana asee bora tuwe tuna angalia mambo ya maana sio kuona kina GIGYMONEY hii iendelee
@khalidmdimu41776 ай бұрын
Habari ya S Africa huko the heague ndo inatrend leo, sjaona kama umeposti au potezea kama haina umuhimu
@johnsonkileo7498Ай бұрын
Shamba lipo wapi
@barakambise19702 ай бұрын
Mwenye namba za huyu Mzee NAOMBA????
@alextercisio6 ай бұрын
Tuonyeshe hiyo milk record ya ngombe hizo unasema inatoa 30ltrs
@fredrickkaaya6 ай бұрын
Ayo nina jogoo langu pia hapa njoo chap unihoji lina kilo 15 kabla sijaliuza