NGOMA NZITO KWA SABAYA: WENZAKE WAINGIA MITINI KWENYE RUFAA ALIYOFUNGULIWA NA JAMUHURI..

  Рет қаралды 26,349

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

NGOMA NZITO KWA SABAYA: WENZAKE WAINGIA MITINI KWENYE RUFAA ALIYOFUNGULIWA NA JAMUHURI..
DPP amekata Rufaa dhidi ya Lengai Ole Sabaya na wenzake katika mahakama ya Rufaa kanda ya Arusha
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 93
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉
@atukuzwelameck4869
@atukuzwelameck4869 Жыл бұрын
Huyu jamaa alitesa sana, silalidhani mungu ni mjombake, ahahahahah 🤣💔🙌, na bado mbwa huyoooo🤣
@ericsangasa9872
@ericsangasa9872 Жыл бұрын
Mwandishi upo vizuri kwa maelezo yako unafanya kazi nzuri sana
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 Жыл бұрын
Balaaa . Ngoja na yeye aonje kama alivyoonjesha wenzake
@mosesndahani3315
@mosesndahani3315 Жыл бұрын
Mimi naamini kunasiku watu wote walioongoza nchi kwa mtindo wa Sabaya ipo siku watalipa
@happykimaya6631
@happykimaya6631 Жыл бұрын
Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Ipo siku utakuwa huru kaka yangu. MUNGU awe mtetezi wako!
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Жыл бұрын
Je wajua,wale waliompelekea Yesu mwanamke waliosema ni mzinzi. Unajua Yesu aliinama akaandika chini. Anaejiona kuwa mwema na hajawahi tenda kosa awe wa kwanza kurusha jiwe. Ukiwa kiongozi lzm uwe na maamuzi magumu. Kama aliwakosea yatosha.!!!
@gabrieldoseti5729
@gabrieldoseti5729 Жыл бұрын
Sabaya inatakiwa ufungwe maana ulikua Jambazi mkuu
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Duuuuh bado huyu kaka jmn hayajaisha tuu duuuh mungu msaidie yarab 😭😭🙏🙏
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Jamani huyo sabaya ndo mtenda makosa nchi nzima kwanini msimsamehe tu watenda makosa niwengi mbona
@lucybahatisha1179
@lucybahatisha1179 Жыл бұрын
Hakuna kosa lisilo samehewa jamani muachieni andelee na maisha yake sisi pia ni wenye zambi sioni haja ya kumtesa hivi kwakweli
@hadijauledi6995
@hadijauledi6995 Жыл бұрын
Mungu msaidie huyu sabaya kama kweli alitenda mabaya msamehe hii dunia tunapita nadhani kisha jifunza jela kubaya mungu msaadie muheshimiwa mama yetu kipenzi msaidie hatorudia tena kisha koma mwenyez mungu mfanyie wepesi atoke jela 😭😭😭😭😭
@ibrahimngonyani9704
@ibrahimngonyani9704 Жыл бұрын
Mungu akutangulie sabaya
@felixhaule7071
@felixhaule7071 Жыл бұрын
Amechoka hatari sana,Jela sio kuzuri,hakika All Goes Around Comes Around!!
@zuhuramuyinga5953
@zuhuramuyinga5953 Жыл бұрын
Mwandishi akili kubwa sana.Huchoki kumsikiliza.
@abelimtui6180
@abelimtui6180 Жыл бұрын
Sabaya pole sana siasa za tz
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 Жыл бұрын
Dah!! MUNGU TENDA MUUJIZA MUOKOE SABAYA
@COMPASSIONMEDIA
@COMPASSIONMEDIA Жыл бұрын
SABAYA TUMUOMBEE. MUNGU ANA MPANGO NAE MUHIMU JAPO WENGI MNAMUONA KAMA MUOVU KUPITA WATU WOTE. MUNGU AKIMTAZAMA ANAMUONA KAMA CHOMBO KINACHOFAA SANA.
@anicetphilip9987
@anicetphilip9987 Жыл бұрын
Wamepania kumuua huyu ndugu so sad kwa kweli
@seriajrtw7298
@seriajrtw7298 Жыл бұрын
Bado kabisa hajapata adhabu inaupmstahili kwa maovu aliyotendea wengine. Matehemu afufuke amtetee
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 9 МЛН
VIDEO: MAJAMBAZI WANASWA WAKIWAPORA WAZUNGU WANNE kwa KUTUMIA BUNDUKI...
3:58
Raila aelezea Rais Ruto alivyotaka msaada kwake
3:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 55 М.
🔴KUMEKUCHA .. Agosti 07, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 40
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН