No video

Ng'wana kan'gwa ufunguzi wa makula guest b by jA60

  Рет қаралды 788,868

JA60 Kadonya

JA60 Kadonya

Күн бұрын

Пікірлер: 169
@tumaininestory4037
@tumaininestory4037 2 жыл бұрын
Njoo Dsm ufanye sanaa..... barikiwa uende mbali zaidi ya makirikiri na uipeperushe bendera ya Tanzania....sisi tumekukubari kupitia sanaa yako umetuunganisha....one love br.
@zayumar2955
@zayumar2955 4 ай бұрын
Mie sio msukuma ila nyimbo za asili nazipenda sana japo sizielewi ila zinanikosha kwakweli love much from Singida 💯 ❤❤❤❤
@user-bl3ti5tu4n
@user-bl3ti5tu4n 7 ай бұрын
Ni mara mbili hata na zaidi kwa siku nakusikiliza uzuri mzee makula namjua na nilikuwa nanunua sabuni kwake wakati huo na mimi ni mtu wa kahama hongela ndugu yangu
@EliasanteAbel
@EliasanteAbel Ай бұрын
Nakuona mwamba wa Kanda ya ziwa nakuelewaga sana hasa Huku meatu na ulishafika karibu tena
@joshuahassan1605
@joshuahassan1605 3 ай бұрын
Hongera sana sikuwah kusikiliza nyimbo zako, sauti safi, mashairi safi, wabheja sana.
@user-de5ou7zf6b
@user-de5ou7zf6b 6 ай бұрын
Kaka wewe ndo msanii wangu bora nakukubali Sana ck moja utakuja kupiga kazi kwangu tuombe uzima tu
@user-wb5bm7oq9m
@user-wb5bm7oq9m 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana nyimbo zako nzur sana zinanikosha nikiwa huku qatar
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 Жыл бұрын
Yaani Baba yangu ni ng'wanaMakula na kaka yangu K.K kajenga Guest inaitwa Makula Guest kumbe kuna wa NgwanaMakula wengine.naye kajenga yenye jina hilo
@FiikiriJohn
@FiikiriJohn 3 ай бұрын
Iko vizuri san
@KouameKoffi-u7n
@KouameKoffi-u7n 28 күн бұрын
Djamo façon je t'adore merci lavoi d'Afrique Legrand
@user-xb2xu3sp9x
@user-xb2xu3sp9x 10 ай бұрын
Mh masharaah unatuwakilisha wasukuma
@mwitanyahiri4586
@mwitanyahiri4586 3 ай бұрын
Mimi kisukuma sikijui lakini nakuhakikishia,nyimbo hizi zinanikosha Sana, Jaribu kututolea hata Moja ya kiswahili itafanya poa Sana NTEMI OMABALA
@user-fu7td5up9o
@user-fu7td5up9o 5 ай бұрын
Mungu akupe nn bor
@user-jt1ib5em2g
@user-jt1ib5em2g 5 ай бұрын
Mungu akutangulie kwenye kaz yako
@ireneJohn-vn1nq
@ireneJohn-vn1nq Жыл бұрын
😂😂jamani nakukubali sana kk
@Dottohubert-gx3eu
@Dottohubert-gx3eu Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kaziii nzuriiiiiii kbsaaaa kazi ya miaka mitanooo lakin kazi yakoo badoo ipoo vizuri haijawahi kuchujaaa kbsaa
@user-od2lm7lw8u
@user-od2lm7lw8u 8 ай бұрын
Bro huku congo wanakubar sna wanyumban najivuna sna kwa song zako
@lugembevoice
@lugembevoice 3 жыл бұрын
Its a good sound and traditional song big up to u nkwengwa nyanda ndododo. Kama unamkubali click like hapo na utoe comment yako 👇👇👇💓❤
@kwilasasambaishijagwisusal1079
@kwilasasambaishijagwisusal1079 2 жыл бұрын
Upo vzr kaka
@user-fu7td5up9o
@user-fu7td5up9o 5 ай бұрын
Hongera kaka
@HappyJohn-yw1hs
@HappyJohn-yw1hs 2 ай бұрын
Huu mwimbo naupenda sana
@jumastephano2688
@jumastephano2688 Ай бұрын
