NI KWELI HARMORAPA ANA SURA MBAYA/ MIMI SIOGOPI KUMCHANA

  Рет қаралды 498,180

Wasafi Media

Wasafi Media

3 жыл бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 400
@properdenis8252
@properdenis8252 3 жыл бұрын
Kama umeikubali hii "ile tv ambayo inaonyeshwa kwa radio" toka kwa Masai gonga like......
@Best_wolframmusichub
@Best_wolframmusichub 3 жыл бұрын
Mungu ametuumba Kwa Sura na mfano wake wewe ni Nani binadamu kukosoa uumbaji wa Mwenyezi Mungu.
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
Yn kaka yngu we acha tu kuna watu wengne wanamkufuru Allah xana nimeumia xana kwakweli yn Binadamu mwenzako eti unamfananisha na Mnyama😢😢😢😢😢😢😢
@humphreyalbano3349
@humphreyalbano3349 3 жыл бұрын
Tunajisahau San na mitandao ambayo inatusukum kuongea ata vsivyo mpendeza Mungu
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Kwaivo Mungu anafanana na Harmorapa?
@rukiamsomi6869
@rukiamsomi6869 3 жыл бұрын
Me hata sijapenda kwakweli
@khadijamambi4467
@khadijamambi4467 3 жыл бұрын
Subhanallah 😥sote tumeumbwa n mungu na sio kumkosoa et una sura mbaya
@mkingasana400
@mkingasana400 3 жыл бұрын
Harmorapa ...sio kwamba ana sura mbaya but the guy lacks confidence n some swags...but he needs smbdy smart to upgrade his swags...he is one of us I mean Godz creation
@kombemizinga4158
@kombemizinga4158 3 жыл бұрын
Ako poa alafu kapendeza na kipara
@mkingasana400
@mkingasana400 3 жыл бұрын
@@kombemizinga4158 he is cool
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 3 жыл бұрын
Naona unajaribu kumpa moyo 😃
@mkingasana400
@mkingasana400 3 жыл бұрын
@@graphixmaster6146 hamna bro naongea kweli Hamna MTU mbaya duniani
@peterkadehakiponzelo3422
@peterkadehakiponzelo3422 3 жыл бұрын
Shida ya wabongo nihii
@johnsonkuli7975
@johnsonkuli7975 3 жыл бұрын
Jamaa kazingua kumchana mshikaji Harmorapa Ni ufala uliopitiliza.
@madamloveness7274
@madamloveness7274 3 жыл бұрын
Kila binadamu Ni mzuri kwa nafasi yake maana wote wameumbwa na Mungu
@belindamassawe9028
@belindamassawe9028 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@conceptahtsuma7900
@conceptahtsuma7900 3 жыл бұрын
Very true
@selinaselin8928
@selinaselin8928 3 жыл бұрын
True
@rukiamsomi6869
@rukiamsomi6869 3 жыл бұрын
sawa
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@angelbwija9547
@angelbwija9547 3 жыл бұрын
Akuna mtu mbaya duniani jamani,mwenyezi mungu katuumba kwa mufano wake ❤❤❤❤❤ mbona kaka yangu harmorapa iko poa,handsome boy mume wa bi adija
@naimaislam552
@naimaislam552 3 жыл бұрын
Kweli lakini na kibaya kin a mwenyewe
@naimaislam552
@naimaislam552 3 жыл бұрын
Mtu mpk anatoa chizii
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 3 жыл бұрын
Kwelihakuna m2 mbaya
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ht1_lNdeyMDTpY0.html
@revocatussebastian5698
@revocatussebastian5698 3 жыл бұрын
Kweli hakuna MTU mbaya wote ni wa mungu sura zote ni za mungu
@movetcaren4208
@movetcaren4208 3 жыл бұрын
