No video

Jane Wamuhu kurumwo ciugo cina magigi ni nyanake

  Рет қаралды 26,933

Ngugi wa karanja Mcee TV

Ngugi wa karanja Mcee TV

Жыл бұрын

Shosho chronicles

Пікірлер: 309
@user-jg1gb9oe8j
@user-jg1gb9oe8j 10 ай бұрын
Mwanzo mwanzo shos alikua mzuri siku hizi Ako na maringo ngugi umefanya kazi yako umbalikiwe na mungu
@estherwanja9754
@estherwanja9754 Жыл бұрын
Hata kama napenda wamuhu sana sasa amezidi...shida yake anataka hiyo shamba akiwa peke yake...anafikiria watu wote ni kama uncle wetu wa murio akisema sinjui kiengei...Ngugi wa karanja umejaribu sana lakini wamuhu hana shukrani nani mdifficult sana..kitu ingine alionyesha hawa vijana kumchezea wakamnyima respect ndivyo wanamtusi hiyo majina chafu..uncle you have done your part may God bless you.
@monicamaina3854
@monicamaina3854 Жыл бұрын
Onanii ngugi nidagwitikiria wambe utigane nake atige gugutanga ,,,,,niurutite wira munene muno na wamuhu dara appreciate
@carolinewangu7123
@carolinewangu7123 Жыл бұрын
Its very easy either she sell the land n buy else where ajengewe uko ama aende gwa kiengei akajengewe alaaar....keep up ngugi
@susannyambura7387
@susannyambura7387 Жыл бұрын
She is so ungrateful
@fraciahmuriu376
@fraciahmuriu376 Жыл бұрын
Ngugi you have done your part even God knows. Achana na yeye akatafute kiengei tuone kama atajengewa. Anafikilia watu wote ni kama wewe
@janewanjiku777
@janewanjiku777 Жыл бұрын
This woman amekuwa opportunistic, anataka kila kitu iwe yake , hataki kuskizana na sister yake , hataki kurent kennol, hataki anunuliwe shamba Masai land , hataki kuuza yake ahame huko,anataka land of her choice na ajengewe, she has her own advisors wenye wanamshow atafutiwe kiengei, yaani Hana aibu akiambia ngugi hivi, shez not grateful , ngugi may God increase you for the sake of who trust God through you
@fraciahmuriu376
@fraciahmuriu376 Жыл бұрын
@@janewanjiku777 true she want everything.aki nimehurumia ngugi na venye amemsaidia alafu atajiwe kiengei. This woman nooo
@user-se1vz6yd5z
@user-se1vz6yd5z Жыл бұрын
Huyu Mama ni mjaja sana anataka vitu viote, shamba ni ya family!!!anakusumbua
@marynjenga7743
@marynjenga7743 Жыл бұрын
Yes,she is very cunning na Ngugi anafaa awachane na yeye.imagine hadi ngugi alimuletea lawyer na hataki shamba ikue subdivided
@elizabethmbugua-uk3pj
@elizabethmbugua-uk3pj Жыл бұрын
Hiyo si ujaja,ni ujinga anayo couz atakosa yote
@user-se1vz6yd5z
@user-se1vz6yd5z Жыл бұрын
Anapaswa ayimwe anajipenda sana nasimwaminifu .
@sabinawanga5744
@sabinawanga5744 Жыл бұрын
Eeh lkn hii shamba ata haimsaidii..angekubali kushare na dadake alf tumsaidie kujenga wamuhu ni sumbua tu
@Jane-ie7gx
@Jane-ie7gx Жыл бұрын
@@elizabethmbugua-uk3pjenyewe ni ujinga coz akikufa leo mtoto wake hatapata kitu, angekubali kugawana ju ya mtoto wake
@Chacha-sf4xs
@Chacha-sf4xs Жыл бұрын
Tenda wema nenda zako Ngugi and team you have done enough mambo ya wahuhu and family you can’t solve tena it shaws someone has advised wamuhu kiengei buys plots and builds for people meaning there’s nothing much you can go
@nellykatrina4794
@nellykatrina4794 Жыл бұрын
Anataka anunuliwe plot na ajengewe na bado ako na shamba ya babake ameshikilia..
@margaretnjuguna8498
@margaretnjuguna8498 Жыл бұрын
@@nellykatrina4794 true my sister hata Kiengei na wale wengine wanachunguza vizuri before they do anything, ako na shamba na hataki kusikizana na dada yake.