Nyimbo zako huwa unazipangilia kwa ufundi sana yaan huimbii kiholela
@user-lx8ln2gk3n
@user-lx8ln2gk3n 3 ай бұрын
Vizurii,najivunia kuwa msukumaa❤❤❤❤
@esternzumbi1888
@esternzumbi1888 5 жыл бұрын
Mkataa kwao mtumwa napenda this song..........napenda unavyotamka maneno ukiwa unaimba piga kazi Brow.....👏
@medsadick8005
@medsadick8005 4 жыл бұрын
Piga kazi brooo by sukuma boy home work dodoma
@jescajulius8023
@jescajulius8023 4 жыл бұрын
Esta Nzumbi njoo tufahamiane,mi naitwa jesca Nzumbi,pia nna mdogo Wang anaitwa esta nzumbi
@esternzumbi1888
@esternzumbi1888 4 жыл бұрын
@@jescajulius8023 🤣🤣 hadi nimecheka tu ......nitumie no yako ya wathsap
@jescajulius8023
@jescajulius8023 4 жыл бұрын
0620253774
@muhawamaajabutv7539
@muhawamaajabutv7539 3 жыл бұрын
Mdau shuhudia ngoma kali Sana hii iliojaa ujumbe mkali na majonzi makubwa kwa wote tuliopitia Maisha magumu Kama Haya MDAU... usisahau kubonyeza neno (SUBSCRIBE) lililoko chini ya video hii ili tuendelee kua pamoja katika burudani hizi Adimu kutoka kwa MUHA WA MAAJABU KUTOKA KIGOMA maarufu Kama... NYAMIHINDO. kzfaq.info/get/bejne/nbaTadl4tZfHn2w.html
@mohamedomary8892
@mohamedomary8892 Жыл бұрын
Mwana kang'wa nyimbo zako Huwa ninzuri sana na zinaujumbe mwenyezi Mungu akuongezee maisha malefu mdogo wetu
@user-ul5ty9gv6q
@user-ul5ty9gv6q Жыл бұрын
Nape da Sana nyimbo zako bro keep it up
@JohnAnthony-cy3vn
@JohnAnthony-cy3vn Жыл бұрын
Kazi nzuri
@silasteven3929
@silasteven3929 Жыл бұрын
Nyumban ni nyumban2
@user-wz3bq2oo2t
@user-wz3bq2oo2t 5 ай бұрын
Pamana we utafika mbli nakuombea upendwe na Kila mtu
@LazaroShija
@LazaroShija 2 ай бұрын
Nakukubali sana
@mwajumasima5671
@mwajumasima5671 3 жыл бұрын
Huu wimbo na upenda sana, hongera sana kwa kipaji ulicho pewa na mungu llove your voyce so much
@kamalaeliud7950
@kamalaeliud7950 Жыл бұрын
Nzuli sana
@kulwampela3890
@kulwampela3890 4 жыл бұрын
Kaka yangu kwakua nipo mbl lkn nkisikiliza nyimbo zako mwazo yakukumbuka nyumbani yanajaa ndan ya kichwa our lords bless u
@Myboy_1032
@Myboy_1032 3 ай бұрын
Yaani wewe Kaka unajua kuimba Sana
@mamumeru1554
@mamumeru1554 4 жыл бұрын
Nakkubali san kaka pamban utafika mbali mungu akutangulie katk kz zako
@LeonardJohn-ww3id
@LeonardJohn-ww3id Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, kila siku lazima niutazame, sauti nzuri iliyoendana na rhythm ya mziki
@VeronikaUheghwa
@VeronikaUheghwa 4 ай бұрын
Upovizuli Sana vava
@Henagula
@Henagula 7 ай бұрын
Naikubari kinoma
@sillasteven2949
@sillasteven2949 3 жыл бұрын
inanikumbusha nyumban nyimbo nzur sana
@H3s4d
@H3s4d 3 ай бұрын
Uko vizuli
@yaokouadio9436
@yaokouadio9436 6 ай бұрын
Expain the song please it IS good
@shedrackbenard8134
@shedrackbenard8134 5 жыл бұрын
hii nyimbo ni nzur sana huwa naipendaga sana
@harveydouglas5496
@harveydouglas5496 3 жыл бұрын
I know Im kinda off topic but do anyone know of a good site to watch newly released movies online?
@fidelisrashid6710
@fidelisrashid6710 Жыл бұрын
Laiti hizi nyimbo zinger kua za kiswahili wewe ndio ungekua msanii bola Tanzania hii
@susujeremiah195
@susujeremiah195 2 ай бұрын
Wewe Leo unaziona nzuri kwa sababu zimeimbwa kwa kisukuma kwa hiyo angeweza kuomba kwa kiswahili na zisihit kama hivi
@user-cm2cq2tp2r
@user-cm2cq2tp2r 10 ай бұрын
Kujiunga
@nurdinshaibu3988
@nurdinshaibu3988 3 жыл бұрын
Napenda Sana ninaposikiliza nyimbo zakisukuma nakumbuka mbali Sana maishanilio pitia
@ramadhanrakida7132
@ramadhanrakida7132 3 жыл бұрын
Ng'wana kang'wa namkubali sana
@brothermo9343
@brothermo9343 Жыл бұрын
Hii nyimbo huwa Dan ya mwezi huwa naucheki mara 10
@CharlesBusongo-t6z
@CharlesBusongo-t6z Күн бұрын
Kunipitisha na wimbo shilingi ngapi
@ivancharles8727
@ivancharles8727 5 жыл бұрын
Nyimbo za kisukuma hadi raha nakukubali sana
@user-de5ou7zf6b
@user-de5ou7zf6b 6 ай бұрын
Hongera sana kaka kazi ni nzur sana
@zabronpastory3086
@zabronpastory3086 3 жыл бұрын
unakipaji cha pekee sana kaka yangu, sijaona mwingine kuanzia sauti nzuri mashairi pia yamepangika vzr, Mungu akupe miaka mingi hapa duniani.penda sana ww
@MariamuStephano-tn6er
@MariamuStephano-tn6er 6 күн бұрын
Ninakubar mwanakamws
@ramadhaniisihaka295
@ramadhaniisihaka295 4 жыл бұрын
Nyimbo umejuwa kuipangilia had raha
@ramadhaniisihaka295
@ramadhaniisihaka295 4 жыл бұрын
Bonge la ngoma wasukuma juuu
@AgnetaMgallah
@AgnetaMgallah 4 ай бұрын
Apo sawa kaka
@flova7022
@flova7022 3 жыл бұрын
I here after being married to sukuma tribe..l love this nyanda to be realistic
@chrisscharles358
@chrisscharles358 4 жыл бұрын
Safii xn ng'wanakang'wa nyanda wa kisukuma
@leahjoram4611
@leahjoram4611 Жыл бұрын
Hongera kaka nakumbuka nyumbn pia inanipa amani💅
@walevelkastori3360
@walevelkastori3360 5 жыл бұрын
Hongera sana kijana.
@Han-xc7zl
@Han-xc7zl 4 жыл бұрын
Nauelewa sana wimbo, upo vizuri
@ndoshagoyayi1880
@ndoshagoyayi1880 2 жыл бұрын
Nyimbo. Zako..zinamaadili. na. Mafu ndisho
@samwerimbiduka4201
@samwerimbiduka4201 Жыл бұрын
Safi sana sana huwa napenda nyimbo zako
@ntirenganyaeliasb2378
@ntirenganyaeliasb2378 2 жыл бұрын
Wimbo wako Burundi tunaupenda hongela sana
@user-qp8he8di2f
@user-qp8he8di2f Жыл бұрын
Hmna mtu mrundi natural anaskia kisukuma
@astonyotith2679
@astonyotith2679 8 ай бұрын
napenda sana nyimbo zako kaka angu mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi ili uendelee kutuburudisha wasukuma 🥰🥰
@HabakukiMajogoro-uf1cy
@HabakukiMajogoro-uf1cy Жыл бұрын
Nakubali sana kiongozi
@imanichambulilo-pe7lc
@imanichambulilo-pe7lc Жыл бұрын
Aminia sana nyanda Ng'wana Kang'wa, ntemi wa mabala
@pendocharles8652
@pendocharles8652 2 жыл бұрын
Kaka kazi nzuri
@LemaSport
@LemaSport Жыл бұрын
😢. Nbalaa+; balaaa😅😅
@sospeterdishon2771
@sospeterdishon2771 5 жыл бұрын
nakupata sana mdogo wangu kanundo mojaaa....
@drhanda8201
@drhanda8201 3 жыл бұрын
Ngoma kali
@merryalone3618
@merryalone3618 2 жыл бұрын
💯💓
@thereziamakoye492
@thereziamakoye492 4 жыл бұрын
Nakubar sana kaz zako 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@user-jt7bj9xq9g
@user-jt7bj9xq9g Жыл бұрын
Uko vizuri nakupend
@nyanjigeotto477
@nyanjigeotto477 2 жыл бұрын
Nyimbo zako kwangu hua niburudani tosha kbs
@lucymashamba1571
@lucymashamba1571 4 жыл бұрын
Huu wimbo sijawahi uchoka
@SHISHILIMBE
@SHISHILIMBE Жыл бұрын
Best of the best
@romanusmapunda1089
@romanusmapunda1089 2 жыл бұрын
Hongera nyanda
@zakayomtundiloporesanajoha7958
@zakayomtundiloporesanajoha7958 2 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka
@buffgofficial9849
@buffgofficial9849 4 жыл бұрын
Wang'wiseee ni chenee lolo tujageee
@BanyendaHamidulah
@BanyendaHamidulah 3 ай бұрын
Diamond comasava
@mariamlutemagula7270
@mariamlutemagula7270 4 жыл бұрын
Tolaga milimo nyandone
@vairethandrew2286
@vairethandrew2286 3 жыл бұрын
Ww mwijukuu wa mwanamalundi wiv wa nn muache apige xhooo mwenzio kwan zako znamaana hkun lolot gude nd kila kit njin hapa hata nykabaya akaxom
@user-cp2fr6ct5g
@user-cp2fr6ct5g 4 ай бұрын
Umetsha
@vickydan2869
@vickydan2869 2 жыл бұрын
Wimbo wangu bora wa miaka yote
@LejinaMwayunga
@LejinaMwayunga Ай бұрын
San kaka
@user-ve5nx3mi4x
@user-ve5nx3mi4x 8 ай бұрын
Salut comment vous Que dieu vous bénisse ❤❤❤❤🙏🙏💖🙏🙏🙏🇹🇬
@boazimasanja8435
@boazimasanja8435 Жыл бұрын
Good song's
@katelashigela7081
@katelashigela7081 2 жыл бұрын
Hv mwana kamwa jina laki Nani nyimbo hii hatari
@davidnchoji
@davidnchoji 2 жыл бұрын
This song is everything...❤️❤️❤️❤️
@ndulububinza2546
@ndulububinza2546 Жыл бұрын
Good song
@DelightfulHibiscus-bs9rl
@DelightfulHibiscus-bs9rl 6 ай бұрын
Am from kenya which kind of tribe is this?
@emmanuelleyegella288
@emmanuelleyegella288 5 жыл бұрын
oneza ubunifu utafika upatakapo
@elishanyembela6597
@elishanyembela6597 Жыл бұрын
❤❤❤
@teddydotto7137
@teddydotto7137 6 ай бұрын
❤❤❤❤
@happymgobo333
@happymgobo333 3 жыл бұрын
Wa huko kujizuia ni ngumu acha nitambe naongeza na sauti jilani asikie
@sifatiiman
@sifatiiman 3 жыл бұрын
Acha kabisa 🥰🥰🥰🥰🥰🥰 love song sukuma
@salumjacob9398
@salumjacob9398 3 жыл бұрын
Very nice xan
@edigajoseph7008
@edigajoseph7008 4 жыл бұрын
hapo sawa
@amanjoel2122
@amanjoel2122 Жыл бұрын
@ezekielsamweli545
@ezekielsamweli545 3 жыл бұрын
Wimbo mkali Sana .....
@YasintaWillium
@YasintaWillium 4 ай бұрын
🎉
@mwitanyahiri4586
@mwitanyahiri4586 3 ай бұрын
Nini maana ya ngwana nthonthontho?
@martha38rammy28
@martha38rammy28 4 жыл бұрын
Nimeipenda
@prosperemmanuel1546
@prosperemmanuel1546 3 жыл бұрын
Unakipaji kaka
@imanichambulilo-pe7lc
@imanichambulilo-pe7lc 11 ай бұрын
Suruja wa ng'ombe maana yake nn?
@moshijoseph3133
@moshijoseph3133 2 жыл бұрын
Uko sawa
Ng'wana Kang'wa _ Harusi ya Ngolo Official Video
14:01
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 389 М.
Ntemi Omabala _ Harusi ya Paulo Official Video HD
11:58
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 251 М.
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 18 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
Ng'wana Kang'wa Harusi ya__soji Hewa
9:59
H.Record Studio H.Record Studio
Рет қаралды 337 М.
Kukumaji ndubula nhonge
10:08
KUKUMAJI NG'WANA NDULU NDUBALA
Рет қаралды 23 М.
GUDE GUDE SONG NKEMA MALAYA OFFICIAL AUDIO 2024
14:44
Kisasa studio Asili Tz
Рет қаралды 37 М.
Ng'wana Kang'wa _ Ufunguzi wa Nyumba ya Mama Anna Video HD.
16:57
BTM AFRICA STUDIOS.
Рет қаралды 11 М.
Ntemi Omabala_Harusi ya Paul Masende Manyada
13:00
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 32 М.
Wabwile-Wa-Barasa-Khwaamile-Atayi-Patrick-Simiyu
9:53
THE VILLAGE HUMOUR
Рет қаралды 183 М.
LUNG'WECHA NG'WANAITULI _ SO NI SO _ PRD LWENGE STUDIO
14:12
Lwenge Studio
Рет қаралды 2,3 М.
LUNG'WECHA NGW'ANAITULI MABADILIKO
12:08
LUGHA ZA TANZANIA
Рет қаралды 24 М.
Ntemi_ Harusi ya Anna Official video.
10:16
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 968 М.
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 18 МЛН