Tz hamna nidhamu,hupaswi kumkosoa mungu. Eti ana sura mbaya hadi mtoto anafuta chozi kweli inatia hurumu,mkuki kwa nguruwe binadamu chungu,254
@abdulhadiomar8915
@abdulhadiomar8915 3 жыл бұрын
Unaleta utaifa kwa maono ya mtu mmoja, mbona nyie wakenya mna roho mbaya na ukabila wenu kila siku kuuana pumbav
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Sura mbaya bwana
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 3 жыл бұрын
@@abdulhadiomar8915 AJITAMBUI
@sabraali9941
@sabraali9941 3 жыл бұрын
Wacha kujifanya unawapenda wabongo wakati kwenu ampendani kwenu ukabila na roho mbaya wenyewe kwa wenyewe ampendani ndio umpende mTanzania
@yunyun799
@yunyun799 3 жыл бұрын
Masai katixhaaaa 🔥🔥🔥🔥ila harmo rapa wamemfananixha mpk na wanyama cjapenda 😢kajikaza tyu kiume
@simonsnoop5909
@simonsnoop5909 3 жыл бұрын
Hamorapa hajui kuchuki aisee😀😀😀
@UniflixTV
@UniflixTV 3 жыл бұрын
Ile tv inayooneswa kwenye radio😂😂. Kazi nzuri.respect kwa hamorapa kwa kujituma na kusurvive mpaka sasa kwenye game
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@nawihadj6674
@nawihadj6674 3 жыл бұрын
Hhhh
@amissahassan495
@amissahassan495 3 жыл бұрын
Ila huyo Kaka kanibowa kweli jamani kwanini udhihaki binadamu mwizio tena unamwambia. Nimbaya jamani. Nimeumia kweli.
@abdulmunimawadh3697
@abdulmunimawadh3697 3 жыл бұрын
I just like Harmorapa...he just keeps smiling
@robertcleverclever9708
@robertcleverclever9708 3 жыл бұрын
Jaman wapenz wasikilizaji na watazamaji nawaomba muuskilize wimbo wa robert clever,unaoenda kwa jina la shina tafadhal subscribe na utoe comment yako Ahsanten Mungu awabariki
@juniorcx0114
@juniorcx0114 3 жыл бұрын
Wasaf media kila brudan tunapata had raha janam like zaooo jaman
@allyidege4841
@allyidege4841 3 жыл бұрын
Kamaumemkubali Masai nipe like zangu
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 3 жыл бұрын
Yani mmasai lazima awe star
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ht1_lNdeyMDTpY0.html
@lovenessfrancis8421
@lovenessfrancis8421 3 жыл бұрын
Hahaha
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@kassimkazembe5453
@kassimkazembe5453 3 жыл бұрын
Yaa
@doricasmtima7270
@doricasmtima7270 3 жыл бұрын
Masai katisha kuliko wote like kama masai kamchanganya
@fatumamfaumeilawatafulia834
@fatumamfaumeilawatafulia834 3 жыл бұрын
YALEO🔥🔥👍
@rukiaosman8416
@rukiaosman8416 3 жыл бұрын
Omg 😃😃😃😃 yhhhhhhhhhh
@nurukhalifa9413
@nurukhalifa9413 3 жыл бұрын
Imekupendeza sababu ni chaguo ya moyo wako😀😀😀😀
@joelmbise2189
@joelmbise2189 3 жыл бұрын
Ile TV inaonyeshwa kwa redio
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@taslimanyange2850
@taslimanyange2850 3 жыл бұрын
Masikini hamorapa nimeumia sana kumuona analia wewee kaka ni mjinga sana huwezi kumponda mwanaume mwenzako hivii jinga wewe
@ramsootz
@ramsootz 3 жыл бұрын
Uyo jamaa mwenye kibagalashia na red T-shirt ana roho ngumu Sana 😂😂😂😂
@deega1234
@deega1234 3 жыл бұрын
He is a human being - treat each other nice. He looks handsome to me. Eti Masaai. I love my people. from, Arusha.
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Sura mbaya bwana harmorapa sura mbovu
@mikonosalama8843
@mikonosalama8843 3 жыл бұрын
Ta
@allihabibu3509
@allihabibu3509 3 жыл бұрын
NAMCHUKIA SANA MTU KUMWAMBIA MWENZIE ET SURA MBAYA, SIPENDI KM NINI
@husseinhajjihussein6898
@husseinhajjihussein6898 3 жыл бұрын
Saana Blood Umeonaa Eeeh
@husseinhajjihussein6898
@husseinhajjihussein6898 3 жыл бұрын
Wanazinguaaa
@husnashindano1192
@husnashindano1192 3 жыл бұрын
Nihatari Sana wanasahawu kama utukufu niwa kwake Allah SubhannaAllah
@allihabibu3509
@allihabibu3509 3 жыл бұрын
@@husnashindano1192 hawajui kwmb wanamkosoa mwenyez mungu, wala c yule wanaemwambia ana sura mbaya
@allihabibu3509
@allihabibu3509 3 жыл бұрын
@@husseinhajjihussein6898 sanaaaa WANAZINGUAAA
@rehemamwaisango9180
@rehemamwaisango9180 3 жыл бұрын
Wa t shirt nyekundu mungu anamuona dah!!! Kwahyo yeye anajiona mzur Sana ee!! Aya bwana h Ni dunia
@mosalim871
@mosalim871 3 жыл бұрын
Masai:Hii shanga ya kina mama ya kuvaa kiunoni Harmorapa:hii cheni ya kina baba ya kuvaa shingoni😁😂😂😂🤣🤣
@leahwilliam7077
@leahwilliam7077 3 жыл бұрын
😂😂😂😁
@masongaofficial
@masongaofficial 3 жыл бұрын
Sikiliza Tanzania mp3 kzfaq.info/get/bejne/sNuArdVmvL6rZXU.html
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@mayanijofrey7547
@mayanijofrey7547 3 жыл бұрын
😂😂😂
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😅😅
@elshaarawymuhabesh316
@elshaarawymuhabesh316 3 жыл бұрын
Masai Hii ni best show yng Nitairudia kila mara...
@florarose1626
@florarose1626 3 жыл бұрын
Jamani masai 🤣😂😂😂 nimkweli sana 🤷🏾‍♀️🤷🏾‍♀️🤷🏾‍♀️ afu haogopi ❤️❤️❤️❤️
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@nawihadj6674
@nawihadj6674 3 жыл бұрын
Jmn nitkpa nmb yke
@kareemsharifu9355
@kareemsharifu9355 3 жыл бұрын
Hahaaaa
@neemazephania9082
@neemazephania9082 3 жыл бұрын
Afu mwanaume unamwita mwanaume mwenzio mbaya unatafta nn matako ya mbuzi ww. Kila mtu aliumbwa kwa mfano wa mungu.
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 3 жыл бұрын
Kweli Neema
@beingmamu7736
@beingmamu7736 3 жыл бұрын
Acheni kumkufuru Allah Kama mnamuona yeye mmbaya umbeni nyinyi mzuri Kama ni rahisi kuingilia kazi ya mungu
@johncavishe353
@johncavishe353 3 жыл бұрын
Uyo mama big up sana
@anuzajmastour6406
@anuzajmastour6406 3 жыл бұрын
Masai Man of the match 😄🙌🏼
@florarose1626
@florarose1626 3 жыл бұрын
😂😂😂
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@Mazoea
@Mazoea 2 жыл бұрын
😂😆😂😆😆 harmorapa yupo kama Roger wa kwenye American guy...yani anafanana Allean
@khalifa_wayy1979
@khalifa_wayy1979 3 жыл бұрын
Umevaa kofiya ya msikitini halafu unamuumbua mwenzio hujesha kuumbwa, unatiya kufuru Allah anaweza akakugeuza anytime, uislam inakataza kibri na hicho ni kibri
@danneismail5442
@danneismail5442 3 жыл бұрын
Thanks for that information /comment, mimi pia nimeshangazwa sana bro
@hawa4968
@hawa4968 3 жыл бұрын
Awaaaah haifai
@paschalmasaba2472
@paschalmasaba2472 3 жыл бұрын
my favourite wasafi tv show currently..big up bro..hivi ni kweli😎
@suzanpatrick9380
@suzanpatrick9380 3 жыл бұрын
Huyoo mwanaumee anaesema Harmorapa akoo na suraa mbayaa Mungu anamwona kwakweliii sioo vizuriii mnooo
@ramadhaniamour4834
@ramadhaniamour4834 3 жыл бұрын
Masai katisha sana eti AFSA TV ni ilê redio inaoneshwa kwenye tv😂😂😂😂
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@nicksonmlay6129
@nicksonmlay6129 3 жыл бұрын
SaNya:Masaii Huyu Ni Mfungwaa?? Maasai: Sielewii😂😂😂😂😂😂
@masongaofficial
@masongaofficial 3 жыл бұрын
Sikiliza kzfaq.info/get/bejne/sNuArdVmvL6rZXU.html
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@shabanmjunga6407
@shabanmjunga6407 3 жыл бұрын
Daaah kama ni roho ya kibinadamu kwakwel nimeumia sana kumuona Harmorapa analia kisa maneno ya uyo jamaa mwenye barakashia daah so sad😢😢😢
@sharifakhamis2461
@sharifakhamis2461 3 жыл бұрын
Kwali siyo haki
@didakassim8666
@didakassim8666 3 жыл бұрын
Wallahi katuliza wengi sikumzalilisha ivooo ila waelewe nawao wwana zaa tu😪😪😪😪
@mariatuku359
@mariatuku359 3 жыл бұрын
Me too imeniuma sana
@allyjumaallyjuma692
@allyjumaallyjuma692 3 жыл бұрын
Kwani kusema ana sura mbaya kaongea uongo au kamzulia ,!? Ingekuwa kamzulia asingekuwa na ujasiri wa kumueleza mbeleyake na asingeweza kusema aliloliongea kabla ya mwenyewe kuwepo angekuwa ni mnafiki .
@allyjumaallyjuma692
@allyjumaallyjuma692 3 жыл бұрын
Kinachokatazwa ktk Uislamu ni Unafiki na kumsengenya mtu ,so nimependa kuwa mkweli hata mbele ya mwenyewe .
@mashombomashombo9233
@mashombomashombo9233 3 жыл бұрын
Ukiwa na stress njoo kwa gonga beat ujionee vibogoyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@herikaniugu
@herikaniugu 3 жыл бұрын
Nobody: Definetly nobody: Masai: TV inayoonyeshwa kwa Redio 😂 7:25
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@nestorymsacky6838
@nestorymsacky6838 3 жыл бұрын
Masai kashangaaa kinoma, eti aaah hii imeteleza sana 😂😂😂😂😂😂😂
@kautharibrahim9691
@kautharibrahim9691 3 жыл бұрын
😂😂😂
@careenpaul2328
@careenpaul2328 3 жыл бұрын
Roho inaniuma sana m2 kumdharau mwenzake 😭😭
@johnsilima1629
@johnsilima1629 3 жыл бұрын
Kama mimi aseee
@hadijaiddy4638
@hadijaiddy4638 3 жыл бұрын
Uyu mkaka ni bonge la mshamba ajielew mwanaume mzima ovyooo Kama shoga analopoka ovyo
@waheedahtanzania5884
@waheedahtanzania5884 3 жыл бұрын
Wa kwanza kucomment kwa MO Town Sanya Chombo kwa hewa❤👌Hodari mwenyewe kwa kazi Yako MashAllaah Allah akuzidishie uhodari zaidi ili uzidi kupiga hatua ya maisha
@captaingyundamakala4552
@captaingyundamakala4552 3 жыл бұрын
hahahahaha ukwel unauma
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@emmanuelmpole3559
@emmanuelmpole3559 3 жыл бұрын
Ushamba huo mwanaume kumwambia mwanaume mwenzake mbaya...hiyo cyo itikeli
@naimaislam552
@naimaislam552 3 жыл бұрын
Kweli kabisaaaa
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 3 жыл бұрын
Tana nimshamba mnooh
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 3 жыл бұрын
Muuni ana itikeli kabisa uwez mchalazia ofsa kama vile kalocha sana
@emmanuelmpole3559
@emmanuelmpole3559 3 жыл бұрын
@@naimaislam552 Yani ni kutokukamilika kwa uwanaume maana cyo sawa kumwambia mwanaume mwenzako hivyo
@emmanuelmpole3559
@emmanuelmpole3559 3 жыл бұрын
@@salhamrishoaish9292 Yani kazingua sana huyo jamaa... wanaume hatupo hivyo na kiubinadamu cyo sawa kabisa
@africakiujumla1
@africakiujumla1 3 жыл бұрын
Ile tv ambayo inaonesha kwa redio 😂😂
@lupandesimukindje8170
@lupandesimukindje8170 3 жыл бұрын
😜🤪😝
@africakiujumla1
@africakiujumla1 3 жыл бұрын
😂😂
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ht1_lNdeyMDTpY0.html
@masongaofficial
@masongaofficial 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/sNuArdVmvL6rZXU.html
@africakiujumla1
@africakiujumla1 3 жыл бұрын
@@alwattanchinga ngom kl keep it up
@erickmwangonda7814
@erickmwangonda7814 3 жыл бұрын
Kwakweli leo mo town sanya umenifuraisha ii interview yani makavu live nmecheka sana sasa namtaka nimuome pnc na dulayo
@sifamugwaneza8774
@sifamugwaneza8774 3 жыл бұрын
Kama uliskia mwishoni mwishon eti hapo kwenye dushelele ndio najua sana like hapa 😂😂😂😂 ila #Motown nakukubal san bro
@elshaarawymuhabesh316
@elshaarawymuhabesh316 3 жыл бұрын
Edo kumwembe Momo ricardo Hhhhh mmetisha....
@malongosalim6826
@malongosalim6826 3 жыл бұрын
Jamaa mjinga kweli..kumkosoa mwenzio dhambi sana mungu amsamee🙏
@salimashur4518
@salimashur4518 3 жыл бұрын
Huyu Harmo rappa munamcheka sanaa ila munamuona vile anajulikana na kila mpita njia,SO HUYU JAMAA NI BONGE LA STAR WALLAHY
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@davidndunguwanjohi8238
@davidndunguwanjohi8238 3 жыл бұрын
Harmorapa roho yako safi sana 😂😀😀
@mohamediramadhan5230
@mohamediramadhan5230 3 жыл бұрын
Like jamani kwa hamorapa
@fanuelyngajilo6107
@fanuelyngajilo6107 3 жыл бұрын
Jamani kwalengo zuri. Ivi wamasai wamepata uhuru mwaka gani??
@pinkygrey3459
@pinkygrey3459 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 jamani
@musatyga9706
@musatyga9706 3 жыл бұрын
Mmmmh 2002
@roi2553
@roi2553 3 жыл бұрын
Ile tv ambayo inaonyesha kwa redio😂😂😂😂Masai bana
@sophiakea2100
@sophiakea2100 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Like kwa mo town sanya
@nancysunday8275
@nancysunday8275 3 жыл бұрын
In Tanzania there's alot of haters for real...how can they say it to someone's face???
@tilifozakikoti5046
@tilifozakikoti5046 3 жыл бұрын
We kaka uliyemwambia mwenzako anasura mbaya Mungu anakuona, usitukane wakunga na uzazi ungalipo chunga kauli zako usikosoe uumbaji wa Mungu binafsi cjaipenda hiyo kauli
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 3 жыл бұрын
Anasura mbaya sawa ila Allah kareem🙏alhamdulilah
@ayushjhay1979
@ayushjhay1979 3 жыл бұрын
Lakini kaka umeongea vibaya ufai kumwambia minadam mwezio ana sura mbYa.umemkosea mola wako.
@nissarhussein4887
@nissarhussein4887 3 жыл бұрын
Kabisa ayush dahh vibaya sana
@georgemalahyageorgemalahya5347
@georgemalahyageorgemalahya5347 3 жыл бұрын
@@nissarhussein4887 hata biblia inasema kna wazur na wabaya
@bintykigan6236
@bintykigan6236 3 жыл бұрын
Sio poa kumwambia mwenzio Ana sura mbovu wallay Tena Muslims
@didakassim8666
@didakassim8666 3 жыл бұрын
Yan mbaka anatuliza kiukweli sivo ila waelew bad tuna zaa
@hadijaiddy4638
@hadijaiddy4638 3 жыл бұрын
Me nimejisikia vibaya uyo mkaka alovaa shat jekundu kazingua Sana ajielew mwanaume mzima anakua Kama shoga anaongea na mwenzake kama wanaugomv alafu amemdhiaki Sana mwenzake kajisikia vibaya bas tu kajikaza😩😩😭
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
Nampenda harmorapa ajui kukasirika mungu amuwekee💞💞💞
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Kabsa ako sawa sana amolapa
@al4classic691
@al4classic691 3 жыл бұрын
Kaah harmo Chen iyo mwana😂😂😂
@jacklinemwanga1691
@jacklinemwanga1691 3 жыл бұрын
Sio Chein bhn ni nyororo
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@patrickmuvendi142
@patrickmuvendi142 3 жыл бұрын
Harmorapa kamuiga msanii anaitwa AY POYOO😀😀😀
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mjerumaninyandu7655
@mjerumaninyandu7655 3 жыл бұрын
Kweli anaiga kwayule jamaahh
@subiramhando9670
@subiramhando9670 3 жыл бұрын
🤣🤣nimeenda kuhakiki Kam kweli anamuiga jamn kwelii Tena wanafanan Sana au pacha ake😎😂😂😂😂ya mungu mengi hamo Kama hamorapa🤣🤣
@rizlambajuni
@rizlambajuni 3 жыл бұрын
Kweliii🤪
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ht1_lNdeyMDTpY0.html
@haskao77
@haskao77 3 жыл бұрын
I think he is handsome, he has a beautiful smile
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@kennitohnyash8201
@kennitohnyash8201 3 жыл бұрын
😂😂😂
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 3 жыл бұрын
Bonge la kipindi.big up sanya. Next Tuesday mlete byser babilon. Mr blue😄🇹🇿.
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 жыл бұрын
Jamaniiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila sio vizuri kumwambia mwenzako mbaya
@shujaabrave5766
@shujaabrave5766 3 жыл бұрын
masai kaua eti ile tv inaonesha kwa redio 🤣🤣🤣🤣 ila huyo jamaa mwingne ni fala uwez mkosoa binadamu ivo
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@sleyummoo7795
@sleyummoo7795 3 жыл бұрын
Ivo anavovaa minyororo inamzidisha kufananizwa na mnyama ila kwakwelo kiumbe mwenzako hutaki kumkosowa wakati hio kazi hukufanya wewe hutakiwi kuingilia umbaji wa Allah muachie mwenyewe mola. MZURI WENU NIYULE ANAEMJUA ALLAH NA SI SURA WALA RANGI WALA NYWELE
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Dah hamorapa maski adi anataka kulia maskin 😭😭ye hakupenda kuubwa ivo jmn sisi wote wanadam
@roi2553
@roi2553 3 жыл бұрын
Katupia ucheni ka mfungwa wa kibrazil😆😆😆😆 Sema katokelezea Ni fassion moja matata sana
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@benjaminkilango2468
@benjaminkilango2468 3 жыл бұрын
Fashion moja matata😂😂😂😂
@directorrey8665
@directorrey8665 3 жыл бұрын
Ntakamata mukia😆😆😆😀 Kumbe hamorapa ana mkia😋
@kakanathan2553
@kakanathan2553 3 жыл бұрын
😁😁😁😁
@migopibrahimu9592
@migopibrahimu9592 3 жыл бұрын
Nitafute
@directorrey8665
@directorrey8665 3 жыл бұрын
@@migopibrahimu9592 haya
@migopibrahimu9592
@migopibrahimu9592 3 жыл бұрын
0653638675 whatsap
@khalidyndi
@khalidyndi 3 жыл бұрын
Mkia ni MB***
@joanatemo1858
@joanatemo1858 3 жыл бұрын
Harmorapa unavituko jameni Nini umefunga kea shingo,kiparo nacho hicho,lakini msimete sura mbaya Kila mtu ameumba kwa mfano wa mungu.nyinyi sura nzuri nendene mkaiuze buchani.
@nola9334
@nola9334 3 жыл бұрын
Asa izo amo ni cheni au minyololo chaa Tz Tanzania naipenda inchi yangu 🙏😃😆😃😃
@jumamkongowe2272
@jumamkongowe2272 3 жыл бұрын
We edo na mziki wapi na wap kaka?😂🤣😂🤣😂
@pendocharles8786
@pendocharles8786 3 жыл бұрын
harmorap wanasem imba ye anachekacheka tu lol😂😂😂
@florarose1626
@florarose1626 3 жыл бұрын
🤣😂😂😂😂
@sirajibakari8150
@sirajibakari8150 3 жыл бұрын
Kumbe wasafi unaonyeshwa kweny redio masai katish
@fatnahsaleh860
@fatnahsaleh860 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, Gonga beat ya leo nimeumwa mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khamishabas2402
@khamishabas2402 3 жыл бұрын
Ile TV inayooneshwa kwny redio Masai noumaaaa
@hellyally4395
@hellyally4395 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 3 жыл бұрын
Ahhhhaa
@anitawillison4279
@anitawillison4279 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@joharhamisi9140
@joharhamisi9140 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ht1_lNdeyMDTpY0.html
@chipembelesaid
@chipembelesaid 3 жыл бұрын
Masai : Umekupendeza kwa kuwa ni chaguo la moyo wako😂😂😂
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@georgetubei
@georgetubei 3 жыл бұрын
wisdom...he captured it beautifully.
@rayanaabdallah473
@rayanaabdallah473 3 жыл бұрын
Hujafa hujaumbika Brouh...Mungu wa kwetu sote
@mwanakmwanak5742
@mwanakmwanak5742 3 жыл бұрын
Kumbe hadi wasafi fm wapo vibogoyo me nilijua sie tu kitaaa😂😂😂tusiojua kuimba
@remmykubanda3393
@remmykubanda3393 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 i just love the end how they sing with earphones 🎧 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@herriethemmanuel4758
@herriethemmanuel4758 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣masai jomoniiiiiiiiiiii ety cheni ya mbwa🤣🤣🤣ningekuwa mm ningelia 🤣
@nemescharles9207
@nemescharles9207 3 жыл бұрын
Kama unaamini hamoralpa anafanana na sokwe gonga like
@hamiskengwa5869
@hamiskengwa5869 3 жыл бұрын
Sielewiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌 hii kipara umepaka nn mbona inamelimet 💪💪💪
@fatmamohamed2712
@fatmamohamed2712 3 жыл бұрын
😂😂
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
Masai kanichekesha sana 😃😃😃🔥🔥
@directoroscar1109
@directoroscar1109 3 жыл бұрын
Nimeskia tu sauti inatoka sijaelewa maneno😹😹😹🤲🏽🤲🏽
@kingballoh1665
@kingballoh1665 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣alaf apo kwa"kaniachaaaa🤣🤣🤣🤣🤣 yani jamaa ametisha sana.
@albertturikumwenayo5695
@albertturikumwenayo5695 3 жыл бұрын
Guys let’s treat each other equally
@selemanibididas3988
@selemanibididas3988 3 жыл бұрын
Hip hop ni misingi na Rap ni hiyo misingi jibu la mwezi😀😀😀
@joelrutta3658
@joelrutta3658 3 жыл бұрын
oiii!!!! Mo Sanya mbna umeva t-shirt imeandikwa "ANTI-HERO " unamaaninsha nn kaka
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Mm mwenyew najouliza kwa ina maan gani? Sijapata jibu mwenzangu
@clearsearch9304
@clearsearch9304 3 жыл бұрын
Wana wa Gomz like hapa
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@balqisabdullah6200
@balqisabdullah6200 3 жыл бұрын
Kwani mungu alikosea alipomuumba? na wewe unaujua mwisho wako unaweza kugeuzwa dakika tu ukatisha. Muogope mungu.
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂💪💪ichi kipindii rahaa sanaa wasafi mnahakili sanaaa kweli wcb 4life 👏👏👏🇧🇼🇧🇼🔥🔥
@neilsurman7021
@neilsurman7021 3 жыл бұрын
Kipara ngonto, he should do his style, not copy ay poyoo
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
Hamorapa Ameumbwa na Mwenyezi Mungu. Na kazi ya Mungu haina Makosa .
@kelvinjonas6215
@kelvinjonas6215 3 жыл бұрын
Ile TV ambayo inaoneshwa kwa redio. Hahhahah Masai bhan
@nissarhussein4887
@nissarhussein4887 3 жыл бұрын
Dahh kaka umemkosea Mola wako sio vzr kabisa nilikua nafurah ila kwa ili umezingua sana ndgu yangu imagn angekua mtoto wako ungeweza kumuita anasura mbovu dahh au mwasemaje ndugu zangu like zenu
@roi2553
@roi2553 3 жыл бұрын
Kabla hujafa hujaumbika Na hapo bado anaendelea kuzaa
@khabisibrah9582
@khabisibrah9582 3 жыл бұрын
Nimelia mm sababu ujuh mtu anajiskiaje moyon
@humphreyalbano3349
@humphreyalbano3349 3 жыл бұрын
True tok moyon kabis
@peterkijanga3193
@peterkijanga3193 3 жыл бұрын
Km hizi mambo zingekuwa pre recorded huyu msenge ilibidi wamkate,,kaleta ungese sanaa
@malongosalim6826
@malongosalim6826 3 жыл бұрын
Waallah machozi yamenitoka...wanamtia unyonge kijana wawatu
@wiftowifto6412
@wiftowifto6412 3 жыл бұрын
KuSeMa AnA SuRa MbaYa😂🤣😂🤣😂🤣 Dah😃 Hio KaLi SaNa🤓🤣😂
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
@salehekibusa7759
@salehekibusa7759 3 жыл бұрын
Hahaha masai hataki amguse anamwambia ata mkata na sime hamorapa pole
@renildevenerand9473
@renildevenerand9473 3 жыл бұрын
Alieona mwanaume huyu mjinga sana kumponda mwenzie. anajiona handsome domo sasa.
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 3 жыл бұрын
Oya dingilao uwe na baunsa umo kwenye ndinga mzee, c unaona wajuba wanavyotoa makavu?, siku watakuja kushkana mashati mbele yako ohoooo!
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Sure
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 3 жыл бұрын
Maasai kafunga mchezo hahahah ile wasafi inaoneshwa kwenye radio duuhh
@citysuncvt1535
@citysuncvt1535 3 жыл бұрын
My showwww again 🔥🔥🔥budah sanyaaa
@aishaelias3867
@aishaelias3867 3 жыл бұрын
T-shirt ya Red 😂😂😂😂😂 mhuni sana... harmorapa minyororo kama mfungwa wa Colombia 🇨🇴 ,ambaye ametoroka jela
@Pedeshee01
@Pedeshee01 3 жыл бұрын
Aisha Elias 😄😄😄mwanaume tangu lini akawa mrembo
@nuruchengula11
@nuruchengula11 3 жыл бұрын
TV inayoonyweshwa kwenye redio😂😂😂
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 3 жыл бұрын
Ahhaaaaaaa😋😋😋
@Vetexenterprise
@Vetexenterprise 3 жыл бұрын
kama unaitaji bidhaa yeyote yenye ubora na ufikishiwe ulipo kwa bei rahisi kabisa basi ingia www.dukakuu.com
MKOJANI : TWENDE POLISI TUKAWAULIZE WANANIJUA/HUYU NDIYO ZUCHU
26:38
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 111 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /24/ #love
30:52
BabaJoan
Рет қаралды 21 М.
Hamorapa~ Mzungu Wangu Ni Mzuri Kuliko Wa Harmonize
12:09
Ebru TV Kenya
Рет қаралды 498 М.
The BIG Birthday SURPRISE | Welcome Home
51:58
THE WAJESUS FAMILY
Рет қаралды 19 М.
SHILOLE AMWAGA MACHOZI MBELE YA ALIKIBA,NISAIDIENI JAMANI
8:31
Mbengo Tv
Рет қаралды 172 М.
Coy Mzungu, Ndaro, Said na Leonardo hawa hapa, ni lazima UCHEKE TU!
1:01:33
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 74 М.
ADAM MCHOMVU NDANI YA WASAFI TV KWA MARA KWANZA #HIVINIKWELIS2EP5
32:07
KINGWENDU AKATWA VIDOLE ZIMBABWE 🇿🇼  AZULUMIWA PESA 🤣
21:01
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 1,5 МЛН
BABA LEVO ATAKA KULIA WAZEE HAWAMJUI/MILIONI 2 UMELOGWA
34:31
Wasafi Media
Рет қаралды 469 М.
Гаджеты вредно!!! ☎️😳😡 #funny #comedy
0:26
Fast Family LIFE
Рет қаралды 2,4 МЛН
Хитрая ГОРНИЧНАЯ вернула ДОМ матери 😱 #shorts
0:57
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 3,1 МЛН
THE FLOOR IS LAVA 🌋🔥! Blippi Watch Out! #blippi #shorts
0:55
Blippi - Educational Videos for Kids
Рет қаралды 19 МЛН
Они так быстро убрались!
1:00
Аришнев
Рет қаралды 2,3 МЛН