@rositanjuguna7561
@rositanjuguna7561 Жыл бұрын
Wamuhu ni mungumu kumwelewa ako na shamba nahaimuzaidii na ujuaji dio ako na mob aty aliabiwa kiengei wanajengea watu aede basi kwa kiengei adu aria maramutara nimaramute
@mainaann4493
@mainaann4493 Жыл бұрын
Ngai Ngugi uko na kazi
@rosendunge4217
@rosendunge4217 Жыл бұрын
😂😂😂😂maya mahoya ma wamuhu ni mwaki 🔥 jesu mwega..ati riria akona thu igicaya niagakena😂😂😂
@elizabethmbugua-uk3pj
@elizabethmbugua-uk3pj Жыл бұрын
Hahahaha
@lydiahmuigai
@lydiahmuigai Жыл бұрын
It's seems like someone has advised her, akamwambia ati kiengei anaeza musaidia, anataka kutumia ujanja, uncle wa utamu achana na yeye Sasa you have prayed your part.
@kimennjeri5248
@kimennjeri5248 Жыл бұрын
Giki ni gitango wamuhu.enda na hao watu wako wanakwambia about kiengei basic enda tiga kugia Ngugi
@marynjenga7743
@marynjenga7743 Жыл бұрын
She should leave the Murio family
@magdalinewacera1943
@magdalinewacera1943 Жыл бұрын
Kabisaa
@rosminevents2055
@rosminevents2055 Жыл бұрын
Ngugi na kahari matinahoerwo tondu Ngai niarega😊
@selahnjau6277
@selahnjau6277 Жыл бұрын
Wamuhu arenda uria warutire gitanda gis kimothb acae na ngumo na ugoci imucokerere Mwathani.
@lucymwenja2044
@lucymwenja2044 Жыл бұрын
Uyu shosho ni sumbua....
@gracenjenga9778
@gracenjenga9778 Жыл бұрын
Hee wamuhu ni muritu maa Ngai ,,,akienda mahali hatakikani hataki kujengewa kwake hee I give up ngugi ona wee hinya maa ,,,nikio erumaguo ni subua
@carolinenjoroge3763
@carolinenjoroge3763 Жыл бұрын
Ndeto icio cia wamuhu ...Ni cia rituha muno....hena mundu uramutara ....muhe kahinda atarwo niacio maramutara....
@ceceliawambugu9336
@ceceliawambugu9336 Жыл бұрын
Wamuhu angaiwe gitaru shamba,then tununue iyo shamba ,then wamuhu anjengewe place ingine atoke muranga kabisa💯💯💯
@paulinengimam
@paulinengimam Жыл бұрын
Akubali kugawa shamba auze ajengewe kwingine
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama Жыл бұрын
Ngugi umejaribu sana, Wa Muhu akorwo ndarenda guikara kùu, ni macire na mwari wa nyina maiguane, magayane mugunda ucio, acoke endie wake agure handu hangi. Meciria macio enamo ma kugurirwo kungi na ngwakirwo uria Kiengei mekaga eherie fiu. #Anajipenda sana
@elizabethmbugua-uk3pj
@elizabethmbugua-uk3pj Жыл бұрын
Onakorwo cucu uyu ni mwaganu,ihii icio itiri na kihoto gia kumuruma,,,inyui ihii ici! Mumenye kuruma cucu uyu ni kirumi muragaya Kuma kwi Ngai
@ShahidKhan-lz8et
@ShahidKhan-lz8et Жыл бұрын
But huwa hana adabu
@janenjoroge9599
@janenjoroge9599 6 ай бұрын
Respect is earned. You respect yourself,You respect them, they respect you.
@annejoseph5155
@annejoseph5155 Жыл бұрын
Am here to continue watching coz last night niliacha tukiomba nikalala😅😅😅
@cessirungu
@cessirungu Жыл бұрын
Mwenye aliadvise Wamuhu about Kiengei alikosea.
@maggynyawi253
@maggynyawi253 Жыл бұрын
NGUGI wa karanja wamuhu atafutiwa kaplot kwetu Nakuru ahamishwe kabsaa muranga 50 by 100 imemtosha
@salmamohamed909
@salmamohamed909 Жыл бұрын
Njugi you have done ✅ your best brother wacha mungu aendelee from there huwezi saidia MTU ungrateful hua hawasaidiki no matter how hard you try
@ReyharbKamotho-qw4rz
@ReyharbKamotho-qw4rz Жыл бұрын
Mama wamuhu niethe kiengei tuone kuria megikinyania
@rosemarykirubi3167
@rosemarykirubi3167 Жыл бұрын
Ngugi , build a house to this lady at her piece of land and seedlings to plant , like beans ,corn, kale green and she can continue with her life, she is strong and not that old. For how long does she expect you to continue helping her and paying rent and food?? Again she iwant Kiengei to build a house!! Okay she can go ahead and look for him.First please tell her you want to build a house at her piece of land and don't laugh be serious . Anyway if she want Kiengei , let her do what she want ( huyu mama umemutoa bali na sijui kama anaona hivyo surely.
@nellykatrina4794
@nellykatrina4794 Жыл бұрын
Huyu ni jeuli
@mercymwangi6070
@mercymwangi6070 Жыл бұрын
Wamuhu ndangiteithika...yaani ona uria arariria ngugi ndari kinya na ngatho ona hanini.niathii gwa kiengei agagiakiruo.mtaka yote hukosa yote.amenibore sana
@shelmithwilliams8747
@shelmithwilliams8747 Жыл бұрын
Si utuletee kahari siku moja
@mazzarellow
@mazzarellow Жыл бұрын
Someone is inciting her about Kiengei....wacha mwenye alimwambia kuhusu Kiengei ampelekee...
@dollydolly1317
@dollydolly1317 Жыл бұрын
This woman is not poor, she can sell her land and buy somewhwre else
@stellahwamaitha2387
@stellahwamaitha2387 Жыл бұрын
Yes she is consulting 😂😂
@anastasiawamaitha3167
@anastasiawamaitha3167 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Ngugi saying amen to finish but lady wamûhu keeps going. This lady will rejoice when she hears her enemies suffering 😂😂
@auntiepiarants2238
@auntiepiarants2238 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@lwanjiru999
@lwanjiru999 Жыл бұрын
The comment I am looking for..ATI siku ataskia huyo mwenye alingo'oa mlango akisuffer atasifu Mungu😂
@jamesmwangi4269
@jamesmwangi4269 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@auntiepiarants2238
@auntiepiarants2238 Жыл бұрын
@jamesmwangi4269 pitia kwangu please
@nellykatrina4794
@nellykatrina4794 Жыл бұрын
Ni yy kitu mbaya shamba ya family anakatalia kwa nini?
@user-rp9hc1hf4e
@user-rp9hc1hf4e Жыл бұрын
Wamuhu hawezi saidika....atakusumbua hadi mwisho.anajipenda sana.
@edithkiragu1117
@edithkiragu1117 Жыл бұрын
Wamuhu ni muchogithi kwaria maa
@marynjenga7743
@marynjenga7743 Жыл бұрын
😂😂😂
@maggynyawi253
@maggynyawi253 Жыл бұрын
Unza shamba wamuhu ununuliwe shamba nakuru county uhame
@sarahwanjiku1807
@sarahwanjiku1807 Жыл бұрын
Yaani mahoya ni nuthu ya show 😂😂😂❤wanuhu
@shaynemuthoni8974
@shaynemuthoni8974 Жыл бұрын
😂😂😂
@susannyambura7387
@susannyambura7387 Жыл бұрын
She is so ungrateful and selfish at the same time ndio maana hakuombea ngugi na kahari ata hana aibu no wonder anaitagwo mchawi
@Kekee9595
@Kekee9595 Жыл бұрын
Uyu shosh arabatara endie mugunda atwarwo kundu kungi angikorwo guku ti safe nake.
@rosendunge4217
@rosendunge4217 Жыл бұрын
😂😂😂😂mcee unajikujanga hivi kwann wakati wamuhu anaomba?anyway let's keep 🙏 for u
@shaynemuthoni8974
@shaynemuthoni8974 Жыл бұрын
I know the nurse. Very nice lady ❤ Watching from Thailand 🇹🇭
@regnitho5795
@regnitho5795 Жыл бұрын
Am sure wamuhu ukimaliza kuadvisiwa kiengei utaeleke kwa karangu, wamuhu must follow the law of the land ndio apate sheria za Mungu. Gawia familia shamba mamaa🤗🤬period
@janewambui1927
@janewambui1927 Жыл бұрын
Ngugi uroiga amen na mahoya ti mariku
@zipporahwanjiku8501
@zipporahwanjiku8501 Жыл бұрын
Oooi ngugi akirai wamuhu nyumba aume mucunguca
@marykay2829
@marykay2829 Жыл бұрын
I'm not judging though Wamuhu ahana gukoruo eh muritu maah!
@njorogejacinta8867
@njorogejacinta8867 Жыл бұрын
Wamuhu ako sure huwa hatusi watu pia 😂😂😂😂😂😂😂😂
@magdalinewacera1943
@magdalinewacera1943 Жыл бұрын
Huyu mama hajieliwi c ajegewe huku .....Ngugi achana yeye kabisaa
@virginiakibe1846
@virginiakibe1846 Жыл бұрын
Ako na Shambal period
@damariswamuyu5818
@damariswamuyu5818 Жыл бұрын
Ndukanogere gatagati nourihutia mbini aingire box
@edithmugure3080
@edithmugure3080 Жыл бұрын
May God open doors for this woman anjengewe nyumba akae kwake juu anaonekana ni ngumu kukaa na watu😊
@Charityshii05
@Charityshii05 Жыл бұрын
Huyu milango zilifunguliwa but amakatalia kwa mlango. She has a land that she refuses to share with the sister, she should sell it or aitikie kujengewa uko but yeye anataka anunuliwe shamba elsewhere na sio na pesa yake. She is very complicated. She is just greedy and stubborn.
@nellykatrina4794
@nellykatrina4794 Жыл бұрын
Si hukataa na shamba ya babake..
@elizabethmbugua-uk3pj
@elizabethmbugua-uk3pj Жыл бұрын
Atajengewa wapi na yy hataki wasikisane na dada yake? Hakuna vile shamba itakuwa yake peke yake,,,Sasa imefika kwa mtaka yote hukosa yote,,, plot ana nunuliwa na nani yenye atajengewa? Amekuwa mzigo sasa
@bancynjoki3462
@bancynjoki3462 Жыл бұрын
Hatakangi kujengewq anaogopa kukaa Kwa iyo shamba
@virginiaharun9900
@virginiaharun9900 Жыл бұрын
Ndigana na itigana😅😅😅Ngugi wee
@faithkiarie6546
@faithkiarie6546 Жыл бұрын
Riu njetagirira kuona karitu, nginya ngiriganirwo ni twari na wamuhu
@maggiekinyua9073
@maggiekinyua9073 Жыл бұрын
Onanie 😂😂😂
@clickcell2805
@clickcell2805 Жыл бұрын
Arauga akagwatwo nu? Mucungucha, nu utoi mitugo yake minungu. Kinya gaitega kuu nioikaine, Tiganake riu Ngugi ucio dungimuhota nimwiedi nandoi kwaria, bona kudu gwothe ndaiguanaga na andu
@peshlucy987
@peshlucy987 Жыл бұрын
Aii huyu amekuwa so much uncle you've done your part
@joymwenda1058
@joymwenda1058 Жыл бұрын
Dealing with this shosho is hard. Ngugi do what you can, whatever you can`t just leave it.
@marynjenga7743
@marynjenga7743 Жыл бұрын
I agree,hataki wagawane shamba na sister yake,hataki ngugi amjengee,hajui kuishi na watu anywhere yaani kwao ocha na kambe so ngugi amuwache kabisaa ajisort.
@rhouzedavids38
@rhouzedavids38 Жыл бұрын
Woooie Ngugi leo umekua emotional wooi 😢 aky n the way u have a big heart ❤ may God always bless u juu sio rahisi 😮
@reubenmwangi6772
@reubenmwangi6772 Жыл бұрын
Hii maombi ya wamuhu ni mrefu jameni 😂😂😂
@rosendunge4217
@rosendunge4217 Жыл бұрын
😂😂😂mcee una smile ☺ aje maombi ikiendelea..na uko smart sana na hiyo jacket 🧥..mpka unasema Amen ndio maombi ikatike😂😂😂..I thank GOD KZfaq yangu ilikua imehanga na sasa ndio imefunguka
@annkaranja1029
@annkaranja1029 Жыл бұрын
Ngugi niwe ugucoka kuhoithia
@joycekamuyu1334
@joycekamuyu1334 Жыл бұрын
Enda kwa kiengei huna shukrani wamuhu kabisa
@shantelnjeri5240
@shantelnjeri5240 Жыл бұрын
wachane shosh wetu wamuhu nakupenda sana
@janewambui1927
@janewambui1927 Жыл бұрын
Huyu mama mambo yake ni ngumu
@naomiwahu9985
@naomiwahu9985 Жыл бұрын
O kuo ringi na shush Wamuhu. Anko Amen zako zimezidi.
@joysingers5279
@joysingers5279 Жыл бұрын
Shosh wamuhu ūkūrwo nì inya ūkinyìrìte inyanya kindly listen to whatever Ngūgì karanja is advising you in Jesus mighty Name...
@Magerito
@Magerito Жыл бұрын
Mimi naona wamuhu ako.sawa tuu, asaidiwe tuu
@ourdays.4021
@ourdays.4021 Жыл бұрын
Hanjapigwo lakini anaona anaweza pigwa,ena ndeto. Ena mugundu no ndakwenda gwakìrwo. Wamuhu.
@veronicahkinyanjui7542
@veronicahkinyanjui7542 Жыл бұрын
Much love M.C ngugi❤❤Hujawai tuangusha bro we love you so much🤗
@gracewanja1297
@gracewanja1297 Жыл бұрын
Miaka iria wamuhu enayo na iria atigitie ti miingi.. Si wasikizane na sister yake na ajue vitu za Dunia tutaziacha hapa... Akubali auze shamba anunue place ingine..28k ni pesa ya gutinda kiharo maa... Wamuhu anga ni dictator,andu a tene me kawana kangi ga kumia maundu uguo waana no Kai wamuhu niaguthikiririe ateithike
@gracenjeri5406
@gracenjeri5406 Жыл бұрын
Ngugi uturaga oharia, gutiri guthii na mbere kana gucoka na thutha😂😂😂😂😂😂😂
@mwariwamuthamaki7458
@mwariwamuthamaki7458 Жыл бұрын
Ngugi niugeragia muno kwaga kuhiukirwo
@kimennjeri5248
@kimennjeri5248 Жыл бұрын
Wamuhu wee ATI kiengei Ngugi witu
@irenesteve9765
@irenesteve9765 Жыл бұрын
Woooiii.....cucu wamuhu😢i wish noumenya uria ciira wimuuru na wīgoro😮just leave ths men alone naujikalie na amani,kama wanakuthreaten waondokee tu @Ngugi wamuhu nongiya enakaundu ekite agacogotha arume acio maoni yangu though but pole shoshi
@Jane-kh1nn
@Jane-kh1nn Жыл бұрын
Ngugi teithia mundu ungi tigana na wamuhu aredakugurirwo mugunda nenaguo na daredakuedia ucio tigananake dagiteithika.maumaudu make nimarigu muno
@Shanize-z6s
@Shanize-z6s Жыл бұрын
Wee mambo ya wamuhu ni ngumu aki
@beatricewairimu8882
@beatricewairimu8882 Жыл бұрын
Enawana muno onakafa Mami wakaritu × 10,Ngugi huyu atakupaka matope wachana na yeye
@mademsykada3866
@mademsykada3866 Жыл бұрын
God bless team Ngugi wa karanja..na wamuhu
@marywanjikuwanjiru9658
@marywanjikuwanjiru9658 Жыл бұрын
Wamuhu maundu make nî maritu...no ngai akîrî omwega maunduinî mothe
@annytareekibe8977
@annytareekibe8977 Жыл бұрын
😂😂😂Kwani tunafaa kufurahi maadui wakiteseka 😂😂😂😂🤣🤣🤣hii maombi aki
@danngugy8999
@danngugy8999 Жыл бұрын
Ngugi huyu mama hayuko ready kusaindika
@user-di5vi4wu6o
@user-di5vi4wu6o Жыл бұрын
Maundu make nimaritu muno.....aaaaa
@ceceliawambugu9336
@ceceliawambugu9336 Жыл бұрын
Ngugi Leo iyo maombi 😂😂😂😂
@prudencekyumia
@prudencekyumia Жыл бұрын
mutume gwi kiengei uguo arenda
@rosminevents2055
@rosminevents2055 Жыл бұрын
Haiya maombi
@nellykatrina4794
@nellykatrina4794 Жыл бұрын
Ngugi tafuta mtu wa hio plot akuambie tabia za wa muhu...ama mumutoe kwa hio plot
@user-jg1gb9oe8j
@user-jg1gb9oe8j 10 ай бұрын
Ana kusumbua shosh ni stress tupi wachana na yeye saidia wengine
@celinanjoroge
@celinanjoroge Жыл бұрын
Gutiri ngoma itari muhoreria 😂😂😂😂ngugi wi wana ta hiti ...onani ndi mutumo amen
@mariamungai6646
@mariamungai6646 Жыл бұрын
Ngugi wi sober kweli i doubt
@joannejames2855
@joannejames2855 Жыл бұрын
Ngugi has a good heart. Weuh! Mimi hiyo patience sina kabisa.
@bismurageneral344
@bismurageneral344 Жыл бұрын
Ngugi haha eherera, athiî kûrî Kîengei ucio aragweta agakîrwo. From Faith.
@MegaMonnic
@MegaMonnic Жыл бұрын
Ako na watu wanamharibu bad advisers she will loose everything, from all that time why kiengei now.?
@charitykawiria8612
@charitykawiria8612 Жыл бұрын
My sister of another mother wamuhu Leo ako smart Ngugi may almighty God bless you for the great job you are doing 🙏🙏❤
@janeatueyi9428
@janeatueyi9428 Жыл бұрын
Ngugi, mama has stressed you on this channel, pole sana. She needs also to consider others.
@shirowapk
@shirowapk Жыл бұрын
Bye already! She can’t be helped! She is not willing to be helped either! Too many people need your assistance… go where they appreciate you!
@marynjenga7743
@marynjenga7743 Жыл бұрын
Well said
@nellykatrina4794
@nellykatrina4794 Жыл бұрын
Ni jeuli Mzee...
@jannymunene7924
@jannymunene7924 Жыл бұрын
Ngugi 😂😂😂😂😂😂😂😂ati nduiguite gucoka thutha kana guthii na mbere🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@marykaranja6740
@marykaranja6740 5 ай бұрын
Mc uyu cucu murehei kwa mirio maa
@serahwanjiku636
@serahwanjiku636 Жыл бұрын
Si mungu akuonekanie it's not easy to deal with those people but may Almighty God reward you for the good job no one can be able to pay you only God.
@nishcarney6430
@nishcarney6430 Жыл бұрын
unapea shosh bombastic criminal side eyes...🤣🤣🤣
@alicekomu3852
@alicekomu3852 Жыл бұрын
Uyu nake niehere kwa family ya murio.athie agethe kiengei
@malaika4158
@malaika4158 Жыл бұрын
Muranga kumechafukka! Devil whossip. ndaani tena sana.
@lovewithnature9034
@lovewithnature9034 Жыл бұрын
Na Ngugi ulete Mutahi
@stellahnjagi5190
@stellahnjagi5190 Жыл бұрын
I love this woman.will give her a call.
@nellykatrina4794
@nellykatrina4794 Жыл бұрын
She's gready and selfish..
@marynjenga7743
@marynjenga7743 Жыл бұрын
Ngugi wachana na huyo shosh she is ungreatful,kisirani,na hajui kuishi na watu,anataka kukataa na shamba ya family,kuna watu wako na shida n they need ua help ngugi wachana na yeye kabisa kabisaa
@johnnduru1402
@johnnduru1402 Жыл бұрын
Nduhinge maithooo mūkìhoya mujombaaaa
@Charityshii05
@Charityshii05 Жыл бұрын
Huyu muache sasa Ngugi , you’ve done enough for her sasa.
@judith-ed7kq
@judith-ed7kq Жыл бұрын
This cucu is a very difficult woman to handle amezeeka na anataka Kila kitu
@millicentnjoroge1916
@millicentnjoroge1916 Жыл бұрын
Mwethere kiengei orimwee😂😂😂😂
Nie Wamuhu ndimumenete niundu wa kunina Family itu-Mary Gitaro
25:11
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 76 М.
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,5 МЛН
Cemania na cucu comedian uria utwegekete na ngotoko
29:17
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 115 М.
Kîhiko gîakwa kîaninirwo nî mami mûnjiari😭💔
47:39
Wambui wa Mwangi
Рет қаралды 54 М.
Rimwe ninjikaraga ngauga narikorwo ndi muithiramu | Prophet Peter K
1:23:33
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 43 М.
These are our findings and conclusion of Wamuhu's story
42:55
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 55 М.
Twakonirwo 800k twina mûrata wakwa na hau oire kamba akîita 😭😭
59:46
Nii kihiko-ini ndonete maingi, ndaiithagia na ngakana-Jane Wamuhu
1:25:30
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 107 М.
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН